HOTUBA YA KWANZA NZITO YA RAIS MWABUKUSI WA CHAMA CHA MAWAKILI WA TANGANYIKA | "HAKI NGORONGORO"

  Рет қаралды 20,541

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 52
@jovankishamba9424
@jovankishamba9424 Ай бұрын
Asante sana mawakili wote wa Tanganyika mmetuheshimisha wa Tanzania.Nakuona mheshimiwa Wakili Amin Mshana nakuona hapo.
@SwaleheKudisa
@SwaleheKudisa Ай бұрын
❤mungu ana kusudi na were kaka yangu Allah akuogoze na aendelee kukupa hekima na busara ktk maisha yako na shughuli zako INSHAALAH.
@user-lx9th4st4l
@user-lx9th4st4l Ай бұрын
Hongera sana Rais wa Tanganyika
@petermahimbo3458
@petermahimbo3458 Ай бұрын
Kazi nzuri,Mungu akuongoze katika uwakilishi wa haki na umoja.
@daudisalum9574
@daudisalum9574 Ай бұрын
Hongera sana mh mwabukusi mungu mwema
@onesmokinde8854
@onesmokinde8854 Ай бұрын
Mungu akupiganie B. Mwabukusi muipiganie nchi yetu kupitia jukwaa Hilo be blessed
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
🙏 🙏
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 Ай бұрын
Naamin Kwa sehemu nchi yetu itanemeka Maana nchi hii hawajatokea wazalendo hiinch nitajili sana ila watu sahihi nishida
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Mwamko wa Watanzania kuhusu TLS mkubwa ni deni kubwa kwa TLS. Maneno ya busara sasa msituangushe Watanzania tuende pamoja kujenga nchi ya haki, haki haki.
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 Ай бұрын
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 Ай бұрын
Nakufatilia kwa karibu sana my Brother President TLS Boniphace Mwabukusi.
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 Ай бұрын
Main point mh.president unashuka nondo za kujenga Chama chenu Cha mawakili hakika 💯 umefiti katika nafasi hiyo.
@AnteloSanga
@AnteloSanga Ай бұрын
Asante sana nakuombea kwa mungu akulinde kwa yote
@bishopjacobomwaigaga
@bishopjacobomwaigaga Ай бұрын
Hongera sana wakili mwezetu Japo Mimi Sikufuka Niko safari Ila Nimewaombea Kwa MUNGU Hongera Sana mhe MWABUKUSI HONGERA TENA
@dayanikitambi2085
@dayanikitambi2085 Ай бұрын
Hongera sana mwambugusi kasimamie Sheria baba tunakuamini
@user-lq8mi3zz2c
@user-lq8mi3zz2c Ай бұрын
Hongera Wakili Mwabukusi Mungu akutunze ktk Utendaji wako
@mburuumbe5659
@mburuumbe5659 Ай бұрын
Hongera sana rais mwabukusi binafsi sio mwanasheria lakini nimefurahi uamuzi wa mawakili nakuombea upate mbinu ya kutupa katiba mpya
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Ай бұрын
Hongera Mwabukus kwakuchaguliwa najua mungu anajibu maombi yetu kidogo kidogo ubarkiwe huo nmwamga wanchi yetu kwenda kukombelewa na mabepar wanao nyanyasa raia wake maisha magum mali zanch zinauzwa ovyoovyo .mtutete
@jamuhurisalumu3514
@jamuhurisalumu3514 Ай бұрын
Hongera sana
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Kwanini tusimpe UrAisi na wa nchi mbona anaweza,misingi yote ya uongozi anawazidi maraisi wa ccm wote watatu hadi wajao wote
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Mungu awe nawe wabaya wazimika kama mshuma
@mzambulileo
@mzambulileo Ай бұрын
mungu akubariki bro
@asungwilemwaifungapenginei2385
@asungwilemwaifungapenginei2385 Ай бұрын
Tumekusikia, tumekuelewa, tumekuamini sasa tunataka mrejesho kwa vitendo vinavyotafsiri haya uliyosema🎉
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Nenda ngorongoro mheshimiwa mwabukus watu wanaonewa sana mwabukus nenda tafadhal nenda nenda nenda
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Ай бұрын
❤❤❤ nakukubal Before Pres,,, TLS 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SayimcheleSayimche-mq5wv
@SayimcheleSayimche-mq5wv Ай бұрын
Hogera kubwa sana Rais
@walterngowi5835
@walterngowi5835 Ай бұрын
Jameni anzeni kuwapigania Wamaasai wapate haki yao ya kuchagua viongozi wa nchi kama raia halali wa nchi yao 😎😎
@paulmathias6328
@paulmathias6328 Ай бұрын
Section 4
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Ай бұрын
Mungu amewalani maadui ongela Ila kuwamakini Lissu alipochaguliwa akuchukua mda akashambuliwa na maadui nawemungu akulinde
@almasisalehe8164
@almasisalehe8164 Ай бұрын
Hongereni sana TLS. Hii hotuba imefufua matumaini ya haki na amani kwa wote.
@saimonmlay4295
@saimonmlay4295 Ай бұрын
section 4
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 Ай бұрын
Stay blessed Mkuu
@pueblo148
@pueblo148 Ай бұрын
Viva mwabukusi
@user-fx3xj3on5j
@user-fx3xj3on5j Ай бұрын
Mweshimiwa Rais Naomba TLS lianze na wamasai wanaoondolewa na watawala katika Ardhi yao.
@philipongenzatv
@philipongenzatv Ай бұрын
Mmulinde jamani wastokeee kumdhuru uendapo na uludipo kuwa care Sasa ivi chagua nasememu mhimu
@HeriMohamedi-re7xu
@HeriMohamedi-re7xu Ай бұрын
Tunamtaka n'a Rais watanganyika kbb kizimkazi hawataki wamasai halafu hivi CCM huku Tanganyika ilikujaje Tanganyika hayo mapinduzi yalifanyika wapi wakati Tanganyika tuliopata uhuru bila kumwaga damu
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp Ай бұрын
Defender
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Ай бұрын
Kunamijitu aikupenda kabisa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Hususan chawa wa wale wanaopinga haki.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Mungu ametenda, Amen 🙏
@philipongenzatv
@philipongenzatv Ай бұрын
Kiu imeisha Baba mwabukusi mtu wamaana
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 Ай бұрын
Mwamba Mwabukusi
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Wewe ni mwamba
@jovinbikongoro3469
@jovinbikongoro3469 Ай бұрын
Nakpa 5 naukubar sana mwabukus
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Ukizungumzia huyu mtu anaependwa huyu yumo
@Wamisangi
@Wamisangi Ай бұрын
Dunia ya digitali haikuona tatizo la bundi na ngedere wa sgr mbele yake.
@samwelangulile9668
@samwelangulile9668 Ай бұрын
Tulishe Gombo kaka tusimame imaraa
@user-vv4wo5fu9t
@user-vv4wo5fu9t Ай бұрын
WEWE NDIO RAIS WA MAWAKILI WOTE TANZANIA JARIBU KUZUNGUMZA LUGHA YETU YA KISWAHILI SIO UTULETEE LUGHA YA KITUMWA YANI LUGHA YA WATU WENGINE UKOME KUTULETEA LUGHA YA KITUMWA ...ACHA UPUMBAVU WAKO WEWE RAIS MWABUKUSI
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Nenda nenda nenda
@danielkusongwa3981
@danielkusongwa3981 Ай бұрын
Kumetimbika tayari
@SadockChessa
@SadockChessa Ай бұрын
Huyo mtambo aliyejitoa maisha juu ya Bandari zilizouuziwa waarabu wa Omani
@MariaNyabharangeBageni
@MariaNyabharangeBageni Ай бұрын
Hongera🎉🎉
🔴LIVE: TLS WAFUNGUKA SAKATA LA UTEKAJI NA  MASAI NGORONGORO
32:14
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 6 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 43 МЛН
LIVE: Donald Trump addresses Republican Jewish donors in Las Vegas
53:36
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 99 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН