Hotel ya MR. II SUGU (Hotel Desderia) jijini Mbeya, Tanzania

  Рет қаралды 58,711

EBM SWAHILI

2 жыл бұрын

Hotel Desderia inayomikiwa na na Jopseph Mbilinyi aka Mr. II Sugu, ni moja ya hotel bora kabisa zilizopo Mbeya.
Nilibahatika kukaa hapo kwa siku kadhaa nilipoenda jijini Mbeya mwezi June

Пікірлер: 85
@GoodluckLameck-nh9tq
@GoodluckLameck-nh9tq 2 ай бұрын
Hongera sugu Kwa uwekezaji mkubwa
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 жыл бұрын
Big up! Umeonyesha uzalendo Kwa kupromote vya nyumbani Mr sugu ushauri wa bure Umepewa hapo Na kaka mkuu kuhusu maliwatoni hapo kwa sehemu ya kuongea ungeweka jakuzi ungetisha sana.. 👏
@GoodluckLameck-nh9tq
@GoodluckLameck-nh9tq 2 ай бұрын
Hongera Kwa kusema ukweli
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 8 ай бұрын
Brother kwema heshima yako mkuu EBM.hotel hiyo ni ya kaka yetu sugu au mbunge wetu sugu.safi brother.
@nasibukhingengena455
@nasibukhingengena455 Жыл бұрын
Eti kitu ambacho sijakupenda! Hiyo ni design mzee! Sio lazima ugawe choo na bafu mzee! Halafu hujui kutangaza
@vehaelkamene291
@vehaelkamene291 Жыл бұрын
Hongera Mr. 11 SUGU. Moyoni mwetu wewe ni MBUNGE kwa vile unao watu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Hotel iliyokwenda shule Sugu oyeeeee
@spykespark8477
@spykespark8477 Жыл бұрын
Sugu his very intelligent I wish him more and more one day I will go there just to enjoy the fruit of his labour. Coz I admire his integrity.
@jensennashon6147
@jensennashon6147 Жыл бұрын
huwa nakuja sana mbeya lakn sijawahi bahatika ila leo nimeshawishika sana mandari nzuri sana 🥰🥰👏👏👏
@agnesthompson8459
@agnesthompson8459 Жыл бұрын
Nice job Mr. Makulilo na Mr. Sugu. Fantastic piano review za hotel za Dar ndio nitaenda
@athanaskalihamwe3046
@athanaskalihamwe3046 Жыл бұрын
Brother Makulilo Asante sana kwa uzalendo wako. Ukimbariki mwenzio na wewe utabarikiwa. Just remembered you voice. Last time we met in Kansas.
@suleimanmohammed615
@suleimanmohammed615 2 жыл бұрын
Nice one brother makulilo
@jumemerular15
@jumemerular15 Жыл бұрын
Ni nzuri nimeipenda💪🙏
@songweairport7602
@songweairport7602 Жыл бұрын
kazi Nzuri EBM SWAHILI
@elijahmwanga9276
@elijahmwanga9276 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 Be There,Big Up #TAITA
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 Жыл бұрын
Kaka hongera Sana kwa kuja kututembelea tunakukaribisha pia katika chuo chetu UDSM- MCHAS ipo mita michache kutoka hotel Desderia
@ottoraphael2309
@ottoraphael2309 2 жыл бұрын
Perfecto
@joycesichone1175
@joycesichone1175 2 жыл бұрын
Hongera Mr Sungu kwa kuwkeza hapo the green city,l wish l day nitalala hapo,also congrats Mr EBM for good job.
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 жыл бұрын
Sungu ndio nani?..
@mwalimugoogletv3738
@mwalimugoogletv3738 2 жыл бұрын
@@millitarybattalion7515 KAKOSEA KIDOGO ILA UMEELEWA. "SUGU"
@kharimamani2134
@kharimamani2134 Жыл бұрын
ni bei gani chumba
@calvindericksekei4541
@calvindericksekei4541 Жыл бұрын
Hongera Mzee endelea hivyo kaza but hoteli nzuri, mazingira mazuri very nice congrats to the mrSugu
@leonardkajuna1213
@leonardkajuna1213 Жыл бұрын
Pamekàa vizuri sana.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Жыл бұрын
Jongwe umetisha saaana kamanda hongera saaana
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 жыл бұрын
Congratulations SUGU
@Winstonfying
@Winstonfying 2 жыл бұрын
Hongera kwake. Ajitah8di upande wa garden kwa ujumla
@oxwad3836
@oxwad3836 Жыл бұрын
Very nice hotel
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Жыл бұрын
Hongela sana mr 11
@davidchannelo4242
@davidchannelo4242 Жыл бұрын
Daaa❤️
@samuelchiumia9054
@samuelchiumia9054 Жыл бұрын
