Mpira ni utamaduni,kwahiyo kama MTU awezi,aache. Kwani hata hao wawekezaji wanawekeza baada ya uhamasishaji wa utani,hata soka linakuwa nikutokana na utani anapo chekwa kwa kufanya vibaya.wawekezaji inapaswa watambue hilo,MTU wa yanga hawezi isifia jezi ya simba,MTU wa simba hawezi isifia jezi ya yanga hata kama jezi ninzuri,atatafuta sababu akosoe.
@abrahmanmussa13847 күн бұрын
Afisa wa yanga akishitakiwa nivigumu kupata hatia make kina sanda niwengi
@geophureysamsoni50338 күн бұрын
Hiyo siyo ishu
@apostaljoseph22928 күн бұрын
Kauri za ahamed Ali kuhusu yanga
@ZaidAKissinza8 күн бұрын
Ahmed Ally, mimi nakufahamu siku nyingi sana tangu ukiwa kwetu Mwanza Radio Free Africa, wewe una elimu nzuri na pia ni Muumin mzuri wa dini yetu Islam usishindane na wabwabwajaji watakuingiza mahali pabaya. Kiukweli kabisa umekosea, huyo Pacome wakimpump sawasawa akikupeleka kortini mambo yatakuwa mabaya kwako. Tafadhali sana fanya kazi yako kwa uadilifu mdogo wangu. Kuwa kama Mwalimu Masau Bwire msemaji wa JKT.
@dickngimba43338 күн бұрын
mchambuzi hajui anazunguza nn
@mjanthony48648 күн бұрын
Wee ndo Bwege Kweli.
@RajabkhamisRajab8 күн бұрын
Sasa huyo Ahmed anaakili
@AgiripinaNisiphory7 күн бұрын
Kama hajataja jina la utopolo hamna kesi hapo
@MmingeMminge-kr8nj8 күн бұрын
mbona uweleweki unacho kiongea nenda kwenye point,
@kilimanistudio7 күн бұрын
Kwa Hamed Ally sijaona kama kuna neno la kumlipisha B.10 wala sijasikia akisema yanga wanachoma sindano bali amesema amechoka kuchomwa chomwa sindano ajamalizia sindano gani.
@SAIDKHAMISOMAR7 күн бұрын
Mjomba wewe wako ushabiki tu. Kasema pakome kamaliza mkataba, na hana mpango wakuongeza mkataba. Sasa unasema hajataja yanga. Wakati kamtaja mchezaji waiotimu na uomkataba ni waiyo timu. Apo hapana kuchunguzwa ni wazi kesi anayo. Tena akishtakiwa fifa ni hatari zaidi kwenye ufanyaji kazi wa taasisi za soka.
@lucasmganga28117 күн бұрын
Asa akisema packome kamaliza mkataba Hilo ni kosa sehemu gani hapo 😂@@SAIDKHAMISOMAR
@IbrahimBinbenya5 күн бұрын
Basi utaona
@WenslausMwambaluka7 күн бұрын
😂😂
@QwakuHangu8 күн бұрын
Huyu Ali Hana akili mropokaji akomeshwe kabisa
@awetumtengera11477 күн бұрын
Na Ahmed Ally pia anaharibu mpira wetu na bland ya GSM alipe bilioni 10 comedi huyu.
@harounmaarufu32418 күн бұрын
Sasa hizi ndo agenda za kurukia .vyombo vya habari vya Tanzania vya hovyo.tuna mambo mengi kama taifa hebu jaribuni kuacha huu upuuzi
@StellaKaluwa8 күн бұрын
Hakuna KITU hapo hajatukana hiyo faini sioni kama ni Sheria utoporo wameishiwa