Bila Kulala, Majasusi Wa Simba Wakiongozwa Na Babra Wanasa saini Ya AZIZ KI
Пікірлер: 5
@RehemaGisombi16 күн бұрын
Kweli azizi ankuja simba
@halimalachpat192717 күн бұрын
Hii kama ni kweli inaitwa mwaga mboga nami nimwage unga tulale na njaa Aziz ni mchezaji hodari anapenda kazi yake
@user-ft6ps7gx9j15 күн бұрын
Sio kwel
@AshlaJapherth15 күн бұрын
Kama ni kweli mungu ametuona
@ZuberiMlanzi16 күн бұрын
MDOMO wa msemaji wa YANGA ndio matokeo yke haya Aziz K kujiunga Simba. Ubabe ubabe udavya undavya kuonyeshana nani mwenye Fedhaa na vihera . Simba ni jeuri kuliko Yanga. Lkn bdo NAE huyu msemaji wa Azam tumkate kilimilimi CHAKE dawa yke ipo jikoni FEI atakuwa mjengoni MSIMBAZI. hapo tunafunga KAZI ytu.