kazi kubwa sana chadema mnaifanya hongereni mungu yupo pamoja nanyi
@davidmpiluka5224Сағат бұрын
Well said, big up.
@MfunjoWabaBoydays52 минут бұрын
Mungu ni MONENE atatuangaliya CHADEMA 🎉🎉 yako Tanganyika Legend Activeré
@TM-zs3rmСағат бұрын
Kujitambua ni kitu kikubwa sana. Watangsnyika wote wangejitambua tu, nchi hii ingesonga mbele sana. Lakini wanaume wa nchi hii nasikitika kusema kuwa hamjitambui wengi wenu. Na mwanaume asiye na sauti ndani ya nyumba nyumba itapwaya tu. Tanganyika imepwaya sababu wanaume wetu wengi hawajitambui. Wametekwa na mrembo mmoja. Ni aibu kwa Taifa hili. Wanaume wengi wa nchi hii mmeamua kuwa machawa wa Samia. Ni aibu kubwa. Mbowe ni Tunu la Taifa hili. Ni mtu anayejitambua fika na hayumbishwi na mtu yeyote.
@DanielLoyani46 минут бұрын
Mungu akubarik lisu
@mutabebwa-bm6pm39 минут бұрын
Tunamwombea baraka tele na afya njema.
@PhilipoMwita-b2xСағат бұрын
Naona lissu anampiga vitasa mbowe piga baba sisi tunataka mtu kama wew jasiri na shupavu
@VailethKaali-hx8yh18 минут бұрын
Ikungi mnaiwakilisha Singida kwa upande wa singida kesho msifanye makosa onesheni njia
@joanitamedard5105Сағат бұрын
Shikamoo Lisu
@DavidDanken-uf7kpСағат бұрын
Hao watu wanakufata ww mueshimiwa mboe ni kero machon pa watu libalikiwe tumbo la mama lisu.
@prochesytesha804035 минут бұрын
Mh huu uchaguzi umeshaaribika mkuu
@prochesytesha8040Сағат бұрын
Mahakamani
@AlpheoMwashiuya28 минут бұрын
Siku ya uchaguzi ataki wi kuva nembo yoyote ya chama je na pikipik zacha azitakiwi kutembea balabalan siku ya uchaguzi ambayo ni tare 27 mwzi 11 mwaka 2024 ???