Sheikh Izzuddiyn ana inswaf katika elimu kashajibu hili jambo ALHAMDULILLAH na wewe mtoto wa bachu onesha inswaf kwa makosa ulioambiwa kama kweli upo kwa ajili ya ALLAH
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
Huyo anatafuta sifa mi naona
@allydaud117 Жыл бұрын
Masha Allah. Allah akujaalie Afya njema na umri mrefu wenye kheri na barka ndani yake sheikh uzid kuunufaisha umma. Nakupend sana sheikh kwaajili ya Allah. Unajitahidi sana kuipigania hakki
@ahmedbadi5822 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah Izzudin Daawa yake yaskizwa mpaka na wana hamasa, kstika mambo Mia kama kakosea moja, basi Ana ilmu Maa Shaa Allah.
@omarsima2763 Жыл бұрын
Linasahihishwa jambo ambao halikuenda vizuri watu wasije wakalichukua na kulifanyia kazi
@AbdulAdam-gm5js Жыл бұрын
أنت أجهل الناس
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
@@omarsima2763 kwa nini asimsahihishe faragha kisha nae akarudia kujisahihisha mitandaoni ili kuliweka sawa?
@mohamedalimwangare Жыл бұрын
Kwa ukarimu na heshima ingekua vyema hizi mimbari katika kurekebishana Masheikh au wanazuoni mtu anapohisi mwenzake ameteleza au kueleza kitu sivyo ni vyema kwanza kumfikia na kumnasihi au kumtanabaisha pengine kama binadamu ameghafilika au ameteleza. Shukran Sheikh Izzudin kwa kulipokea kwa hekima na kukariri dhamira yako. Naam umelizungumzia mara 4 na ni hiyo mara 1 tu ndio ulielezea kwa namna hiyo na haikua dhamira yako kueleza watu kufanya hivyo.
@zawiaissa8912 Жыл бұрын
shukrani sheghe wetu Allah akupe afya njema akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
@samratsultan90558 ай бұрын
Sheikh bachu anaonesha nia ya kurekebisha na kuitafuta haki na kuismamisha qur ani na sunnah, bali anahitajika kurekebisha lunga yake na kuzingatia sisi sote ni waislam tupendane na kuelekezana kwa hekma
@amissandayishimiye-su4wm Жыл бұрын
Asante shekh kwa ufafanuzi mkubwa Allah akuzidishie ilimu
@salimsaid8348 Жыл бұрын
MashaAllah, Sheikh Mohamed Bachu umetowa ufafanuzi mzuri. Lkn nikuombe sheikh wangu usipendelee kutumia neno mwenyezi mungu halipo kisheria neno linalotakiwa ni ALLA
@halimaomari3415 Жыл бұрын
Subhana llah, sheikh uko sawa mola azidi kukupa ufahamu na akulinde inshaa Allah
@isaacwandera9002 Жыл бұрын
Mashehe wa kukosoa wenza ni wale wa kupenda FITNA katika mushtamaa. Toa mawaidha yako mwenyewe, ongoza umma kwa nama ilmu alokujaalia Allah. Mruhusu Allah ahukumu walo sawa na walokosea.
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@aminasaid9382 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi na kukulipa Kheiry zako kwa mkono wa kulia 😢😢😢Ameeen Yaa Rabbi
@Zanzibar222 Жыл бұрын
Masha Allah Sheikh wetu Allah akuongoze kila hatua unayopitia na uzid kutuelimisha انشاء الله
@abassyakoub1464 Жыл бұрын
Be blessed sheikh Moh'd Bachu. Kwa khutba hii nakuunga mkono 100% Allah akulipe kheri
@adandima183 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aYvVdaeMfa2HqqM
@bebbybebby655 Жыл бұрын
Asalaam aleikum, Sheikh izudin nakumbuka akisema kuwa amekubali kuwa alikosa. Madamu ulishamkosoa sioni haja ya kumkosowa Tena mbele ya ummah. Sawa ungetuilimisha njia sawa bila kumtaja maana ulikuwa ushamwambia.
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Allah akurehem sheikh, huu n ukweli kabisa na cku niliyomckia Izudin akitoa fatua hiyo nilictaajabu sn nafkiri n miaka minne ss tng ametoa hyo fatua, hii video yko cjaiangalia hadi mwisho ss cjui km umeongea uko ndani kwa heshima na hekima au umetumia jazba na mihemko km umetumia hikma basi hongera sana..
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Sasa Kama uliangalia so ulikuwa umalizie tu kuliko kuja na porojo
@mbarouksaadhussein290 Жыл бұрын
Shekhe ilikua umalizie kwanza ili upate uhakiki ili utilize moyo, ivyo nahofia ukaja kusema neno ambalo Sio la Haki kwa Shekhe.
@jumasalim6126 Жыл бұрын
Mapenzi mengine ya kumpenda mtu hata ukweli hamuuoni kua huyu hapa kateleza, bado analaumiwa alie mrekebisha tumche .ALLAH
@fatmasuleiman2710 Жыл бұрын
MashaaAllah Allah akuhifadhi.
@abdulhalimomar5329 Жыл бұрын
Uko sahihi, apo ni kma umemuwacha mkeo talaka tatu halafu umlipe mtu amuowe halafu amuache ili umuowe ni makosa unywe maji ili umuingilie mkeoo ni makosa kweli allah akulipe khery shukran pia kwa kuliongea ilo na uongea zaidi allah akuoneshe makosa na useme na aliekosea allah wajalie waelewe haki na wajirekebishe sote tuwe njia ilonyooka
@khamiskhamis1490 Жыл бұрын
Allah akulipe kher shekh wetu Na nn sisi tunaokupenda kwa ajili ya Allah
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Shukran sheikh wetu kwa ufafanuzi Allah akuifadhi...
@allyatom2076 Жыл бұрын
Mashallah Nassor bachu Allah amuifadhi huko aliko.mrithi wa Nassor bachu huyu apa.
@tocaworld7864 Жыл бұрын
ALAAH AKUHIFADH SHEKH MUHAMMAD BACHU Hawa mashekh wa twarrikka wana mambo ya kustajaabisha sana , Makaburi pia ni sawa kuomba kwao . Abdallah humeid Allah amuhifadhi Amesema mingi kuhusu hawa makhurafii .
@alimohdkhatib2443 Жыл бұрын
Allah awahifadhi insha Allah masheikh wetu
@salimcheka128 Жыл бұрын
SubhanAllah
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Aisee Alla akuhifadh sheikh
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik shukran
@saidjuma4547 Жыл бұрын
Maashallah
@burhanisaidi9811 Жыл бұрын
Shekhe anatoa maelekezo ya watu kukengeuka katika maamrisho ya allah!! Hili ni zaidi ya udajjali allah amuongoze njia ya sawa.
@nasirsalafi8985 Жыл бұрын
Ndo umekusudia nini sasa
@burhanisaidi9811 Жыл бұрын
@@nasirsalafi8985 ivo ulivofahamu wewe.
@nasirsalafi8985 Жыл бұрын
Huna ujualo bwana usishughulishe watu. Ulezi tu
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
@@nasirsalafi8985 hata mm sikumuelewa lkn ulipouliza jibu lake nikamuona mwehu kama wehu wengine,mana anaropoka
@burhanisaidi9811 Жыл бұрын
Kwan alichokizungumza mohammad bachu hamkukielewa au mnataka ushindani tu? Bas shindaneni na mzungumzaji na kama hamjaelewa muulizeni! Wapuuzi mi hua nawapuuza tu.
@allahakujazekheriwowww5694 Жыл бұрын
Barakallah fikhi 🙏🙏🙏
@mbjunior166 Жыл бұрын
Allah akulipe khair sheikh Bachu kwa kuiweka wazi haqq hata kama watu wa matamanio wakachukia!
@badrumbaruku Жыл бұрын
Yan ww muhammad bachu mara nyingi hua na kukosoa ila kwa hili upo sawa sana ibada ya allha hua haichezewi kabisa kama ivo
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
Masha Allah umeanza kumuelewa shekh
@saidsobongo912 Жыл бұрын
@@mfalmenajjash2128 😂😂😂😂😂
@omarhassan2637 Жыл бұрын
Baaraka LLAH fiykum
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah Sheikh
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Hivi ninyi Mbn mnapenda mipasho
@kassimali2273 Жыл бұрын
Ulitaka anyamaze wakati Umma unadanganywa hebu acha utoto ww jiaribu kuelewa anachongea unataka asiseme pumbavu kabisa
@adamabubakar7569 Жыл бұрын
Napenda sana kumskiliza huyo ustadh alie kusudiwa hapo,ila kwahili amekosea sheikh kwahio kikubwa nikumrekebisha ili awe sawa dini yetu izidi kua imara
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Maskini Shekh Izzudin kakujibu kwa Insafu Nadua kakuombea
@ashuraomantakbirallahakbar7023 Жыл бұрын
Subhanallah 😢😢😢😢😢
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Hii n dini hatuangalii mwanazuon kama anadanganya umma ! Chukılia sngekuwa Sayduna Umar As. ingekuwaje Mciwe na dini za kumpenda mtu hata kama ataooroja ! Dini hiiii haitaji kusikia dini hii inahitaji kusoma kıla kusoma! Allah akuhifadh İbn Bachu Upo ktk hakki
@hasanisaidishabani3879 Жыл бұрын
Kuna aya inasema msizarauliane uwenda mnaowazarau wakawa bora arafu dini mm siwadanganyi nachukia mtu anawataja watu nikuwazaririsha na kuwaona awajui kwani eleweni mkamilifu ni allah na shekh mzizalilishane
@mwanaimachayoa6232 Жыл бұрын
@@hasanisaidishabani3879 hii ni dini kaka kwanin sheikh atoe fatawa kama hii tena kwa video .na ilivyo katika Zama zetu Nani aliekoselewa akarudi kusema kua nimekosea kama walikua maimamu wetu wakubwa wanne hivyo hii ndio ninjia sahihi kwakua ndio alietumia kufikisha uovu wake nahata ikiwepo ikhtilafu Nani unamwambia ikhtilafu hiyo ??
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
@@hasanisaidishabani3879 kaka hio co zarau ni makosa kuudogosha mwez wa ramadhani et kwa sabab ya matamanio ya kimwil Hiv hiwez kvumilia mpaka usiku??? Mbona masheikh wa bidaa hawafkirii??🤐 usiku upo bwanaaa utafanya utakavo
@mohdbakar697 Жыл бұрын
saayyidna umar r.a hakuwa mzembe na alipokuwa anakosea akikosolewa hurudi katika hakki
@SeluSelu-lc8rp Жыл бұрын
Allah mwenyewe ndio anajua Nia ya kila mmja
@twalibali1990 Жыл бұрын
Sivo dini inavyo elezea kutowa makosa mitandaoni izudin ni shekhe letu na twamkubali Allah amuhifadhi
@athmanamourjuma1461 Жыл бұрын
Mimi ilikua namfuatilia izdun lakini daah,nimesikia hutba zake kadhaa nikawa na wasiwasi nazo,
@athmanamourjuma1461 Жыл бұрын
Ukikosea hadharani wakosolewa hadharani,sasa akimwambia kimya kimya tutajua vipi alikosea
Ninawaomba mashehe wetu kwani nyinyi ni kioyo cha jamiiii basi ushauri wangu nawaomba musigombane mitandaoni anae koseya ni bora mupigiyane sim ili mufahamishane
@Sautiya555 Жыл бұрын
Bangi Bangi
@adandima183 Жыл бұрын
Izzudin hakusema hivyo
@salmasalim3525 Жыл бұрын
Kasemaje
@shahrazadomar Жыл бұрын
@@salmasalim3525 akasema hivi kzbin.info/www/bejne/ZoWaeKCnat6XjKM
@hassanali-ls6ck Жыл бұрын
This guy is fake Hana maana
@athmanamourjuma1461 Жыл бұрын
Msikize vizuri hukufuatilia vzuri nilimsikiza mpaka nikawa na shaka na hutba yake wallahy
Duuuu hatari sana.nas alu allah yahfadhuka yaa sheikh muhamed bachu
@zakariasuleiman4113 Жыл бұрын
Shekh sabasibul kubra anakungoja huko akubwereze watafuta wakenya huku masufi atuongei na wafanya siasa za chama
@asraoman735 Жыл бұрын
Huyu ahekh nasour yupo sahihi mara zote😊
@LukmanHababi Жыл бұрын
Masha allh
@aseemhussein8121 Жыл бұрын
Uno na kiburi Hays kumswalia Mt u me huwezi
@ashahassan1877 Жыл бұрын
Kwanza muislamu wa kweli awezi kumtukana shekhe wee unae muita dogo huyu shekhe una laana sjui km mama akoo una muheshimu na baba akoo nnchi ipohuru Sana mpaka una mtukana kiongozi wadini mashekhe wote Wana thamani kushinda viongozi wote
@fatumajuma592 Жыл бұрын
Ajamtukana ame jaribu kuwa elezea ili usijaribu ku haribikiwa
@astrolance1 Жыл бұрын
what language is this
@abdlaahabdalaah6911 Жыл бұрын
Mbnaww ukikosolewa hukubal achakrii
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Bachu unaongea ukwel mm nimekuelewa sana tupe dawa tutoke mashimoni%
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Alie mokosowa babake mzazi itakuwaje izuuduni?
@jakuabdull34 Жыл бұрын
izzudin ni binadamu kama ww anaweza akakosea kama ww unavyoweza kukosea si busara wala hekima kumkosoa mtu kwa njia unazo zitumia nahisi bado unahitaji kutafuta ilimu kwani unakuwa ni sehemu ya kuvunjia wezio heshima eti uheshimike ww ni kujidanganya kwani wengi wanakuondoshea heshima ww kwa icho unachokifanya
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Katika walokuelewa Mimi ni mmoja wao
@nayef3903 Жыл бұрын
Tumekupa mwezi mmoja uombe msamaha kwa sheikh izudin kama serikali ya Kenya haitosita kukuchukulia hatua kwa sheria za Kenya juu inaonekana kuwa wewe ndiye ambaye unamuharibia mtu jina kifungo miaka 10 nchini kenya
@salmaali7080 Жыл бұрын
Wewe umezidi kitoto chajuzi nassorr we humpati izzudyyyn wala nukkta, mpigiye simu umrekebishe c kwenye mitandao mumezidi toomuch of something is posison nassorr na bahero mumezidii
@nayef3903 Жыл бұрын
Wafaa ushtakiwe Sasa umezidi mipaka
@sheedinho7019 Жыл бұрын
🤪🤪🤪🤪
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Najua kuna watu hawapendi kuona shkh fulani karekebishwa et wasema mnatukana masheikh Akhy ALLAH akubarik usifiche uovu wowote maana unatutoa matongotongo kwa fatwa za mchongo
@saidmadizi9152 Жыл бұрын
Yani mtu amekuja mtandaoni kupotosha umma lakn abembelezwe kwakuwa ati n sheikh mkubwa
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Huyu bachu hajakuja kupotosha umma lkn ni huyo shekh wenu ndo kaanza kuudogosha mwez wa ramadhani, ndo mana karekebishwa Huwez ibada kama hii ambayo ALLAH amesema yy ndo anailipa alaf akatokea mtu akawaimiza watu wafungulie kirahis rahisi Hii dini si ya kutumia akili
@omarally6819 Жыл бұрын
Ndugu zangu skizeni hii mada hadi mwisho
@MuhammadKhamismohammed Жыл бұрын
iv izzudin hajui kwamba hairuhusiki mtu kufungua kwa makusudi bila ya sababu za kisheri na funga hiyo huwa hailipiki hata akifunga dahari.duh fatua hiyo ya izzudin hakuna MUISLAM atakaeikubali
@kadoditsa3805 Жыл бұрын
Hata Ramadhani hauwachi kutaja Wanawazuonii
@eidallyeidally5093 Жыл бұрын
Mwanazuoni wamchongo anabainisha kosa na hamkashif kwa mambo binafsi
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Weeeee hakuna cha mwanazuon kama amezingua Na haifai kuchelewesha ubainifu pindi utakapohitajika
@athmanamourjuma1461 Жыл бұрын
Wanazuoni wapi hao wanao sema watu wanywe maji wakwepe fidia ya kumuingilia mke mchana wa ramadhan 😅😅
@omarally6819 Жыл бұрын
Kwakweli hii ni khatari alio ifanya Shekh Izuddin, na atubie kwa Allaah haraka sana bila hivyo ataharibia watu wengi funga zao
@ibtisamabdulrahman4246 Жыл бұрын
Kwanini musikutane ana kwa ana na Izzudin mupange munakasha?? Nyote muko Mombasa,hakuna haja kushanbuliana mitandaoni. Muombe Izzudin mupange mupambane kiume.
@MustafaOyoo-qz7rp Жыл бұрын
Wakutane ili iweje?bachu yuko right
@ibtisamabdulrahman4246 Жыл бұрын
Si twatarajia baada ya Ramadhan Bachu kukutana na Sheikh Sabas Kubra. Kama watakutana itakuwaje? Umma watapata faida
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Hakki ikija batwili hujitenga
@ashahassan1877 Жыл бұрын
Kunawatu humu Wana jibu tu kufata mkumbo mkasome nyinyi huyo izudin akosolewe humu humu ndimo alimo kosea kwa Nini apigiwe simu
@athmanamourjuma1461 Жыл бұрын
Uko sawa kabisa ameongea you tube,akosolewe KZbin bas!!
@SalumMajidAlly Жыл бұрын
"Hekima"ina nafasi kubwa katika ustawi wa dini ya Allah.Bachu jifunze kuwa na hekima ktk kuwasilisha ujumbe wa Allah.Izzu pengine kakosea kupitia kwy media,hapo ilitakiwa uwasiliane nae privately ili atengue au arekebishe hiyo hiyo fat'wa kwa njia hiyo hiyo ya media,na kwa bahat tayar mhusika ashafanya marekebisho. Hekima pia inasaidia kulinda,kujenga thaman na utu wa mtu.Kumbuka wote mnatufikishia ujumbe wa Allah(sw),pia ninyi kama bin adam hamjakamilika,mkamilifu ni
@khalidhaji1098 Жыл бұрын
Weee bwana kazi yako kukosoa wenzako tuuuu hata BABA ako
@adandima183 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aYvVdaeMfa2HqqM
@adandima183 Жыл бұрын
Afanye uchunguzi mwanzo si kukosoa tu
@ramaramez5421 Жыл бұрын
Sikilizeni hii ndio utajua amesema nini? kzbin.info/www/bejne/iX_EiaOfqbSniKM
@rukkynassor2279 Жыл бұрын
Tuna maswali yakuuliza direct twakupata vipi
@abalhassaniibrahimu810 Жыл бұрын
Mh maake nicheke kwaza mada zur ila mpaka useme mwizioo
@hazratali-kt3gn Жыл бұрын
Respectfully what you are saying is inaccurate and misrepresentation of facts. What the sheikh said was Allah knows your intentions, you can break your fast with water while the true intention is sex with your wife. Then after ask for huqum on your actions with a different sin. The sheikh in no way is telling people how to sin. Allah knows best and may he guide us all.
