😂si zani kabisa sababu Ali alikwa mlimani haku fika 😢
@ISSASHABANI-sw7lx21 күн бұрын
Sio Kwa ali kiba huyu tunae mjuwa sisi akionges tu kwa kuwaridhisha mashabiki zake walio kuuliza ilo swali lakini ali kiba akifanya kazi na harmonize nipo nimekaa pale mniite mbwa 😂😂😂