HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOZINDUA MFUMO WA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE

  Рет қаралды 8,008

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

4 жыл бұрын

HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOZINDUA MFUMO WA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE ZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAI

Пікірлер: 26
@willingtonejohn1929
@willingtonejohn1929 4 жыл бұрын
Ulikuwaga wapi miaka yote hiyo mzee baba...nchi ingekuwa mbali sana...
@freddymello3227
@freddymello3227 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana awamu ya 5.nimejifunza mengi toka kwako Simba wa Tanzania, J.P.M kiongozi wa aina yake barani Africa. Mwenyezi Mungu akulinde!
@lazarojassely4178
@lazarojassely4178 4 жыл бұрын
Kazi zako ni za kiutume fanya kazi bro Mungu atakulipa
@nyanda427
@nyanda427 4 жыл бұрын
Tanzania tunaweza🇹🇿
@barakastephano6144
@barakastephano6144 4 жыл бұрын
Ingependeza zaid kama bunge lingepitia upya katiba ya nnchi ili huyu mtu aendelee kutuongoza, hakika nampenda sana. Mungu akupiganie daima!!!
@barakanitwa8433
@barakanitwa8433 4 жыл бұрын
Nakukubali Raisi wangu Mungu akutie nguvu utufikishe palipo pema coz mafanikio nayaona! Ama hakika watanzania tunako kwenda ni pazuri na tutaishi maisha ya kijanja xna hapo mbeleni itakuwa rahaaaaaa!
@robsonebenedicto5424
@robsonebenedicto5424 4 жыл бұрын
Unajua hata kwenda nchi ahadi yahitaji moyo, kumbuka hata wana wa Israel kwenda nchi ya ahadi ilibidi kuna watu waishie njiani na huyu ndiye Joshua mwana wa nuni atakae tufikisha huko
@kabaranamaganga6646
@kabaranamaganga6646 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba Mh Dkt JPM
@paulshamba1746
@paulshamba1746 4 жыл бұрын
hongera sana rais wetu kwa kuthibitisha uchapakazi wako
@omarykaita43
@omarykaita43 4 жыл бұрын
Mh Rais, wananchi wa kawaida TUNAKUELEWA NA TUNAKUFUATA, Tutakupigania kwa maongezi yetu dhidi ya wale wote wanaokupinga kwa chuki zao binafsi , kila baya watakalolinena basi nasi tutawajibu kwa mema yako uliyoyasimamia na kutunufaisha wote, Tutawambia kuwa ifikapo mwezi 4 mwaka 2022 mradi wa bwawa la umeme Rufiji utaanza kufanya kazi kwa kuzalisha zaidi ya megawatt 2100 na kuziingiza katika grade ya Taifa, wasipoelewa manufaa ya mradi huo, tutawakumbusha kuwa Umeme huo utatusaidia kuokoa mazingira kwa kuokoa Tani za mikaa zinazovunwa kwa matumizi ya nishati, kama hiyo hawatalewa tutawakumbusha kuwa kuna ujenzi wa Mradi wa Treni ya Umeme kuanzia Dar es Salaam hadi Mwanza, Kigoma na hata Katavi kwa siku za usoni, tutawambia Treni hiyo ni ya Mwendo Kasi wa 160 kwa saa na itaokoa muda mwingi tunatumia kwa safari. Najua kuna wale watakao kuwa wabishi zaidi, tutawaeleimisha kuwa sasa kila mwezi zaidi ya bilion 23.8 hutumika kulipia wanafunzi wetu waliopo shule za msingi na sekondari bureee. Tutawakumbusha azma yako ya kuuunganisha vijiji zaidi ya 12400 nchini kwa umeme wa bei ya Tsh 27000/=. chini ya wakala wa umeme vijijini (REA), tutawakumbusha kuwa unadhamira ya dhati ya kusambaza mtandao wa maji vijijini chini ya wakala wa maji vijiji (RUWASSA) na bila kusahau mijini. Mh Rais kwa wale wabishi kama watani zetu WAHA, Tutaendelea kuwakumbusha uboreshaji wa huduma afya kwa kujenga majengo mazuri na kuweka vifaa tiba pamoja na bajeti kubwa ya madawa tena kwa gharama ya Tsh milion 400 mpk bilioni moja kwa vituo vya afya na hospitali za wilaya. Mh Rais kwa sisi tuliopo huku Wilaya Kyela tena karibu na Fukwe za ziwa Nyasa tutaonesha kuwa Barabara ya Kikusya- Matema yenye km 36 imekamilika kwa 98% na itabeba mizigo kupeleka katika meli zetu mpyaa 3 kuelekea nchi za jirani. Mh. Kwa wale wa wananchi wa Maeneo ya Boda ya Kasumulu hasa kata ya Ngisi, tutawakumbusha kuwa tarehe 10/09/19 Serikali imeshawapa Pesa kiasi cha Tsh bilion 5.7 kwa kuwalipa wananchi wanaopisha ujenzi wa mradi wa kituo cha forodha cha pamoja kati ya nchi yetu na Malawi, mradi ambao utagharimu kiasi cha Tsh. bilion 26. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, sisi vijana wako Tuliopitia Jeshi la Kujenga Taifa, Tutakuunga mkono kwa maneno na vitendo, Tutakulinda na kukupigania zaidi zaidi, Tukutie moyo wewe na timu yako, kuwa tupo tayari kuifia nchi yetu dhidi ya maadui wa Nje na Ndani.
@habibushekulamba5071
@habibushekulamba5071 4 жыл бұрын
J.p.m piga kazi mkuu.. Hapa kazi mwendo huohuo wakizingua lalanao mbereee... Tz ni tajiri.. Naamini
@tajiriloibanguti4129
@tajiriloibanguti4129 4 жыл бұрын
Congratulation to Dr.Magufuli that is good implementation
@hidayaramadhan3197
@hidayaramadhan3197 4 жыл бұрын
GOD BLESS YOU MY PRESIDENT. mungu ibariki Tanzania,
@oscarcharles9269
@oscarcharles9269 4 жыл бұрын
Good job congrats Mr presdent JPM
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 4 жыл бұрын
Hongera sana Mr. President,uongozi wako wa haki na ukweli unatugusa Watanzania wote. Asante kwa uongozi mahiri. Mungu akulinde na kukubariki wewe na serikali yote ya awamu ya tano.
@zakariabangaiki1052
@zakariabangaiki1052 4 жыл бұрын
Thanks
@lazarojassely4178
@lazarojassely4178 4 жыл бұрын
Mwaka 2020 endelea kupiga Kazi huna haja ya kampeni maana watanzania wamekuelewa na wanatamani uongoze angalau 15 years umalizie miradi yotee
@sekiondowarema1786
@sekiondowarema1786 4 жыл бұрын
Nitasikitika sana tukishindwa utuongoze miaka mingine zaidi ya 20🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@melickzedeckmunuo190
@melickzedeckmunuo190 4 жыл бұрын
Sawa kabisa
@sekiondowarema1786
@sekiondowarema1786 4 жыл бұрын
Ananibariki sana huyu raisi
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
@ezekielmwalongo8787
@ezekielmwalongo8787 4 жыл бұрын
Kila hotuba ya magu una pata kitu kipya kizuri duu jembe letuuuuuuu
@byshirko3892
@byshirko3892 4 жыл бұрын
Magufuli hakosei kunifurahisha ila akitaka kunifurahisha zaidi aongeza miaka miaka angalau 15mengine kwahali yoyote maana huyu simba tukimtoa tumeumia sana
@burudanitv874
@burudanitv874 4 жыл бұрын
Acha bna
@rashidhassankadege1455
@rashidhassankadege1455 4 жыл бұрын
Jazim Said anachaje sasa
@BiasharaKUBWA
@BiasharaKUBWA 4 жыл бұрын
Asante sana mh. Rais You are a God sent leader
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 26 МЛН
ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI DODOMA .
23:35
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 29 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН