lazima nienda na mume kwa office za serikakali kujukua chet Cha ndoa coz mm Niko Nairobi naye ako eldoret na ndoa tunafungia Nairobi.
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
MNATAKA KUFUNGA NDOA YA KANISA KATOLIKI AU MNATAKA KUFUNGA NDOA YA SERIKALI? Nancy Nelima
@NancyNelima-xr4db Жыл бұрын
ya kanisa katoliki.
@NancyNelima-xr4db Жыл бұрын
@@libetztanzania-kiswahilina2845 ya kanisa katoliki
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
Nancy Nelima, CHETI CHA NDOA KATIKA KANISA KATOLIKI PADRE ANAKUWA AMEKWISHA KIANDAA KUTOKA SERIKALINI NA HIVYO MNAPASWA MUANDIKE MAJINA NA SAHIHI ZENU KWENYE CHETI HICHO NA MASHAHIDI WENU. MNA HAKI YA KUMDAI CHETI CHA NDOA PADRE KAMA INAONEKANA HAKUNA DALILI ZA KUWEPO CHETI CHA NDOA. Asante kwa kusapoti LIBE TZ WHATSAAP +255 752875543 , FR.SIMON LIBERIO . KWA MASWALI zaidi
@NancyNelima-xr4db Жыл бұрын
@@libetztanzania-kiswahilina2845 nami nimeshukuru sana fr na ubarikiwe sana na nakualika kwa harusi date 26/8/2023.
@nancynelima23242 жыл бұрын
ukitaka kufunga ndoa kanisani unaazia wapi.
@libetztanzania-kiswahilina28452 жыл бұрын
Unapaswa kuwa na utambulisho wa UKRISTO ukatiliki nazungumzia KATOLIKI kwakuwa mie ni Padre wa KANISA KATOLIKI. Uwe mbatizwa na kama haujabatizwa unaonana na jumuia husika au KATEKISTA uende PAROKIANI kwa Padre au Paroko atakupatia yote
@nancynelima23242 жыл бұрын
Niko kwa jumuia nilongea. na ketekisita akaniambia kwa kua ni ya kanisani niende kwa D.O ndio niende kwa padre.
@nancynelima2324 Жыл бұрын
nauliza fr mm nataka kufunga ndoa na sina card ya ubatizo naweza funga.
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
Unamaanisha Hauna KITAMBULISHO CHA UKATOLIKI/UKRISTO KWA UBATIZO ULIOUPATA KTK KANISA KATOLIKI? Kitafute? Ukikikosa wasiliana na wanyumbani wakutumie kwa basi au kwa WHATSAAP? Bila hicho unaweza kulazimika kupata ubatizo “ kama haujabatizwa nakubatiza” huitwa ubatizo KATIKA Hali ya mashaka.NJE YA HAPO UFUNGE NDOA MUMEO AKIAMINI ANAFUNGA NDOA NA ASIYEMKATOLIKI MWENYE TAMAA YA UBATIZO MKATEKUMENI
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Huwezi
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
Naam Huwezi funga ndoa KATOLIKI BILA KITAMBULISHO CHA KUKUBAINISHA KUWA U MBATIZWA MKATOLIKI AU MBATIZWA KTK MAKANISA TUNAYOTAMBUA UBATIZO WAO NAKO LAZIMA UFANYIWE IBADA YA KUPOKELEWA KTK UKATOLIKI HATA HIVYO NI BAADA YA KUJIRIDHISHA KWELI ULIBATIZWA ANGLIKANA ,LUTHERAN NA YALE MAKANISA TUNAYOYATAMBUA UBATIZO WAO.
Nenda kwa PAROKO AU PAROKIANI WATAKUELEKEZA NAMNA YA KUFUATA MAFUNDISHO YA UBATIZO LAKINI KAMA UNAKWENDA KUFUNGA NDOA NA MKRISTO MBATIZWA MKATOLIKI KUNA RUHUSA YA KUFUNGA NDOA NA HUYO MKATOLIKI HUKU UKIWA NA MWENDELEZO WA KUENDELEA KUFUATA UBATIZO, KOMONIO NA KIPAIMARA. HIZI huwa ni KESI chache au inatokea KWA WACHACHE