HIKI NDICHO CHANZO CHA KIFO CHA GODZILLA / AFARIKI MIKONONI MWA DADA YAKE

  Рет қаралды 119,986

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 340
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 5 жыл бұрын
R.i.p jilani zira ndo njia yetu sote wala hauko pekeako wengi tutakuja eh mungu mpokee zira na wengine ni sio wafaam walio tangulia na wanao zidi kuja mungu tupokee utu tetee
@rachelkhavere1532
@rachelkhavere1532 5 жыл бұрын
Dada be strong mungu anasababu ya hili kutokea. Rip Godzilla rip.
@tambwejules3706
@tambwejules3706 5 жыл бұрын
Pole sana
@hazelbrown4712
@hazelbrown4712 5 жыл бұрын
Kwanini lakini hamuezi kusubiri Mtu akishazika akishakaa sawa akili ikitulia ndio mumfate na kumuhoji jamani sio Uungwana kabisa munao fanya Waandishi Wa Habari.. munakera wallah
@goodboi9821
@goodboi9821 5 жыл бұрын
Only in Tanzania Kenya tuna nidhamu kidogo
@ianeubrey7346
@ianeubrey7346 5 жыл бұрын
R.I.P GODZILLAH,,from dust we came,,to dust we shall return..may Allah restore the happiness to his famil.#kenyanlove
@independentqueentv6068
@independentqueentv6068 5 жыл бұрын
Amen🙇
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 3 ай бұрын
Daaah❤ hiphop never die
@zulfatothman1051
@zulfatothman1051 5 жыл бұрын
Nyie umauti unaguvu sana msisikie hyo yote kutapa tapa cku yke ilishafika pumzika kwa amani 🙏😢😢
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 жыл бұрын
Nkweli kabisa ....apumzike kwa aman..kwan sote safar yetu ni moja
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
poleni wafiwa wote Mungu awe faraja yenu kuu
@emmanuelalphaxard9276
@emmanuelalphaxard9276 5 жыл бұрын
Jamaa Jirani yangu , aseee kweli dunia tu wapitaji ctokusahau kwa style zako , uvaaji , hasa headphone na pensi bro RIP my bro
@sangoyaniyamati8008
@sangoyaniyamati8008 5 жыл бұрын
Daaaaah hata siamini my legacy is dead salasala still in history.r.I.p bro mungu awape nguvu familiar ya bongo fleva. Na familia yake kwa ujumla
@revelianalphonce8115
@revelianalphonce8115 5 жыл бұрын
maisha maisha maisha ni safar isiyo tabirika leo upo kesho haupo hakika hakuna aijuaye kesho yake, tumuombe mungu atujalie ili tumalize safari yetu salama, maana imeandikwa kila nafs itaonja mauti R.I.P ndugu yetu.
@mainatimothy7747
@mainatimothy7747 5 жыл бұрын
Revelian Alphonce Nyakati za kutokwa na roho sakalati mauti hiyo ndio mana alikuwa anahangaika mungu asamehe makosa yake
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
Aiseee poleni sana ndg na jamaa pamoja na watanzania wote kwa kuondokewa na msanii wetu Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P Godzilla
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 5 жыл бұрын
Okokeni jamani tumpe maisha yetu kwa Mungu wachawi na mashetani ni wengi ktk hii dunia.
@stephenkazimir5174
@stephenkazimir5174 5 жыл бұрын
Mashetani wamefanya nn!?
@charleselikana3266
@charleselikana3266 5 жыл бұрын
Uchawi huu jamani mh!
@mamyally958
@mamyally958 5 жыл бұрын
Abel Mirwatu uwo sio uchawi hao ni malaika na kumtaarifu kuwa muda wake umefika huwa anawaona yeye tu haoni mtu mwengine yoyote
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 5 жыл бұрын
Mbona uyu mwenye ksimu pemben anapga pga tu pcha wakat mtu ana huzun!... daaaah waandshi buana!... RIP brother! Umetangulia cc nyuma yako
@derrickmbaku4768
@derrickmbaku4768 5 жыл бұрын
Dah! Si vizuri kumkosoa daktari, ila uzembe fulani hivi, kwa kuwa mtu alishaonesha dalili mbaya haikupaswa kumruhusu arudi nyumbani, ila yote tunamuachia mungu.
