Mutengeneze ma bara bara , Congo ni kubwa ila ina kosa bara bara. Kaka yetu Jean-Jeanck mwambiye Rahisi wetu atu kumbuke ku mabara bara kutoka Goma hadi Baraka kwenda hadi Kalemien. Mungu awa tangulie mbele.
@Noah-se3ni2 жыл бұрын
Acheni kudanganya watu tengenezeni kwanza ma barabara, hiyo gari hitatembelea wapi, nawakati akuna bara bara,
@vumiliamande2185 Жыл бұрын
Jamani hapo ni mukanisa siyo fasi ya kampeni ya Tchisekedi. Msidanganye watu na tuchunvi.