HIZI NDIO NAULI KUTOKA 🇹🇿TANZANIA KWENDA AUSTRALIA 🇦🇺🇦🇺(CANBERRA)

  Рет қаралды 2,853

Mama Franjo Vlog

Mama Franjo Vlog

Күн бұрын

Wellcome kwenye channel yangu Naongelea mambo mbalimbali , maisha ya ughaibuni ulaya, kazi , schoraship,Visa,elimu , urembo, vlogs , interviews , stori za maisha na mambo mengii msisahau kusubscribe hapa
www.youtube.co....
Maoni , ushauri , kutangaza nasi tuandikie instagram granaterosemary
SUPPORT ME ON PAYPAL
paypal.me/Rose...
email: franjomulato@gmail.com
Instagram:@granaterosemary
#maishayaughaibuni #mamafranjovlogs

Пікірлер: 69
@rosedaud4834
@rosedaud4834 Жыл бұрын
😂wee hela ya mtaji kabisa hiyo na chenchi inabaki.jana tu Kuna mtu kasafili kwenda huko ni balaa. Asante Kwa taarifa my dear pp we love you and real appreciate it 🙏🥰
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Eh mie nimeshangaaa eti sikuwai kujua ni garama hivyo lol🤣🤣🤣acha tu waende huko lol asante love
@rosedaud4834
@rosedaud4834 Жыл бұрын
Kabisa aiseeh 😂🙌 mama moyo wangu umeshtuka hiyo bei
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Kusafiri ni gharama na sio rahisi sana. Ila ukipanga mapema ina nafuu na inapunguza stress za pesa. Ukijua unasafiri ni vyema kukata ticket miezi 3 kabla. Yani ukichelewa sana iwe miez mitatu kabla ya safari. Japo Australia ni mbali na gharama lakini ukikata ticket miezi 3 hadi minne kabla kwenda na kurudi unaweza pata USD 2000.
@Ombeniemanuege-tg7gj
@Ombeniemanuege-tg7gj 4 ай бұрын
All the best wasafili
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 4 ай бұрын
🤣🤣
@rashidsalumu8129
@rashidsalumu8129 Жыл бұрын
Beautiful sister beautiful content more lobe my sister 🥰🥰🥰🥰
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Thanks much 🥰🥰🥰
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Жыл бұрын
Sister vip hali yako sasa mimi nataka nikulize dada angu me nikijana ambae nipo na umri 26 ila nilitafuta safar ya ujerumani ila dada nauli tuu pamoja na viza niliambiea miolion 8
@mohamedialliy1974
@mohamedialliy1974 Жыл бұрын
Tengeneza kazi nauli sio shida
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Жыл бұрын
Sister nipo sirasi nataka nikulize kitu
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 Жыл бұрын
Nakubar dada
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Asante asante
@glorymoshi7793
@glorymoshi7793 Жыл бұрын
Love sana
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
🥰🥰
@salha6596
@salha6596 Жыл бұрын
Mtume roho yangu
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
hahhaha hatariiiii
@maleeksaidi906
@maleeksaidi906 Жыл бұрын
W kwanz leo
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
kwakwelii asante nakuona nakuonaaa
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 Жыл бұрын
Hi mama Franjo nimekutumia email nimekuuliza pia jinsi ya kunisaidia kufanya mchakato wote wa kuandaa doc na jinsi ya kupata kazi kirahisi kwenye hizo nchi
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Situmii email ndio mana kwenye video zangu zote nimeweka jina langu la instagram nimewaambia mnifolo insta tuongee huko natumia jina la @granaterosemary
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 Жыл бұрын
@@mamafranjovlog72 asante, mama Franjo. Je Poland kunayo kazi ya delivery driver mwenye experience ya 10+ years na registered nurse mwenye experience ya 18? Kama wanahitajika naomba nipatie details doc gani zinatakiwa na wewe utanisaidia kwa lipi kama consultant na kiungo. Pls need to hear more from you dear
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
@@godwinaxwesso8726 kuhusu kazi zilizopo na qualification vyote nimeshaongelea angalia video zangu za nyuma pliz sio video hii
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 Жыл бұрын
@@mamafranjovlog72 sawa dada yetu , wewe ndo daraja na tunahitaji sana kupata taarifa zilizo sahihi kutoka kwako kuliko kusikia kutoka kwa matapeli wa kwenye mitandao, ombi langu ni kwamba nikiwa tayari nina submit wapi doc zangu, na kama sitakosea ulisema kwa urahisi wewe ndo utakaye process kila kitu huko ughaibuni
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 Жыл бұрын
@@mamafranjovlog72 mama Franjo habari yako. Visa gani ambayo ni rahisi nikija abroad kwa mfano Canada baadaye nikaibadili kuwa work permit
@theresiamanyanda1125
@theresiamanyanda1125 Жыл бұрын
Naomba nijue Australia wanatumia lugha ya kingereza au
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Ndio wanaongea kiingereza
@witnessmusa5454
@witnessmusa5454 Жыл бұрын
Nilikumis Sana mom lakee🥺
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Thanks much dear miss you too na heri ya mwaka mpya
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Жыл бұрын
Naomba unisaidie nitajilipi nauli na visa ila nataka kuja kufanya kazi yoyote
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Unataka msaada gani sharifa
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 Жыл бұрын
Tuko pamoja dada
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Asanteee🥰🥰
@hamzaforogo
@hamzaforogo Жыл бұрын
Vipi kuhusu kazi za Poland je nafasi bado zipo? Na je utaratibu wa kutoa pesa na mambo mengine mawasiliano yako nayapataje ili nifanye muamala uniweke kwenye orodha
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Nicheki instagram
@angelasenga796
@angelasenga796 Жыл бұрын
Mtume karoho kangu 😄😄
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
😳🙌
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Hatariii garamaaa🤣🤣
@deogratius8501
@deogratius8501 Жыл бұрын
Kila kitu kinawezekana, tutafika tu hata waweke nauli $1000,000
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Haiya haiyaaa deo
@patsony
@patsony Жыл бұрын
Saf
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Sante
@rosedaud4834
@rosedaud4834 Жыл бұрын
Unaendeleaje mkono mpenzi
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Asante dear uko vizuri jumatatu naenda tu kutoa nyuzi
@rosedaud4834
@rosedaud4834 Жыл бұрын
Mungu mwema kwa kweli .
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
@@rosedaud4834 sana my dear asante sana for asking
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
NAULI ZA AUSTRALIA ZIMENISHANGAZA LOL
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Жыл бұрын
Sister nipo sirasi nataka nikulize kitu
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
Niulize naimu
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Жыл бұрын
Sisters kiukweli nipo na mama angu yupo ujerumani ila alinambia nauli ni shilingi mioni 8 jee ni kweli
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Жыл бұрын
Nataka kujua maana ilyo hela mwaka mzima naichanga sister yeye yupo ujerumani
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Жыл бұрын
Na nimejaribu kukutafuta whatapp
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 Жыл бұрын
@@naimuothman3493 nauli haifiki zaidi ya milioni mbili . Kushuka chini
8 years later - what I love and not love about living in Australia
22:42
Life with Chioma
Рет қаралды 398 М.
KERO ZA JULIUS NYERERE AIRPORT na @EllyDavid  #zanzibar
17:32
Witness Vlog
Рет қаралды 5 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 49 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,5 МЛН
10 Reasons Why You Should NOT Move to Perth Australia
22:46
10 Reasons NOT TO RUIN YOUR LIFE Moving To Australia
12:47
That Johnston Life
Рет қаралды 73 М.
Ukiwa na Passport ya TZ, Unaweza kuingia nchi hizi bila Visa
4:34
Rama Dee: Maisha ya Australia yaliwahi kunifanya nitake kurudi Bongo
16:33
"Kwakweli Nilikua sijawahi Kusafiri " / Visa na maisha ya Uholanzi.
59:27