@TheAmadoni Жыл бұрын
Sheikh Izzudin gave wrong fatwa without backing it up with any dalil. He was wrong for it.
@shahrazadomar Жыл бұрын
@hazrat Ali u r right n here is proof kzbin.info/www/bejne/ZoWaeKCnat6XjKM
@BH-vs8iq Жыл бұрын
Bona mzee wako hakuna hizi mungu amrahamu
@eidallyeidally5093 Жыл бұрын
Kwahiyo akikosea aachwe tu hii nidini au dili tuache mapenzi yaupofuuuuu
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@eidallyeidally5093 acha bange anaelima Gani ya kukosoa watu elimi ni Pana someni
@mbjunior166 Жыл бұрын
@@tanzaniaonmzamiloon8627 Kurekebisha palipo kosewa sio lazima uwe msomi saaana yatosha tu ujue kile kilichokosewa na ni upi usahihi wake! Na Allah ndio mjuzi zaidi.
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@mbjunior166 na sio kila anaekosoa anajua sazingine nikutafuta umarufu tu ni sawa na kwenye ufunguzi wa swala Kuna Dua nyingi sana ila kwasababu umekaririshwa Moja ukiona mtu anasoma Dua nyingine tofauti na uliokariri utasema haipo sababu hujasikia Kwa mashekh zako. Huo ni ufinyu wa elimu ya bachu Hana maarifa ya kujua kila kitu elim ni bahari usimkosoe mtu kwasababu ya ikhetilafu zenu
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Kweli na hata kma wamkosa sheikh mwenzio kuna heshima zake na njia zake sio kulaumiana na kutajana majina kuvunjiana heshima na kudhalilishana sio vizuri kabisa hio
@mohammadjaffar2442 Жыл бұрын
Basi wewe ni mizozo Tuuuu hujui ila ni kukosoa wsnzako au huna ilmu
@ukweli19 Жыл бұрын
Bomu la nuclear 😂
@MuhammadKhamismohammed Жыл бұрын
Umeeleweka she bachu.izzudin mara nyingi hutumia akili yake ktk kutoa fatua kama ingekuwa ni hifyo mtume angeeleza kua utafungua kwanza hiyo ni hadaa.HALAFU ETY MUISLAM anaona izzudin kapatia alichokiongea .wamuogope mungu watu.
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Naapa kwa Allah mchezo wa kuchezea na kukwepa sheria za dini walifanya wayahudi walipoambiwa siku ya sabato na huu ni mtihan kwao ili wapimwe wakashindwa, na hiyo aya imkuja kukataza michezo hiyo na ndio michezo masheikh wanaiongoza hata kwenye waliotoa talaka tatu wanataka kurejea mke wanaongea na marafiki zao wawaoe kisha wawaache hivyo mnamdanganya Allah au mwadanganya nafsi zenu? Amri ya Allah ni yenye kutekelezwa na sio kumfanya mjinga jamani hata kwa Allah hivi tunamfanyia ujanja badala ya kuipokea amri yake na kuitii na kumsujudia kwa unyenyekevu na kumuomba atukubalie utii wetu. Hakika kauli ya Allah inapokuja muumini.hawi na khiyar nayo zaidi ya kusema tumesikia na tumetii na sio hiyo ya wayahudi "tumesikia na tumeaswi'
@abdulkadirfumo9959 Жыл бұрын
Huyu sheikh bachu hawezi kuunda mada yake yeye siku zote ni kuwakashifu mashekh wenzake na sio kuwarekebisha hii ni kujionesha na yeye pia hana uwasa wowote kwani lengo lake ni kujionyesha yeye ajua zaidi
@arrisalastriker9813 Жыл бұрын
Yule IZZudin hana mada yeye miaka yote ni kitandani tu na maulidi nyingi