►Instagram / stbongotv ►TikTok / stbongotv.tz ►Facebook / stbongotv ►Twitter / stbongotv ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 115
@abdulrahmansheriff94699 күн бұрын
Mimi niko Mombasa, Kenya nimekuwa shabiki wa makala haya. hakika Mary amenivutia kwa matamshi yake, ni mwanamke mwenye busara ambaye anahitajika kuigwa na wanawake wanaofika hapo kutafuta wapenzi. Ningependa baada ya muda Mary na mpenziwe waitwe hapo kueleza wanavyoendelea, nina hakika watafanikiwa maishani
@SalimMwakarani-e4u9 күн бұрын
Hawa Warembo wanahizo Sababu zakitoto mngewaambia waende direct Gym wakatafute Hao Wanaume wanataka wawatongoze hao wenyewe
@PauPaulo-qf3wo6 күн бұрын
Nimecheka baada ya kumuona Zuwena😂😂😂😂
@BERINGAPETRO2 күн бұрын
Zuwena jamn kaja kufurahisha tu 😂😂😂😂...
@EmmanuelLaurent-n4k3 күн бұрын
Pia na huko kongo DRC 🇨🇩 tunawapenda wake warembo Ila ruga la kuongea linanisumbua❤❤🎉
@hassanaliamin11046 күн бұрын
Jaman Mimi ni ni Mr right,,na taka Mrs left agonge like hapa
@ZuhraAlly-l2gКүн бұрын
Kwamajina naitwa kareem kwajina linguine {DOGO TTOZI }nimoja kati ya shabikiyenuMm nawapenda wote mnaoshiliki {st bongo tv} napatikana kigamboni
@YusraMshomary9 күн бұрын
😂😂😂 zuwena wa diamond mwaka Jana alikuwa ni mtazamaji leo ni mshiriki😂😂😂😂
@Stafamuigizaji10 күн бұрын
Nakubali sana hivi vipindi jamani daaaah''' ya Léo ya moto sana natamani kuwepo hapo Pia ww recho
@STBONGOTV10 күн бұрын
KARIBU
@Stafamuigizaji10 күн бұрын
@STBONGOTV nilikuwa naomba mawasiliano Kaka maana nimejaribu kutuma ujumbe kwenye Gmail yenu ili nipate namba Ila hadi sasa sina jibu
Aisee kumbe devisi yupoo aloo niseme namukubali sanaa devis
@AishaShaban-e7yКүн бұрын
Hat zuwena oh 😂😂😂😂
@hildakikoti-xq4gd6 күн бұрын
Jamani huyo si zuwena 😅😅😅😅😅au macho yangu
@LucknessPeter4 күн бұрын
ndo yeye dada
@djanfarmoulay68655 күн бұрын
Nauza mafuwa Kwa bei nafuu😢😢😢 tena ni Yale makalii😢😢 Ila naitaji mnunuzi mwenye uhakika 😢😢 8:47
@Thumaommy9 күн бұрын
Jaman niko hoii kwa zuwena😂😂😂😂😂😂😂 kwan huyo mondi hakuoni 😅😅😅
@Kadivaqueen6 күн бұрын
Am from kenya carrenty in oman I like the man
@safiunamugen747610 күн бұрын
Lulu na Anna wajua Kali pia nyinyi mnamuelewa sana doctor 😂😂😂
@ZurfatyKhamis9 күн бұрын
Zuu kama zuwena 😂😂
@D-Man.B-Free3 күн бұрын
Huu Abdulluzak sijakubaliana nae kuhusu kuchitiwa eti akikuchiti unazidi kumupenda hadi mama yake anashangaa 😝😝😝boya kweli labda ni papaya
@hildakikoti-xq4gd6 күн бұрын
Jamani zuwenaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@DeniseBahati-f8y16 сағат бұрын
Mimi nipo congo ningependa nipate namba ya docta
@japhetjohnson36919 күн бұрын
Mr Light naona pameanza kuchangamka.. Namuona hadi zuwena anatafuta beib😂😂
@HilaryMushi9 күн бұрын
Namuona hadi zuwena wa diamond
@SamweliMaduka10 күн бұрын
Wa kwanza👌👌👌
@Robbytz-q9m9 күн бұрын
Zuwena nae yumo 😂😂😂
@EmelyneManizana9 күн бұрын