@dainesskisinda7531
@dainesskisinda7531 5 жыл бұрын
nimeamka nakuona katarina Wa karatu kapost rip king zilla sikuelewa nikajikuta nalia tu jmn rip zilla mapenzi ya mungu yametimia
@jordanlatqnell1525
@jordanlatqnell1525 5 жыл бұрын
Rest in piece my brother king zila daima tutakukumbuka poleni kwa familia mungu awape nguvu
@vivianmbiro6866
@vivianmbiro6866 5 жыл бұрын
Yaan
@aboubacarkillo5140
@aboubacarkillo5140 5 жыл бұрын
Pole sana Dada inauma sana tumiombee gadz alale mahali pema pepon amiin
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Daa dada una moyo wa kiume sana mungu akutie nguvu wakat huu mgumu
@drelizakilili
@drelizakilili 5 жыл бұрын
Pole sana Familia Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Mungu Amlaze Pema, Poleni sana Ndugu,jamaa na Marafiki.
@abdullahrashid6297
@abdullahrashid6297 5 жыл бұрын
Poleni sana, wafiwa na, mmefanana sana na Kaka yako Allah ampe kauli thabit
@mamyally958
@mamyally958 5 жыл бұрын
abdullah rashid hupaswi kusema kauli thabit coz sio muslim so nakukosoa
@abdullahrashid6297
@abdullahrashid6297 5 жыл бұрын
Swadakta nimekubali kabisa asante sana
@mamyally958
@mamyally958 5 жыл бұрын
abdullah rashid okay ucjali
@mariamangel1264
@mariamangel1264 5 жыл бұрын
poleni sana familia na mm niko na kilio cha mjomba yngu
@wilkrifurwehabura9424
@wilkrifurwehabura9424 5 жыл бұрын
Polee Sana family na tasnia pamoja na wapenzi wote wa mziki
@mumybhay4984
@mumybhay4984 5 жыл бұрын
madoctor wasingeweza kuirejesha hali yake tena hata wangekuwepo mabingwa wa dunia nzima bac ingekua ndio bac..na hivyo alivyokua anajihic ana kitu kifuani ilikua tyr malaika izrail ameshakaribia kumaliza kuichukua roho yake ...na alikua c waduniani tena.cku zake za kuishi zimeshakwisha...na kila kitu chake kimeshafungwa ..tuombe to mungu nac tulio nyuma yake atupe mwisho mwema.😢
@mamyally958
@mamyally958 5 жыл бұрын
MUMY BHAY swadakta... hakika siku yako ikifika riski zako zote zinafungwa ilo tulijue
@hammybrown6313
@hammybrown6313 5 жыл бұрын
Naingia mtandaoni now nakutana na hii news ! Its shocked me wallah rest in peace king zizi DAaaah
@amishadykiswaga1077
@amishadykiswaga1077 5 жыл бұрын
Polen sana, Mungu awe naye. Amina
@emmolgachristakay4777
@emmolgachristakay4777 5 жыл бұрын
Wasanii kujiingiza na mikataba ya mapepo na masuala ya kafara imekuwa hatari sana. Mungu atawapa faraja familia yake.
@januarelias3929
@januarelias3929 5 жыл бұрын
daaaaaaaahhhhhh in+short tucmkufuru M/Mungu maana kaz yake haina makosa na wala hajawahigi kukoseaga pindi anapoamuaga kufanya kaz yake ila mwsho wa yote REST IN PEACE THE KING ZILA...................
@djsililaog1820
@djsililaog1820 5 жыл бұрын
Dah! Polen sana wafiwa wote.
@adambathlomew2732
@adambathlomew2732 5 жыл бұрын
Daaah!!poleni
@tumajuma6917
@tumajuma6917 5 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu mpunguzie adhabu ya kabri na umuepushe na adhabu ya moto 🙏🙏
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 жыл бұрын
Dada mungu aasaidie awape nguvu ktk kipindi hichi kigumu Allah awalinde sn😭😭😭😭
@eliudwiston4206
@eliudwiston4206 5 жыл бұрын
Daa kifo ni mara moja shida ni kukingfoja....R.I.P GODZILLA
@loniwiz9708
@loniwiz9708 5 жыл бұрын
RIP zilla mungu akupokea bingwa WA flestail tuta kukumbuka
@mulokozikatanga3430
@mulokozikatanga3430 5 жыл бұрын
Daaah ndo ivo tena hakuna wakulaumiwa ashakwenda tayari RIP King Zilla
@cymone6159
@cymone6159 5 жыл бұрын
Zilla ulikuwa bora tena wa thaman sana kwa Watanzania leo umekwenda 1day tutaonana paradise! R. I. P brother
@kelvinbenard3248
@kelvinbenard3248 5 жыл бұрын
R.I.p Godzilla mungu akulaze Mahali pema peponi ulikuwa kiungo mhm kwny bongo fleva
@sabrinamohamedy1040
@sabrinamohamedy1040 5 жыл бұрын
Duniaa mpito mungu awape subraa
@aminamwangile1047
@aminamwangile1047 5 жыл бұрын
Poleni sana
@sirielypetrombise519
@sirielypetrombise519 5 жыл бұрын
Poleni Sana Jamani
@willywajson7302
@willywajson7302 5 жыл бұрын
R.I.P acha like ya Huzuni
@semymussa7559
@semymussa7559 5 жыл бұрын
R. I. P
@yusraramadhan8203
@yusraramadhan8203 5 жыл бұрын
Poleni sana
@dianaoisso9824
@dianaoisso9824 5 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu family RIP brother,
@Raima-gc9mm
@Raima-gc9mm 5 жыл бұрын
R I P poleni sana mungu awape subra inshaAllah...mbele yake nyuma yetu.
@mbarikiwalazarowatisa2086
@mbarikiwalazarowatisa2086 5 жыл бұрын
Hiyo sindazo naziskia sio nzuri na inatakiwa docta awe makini sana.
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 5 жыл бұрын
R.i.p brother Mungu akulaze mahala pema peponi Amen
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
pole ndugu wa marehemu
@DamondoSumande
@DamondoSumande 5 жыл бұрын
Inalilah waina ilahrajiun Ndungu yangu.
@luganomichael6831
@luganomichael6831 5 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu wafiwa wote...amen!!!
@emanuelelius990
@emanuelelius990 5 жыл бұрын
R.I.P brother godzillah wew mbele sisi nyuma
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 5 жыл бұрын
Polen sana wana familia mungu awape subra
@josephhenry1274
@josephhenry1274 5 жыл бұрын
Imani ni kitu bomba,huo ni UCHW R.I.P kaka
@mamyally958
@mamyally958 5 жыл бұрын
Joseph henry apo hapana uchawi hiyo ni kawaida sio kwakwe tu ukifika mda wako lazima malaika waje wakufuate na kuanza kazi yao so be careful
@josephhenry1274
@josephhenry1274 5 жыл бұрын
Ananiuma sana kaka Gody kwanini iwe gafla hivi why.......
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Hawa wa media wanaudhi kwakweli mtu bado anauchungu mnamsemesha Sana kwa Farida zenu
@adrianobitaro1681
@adrianobitaro1681 5 жыл бұрын
mungu ampokee king zila katika uzima wa milele one day tutakutana R,I,P ZILA
@stephanozibe2740
@stephanozibe2740 5 жыл бұрын
jmn poleni mwaya mungu amlaze mahar pema peponi AMINA
@geofreypaschal3923
@geofreypaschal3923 5 жыл бұрын
Rest in power #Freestyle killer #zizi🙏😥
@ibrahnzai9226
@ibrahnzai9226 5 жыл бұрын
Where are KENYANS...... RIP mkali wa freestyle. 254
@ugaboy4736
@ugaboy4736 5 жыл бұрын
Polen saana jamani king zila nilimpenda sana ila mungu mwema kampenda zaid
@dideboymusic9922
@dideboymusic9922 5 жыл бұрын
R.I.P zira nimeumia sana punde tu baada ya kusikia tarifa poleni wanandugu wote mlo guswa na msiba mbele yake nyuma yetu
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 5 жыл бұрын
Daa machoz yananitoka kbs
@bonephasbenjamin4848
@bonephasbenjamin4848 5 жыл бұрын
Maisha mafupi jamani tuombe MUNGU atupe nguvu sote tuna pita MUNGU amlaze mahali pema 🙏🙏🙏😭
@alexanderpius1512
@alexanderpius1512 5 жыл бұрын
Daah! RIP godzilla mungu akulaze mahali pema peponi!!
@geofreypaul9503
@geofreypaul9503 5 жыл бұрын
It pain but I luv u innallillah wainnallillah rajiun
@allexlunny7795
@allexlunny7795 5 жыл бұрын
R.I.P king zila japo kuwa ilitakiwa afanyiwe vipimo vya kutosha coz kwa maelezo ya uyo dada ugonjwa ulikua serious sana
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
Innaa lillah wainnaa ilayhi raajiuun poleni san wafiwa
@maryamammar1488
@maryamammar1488 5 жыл бұрын
Inna lillah Wa Inna ilaihi rajiun😭dunia tunapita Tuache madawa ya kulevya😭😭😭
@leilasadick5477
@leilasadick5477 5 жыл бұрын
Pole Dada mungu AKUPE nguvu
@GamechangerTz
@GamechangerTz 5 жыл бұрын
Dada ake Godzilla kajitahid sana kutoa ushirikiano ktk kutoa taarifa ya kifo cha ndugu Golden Mbunda ukizingatia ni kifo cha ghafla tu be honest wengi tumeguswa na kifo cha zilla mungu ilaze roho yake mahala pema peponi
@sabrahmrope5999
@sabrahmrope5999 5 жыл бұрын
Ohhhh God.....R.I.P King
@mediking8611
@mediking8611 5 жыл бұрын
Hydrocortisone causes a rise in body glucose, it is not right to administer it to a person with hyperglycemia. The medical personell who attended zillah gave a wrong management. May his soul rest in eternal peace.
@mansnare375
@mansnare375 5 жыл бұрын
daah poleni sana dada na familia nzima .R.I.P zilla
@nahodakassim3494
@nahodakassim3494 5 жыл бұрын
R.I.P kaka..... inallah wainallah rajiuun....
@maureeningosi158
@maureeningosi158 5 жыл бұрын
Poleni familia
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 жыл бұрын
Kila nafsi itaonja umauti.roho unauma jamani alikua anatapa nasfi chungu.mungu atupe mwisho mwema
@toddybizzleclassic1570
@toddybizzleclassic1570 5 жыл бұрын
sawa kazi ya mungu
@danielulomi8994
@danielulomi8994 5 жыл бұрын
binadamu ni noma sana wamemloga mshikaji zila.
@qadinacci
@qadinacci 5 жыл бұрын
English-Swahili Vomit-Kutapika Innalillah wainnailahir Rajiun
@magorimagori9264
@magorimagori9264 5 жыл бұрын
Qadir Mfaume kutapika
@qadinacci
@qadinacci 5 жыл бұрын
@@magorimagori9264 Niliandika Hivyo katika editing nikazingua, ha ha ha ...Thanks buddy
@خسنموس
@خسنموس 5 жыл бұрын
Poleni Sana kwa familia
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 жыл бұрын
Polen san jmn mungu awatie nguv kwenye wakat huu mgumu rest in paradise 🙏😭😭
@andrewrobert6059
@andrewrobert6059 5 жыл бұрын
r.i.p, zilla !,pole kwa familia.
@albertmichael8675
@albertmichael8675 5 жыл бұрын
Daaah R I P mwamba mbele yko nyuma yetu,inaumiza sana
@mossesjoel323
@mossesjoel323 5 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema pepon zira
@abdullahsaid6540
@abdullahsaid6540 5 жыл бұрын
Poleni na msiba
@kibushikibushi3569
@kibushikibushi3569 5 жыл бұрын
Poleni Sana hii nijia yaote
@fatmamasoud6243
@fatmamasoud6243 5 жыл бұрын
Kaz ya mungu ainaaa makosaa
@sammyamani1304
@sammyamani1304 5 жыл бұрын
R .I.p poleni xana qwa msiba ndugu uliowapata na qwako pia zilla nakuombea pepo akhera
@lukakuboy7976
@lukakuboy7976 5 жыл бұрын
R,i,p, zira mungu akulaze pali pema peponi
@jacobsteven2613
@jacobsteven2613 5 жыл бұрын
Maisha ni mafupi ba ndugu okokeni yesu anawapenda
@Verochanel123
@Verochanel123 5 жыл бұрын
poleni Sana jaman dah
@aminahamisi8672
@aminahamisi8672 5 жыл бұрын
Poleni
@browntiger4849
@browntiger4849 5 жыл бұрын
Rest in peace star 🌟
@dominickraphael4414
@dominickraphael4414 5 жыл бұрын
Something went wrong between Doctor
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
Kweli kifo hakina hakina hodi Mungu awatie nguvu wafiwa wote
@beatricepaul5444
@beatricepaul5444 5 жыл бұрын
Dah! R.I.P zilla
@mashakamrisho2696
@mashakamrisho2696 5 жыл бұрын
Rest easy bro, u'll be missed
@hossanalugongo742
@hossanalugongo742 5 жыл бұрын
Pole dada jikaze umfariji mama.
@yusuphdeogratius1036
@yusuphdeogratius1036 5 жыл бұрын
r. i. p tutakukumbuka daima
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 5 жыл бұрын
Jamani, hali ya afya ya huyu kijana alipaswa alazwe hospital, sio kutibiwa na kurudi nyumbani. Maelezo tu yanatosha kuelewa alikuwa na hali mbaya. Malaria sukari, Bp ilitosha kumpumzisha hosp. Haya na kutapika. Madaktari jamani kueni makini kwa afya za watu.
@kherikagya1411
@kherikagya1411 5 жыл бұрын
kwakweli
@rashidchembaxic6879
@rashidchembaxic6879 5 жыл бұрын
Innalillah
@michaelminja
@michaelminja 5 жыл бұрын
Poleni sana R.I.P #Godzilla
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
Hao watu walikuwa wakimfata uko chumbani ni malaika wamungu poleni sana
@joshuamwazembe2450
@joshuamwazembe2450 5 жыл бұрын
poleni wsfiwa wote jamani
SAFARI YA MWISHO YA GODZILLA
6:14
Wasafi Media
Рет қаралды 50 М.
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 21 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 39 МЛН
WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI SINGIDA.
4:47
CALES TV
Рет қаралды 2,8 М.
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 21 МЛН