No video

Hii hapa sababu ya kukataliwa Swala yako. Sh. Nassor A. Bachu

  Рет қаралды 30,198

OBA Online tv

OBA Online tv

3 жыл бұрын

Omar Bakari Almasi tv.

Пікірлер: 27
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 2 жыл бұрын
Eeemola mrehemu shekhe wetu
@mwanaishabakari240
@mwanaishabakari240 2 жыл бұрын
Amiin
@halimaissa2360
@halimaissa2360 2 жыл бұрын
Aamiyn yaa Rahim
@daudmaikomwakapoma213
@daudmaikomwakapoma213 2 жыл бұрын
Sio muislamu ila huyu mzee nampenda sana R. I. P Na amefanya niipende imani ya Kiislamu
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
Karibu ktk uislam ndio dini pekee ya manabii wote.maana wenzetu Hadi Leo wanaabudu masana wakadai ni yesu kumbe acter brayan. 5:3 Qur'an,k
@samirhassanlau5000
@samirhassanlau5000 Жыл бұрын
Masha Alha karibu ktk uislamu ndugu yangu, kuna mengi mazuri sana ambayo yatakufungua macho zaidi
@ibugharib389
@ibugharib389 Жыл бұрын
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN Allah amfanyie wepesi katika safar yetu hii.Bega kwa bega mpaka Firdaus
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Jazakallah hailla Allah akupe pepo kwa uruma wake Subuhana yani tunafaidika wallah
@hmsrashd7910
@hmsrashd7910 Жыл бұрын
,,usiwatii wazazi katika kumuasi ALLAH SUBHANA HUWATAALLAH,,
@salimbiaisha6466
@salimbiaisha6466 11 ай бұрын
Masha Allah. Mawaidha mazzuri
@mshuzakimwerymshuzakimwery9645
@mshuzakimwerymshuzakimwery9645 2 жыл бұрын
Allah amrehem shekhe Nassoro Bachu.
@husseinmohamed8493
@husseinmohamed8493 Жыл бұрын
Naomba kiswatul miiraj Mzungumzaji asheikh nassor bachu
@husseinmohamed8493
@husseinmohamed8493 Жыл бұрын
Masha,ALLAH ALLAH amuhifadhi sheikh wetu kipenzi na umeweke penye wema peponi ❤
@hemedimkitu6064
@hemedimkitu6064 2 жыл бұрын
Allah amstili sana bwana nasoro
@user-ch4qs4vw1n
@user-ch4qs4vw1n 6 ай бұрын
8:32 mungu akupe janna
@selemannyumba-hr2gd
@selemannyumba-hr2gd Жыл бұрын
Allah amlipe heli
@twalhanasri9860
@twalhanasri9860 2 жыл бұрын
Allah ampe pepo shekh wetu
@samirhassanlau5000
@samirhassanlau5000 Жыл бұрын
Alhahu Akbar yaani ninavyompenda huyu sheikh ni Mwenyezi Mungu pekee ndio anaejua Ila jamani mwenye mada isemayo maovu ya macho na ulimwengu wa maiti pamoja na ubaya wa kusengenya naomba atuwekee please Mawaidha yote hayo ni ya sheikh wetu SIMBA WA MIMBARI Nasor Bhachu rahimahu lhahu alayh
@AbubakariMohamedi-ks9wm
@AbubakariMohamedi-ks9wm Жыл бұрын
Amiin amiin amiin
@saidimkopi9273
@saidimkopi9273 Жыл бұрын
اللهم ارحمنا جميعا
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 3 жыл бұрын
Plz eka volume zote za shuruti kubulu swala
@vstvonline2169
@vstvonline2169 2 жыл бұрын
Masha Allah
@muntanidham2314
@muntanidham2314 Жыл бұрын
Allah anikutanishe nae peponi
@dhahirdin
@dhahirdin 2 жыл бұрын
ALLAH AMRAHAM sheikh nassor abdallah
@hawakiza6067
@hawakiza6067 2 жыл бұрын
Subhaanallaah
@user-pi6lw5fv6c
@user-pi6lw5fv6c 11 ай бұрын
Shehe allah akulipe malipo unayostahiki mm umenitoa ktk kiza kikubwa ww ulikua fundi ktk haki
@abrahamsnoopdog5929
@abrahamsnoopdog5929 3 жыл бұрын
Mashallha
Kisa cha mtu aliye muua Mama yake mzazi vol 01. Sh. Nassor A. Bachu
42:43
NASSOR BACHU LADHA 99 ALIZOPEWA MKE KATIKA TENDO LA NDOA
1:02:49
Maulid Bin Swaleh
Рет қаралды 44 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 181 МЛН
Ubaya wa Zinaa  - Sheikh Nassor Bachu
1:14:20
Islamic Kindness
Рет қаралды 16 М.
SIRI YA SIKU YA MALIPO   AL MARHUM SHEIKH NASSOR BACHU
1:00:15
RVS Online Tv
Рет қаралды 8 М.
Kisa cha Nabii Ayub (Alayhi salam)  - Sheikh Nassor Bachu
1:24:04
Islamic Kindness
Рет қаралды 26 М.
adhabu 15  zatariku sala   [ Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yenu ]
1:02:09
ADABU ZA SIKU YA IJUMAA NA FADHLA ZAKE  / SHEIKH HASSAN AHMED
37:33
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 46 М.
Umuhimu Wa Adhkar {Sheikh Nassor Bachu {Rahimahullāh}]
43:20
Abu Tafawa Twariq said
Рет қаралды 57 М.
Dhambi za Makosa ya Ulimi vol. 02 Sh. Nassor A. Bachu
38:55
OBA Online tv
Рет қаралды 10 М.
Sheikh Nassor BACHU - TAQWA
3:01:03
shining noor
Рет қаралды 113 М.
MATUKIO YA SIKU YA MALIPO 2/2 - SHEIKH NASSOR BACHU
1:28:41
MUZDALIFAH
Рет қаралды 290 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН