Nyie Masalafi Allah anawahukumu kwasababu Mumekula Nyama za Wanavyuoni.Hio ndio Fimbo munayochapiwa sasa
@HassanHamad-rf9tq8 күн бұрын
Wachapee hao mahizbi Salaf mahadadiya
@AbdulIssa-o7e9 күн бұрын
Hiii mbona haitoi sauti vzr mmerecodia nini? Haina sauti kabisa inakwaruza kwa ruza
@Daifar1004 күн бұрын
Acha uongo shekhe, uko wapi ushahid? Au ndio ile sauti ya mgombea?? Mtu ambae haifai kuchukua ushahidi wake.
@Ibnsalim33 күн бұрын
Ww unamukum mtu kwa Uongo ikisha ukija ukweli utaomba msamaha kwa shutma zako Ukiongea chunga maneno yako Mana ukiyaachia bila ya kuyapima yatakuumbua siku moja
@Daifar1003 күн бұрын
@Ibnsalim3 ni uongo kwa sababu hakuna ushahidi, acheni uongo, leteni ushahid kama ni wa kweli
@Hamis-ks1sy9 күн бұрын
Hivi naomba kujua hizi shida zote zilianza2 kipindi cha Abuu Muawiyah au kuna kitu kingine? Mbona hii mizozo haiishi na kwanini hamna Sulhu??
@Hamis-ks1sy9 күн бұрын
Kama hao unaowasema wote sio Masalafy basi katika nchi hii hakuna Salafy hata mmoja lakini kwa kunambia hao sio salafy nyie ndo Salafy wa ukweli mmmh😁😁😁hata mkisema kwa kutumia masikio hamuwezi kuwaaminisha Waislamu hilo isipokuwa majaahil.
@omarsule1205 күн бұрын
Hii clip inathibtisha kuwa huyu jamaa kaleleka na manhaj ya khawaarij
@AbdulIssa-o7e9 күн бұрын
Shekh wangu so vzr kutowana hivyo katika man hajji, kwanini usibainishe kosa la mtu na kuwanasihi, sasa ukisema hivyo tz itakuwa haina masalafii, kila siku muzozo na kutowana kwenye usalafi kwa makosa ya kijinga tuuh, Mtu akikosea mnasihii asa kuwaita hizbu salafi ndio nini sasa jengeni daawa tulikuwa kitu kimoja leo tunatengeneza timu kila mtu anamuhizbisha mwenyezie basi tutakuwa hatuna masalafi nchi nzima ikiwa ni hivyo
@abbaspaziaog21889 күн бұрын
Hivi nani aloanza kuufungua huu mlango wa kujeruhiana. Bila. Nasaha. Maana. Naona saiv. Kila mtu analipiza. Shekh wake akisemwa. Na baasi saaiv tuseme. Tanzania 🇹🇿 na kenya hakuna. AHLU sunna waljamaa Assalafiyyu.naona. kuna hizbi ..hadadiyaakina shaafe na akidu wameitwa. Na dukturkhamisimam. Harafu tena. Hizbusalafi imeitwa na barahiyani .na huyu akhyu apa. Hadadiya swaafika. Ameita. Abuu zaghar. Duuh. Huku. Kuna kadhia. Yakupiga kura. .masjid omar bin khatwaab 😢 duuh. Huku. Barahiyani anavitambulisho. Duh .Qasimumafutana ndugu yakeMuhammadmafuta..wamemuibia. mbwanaabdiabuu khaula..as. salafi n nani ..?? Kwa hawa. Woote.