Wazaramo tuna ngoma nyingi sana,very proud to be a Zaramo
@saidkahasu49016 жыл бұрын
gano sambi kwani isi higaluka
@anuaryally61774 жыл бұрын
Sana alafu zote zinatia mzuka
@anuaryally61774 жыл бұрын
Angalia dogoli mambo ya wazaramo ayo alafu wewe mmasai eti unapandisha moli unaruka ruka juu utapopolewa ukouko juu na moli wako ukifika chini ushapoteza chezea dogoli wewe zaramo baba lao
@fatumahengo68492 жыл бұрын
Bhaho bhaho bhaho wayanguuuuuuuu
@ashachambuso87135 жыл бұрын
Daaah noumaaa
@najmabozz29984 жыл бұрын
Nasikia doct kumbuka ,
@mohammedmbaya51943 жыл бұрын
Dogoli limetulia sana imenikumbusha mbali sana
@naimasaid77634 жыл бұрын
Raha sana dogori
@aminamohamed9427 Жыл бұрын
Hili tamasha nilikuwepo ilikuw kisarawe 2017 kama sikosei kina Dr kumbuka walikuja 😀
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
JAMANI JAMANI JAMANI MNANITONISHA KIDONDA MAMBO YA BAGAMOYO HAYO HATARI AISHA OMAN 🇴🇲😂