Рет қаралды 10,022
#werrason #koffiolomide #kongo
#Ibrahimnuhu
#diamondplatnumz
HISTORIA YA MAISHA YA WERRASON
Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa soukus basi huezi kosa lifahamu jina la nguli wa muziki huo, aitwae werrason au the king of the forest,igwe of the jungle,wengine humuita ya ngiama
Kwa sisi tuliozaliwa karne ya 19 tunamfahamu vizuri sana bwana huyu, katika kipindi chake aliteka mashabiki wengi barani Afrika na duniani kwa ujumla,hadi kupitia interview ya CNN alitambulika kama mfalme wa muziki wa Afrika kwa mwaka 2006
Kwa jina lake la kuzaliwa anaitwa Noel Ngiama Makanda,mtoto wa theo musoko na albertin mukala,alizaliwa mwaka 1965 katika sikukuu ya christmass huko moliembo kijiji kilichopo magharibi mwa demokrasia ya Kongo mjini Kikwit katika wilaya ya kwilu .
Werrason amezaliwa katika familia yenye watoto wa nne ,yeye akiwa watatu kuzaliwa ,kaka yake wa pili ni mchungaji,
Ameanza kujifunza mziki akiwa bado mdogo kabisa,waswahili tunasema hata mbuyu ulianza kama mchicha,basi werrason akiwa na umri wa miaka 8 akaanza kujihusisha na kuimba kwaya katika kanisa la protestant huko cebenzo Kinshasa, lakini pia Werrason hakuwa mwimbaji tu,alikuwa anapenda sana maswala ya ndondi,basi katika umri wake huo mdogo alijihusisha na martial arts,na akiwa na umri wa miaka 12 akaibuka mshindi katika moja ya shindano kubwa lililoandaliwa na tokea hapo likazaliwa jina jipya ,watu wakamuita Tarzan,mfalme wa msitu
Werrason anatambulika kwa tabia ya kuchukua
Radi Ibrahim Nuhu