Hongereni kwa kazi nzuri, Naomba historia ya wimbo NJIANI HUNIONGOZA.
@zadocksegenya46064 ай бұрын
Amen, barikiwa endelea kutuletea nyimbo mbalimbali
@stephenogenga43202 жыл бұрын
Amina kwa wimbo huo
@zadocksegenya46064 ай бұрын
Naomba historia ya wimbo wa Raha yangu yote bwana na How great thou art
@KulwaJoseph-sk7lm Жыл бұрын
Naomba historia ya nyimbo ya bubujiko
@BonfaceWawire-k6p3 ай бұрын
❤❤
@CharlsShukia-ju1wv8 ай бұрын
Kuna mambo mengi ya kujifunza,kipekee ni kile alichokifanya mke wake kuchapisha wimbo ili uwe baraka kwa wengi,hivyo hatutakiwi kuficha talanta na ufunuo wa Mungu