Wajerumani walikaa nchi yenu na hamkujifunza lugha yao hata. Mwashangaza sana nyinyi.
@allymngwaya62195 жыл бұрын
Tuna lugha yetu Kevin Otieno. Inatutosha
@anuaryally61775 жыл бұрын
Tutajifunza vipi lugha yao wakati wao ndio wajifunze lugha yetu sababu wapo kwetu na lugha yetu ni kiswahili sio ki datch
@kelvinjohn68515 жыл бұрын
Wakina Kelvin huwa na akili kubwa lakini Kevin we we cjui wa wapi. Yaani mgeni aje kwetu afu tujifunze tamaduni zake. Aseee.!! Sisi waTanzania chetu no kiswahili bwana sio nyinyi mliozika lugha zenu ili muonekane wazungu. Hatuna cha kujifunza kwenu.
@allymngwaya62195 жыл бұрын
Chinese, Russia, German wanaongea lugha zao yaani Kevin unaona fahari kuongea lugha ya wenzako?. Alafu siyo kama watanzania hatuongea Kiingereza ila hatukiendekezi tunathamini lugha yetu ndo tulivyofunzwa na baba yetu wa Taifa Mwl Nyerere ndo mana sisi wote tunajiona ni kitu kimoja hatubaguani.
@heartnsanya11824 жыл бұрын
Kichwa maji ww wajapani waliwatawala china umeona wanaongea kijapan wachina wakenya hamnaga akili mjue
@nkwabitz2336 жыл бұрын
duhh
@muhrajovic7525 жыл бұрын
Acheni kuficha history nyny kujua history ya kweli pita hapa kzbin.info/www/bejne/eoqQopWfg9hjo5I
@anuaryally61775 жыл бұрын
Kevin otieno wajerumani wao ndio wakujifunza lugha ya kwetu kiswahili sababu walikuwa katika nchi yetu sio kwao ki datch ujerumani apa tanzania ni lugha ya kiswahili wee mkenya vipi
@zully7565 жыл бұрын
1886 mkutano wa Berlin kuigawa Africa.You should be ashamed of yourself.