Allah amhifathi sheikh doctor, Afya nzuri amlinde na Kila balaa. Tuzidi kuelimika. Amjaalie Mwisho Mwema soteni Jamil Islam. Amin Amin
@alhilalymediapro7 ай бұрын
Amiin
@NoorAli-vj4gnАй бұрын
Ameen
@ibnkhalid-mh2rb11 күн бұрын
aamiin
@SaidSeif-d4y2 ай бұрын
Genge la pongwe linakutafuta na litakupata tu. Allah amrehemu ABUUMUAWWIYA.
@oss_oss1519 ай бұрын
Maa shā allāh.duktuur wangu.nikwambie kitu.Nakupenda sana kwa ajili ya allāh. Allāhummaj ălna minhu. Allāhumma ameen.
@AshurKarama2 ай бұрын
maashalah.maashaalah
@Abdulrashedalhilaly9 ай бұрын
حفظكم الله شيخنا الغالى ونفع بكم الإسلام والمسلمين
@ZulfahMuhammad9 ай бұрын
اللهم آمين يا رب العالمين
@AbuuJannatanyTv9 ай бұрын
اللهم آمين يا رب العالمين
@mjedamjeda47349 ай бұрын
اسعد الله أوقاتك بكل خير يا دكتور اسلام محمد سالم وشيخي
@مبغضالبدع-ع9ص9 ай бұрын
الإسم يكتب هكذا... يِسْلَم وليس إسلام! فتنبه أخي من هذا الخطأ.
@mjedamjeda47349 ай бұрын
@@مبغضالبدع-ع9ص اسمه يسلم وين الهمزة ياغالي بارك الله شف اولا كيف كتب باللغة السواحل من اعلى هذه الصفحة والثاني لو قلت اسلم هذا أقرب الصواب جزاك الله خيرا
@mjedamjeda47349 ай бұрын
@@مبغضالبدع-ع9ص كنت اعرف من زمان اسمه اسلام على وزن افعال من اسلم يسلم اسلاما ربنا يبارك فيك يا اخي العزيز اسعد الله أوقاتك بكل خير
@hay3_8kal9 ай бұрын
اللهم بارك عليه
@maase20239 ай бұрын
Kanuni na sheria za riba ÀLLAH ameziweka wazi na zinaeleweka sasa hizi za kuongezea ongezea sisi binadamu ni utatanishi mtupu! Elimu ya mtu haiendi kwa majisifu kama unavodhania ww au kuyapamba ww ! Elimu ni uwezo wa kufahamu na kuelezea kwa ufasihi na wala sio sifa za kujitukuza kwamba huyu ni flani bin flani la hasha
@swahilitherapytv38462 ай бұрын
Hii ndio ile channel ya mahzib..
@swalehbakari26672 ай бұрын
Nenda ukakaee usome
@مبغضالبدع-ع9ص9 ай бұрын
Shkh ulisoma riyadh au Emirates? Jamia ni ya Emirates lakini inafuata mfumo wa jamia ya Mohammad bin Saud.... ama ulisoma riyaadh saudia?
@maase20239 ай бұрын
Huyu kasoma tamta tanga nadhani
@hafidhwajina67189 ай бұрын
@@maase2023ndo upatenini?
@NuryaMusa3 ай бұрын
@@maase2023ooh kumbe ka ma hadadiyah Qasimu mafuta alisoma tamta. Na mwenzake. Babu. Abuu Hashim . 😂😂 Kwahiyo kama. Kweli. Duktur Islam Muhammad salimu ALLAH mtukufu amuhifadh. Kama kweli. Kasoma. Tamta ya mchongo. Baasi. Hawa nilokutajia. Wamesoma. Tamta ya ukweli. Miaka Tisa. Kama. Ujui. Kijana. Mdogo
@swahilitherapytv38462 ай бұрын
Jamiya na mastres mbona hasemi kasomea nini....??😂😂 unaficha Huyu atakuwa dr wa kilimo huyu nahisi. Ndio maana anatupa shubuha kila kukicha
@maase20239 ай бұрын
Hizi fatwa zake za riba sijui anazitungia wapi huyu! Maana inabidi wote tuache biashara tu turudi tukalime ! Elimu yake naona ina tatizo na anatunga vitu kichwani tu
@dawud60659 ай бұрын
Akhy malalamishi yako hayotosaidia maana ni wazi ni ilmu na ufahamu katika masaail haya huna. Ukija sema ilmu ya Duktuur inatatizo na wewe ndiye mwenye matatizo ya kutofahamu au kuelewa masaail ya kiilmu kama haya sijui ufahamike vipi. Alafu ainisha kwa daleel yale anayotunga Duktuur kutoka kichwani mwake
@maase20239 ай бұрын
@@dawud6065 hapana suala la riba halipo hivo kabisa! Hata chenji atuambie riba? Tuwe wakweli sote sheria twazisoma
@maase20239 ай бұрын
@@dawud6065 tuwe makini sana na hizi sifa za kupamba mtu hata kama ameteleza pahala! Sifa kama hizi ni mbaya mno ambazo zitapelekea mtu kujiona kama yupo juu ya watu wakati si kweli
@AlfayaadhOmar9 ай бұрын
Muogope Allah Akhy,usizungimzie kitu usicho na Elim nacho