mond akitaka heshima astaafu akiwa wa Moto akikomaa atahaibika HARMONISE bado anaaakiba nyingi mnoo
@user-sp3gg7id8q2 жыл бұрын
Well said
@alfaheduwad85372 жыл бұрын
Uliziona akiba alizonazo
@homan_nkwama2 жыл бұрын
@@alfaheduwad8537 kaka wanao jua sayansi ya fasihi au muziki wa kina wamenielewa kwa ufupi ukijua kwanini wakongwe wengi wana andikiwa utanielewa tuu .Pia mfano mwingine refa wa ngumi hawezi kusubiri bondia AFE UWANJANI ndio ahairishe pambano anajua tu bondia fulani ameishiwa stamina , kwasababu anajua sayansi au undani wa pambano hata kama bondio ata igiza kujidai bado anajiweza
@festobenjamin88382 жыл бұрын
Kwaio mond hana akiba we jamaa ahaha umefeli apo
@homan_nkwama2 жыл бұрын
@@festobenjamin8838 usisahau mtu kama JAY ZEE pamoja na ukali wake kwenye mziki awezi kufanana au kurudisha Moto wake kama ilivyo kuwa miaka15 iliyopita kila kitu uzeeka
@lausijames30402 жыл бұрын
Uyu jomba hafai uyu ni jembe
@khalfanikassimu7380 Жыл бұрын
ww jeshi wajua Kwenda naakili zawatu upande wapili CEO.aliwataja kwamajina kwamba muache.kushindana mshirikine nawe ukasema.kwenye show Yako wajitokeze wasan ulio wahi kufanyanao KAZI Sasa zombi yuwaumwa amandio.njia.ya kukukwepa ili asionekane mnafiki.
@carlosmutua63702 жыл бұрын
That's my boy....... Kenya tunakupenda. You are the king hao wengine nyuma. Keep it burning bro.
@osmandingi9 ай бұрын
Kabisa ndugu
@rosemarrymaruba30192 жыл бұрын
Kaka mungu azidi kukuinua nakupenda sana mm nishabiki yako kindakindaki 😘😘😘😘
@athumaniamani99052 жыл бұрын
Hii ni historia kwa wana wa masasi.....tuliluk debe sana
@missmwayway47042 жыл бұрын
Hongereni watu wa Nyumbani na kuzidi kumsapoti wanyumbani pia 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@alexmichael97472 жыл бұрын
Amna kitu
@hadija8462 жыл бұрын
Konde we ni mwimbaji wa kipaji kutoka kwa M/mungu 🙏😍nakupenda bure kwa sauti ya kidume😘💞
@frolakomba7301 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@gaudenciamallya97792 жыл бұрын
Funika bovu dah! Hongera harmonizi.
@rolanochieng19032 жыл бұрын
Napenda show big up to tembo yaani jeshiiiii
@peterwaiboci7505 Жыл бұрын
Jeshii to the world... much love for my bongo goat 🐐 konde boy mjeshii from Nairobi Kenya 🇰🇪 🙌
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
❤️❤️🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🙏🙏🙏💯💯💯 Umetisha upande wapili wanaharisha nimepata taarifa zao😂😂🤣🤣
@priscamrekoni3451 Жыл бұрын
😹😹
@omarychande542 жыл бұрын
Show kali ila angekuwa na hao aliofanya nao Collabo ingekuwa show moja ya kali zaidi za kufungia mwaka
@laurentraphael26972 жыл бұрын
This is konde boy master of writing it kill it my artist
@ibrahimpius57662 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
@ShakiraChinemba9 ай бұрын
👏👏👏👏👏💕💕💕🔥🔥🔥🔥
@vertucypangani13232 жыл бұрын
Nackia kawaitikisha videmu "Abee" 😂 jeshi we kiboko,tunakukubar sana
@barakadaud53232 жыл бұрын
Jeshiiii
@sadamkyndo2719 Жыл бұрын
Daa mashabbik wengine wapewe heshima harmo kunadada hapo kwenye kimombo unamskia alivo jiongeza 'sijui nitafanyaje' kaua sana
@miriamcheya31362 жыл бұрын
Konde mambo yote 😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lastonebanda83282 жыл бұрын
1konde boy call namba 1
@amasco_tzadaboy730 Жыл бұрын
Huyo Alie sema nenda america ss ndo anaogopa Kuma ww wa2 wanakanya 2 mbwaaa eeeh jeshi popote 2naishi huyo mondi mwenye kichwa kinamuuma mbwa ww
@allymohamediabdala Жыл бұрын
daaa inapendeza kwa kweli harmori star
@mwanahamismadebe18762 жыл бұрын
Mwaga moto Mungu kakupa
@bodmasmashairi24452 жыл бұрын
Ona 🔞 🔥 🔥 👇 👇 👇 kzbin.info/www/bejne/gXPHmH6NhteDa6M
@noelkabaila32842 жыл бұрын
🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥💯💯💯
@hamsomrabu1905 Жыл бұрын
Harmonaiz Jesho uko vizuli
@faridnassor41242 жыл бұрын
Harmonice sasa wakati wakoo
@petrorajabrajabu70932 жыл бұрын
Utafanya makubwa sana jeshi mungu ablles tu naamin wewe uliletwa kuja kufika mbali mzik wa tz ahsante Sana
@geradyritte38752 жыл бұрын
Noma
@malosfils7166 Жыл бұрын
Wa kuatche jeeshi hawata kuweza
@Noah-zt5zf2 жыл бұрын
Huyo mdada anatamani angekuw na mic sauti imeisha
@blocotv2132 жыл бұрын
Noma
@omante1942 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@homan_nkwama Жыл бұрын
Bonge shoo ila SAUTI iliyokuwa jirani na kamera inaua vibe SAUTI kavuuuu
@hadija8462 жыл бұрын
Ni raha tupu jamani🙏😍💞
@xingho39902 жыл бұрын
Aaaaa umewakamata kweli wakina somo wenzako.
@arafatymomade85548 ай бұрын
❤❤❤ konde namba1
@Ramachome2 жыл бұрын
Nakubali
@hdmsasa33552 жыл бұрын
Gusa maandish ya blue ukashuhudie Video yangu nilivyomkalisha DOGO BALAA kzbin.info/www/bejne/kInSh42rj6uAr5o
@manasekabusha71802 жыл бұрын
alie skia saut ya kajala gonga like
@missmwayway47042 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Jamaniii
@baptistavictor46162 жыл бұрын
Harmonize ni jeshi Mimi Baptista kutoka Moçambique
@saidemuamedeali26782 жыл бұрын
Umetisha baba
@shortlmzizi2 жыл бұрын
Nakukubali mwamba umeua🔥🔥
@shabanishabani37522 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤much love
@missmwayway47042 жыл бұрын
Jeshiiiiiiiiiii 👊💪
@lubimbinkumingi87302 жыл бұрын
Huyu jamaaa hatariii xanaaaa
@nusratymohamed95632 жыл бұрын
😘😘😘😘😇
@ibrahimpius57662 жыл бұрын
Jeshiii
@shazzab94202 жыл бұрын
Kazi Kali
@gelasishabani69742 жыл бұрын
Konde boy ww ninoma🙌
@Kondeboy-h3s Жыл бұрын
saf
@alimaguno93012 жыл бұрын
damondi
@bintmailiga81842 жыл бұрын
Icho ndicho tunachokitaka waahabiki wako big up hamo songs mbele mungu yu pamoja naww
@tmohamedy91932 жыл бұрын
Saf
@merianwestniccur29872 жыл бұрын
My G Tembo 🐘🐘🐘
@elsonabagerera85832 жыл бұрын
👍👍👍💓💓💪💪💪
@raizzyke67011 ай бұрын
Big up Sana
@wilejohn64122 жыл бұрын
Tembo
@ramadhanmohamed17122 жыл бұрын
Hizo ndo levo zako mtwara choko kwingne waachie wenyewe
@chudaboy81982 жыл бұрын
Mwenyewe namba ya huyo mdada ane toa saut hapo naiomba
@eray54462 жыл бұрын
My favourite
@daudimaugo99982 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@doreensamwely87402 жыл бұрын
Mr,pimbi kanileta huku
@joleal79412 жыл бұрын
Jeshiii👍
@waziriadam10222 жыл бұрын
We jamaa Wakuache tuu wasiangaike na wewe wataferi