Mimi niko Bujumbura,Burundi nimeipenda sana show ya leo 👍❤❤❤
@Godchila035 күн бұрын
Zuwena nitampata wapiiii😅😅😅😅😮
@SamiraseifAlfan-ph4ke6 күн бұрын
Zingatia msumari kwa ukuta sijui umenielewaa 😂😂😂😂
@shangwefisima546 күн бұрын
Saaaaafi❤❤❤❤
@gadafimuemede298510 күн бұрын
Sucesso para sempre Mc Garab from Moz 🇲🇿🇲🇿
@soltv82689 күн бұрын
Ni Mtabibu sio Mtibabu😂😂
@peaceadams52536 күн бұрын
Jamani mary si alisema anapenda vimbirikimo
@VikiMkini4 күн бұрын
Kicheko cha Garab😅😅
@barakagwata41605 күн бұрын
Namba ya huyo doctor
@AishaMasoud-r8p3 күн бұрын
Hello jaman naomba namba ya shekhe abdul natak anitibie
@JumaMwakimbi7 күн бұрын
msiwachanganye wakiristo na waisilam
@RadhackMaestro_TZ6 күн бұрын
Nilichogundua mimi kwa merry kwasababu amesikia jamaa ana ela Tu
@safiunamugen747610 күн бұрын
Pamoja sana tukiwa Doha Qatar
@SalihaDaudy9 күн бұрын
Jamani na mim naweza kujibu ga ?
@jayycee3667 күн бұрын
😂 zuwenna Baby 😂
@LukasMabena9 күн бұрын
Hadi zuwena anataka mme
@hildakikoti-xq4gd6 күн бұрын
Devisi ni mganga wa nini Tena🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@SurprisedMarshmallow-bt7kr4 күн бұрын
Hao wanawake hawak siliaz na kuolew hil nalion self kam unahakir zik saw unaangalia mwanaum et anakifua na mda huo unatak kutengenez maish ya bdae uk saw kwel vp ukipat mwanaum mweny sifa unazo zihitaj alaf akaw so pafect so mtu bora kweny maish ya kutengenez family iliy bora
@Linah-j7u6 күн бұрын
Sasa zuena hapo anatafuta danga au mume wa kumuoa😂😂😂😂😂😂??
@Salma-v7i3u9 күн бұрын
Mpk zuwena wa daimond yupo
@shangwefisima546 күн бұрын
Zuwena😂😂😂😂😂😂😂😂
@hassanaliamin11046 күн бұрын
Nashaur muweke pia Mr right ya online
@BeatriceJackson-j7c7 күн бұрын
Uwiiiiii zuwena ten
@MaryamImrani-y3h9 күн бұрын
Jmn naon kumeanz kuchangamk had zuwena anataft mwanaume😅😅😅
@adamapollo98596 күн бұрын
@@MaryamImrani-y3h amechoka kichezewa🤣🤣
@AsinaRashid8 күн бұрын
Zuwena😮😮😮😂😂😂😂
@Zuuh1079 күн бұрын
Kwani sasa hivi hamuwezi kuweka video mpya 😂😂😂😂😂😂
@SalmaKocha6 күн бұрын
Hao wanaochagua watazeeka hapo😅
@nicasissa6 күн бұрын
Mbona umemshindwa Lulu D bwana Mganga
@hassanaliamin11046 күн бұрын
Hii Mr right inapatikana wapi namimi nije
@rashdabdulazizi41937 күн бұрын
Inamaana akitakiwa anampa anachokitaka kisha anamuacha huo siuzinifu,huyo ni mganga sio ustadhi jamani
@rukiaelisam6716 күн бұрын
Mbona kama na mwona zwena jamani
@HappinessSolomon-t5z9 күн бұрын
Haya kamama marry leo naona umepata mr right hya momy hongera
@hildakikoti-xq4gd6 күн бұрын
Garabiii unacheka nini mganga huyoo
@RasooEdward6 күн бұрын
Ila wwe lulu nae n icho kisauti nae
@agnatusbonephace11836 күн бұрын
Dactari ana maneno
@bensonjonas14376 күн бұрын
Yaan hadi zuwena yupo? Mko serious kweli nyie? Nani sasa amchukuwe zuwena 😂😂😂😂😂😂
@seifabdulwahid45795 күн бұрын
Watu wanatembea na machizi kwani ana nn ht asitakiwee?
@husseinparco96407 күн бұрын
Ndio dive wape Hao wamezidi sn
@RACHELFESTO-pt6fv9 күн бұрын
Hii n mpya auu
@Zuuh1079 күн бұрын
Za kitambo wanarudia 😂
@RayChausa-g6m9 күн бұрын
Kitambo
@roqayaro94399 күн бұрын
WAMEPENDEZANA HAO MRLIGHT
@shangwefisima546 күн бұрын
Mbona huyo Abdul ni mwalimu mzuri sasa why yy yalimshinda
@joelyohana1943 күн бұрын
Heeh zuena😂😂😂
@Aljentina6 күн бұрын
Au na mm niende nipate bwana
@hassanbilaly-cq1xe9 күн бұрын
Killer on this one 😅
@noelayoub13526 күн бұрын
Nakwambia hwa watu wataish xn ten xn
@jayycee3667 күн бұрын
Mwenye namba ya shehe Abdul anirumie ban kuna ex nataka anirudie😢
@LoyceLoyceMwainyekule6 күн бұрын
Cheko lake GalaB
@NaimaZedy5 күн бұрын
eliza alipata mchunba
@VictoriaStephano-h4b6 күн бұрын
Huyo Mary nimesoma nae secondary tabora
@japhetadelard94656 күн бұрын
@@VictoriaStephano-h4b 🤓
@jaybajay99739 күн бұрын
Wangapi wameona umakini wa madada juu ya swala la mganga kuunganisha wapenzdzi
@japhetadelard94656 күн бұрын
😂
@mamairene25948 күн бұрын
Mmmh hadiii zuwenaaa jmn
@davidwilbert-w4x5 күн бұрын
huyu abdul mganga instagram anatumia jina gani
@mamuwangu252 күн бұрын
@sheikh Abdulrazaki
@SusanWangoi-l3r9 күн бұрын
Dakitari hameongea ukweli
@dalkenmalonje9 күн бұрын
Huiiii 😢 adi Zuwena leo hiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Neemahashim129 күн бұрын
😂😂😂😂😂nilijua nimeona vibayaaq
@willenmtafungwa19206 күн бұрын
Hivi huwa wanapima HIV?
@jacquelinechundu11976 күн бұрын
Nawazs mimi na Trump kachange
@marthasonia50055 күн бұрын
Hhhhhhhh👏
@bakarikisuda49486 күн бұрын
Nimegundua sasa hichikipind ni,chakutengenezwa.
@Nema-f5d6 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Aju-d5w6 күн бұрын
We gala b, ivi hatima ya eliza ilikua nini??. Mana ameondoka tu, na kipindi kimepoa 😂
@deogratiusyudatadei56589 күн бұрын
Sisi kina d bana sijui tuliumbwaje ni wakorofi lakini ni watu wenye aibu sana😂😂
@techbossbernardo20939 күн бұрын
huyu mjamaa anakitu ni mtu
@roqayaro94399 күн бұрын
USHILIKINA NI HALAMU KTK DINI
@Ladyzeal-y4m9 күн бұрын
Mbn kafanana na yule kaka wa jua Kali huyo mganga
@souvenirweber71699 күн бұрын
Ndio yeye
@YusraMshomary9 күн бұрын
Ndo yeye😂
@joycemarychilemeji8066 күн бұрын
@@Ladyzeal-y4m ni yeye.
@joycemarychilemeji8066 күн бұрын
Ni yeye.
@Aljentina6 күн бұрын
Ndo yeye tu hajanyoa ndevu
@ReyzDon9 күн бұрын
Mganga anayejua kingereza
@RayChausa-g6m9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@gracerichard81459 күн бұрын
Sasa Davis wangu hizo ndevu hata hazijakupendeza zitoe bana
@FrankworldwideTV9 күн бұрын
He sasa uyo zuwena nae anafanya nn apo
@salmamakweta11986 күн бұрын
we zuwena wewe umefata nn hapo
@joycengaiza2 күн бұрын
Aisee kumbe devisi yupoo aloo niseme namukubali sanaa devis
@hassanaliamin11046 күн бұрын
Hii Mr right inapatikana wapi namimi nije
@AishaMasoud-r8p3 күн бұрын
Hello jaman naomba namba ya shekhe abdul natak anitibie