Allah awasamehe madhambi yao Masheikh waliotangulia mbele yake. Allah awaongoe waislamu wote. Tunaishi kwa baraka za Allah na sio za binaadamu. Allah amjaalie msemaji huu aitangaze historia ya Mtume SAW na masahaba zake na Allah amjaalie aliechukua video hii achukue historia ya Mtume SAW na atuwekee humu Amin
@AllyHilal6 жыл бұрын
Na hata Maulamaa ni warithi wa Mitume. Hatuwezi kufuzu ikiwa tutawadharau masheikh ambao wamirithi kazi ya Mtume. Amin.
@abdulkhanyraashid78874 жыл бұрын
Shekhe mm nauliza uyu mwenye baraka alikufa mwaka gani maana wakati hapo unasimuliya iyoo video inaonesha 1992 mm ndokwanza nilikuwa namwaka mmoja najee shekhe naweza vipi kumleya mwanangu ili apite njiya sahihi za mashekhe hawa navutiwa sana na kumbukumbu za mashekh hawa Alhabib Umar bin Abdallah Mwenye baraka shekh Abubakar bin Abdallah Bakathir,Alhabib Umar bin Sumeit,Ahmad bin Sumeit ,Ahmad hamid Maswab,Abdulrahman Assaqafy,Aly bin, Abdallah Mazrui,Ahmad Badawy, Suleiman Al lawy ,Al khabib shekh Habibu bin Aly Bin kombo. Hassan bin Ameir Al shirazy,Abdallah swaleh Farsy, Hamdani Abdulqadir Alkahtany,Nasouro Bachu, Mselem bin Aly, shekh Shahran bin Nuuman bin Jongo, Mohammed bin Abdalla Al Mandhiry wavitongoji ,Fatawy bin Issa, Ameir Tajo Al shirazy ,Abdulqadir Aljuneid, Othman bin Maalim natamani history zahawa mabwana wakubwa iwe ninjiya sahihi kwakijanawangu naye history imkumbuke kwa wema ilasjajuwa nizipite vipi njiya za mabwanahawa ili kijanawangu alau afananiye nao