Wananiita Sugu, Sugu Sugu, hongera sana muheshimiwa it will be my first stop over, nikirudi home
@rukhsanashamshu1727
@rukhsanashamshu1727 Жыл бұрын
Kwakweli ni masha Allah
@mohammedbaraka9230
@mohammedbaraka9230 2 жыл бұрын
Nimeipenda Mkuu
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa upendo wako kaka.ni wachache wenye moyo huo wengine wangeponda tuu na kumkatisha tamaa kijana mwenzao, barikiwa
@devidamasian5477
@devidamasian5477 Жыл бұрын
Nice
@petertimothy7882
@petertimothy7882 Жыл бұрын
Well-done Mr. Makulila na Mwekezaji Sugu. Kazi nzuri sana. Bei ya kulala kwa siku ni sh.ngapi? Mr. Makulilo tunaomba kujua hilo maana ww umefika huko na kulala.
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 Жыл бұрын
Kwa uwekezaji huu sio rahisi kumnunua.Nafikiri mnanielewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 Жыл бұрын
Hahahahaaaa yey ni aset😃😃😃😃😃
@howardbillionaire
@howardbillionaire 4 ай бұрын
kwetuuu
@Said_Abdul
@Said_Abdul Жыл бұрын
Mr tangazo hilo la bureeee😄lazima ulipe shukurani
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Napenda sana unajadili katika uhalisia huna mbwembweeeer nyingi.. hata unavyoongea unafanya watu wakuamani hata kama utasema uongo.... Wiwachuuu
@maishasafari9724
@maishasafari9724 2 жыл бұрын
Panaoneka pazuri sana!
@nurumwangoka5924
@nurumwangoka5924 2 жыл бұрын
Ndio maana unafanikiwa brooooo Huna roho mbaya
@mrmhenipm
@mrmhenipm 2 жыл бұрын
Umejitahidi lakini ,, unaootangaza biashara ya Mtu weka vitu positive sana
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita Жыл бұрын
An honest review! I'd like to add their customer service is very good. Wahudumu wapo vizuri sana wanajali wateja hawana nyodo.
@kharimamani2134
@kharimamani2134 Жыл бұрын
bei gani chumba?
@ludobudege1662
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Sugu hongera sana mwezi wa 9 tunakuja mbeya kwenye sendoff tutafikia hapo ni pazuri sana
@andulilemwailunga1269
@andulilemwailunga1269 2 жыл бұрын
Asante kwa taarifa nzuri bro,chumba kwa siku ni sh ngapi?
@nickjuma3937
@nickjuma3937 Жыл бұрын
Kuhusu AC umeongea vibaya! ni kama vile umeponda sana! ungeliuliza wahusika kabla ya kuanza kuongelea kitu usicho kifahamu!!
@ashleyhearts8561
@ashleyhearts8561 2 жыл бұрын
👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
@allanandy2424
@allanandy2424 Жыл бұрын
EBM bwana...😃😃..eti huwezi sikia Leta Ugali!
@MajaliwaMajaliwa80
@MajaliwaMajaliwa80 3 ай бұрын
Jongwe
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 Жыл бұрын
Taitaaa
@utambevilla2054
@utambevilla2054 Жыл бұрын
Mamae saiz mmeona magu ayupo ndio mnaiangaza mitandao ila wakat ule chuma yupo mlikuwa mnaificha ficha kwakuwa apo ilipojengwa sio semu sahihi
@elsonkibasindila7526
@elsonkibasindila7526 Жыл бұрын
Uchawi tu ...
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Tails za bafuni zinafaa kuwa rafu na pia floor ibinuke kidogo maji yasirudi upande wa chooni.
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Haya mahotel angejenga Diamondplatnumz dar es salaam uburnaboy na udavido na uwizkid kununua malori rose rose ya nini?
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 Жыл бұрын
Hata kuwa na shares 45% kwenye WASAFI media ni big investment plus kuwa CEO kwenye WASAFI bet it ain't a small thing kwa hivyo si lazima aina ya investments zifanane. Congrats kwa Sugu na wengine wote wanaowekeza kwa namna tofauti tofauti.
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Mbona unamponda alafu unamsifia eleweka bc
@nostusmwachilo6743
@nostusmwachilo6743 Жыл бұрын
Nzuri aongeze vyumba mbona eneo linaluhusu
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
Tunashukuru kwa mtangazia biashara kaka yetu kwa uwekezaji wake...lkn siku nyingine au ukitaka kufanya hivi mahala popote omba management kibali,just in case na wakupe ushirikiano,kwa mfano umesema haujui kama AC zinafanya kazi au laah ,wangekuwepo wenyewe au ungeuliza ungepata jibu...kwa hiyo kwa kibiashara hapo pana alama ya ?,na ni kwa sababu umeiweka hii video you tube,kwa maana hiyo unatumia kibiashara,sababu unalipwa,kwa hiyo kupewa rukhusa ni muhimu just incase Unaweza kuweka video au maelezo yako yakawa sio sahihi halafu ikawa taabu kaka...ni ushauri tuu,mbali na hiyo,tunashukuru na hoteli ni nzuri na mazingira rafiki sana.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Sidhani kama amefanya yote hayo bila ushirikiano hata mdogo.. japo anasema hawahi onana na sugu lakini lazima Kuna ushirikiano japo ..
@sponsor7882
@sponsor7882 Жыл бұрын
swimming pool missing
@ivansheila6033
@ivansheila6033 Жыл бұрын
Nipazuri sana nishaenda hko mara tatu
@kharimamani2134
@kharimamani2134 Жыл бұрын
ni shiringi ngapi kwa siku moja
@kharimamani2134
@kharimamani2134 Жыл бұрын
shiringi ngapi kulala kwa siku moja brother
@lungusii
@lungusii Жыл бұрын
Unaweza UKALIA lakini huwezi KUCHEKA
@davidchannelo4242
@davidchannelo4242 Жыл бұрын
Nipeni no ya sm yaiyo hotel jamani ninaziara ya mby wiki ijayo
@jensennashon6147
@jensennashon6147 Жыл бұрын
Lazima nikija nilale hapo
@charleskinyuagicheru9316
@charleskinyuagicheru9316 Жыл бұрын
Iko wapi swimming pool?
@a.j.m9740
@a.j.m9740 Жыл бұрын
Tumepoteza Mbunge Konki Mbeya Tulia ackson tumepigwa
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
Ila sio vizuri kujenga juu ya vyanzo vya maji...
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 Жыл бұрын
Na gharama zake..??
@nzigiyimpainnocent8738
@nzigiyimpainnocent8738 2 жыл бұрын
How much is it Per Night 🌉🌃??
@jimmymungai522
@jimmymungai522 Жыл бұрын
www.hoteldesderia.com
@robbiejerrson7437
@robbiejerrson7437 Жыл бұрын
Promosheni yako umekosea kitu kimoja; 1. Kukosoa bafu 2. Kuponda AC kuwa hujui inafanya kazi au haifanyi? 3. Kuponda kasi ya internet Tunapotangaza bidhaa/biashara ni makosa kusifia bidhaa/huduma ili inunuliwe na wakati huo huo ukisema ubaya au kasoro ya bidhaa hiyo hiyo!! Kufanya hivyo ni sawa na WORK DONE IS EQUAL TO ZERO!
@SajomanProductions
@SajomanProductions Жыл бұрын
Alikuwa hatangazi biashara alikuwa anatoa maoni yake binafsi na amesema hajalipwa na mtu
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 Жыл бұрын
@@SajomanProductions Fact though he obviously promoted the hotel free of charge, kuwakosoa ni muhimu ili warekebishe kadri uwezo wao utakavyokuwa. He has done a tremendous job promoting Sugu's hotel.
@harunakayega5531
@harunakayega5531 2 жыл бұрын
Mr hivi ulijiandaa vyema kwa uamuzi wa kuacha kazi na kudeal na youtube huku ukiwa hujui content maalumu ya unachotaka kukifanya
@mrcardano1203
@mrcardano1203 2 жыл бұрын
Wewe kazi yako ni kuangalia kinachopostiwa kama kinakufaa unachek kama hakikufai unaacha, wewe alishakuomba content? Una uhakika gani kwamba kaacha kazi, kama kastafu je!?
@nicomwakibibi6820
@nicomwakibibi6820 2 жыл бұрын
Good of you Sugu. Big up!
@hassansaid813
@hassansaid813 Жыл бұрын
Gharama za kulala please
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Hebu tuache sisi tuone
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 Жыл бұрын
Is this hatred, jealousy or you're just a damn clown? If you don't like the content just stfu, some of us have enjoyed it.
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Mbona unamponda alafu unamsifia eleweka bc
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,5 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН