HIVI NDIVYO PENALTY ZA MIRACLE NA BILÙMBE ZILIVYOPIGWA/'YONDO I'TATA CUP FINAL

  Рет қаралды 13,347

King villa Tv

King villa Tv

Күн бұрын

#Final#Nyarugusu#Camp
Mechi imepigwa YOKOHAMA STADIUM tarehe 30/01/2022 na kuleta ubishi kwenye upigaji penalty baada ya kibendera kuinua kitambaa kwamba Goalkeeper wa Miracle ameibia kudaka pena ya 04 upande wa BILÙMBE.
Mtangange huu ulipigwa tarehe 30/01/2022 kwenye uwanja wa Yokohama kati ya BILÙMBE na MIRACLE FC, ila Dkk 90 walitoka sare ya bila kufungana, ilipofika mikwaju ya penalty huku wakiwa 2-1 Miracle akiwa na advance, mchezaji wa wa 04 akapiga penalty huku Goalkeeper wa Miracle akadaka, hapo hapo kibendera akainuwa kitambaa kwamba amedaka kimakosa kwa kucha mstari nyuma, ikabidi hiyo penalty irudiliwe ndipo miamba ya Muracle ilipo lala kwenye mrago na kusema aiwezekani, lakini mwisho wa siku kishika kibendera tena akageuza usemi kwamba amepandisha kibendera kwa kuhofia usalama wake eti amekokotwa nyuma jambo ambalo si kweli kabisa, ndipo MIRACLE ikapewa Kombe maana walikuwa na advance ya goal moja, maan baada ya kibendera kubadili usemi marefari wajageuza kauli kwamba G.keeper wa BILÙMBE arudi golini, ndip BILÙMBE nao waka kataa kbs kwamba aiwezekan na siyo sheria.

Пікірлер: 10
@benjaminabisemba5331
@benjaminabisemba5331 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana king villa Tv
@ronsardgalilee9488
@ronsardgalilee9488 2 жыл бұрын
Ahsante sana king villa Tv kwa yote. Kombe walipewa wanani?
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 2 жыл бұрын
Miracle
@debloosirisetaya861
@debloosirisetaya861 2 жыл бұрын
Bien sn
@mussatchakubuta9186
@mussatchakubuta9186 2 жыл бұрын
Please uturushie na match
@ReyLionproAntikombo-lt1ti
@ReyLionproAntikombo-lt1ti Жыл бұрын
Sadi ni mtu ambaye namjuwa sn tena sn ni fundi nakubali ila hafungagi penat ....nili hanza kumuangalia kipindi mm bado mdogo na leo nime kuwa haja fungagá penalt uyo ,,,,,localization mozambique
@dieu-merciramadhani2565
@dieu-merciramadhani2565 2 жыл бұрын
Power madrid
@debloosirisetaya861
@debloosirisetaya861 2 жыл бұрын
Walichukuwa wanani SS?
@BenjaminBahikye
@BenjaminBahikye 5 ай бұрын
😅
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
FAINALI R1 SPORTS 1 - 0 HODARI FC/ LIGI YA KASACO TV CUP NYARUGUSU
1:24:49
KASACO TV ONLINE
Рет қаралды 2,7 М.
FULL TIME: D1 UMOJA 00 vs 00 BILÙMBE
13:13
King villa Tv
Рет қаралды 7 М.
FT: BILÙMBE 00 VS 01 Q1 MTETEZI/KASANGA CUP NYARUGUSU
15:47
King villa Tv
Рет қаралды 6 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН