Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that
Пікірлер: 352
@HmashaAlly-m6hАй бұрын
Dah Mungu tusaidie naona Kabisa Shetani Anatushinda kwa kiasi kikubwa Mombasa Leo hii
@kautharjay5868Ай бұрын
Kuna siku alikuja twaiba Mombasa anauza carpet walinistiri vizur watu wanapiga kampeni ya kuiharibu Mombasa iwe na utamaduni sio tumuombee Mungu tujistiri jamani hatupungikiwi kitu
@rechaelmabruk6547Ай бұрын
Sioni kibaya kinacho fanywa hapa isipo kua watu kufurahia harusi ila nyinyi waisalaamu mme zidi na hizo subhana acheni wivu watu wakifanya sherehe zao ❤❤❤❤mm nimependa sana hii harusi
@ArfatHassanahmedАй бұрын
Hakuna wivu its pitying them.i would not wish my wedding or my loved one's to be this way.
@ArfatHassanahmedАй бұрын
Huwezi kuelewa maana Huna imani ya uislamu.Mwenyezi Mungu akuongoze
@abdallahshariff2983Ай бұрын
Audhu Billahi minasheitan rajim ,Yaa Allah tuongeze,hii ni ukafiri ya hali ya juu,na israf,wakati kuna wengi wana lala njaa,ni jambo la kusikitisha.
@LLl-p4r3lАй бұрын
@@abdallahshariff2983 kabisa inaskitisha xana
@swabirbasheikh8244Ай бұрын
Yani hapo ujue kuna Wake za watu lakini Sivo wanavyo jidhalilisha Subhan Allah 😢Allah Atufanyie wepesi sanaa
@AtendayeMwinyihajiАй бұрын
Amiyn yaraby
@KhamisasmanjamalАй бұрын
Wallahi hii ni hatari ALLAH subanah watalah hatuongoze
@Sidrasidra636Ай бұрын
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 💔😭
@yunusramadhan2546Ай бұрын
Mombasa bado inawajinga kumbe subhaallah Allah atuongoze
@zena6203Ай бұрын
Kwani kunasehemu yawajinga kila sehemukunawajingaaaa😅😅
@Tasha870Ай бұрын
Mombasa werevu Kumbuka si Kenya
@fredrickipembe8188Ай бұрын
Mombasa sio wajinga kama wewe
@anthonykatana3809Ай бұрын
Wew ndio uko na
@Mussatz-g2bАй бұрын
Sasa hao na wewe nani mjinga kuku wewe
@riazjuma84Ай бұрын
Aibu wanewake waislamu hawana Adhabu...Laana hio
@CHINICHINI-i3f17 күн бұрын
I rather help the poor then giving someone who’s already Rich always help the poor 💯🙏🏾
@kautharjay5868Ай бұрын
Mombasa inazidi kubaribika Mungu atuwpushie huu mtihan
@im_jeiclosАй бұрын
Mimi apo ningeondoka na Mwarabu mmoja ❤😂
@beatricejohn1659Ай бұрын
Nyota hashushwi Kwa Simba la masimba❤❤❤❤❤❤❤❤
@elinahandisiАй бұрын
Mmm hawa si waislamu jameni mwenyezi mungu tuongoze
@ahmed-yc6xmАй бұрын
Amiin
@dorothmsuya1686Ай бұрын
Aliyepewa kapewa! Wily kaa kwa kutulia ! Huyo ndio Mondi nyota inang'ara bana!❤❤❤❤❤❤❤❤
@swabirfaizrubeya6121Ай бұрын
Laana tu na aibu tu Allah awaongoze njia ya saws
@rashidhamad3538Ай бұрын
innalillahi wainna ilayhi raajiun, hapana lolote la maana hapa, tuwaombee Dua wenzetu wanaangamia Subhanallah
@jamilashabani8580Ай бұрын
Allah Atuongoze Katika kheir Mbona Masheikh Na vilemba,, Kwan walisshinwa kuwaleta wasomi wa Qruani na Kukaswaliwa Mtume wa Allah Allah baariq fiikum ila Hio Ndoa Allah Ndio Anajua Zaidi
@minabuelysee8Ай бұрын
Allahuma Amin
@minabuelysee8Ай бұрын
Ila nikwambie kitu hujuwi si kila anavaa kanpur,kilemba I Sheikh
@jamilashabani8580Ай бұрын
@minabuelysee8 Ni Kwel Basi shukran Kwahio Imani ya mtu na matendo yake Ndio Tafsri ya yy ni nani okay Na sio Mavazi Jazakallah khayr
@rukiamadati336Ай бұрын
Harusi ina watoto wakali balaa😂😂 ndo nilichoona cyo shoo
@fatmaomar5783Ай бұрын
Diaimon ni masihi dijal audhubillahi mindhalik. Ameharibu watoto wa watu😢
@SaidMtigaАй бұрын
Waislam wameingiwa na sheytwan mbaya sana subhaanallah 😢
@firdaushamid8200Ай бұрын
Shaitwaan RRajimm
@abuumuhammad7133Ай бұрын
Huo Mkoa katika mikoa ya Kenya ndio maana wanamchukiaga Aalim Shekh Abdallah Humeid huwachana ukweli kwa ujinga na udayuthi wao.kwa Mujibu wa Sheria ya Allah na Mafundisho ya Mtume wa Allah Muhammad Sala na Salaam zimfikie
@mohammadabubakar4082Ай бұрын
Pesa yote umejaliwa badala kujenga mskiti na kutoa sadaka Subhanallah😢
@JulaybibiBabah24 күн бұрын
Kapendeza Sana Wakenya 🇰🇪 Wa Enjoy na Simba la African
@HudhaifaHamisiАй бұрын
Inna lillahi wainna ilaihi raaji'un...ni aibu sana kwa waislamu...Allah atusamehe na atuongoze
@MulangaliroMagalabahaАй бұрын
Diamond plantnumz salute 🔥🔥🔥🔥
@FumokaleАй бұрын
Watu wajichora na ht diamond hana haja nae...ameisha beba mahela amewaacha wapwani na ujinga wao...naht munitukane nishasema na ndio ukweli na utabaki hivo
@bwanakaleshallo1305Ай бұрын
Wenye arusi Allah anawasubiri, mutajibu siku ya hesabu, kwa nini muliruzukiwa na mukaharibu thamani ya pesa mulopewa kama wasimamizi wa mali Allah aliyo wapa. Allah atuongoze na awaongoze Hawa wenzetu walio uaibisha Uislamu
@omadal1Ай бұрын
Amin yaraby. Ila hawakudhalilisha uislaam, wamejidhalilisha wenyewe na malipo yanawangoja wao na sisi subhanaAllah....
@aishamohamed9981Ай бұрын
Hawa watu hawana maadili ya dini... Mungu atuongoze sote
@GreatnessKarani-z8dАй бұрын
Diamond deserves
@JumaBilekuАй бұрын
Acheni husda mungu ndo hakim wetu
@Bboy-sj9djАй бұрын
noma sana simba
@salumkhamis7818Ай бұрын
Hivi Hawa waliovaa kanzu na vilemba/kofia ni WA Islam kweli ,ukafiri ulio wazi kabisa ALLAH tuepushe na shetani ALLAHUMA AMIN
@Mealiim6Ай бұрын
Kiislam nikaah n ibada ila ikifikia hapa Allah ndio anajua zaid
@MebakariMwasiyeАй бұрын
Usiseme Allah anajua zaidi,open up,hata sisi hpo twajua na twauona ubaya
@Mealiim6Ай бұрын
@MebakariMwasiye kiukweli hapo ilikua big party coz waliofika hapo hawaonyeshi misingi ya dini
@NunuKupelaАй бұрын
Yan mmejisitir kuvaa vizur mmacheza na mavazi takatifu harusi ya kiislamu mmachanganyika Mombasa tunawategemea
@HalfanAbdallah-x4pАй бұрын
😂😂😂😂😂 huo ni upuuuuuzi
@JacksonKachilaАй бұрын
Simba❤❤❤❤❤
@johnmeshack4431Ай бұрын
😂simba la masimba #pozee umeona ihi😅😅😅
@HabibaMohamed-h3nАй бұрын
Mashallah mabrouk
@yongoyongo3055Ай бұрын
Wiislam Mombasa bado ujinga mwingi
@kadrimwingamno258Ай бұрын
Wagonjwa wa akili wakutana na mgonjwa mwenzao. Uma umeangamia.
@abubakarkidevrespect7782Ай бұрын
Subhan Allah ndugu waislam ndio nn ivi kujidhalilisha aibu sana dunia mapito jamani pumzi kibri
@farahali6041Ай бұрын
We mweu kwali mwenyewe uwezo mungu tu binadamu hana lolote dakika tu mungu akichukua roho yake huna chako ukasikilize kaburini
@mwanahamisikimweri7234Ай бұрын
Kwa hiyo unamuombea afe...acha kumkufuru Mungu kwa viumbe wake. Wewe unaujua mwisho wako? Fikiri kabla hujaandika na jamii ikasoma ulichoandika.
@dorothmsuya1686Ай бұрын
Hata wewe usijisahaulishe!! Wewe pia waweza kufa muda wowote! Au wewe ni unajikuta nani kwa mfano!😅😅😅
@LovenessWaibeАй бұрын
Makasiriko yanini kijana tafuta pesa acha roho ya kichawi na jua huo ni roho ya umaskini inakusumbua😂😂😂
@dorothmsuya1686Ай бұрын
@LovenessWaibe Umesema kweli kabisa! Watu wanashinda wakibet mwenAo anapambana wanataka wafanane! Fanyeni kazi acheni makasiriko! Mond anajitambua! Shauri zenu!
@AthumaniAthumani6Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤simbaaaaaaa
@munam7104Ай бұрын
Vijana wa Kislamu waazirika subhana llah
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Yani mtihani sikumojatu imewatoq iiman wanafanya usweitwani😢
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Pesazao na zitawachomamoto sikuyakiyama Allah atunusuru na masweitwani
@AishaAisha-q4tАй бұрын
Mwenyewe nimeshangaa sio wanawake tu na watu wazima
@dhahabusheikh262Ай бұрын
Mtihani. May Allah protect us. Dunya imetuva.
@Zainab-f9w5xАй бұрын
Mtamjibu nn rahman siku ya malipo
@chrispinmkanda6097Ай бұрын
Isee!! Namuona mendez yuko seriously hataki masiala na pesa km bodyguard vilee!!!😂😂😂😂
@Chemba67Ай бұрын
Willy Paul man is coming into yaa backyard and get it!! Show him what you got, come and get it in TZ😏😏😏😏, Mtoto mdogoo in TID voice....kakojoe ukalale
@AbdulahiNaseebuАй бұрын
Diamond Platinumz is ever the best musician in the East Africa and also worldwide.
@omadal1Ай бұрын
So wht seriously?
@BrianMatumboАй бұрын
TANGU kamwabiye Niljuwa NYOTA YA DIAMOND ITA NGAAA KWA MWANGA MKUBWA❤❤❤
@salmaali7080Ай бұрын
Sasa wataka abudiwe ama nivipi? We nyota yako haijangaa staghfirullah
@BrianMatumboАй бұрын
@@salmaali7080 Acha wivu kwani kuna shida niki msifia peleka wivu uko kwenu
@dorisNyandaАй бұрын
Hahahaaaa,kazi kwao wanaomchukia,mwenzao anazid kupasua.😅😅😅😅Raha sn
@nishaabdula5015Ай бұрын
Yn cjui. Wamelazwa uko majirani mana so kwa upendo u jmn
@shafisaggaf1889Ай бұрын
Ndio maana harusi hazina baraka baada ya mda mdupi utasikia washaachana kwa uchafu unao fanyika.
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAMАй бұрын
Simba nyota inangara sana ❤
@auntiemylee3157Ай бұрын
Casspol🎉🎉
@LLl-p4r3lАй бұрын
Hizo pesa hazina kazi heri mngewapa masikini na wajane nq watoto mayatima juu nisikukuu nahawana chakula wala mavazi hio ingewapa thawabu kwa mungu eti bilioni 23 kwani anaimba nini chajabu
@JackKisunga-rx3edАй бұрын
Hatariiiiiii sana
@roudhamahmoud763Ай бұрын
Natamani zuchu nandi na daimond ndo wangealikwa ila sio mbaya nandy kawakilisha piya wasichana
@ebengapierre8826Ай бұрын
Bwana uyo n'i shida mimi namkubali daimond ana nguvu sn ukiangalia vizuri kuna mezali moja inasema kwenye luga ya kibenbe eti msoshi ele ya lala mahana yake Ni ivi mtu akiwa mkubwa kazi nikutupia kila jiwe kwenye mwili wake
@nishaabdula5015Ай бұрын
Kbs
@saidali9255Ай бұрын
There is light in the darkness!
@HassanHassan-dk5dbАй бұрын
Kunakitu nimejifunza hapa Ni kujibrand Kwanza.
@martingwanduluko1135Ай бұрын
Nihalali kwa diamond kuliowa kiasi hiko maana sio lahisi kupiga shoo katkat yawati na sio kwenye jukwaaa🎉
@PriestEyeАй бұрын
pesa mzuri. tafuta ujibambe
@mandelasamson8401Ай бұрын
Willy Paul akiona anajifungia ndani kulia
@riazjuma84Ай бұрын
Taubah Taubah Waislamu wama laaniwa Alhumdulilah
@josepheriah5977Ай бұрын
Raaa yakua msaniii kama mfalme ongera simba wakilisha peekaboo sanaa mbali nilzan davido ongera simba
@OmarAli-po2lxАй бұрын
It was narrated from `Imran ibn Husayn that the Prophet (peace and blessings of Allah be upon him) said: “I looked into Paradise and I saw that the majority of its people were the poor. And I looked into Hell and I saw that the majority of its people are women.” (Narrated by Al-Bukhari, 3241 and Muslim, 2737)
@dhahabusheikh262Ай бұрын
May Allah protect us all
@omarfadhil7554Ай бұрын
Wanawake wa kiislam, wengine wake za watu...waume tumekuwa madayuth
@harunsule32Ай бұрын
Inna lillah wainailahi rajiun
@MohammedAwadh-gq9siАй бұрын
Pengine kwako nyumbani ,au kwenu nyumbani hakuna anayesali ,wooote wanatembea nusu uchi,nk au pengine washirikina ! Na haswaa wewe makombe,zafarani nk kuagua kwa kwenda mbele
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Mtihani huyu shehe ubwabwa na midevu yake anapigaoicha hapo hanaata aibu
@shabanmaulana8594Ай бұрын
@@MohammedAwadh-gq9si😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Zainab-f9w5xАй бұрын
Wanawake wa kiisilamu saiz mumekuakaa mbuzi kuna maisha baada ya kufa
@josepheriah5977Ай бұрын
Simba
@MohamedRaudhaАй бұрын
Wapumbavu hao wa pedide
@BahatiSaid-e9oАй бұрын
Ningekuona wa mana sana izo pesa ulizomlipa d nibola ungejenga msikiti ukapata sawabu😂😂
@babronevance2775Ай бұрын
Umaskin unakusumbua
@aboujanomarion6121Ай бұрын
Pesa za haramu huishia kwenye haramu
@JellyRuba2022Ай бұрын
UKOO WA WASAFI YAANI USAFINI 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@methewbuzuruga-eg8ozАй бұрын
Ukijumlsha hela za cuf na hii harusi na zile akizofanyiwa vurugu hukohuko kenya atakuwa aeingiza shilingi ngaipi maana sasa hivi diomndi atafuti hela ila hela zinamtafuta diamond alpo tena mabilioni huyu jamaa tumuache kama aivyo yuko mbali sana
@SwabirAttwasАй бұрын
Allahu Akbar
@josepheriah5977Ай бұрын
Rais
@شيخنيفАй бұрын
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuun 😢😢😢
@Goshi-ov2wyАй бұрын
Hata aliyegundua umeme alizikwa kwenye Giza, Leo ndio Namini uwezi mjua mtu Kwa vazi. Ila kumbukeni duniani tunapita tu Na mwenyezi mungu anatuona. Furaha ya Leo kilio na mpofu WA kesho
@MohammedyasiaАй бұрын
استغفر الله العظيم واتوب اليه
@Saum-o1wАй бұрын
Shetani yupo kazini
@halimakiniti1227Ай бұрын
Anapendwa sana kenya
@AminaSingombeАй бұрын
kenyata alisema mombassa na raha zao...nairobi na kenya yao..sasa hatuja fahamu anamaanisha nini
@subirahamuduАй бұрын
Na simba la masimba dangote
@rubenlengai7195Ай бұрын
Mombasa warabu wengi sana
@Khalid-mf3iuАй бұрын
Wapunguzwe au ?😂
@MebakariMwasiyeАй бұрын
Waarabu ama wagiriama weupe,waduruma na wadigo?
@KhalfanSalim-v1xАй бұрын
basi iyo harusi angefanyia hotel 5star sio ivyo vibanda vya kilioni 😂😂😂😂 eti billion mbili point mnazijua au mnasema tu
@saidihamisi9285Ай бұрын
Azubillahimi naswetwan rajiim
@irshadabuhafsi6585Ай бұрын
Inna lillahi wa innaa ilayhi raajiuun dunia imefika mwisho
@muharamimatenga-iw9mjАй бұрын
tisha sana
@HabibaMohamed-h3nАй бұрын
Sherehe lazima watu wawe fan harusi ni furaha na yy nimtu maharufu
@MarckMasakiАй бұрын
Uwongo mtupu mashoga bwana😊
@EmmanuelChembe-q2uАй бұрын
Waliohudhuria hii harusi wote ni wajinga,, ata mm nko mombasa lakini ckupendezwa na jambo ili
@AsiyaAsi-c9nАй бұрын
Kweli hapa hakuna mashekhe 😅😅😅
@ndukulusudikucho_Ай бұрын
Nawakubali saana watu wa Mombasa wana roho tofauti saana tena Saaana huwa nahisi kama vile Ni wa huku
@Ali-gk5mvАй бұрын
sisi niwa moja bro❤❤
@eliasaNgahehwa-l2fАй бұрын
Hao ni wabongo kile pande ni chakwetu
@aboujanomarion6121Ай бұрын
Pesa za haramu huishia kwenye haramu Allah hataki unafiki kwenye dini yake hawa ni wanafiki wakiislamu hawana uislamu wowote so waacheni waendelee kupotoka Allah hana haraka nao ila mwishowake ni kaburini tu ..
@meowznaАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@FumokaleАй бұрын
Wanawake washenzi ht haya hawana kwani diamondi ni nani hvo....kweti tuko na ujinga
@CityDataScientistАй бұрын
Billioni 2.3 shollingi ya TZ. Kwa shillingi ya kenya ni 77million.
@astolafisto5660Ай бұрын
Ni 1 million dollars in Kenya shilings ni 129million na tz ni 2.4billion😢 subhanallah
@goromamussatvonlineАй бұрын
unajielewa lakini
@salmaali7080Ай бұрын
Astaghfirullah waume wamevaa makanzu wake kwa waume kama walomuon mtume wanavyobabaika ,allah atuongoze kullu jamii islam
@binbenmartin3425Ай бұрын
Billioni 2 kwani yeye ndiye anaolewa ???
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
Onesmo hapa alipata wakati mgumu kusukuma wa mama wa Mombasa Bwana......hii ni ya waarabu bwana
@woah.africa99Ай бұрын
Hawan uarabu wa kuchovya
@jaffarmagawa3245Ай бұрын
Sio kitu rahis msanii kama diamond kutumbuiza kwenye harus ko ni lazma kuwe na ushawsh mkubwa wa kumfanya akubal
@KasulaHawazi-k3qАй бұрын
Kasula is typing,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
@AIMEMAS-GАй бұрын
Simbaaa
@lareineminah1353Ай бұрын
Kharusi imekuwa show hadiii rahaaa watu wana hela bhanaa
@aboujanomarion6121Ай бұрын
Watu wanapewa hela ili wajinunulie moto wa qiyama ndio kma hivi sasa