Hizi Ndizo Sababu Zilizomfanya Aondoke CHADEMA

  Рет қаралды 10,622

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 жыл бұрын
Yaani hapa ingekuwa sherehe ya ufunguzi wa kiwanda ningefurahi sana.
@saidmacho7436
@saidmacho7436 4 жыл бұрын
Mie naendelea kusema mungu akikunyima KUFIKIRI ndio basi tena
@saidmj9213
@saidmj9213 6 жыл бұрын
Nimefanya uchunguzi ktk elimu ,kiukweli hata mtoto wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa hasomi ktk shule zetu wavujajasho,Jamani tumuogope alietuumba ,always what comes around goes around, hebu wanasiasa kuweni na huruma Mimi siwezisema eti wapinzani hawafai au wanafaa ila naeakosoa nyinyi mliopo madarakanu,tumuogope alietuumba,tukumbuke kuwa kuna adhabu pia kuna maisha baada ya kifo,Mimi naemdelea kusisitiza ,Elimu,Afya, na chakula,elimu ya nchi yetu haimfanti mtanzania kuwa wa kujitegemea Bali anakuwa tegemezi,Hapa nnapokaa hata ambulance hakuna ,kijiji kwa kukadiria kimeanzishwa tangu 1974 ,huduma ya maji ni mbovu japo yamefika lakini kwa sababu za kisiasa yamezuiliwa,Sometimes natamani tusingeongozwa na wanasiasa,afadhali tuongizwe na jesh tujue moja, hebu wanasiasa muogopeni mungu, yaani sikuizi hata upendo umepotea ccm akimuona mpinzani anamuona kama sio mtanzania na mpinzani akimuona ccm anamyona kama adui,jamani tumefika wapi Watanzania wale tuliokua tukiombana maji na kufanya undugu wa kuchanjia ,mtoto anamaliza kidato cha sita bado anakuwa hana ulewa ,au anamaliza chuo hajui afanye nini,hapa huwa nawapa changamoto vijana kwa kuongeanao kingereza kiukweli hakuna kitu,wakati kingereza its a business language, mkitaka hivyo fanyeni kiswahili iwe lugha ya kufundishia Tanzania nzima,swala la chakula ni ktk kilimo watu wanalima hivyo sio kwa tija watu waelimishwe ,wajue kulima kibiashara
@mutalemwamkimea8205
@mutalemwamkimea8205 6 жыл бұрын
Hizi ni bongo siasa movie.
@faymzalendo1728
@faymzalendo1728 6 жыл бұрын
Haya sasa chadema semeni yenu na yeye kanunuliwa?
@doramsuya5135
@doramsuya5135 6 жыл бұрын
Ukiona hivyo ujue hana uraia😂😂😂😂😂😂😂
@jayjay4313
@jayjay4313 6 жыл бұрын
Dora Msuya 🤣🤣🤣
@bjzee1981
@bjzee1981 6 жыл бұрын
Sijui na mimi ni hame?
@saidmj9213
@saidmj9213 6 жыл бұрын
Sijakuelewa
@gilbertalex1651
@gilbertalex1651 6 жыл бұрын
Haaah Safi sana
@queenroger8
@queenroger8 6 жыл бұрын
na bado mpaka wanyooooke safii baba mbele kwa mbele ccm
@reginaemmanuel8233
@reginaemmanuel8233 6 жыл бұрын
ccm oyeeeeeeeeeeee!!!!
@queenroger8
@queenroger8 6 жыл бұрын
oyeeeeeeeeee,ccm mbele kwa mbele na tinga tinga wetu hapa kazi tu ,
@sebastianngimba4850
@sebastianngimba4850 6 жыл бұрын
nisije kutukana.mnafiki yoyote huonekana hadharani njaa ikiuma
@algmobai2183
@algmobai2183 6 жыл бұрын
Jamaa msupa ni muhindi ama nimswahili
@nickmbecknkinda3486
@nickmbecknkinda3486 6 жыл бұрын
unajipendekeza kwanza unaishi tz kihalali
@marthajaphet3195
@marthajaphet3195 6 жыл бұрын
sema baba
@saidmj9213
@saidmj9213 6 жыл бұрын
Hospital Dawa hakuna,elimu ,elimu,dhaifu,Mimi Rais angeacha kujenga flaying over akaboresha elimu na afya hapo nami ningemuunga mkono lakini huduma za afya kiukweli ni mbovu,sio kwamba simpendi Rais ila ukweli ndio huo nipo mikese morogoro ,sio Mara mmoja au zaidi nampeleka mwanangu ktk zahanati anashindwa kupewa hata panadol,swala la elimu bado ni hovyo Serikali we don't need maneno we need actions, wajua mfumo wa wagawanye mpate kuwatawala CCM hapo ndipo mnapo washinda wapinzani pia ndipo mnapotufanya tuone maisha magumu kwa kutunyima elimu,,mfano elimu mmetugawanya hivi;mtoto kuanzia darasa la awali mpaka darasa la saba lugha anayoitumia ktk masomo ni kiswahili lugha yetu maskini kama sisiwenye lugha hii,akifika kidato cha kwanza mnawagawanya kwa kutumia mabadiliko ya lugaha kutoka kiswahili kuja kingereza,hivi mtoto gani atakae elewa kwa urahisi lugha ambayo hakukuanayo,ndio hapo wanasoma bora liende,
@eluzaberthkarugaba6375
@eluzaberthkarugaba6375 6 жыл бұрын
huyu c mtzii
@tugesyegemwakatumbula249
@tugesyegemwakatumbula249 6 жыл бұрын
acheni ubaguzi jamani wa tz hatuko ivyo
@ibrahimukayamba1528
@ibrahimukayamba1528 6 жыл бұрын
Ww ni mwehu tunakujua umeshndwa uchaguz mihura mitatu uligombea kigoma kusuin ukashndwa ww nimwehu
Kiongozi Mkubwa wa Upinzani Aliyehamia CCM Huyu Hapa
23:35
Global TV Online
Рет қаралды 7 М.
Kauli ya CHADEMA baada ya Wema Sepetu kuhamia CHADEMA
4:09
Millard Ayo
Рет қаралды 62 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 46 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 107 М.
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01
MOTO WA TUNDU LISSU MAKYUNGU HABARI NYINGINE JIMBONI KWAKWE WAMLILIA
49:16