me minding my own business then getting a free kiss ' Mungu utaniua na baraka'
@fridahkamathi573 Жыл бұрын
😂😂😂 kuwa serious ni wewe
@Bobo25414 Жыл бұрын
😂😂😂
@monicamonica4878 Жыл бұрын
😂😂😂😂we upanuliwe aki kabisa
@Kateykatey8737 Жыл бұрын
mungu wako abariki pia wengine😂😂
@monicah8442 Жыл бұрын
😂😂😂😂zidi kubarikiwa
@shiro_lucy Жыл бұрын
Team strong first one here.mpite na likes na mnisipport pia
@ishaqterkawi799 Жыл бұрын
Tuko ndani ka mimba
@AlfieBaddman Жыл бұрын
Done ✅ pitia
@Kalenjinlady Жыл бұрын
Tuko ndani kama fulus 😂😂
@Nancy-bosnia Жыл бұрын
Nipitie nmekupitia
@Nancy-bosnia Жыл бұрын
@@Kalenjinladynipitie nmekupitia
@maryannwangui7403 Жыл бұрын
The guy saying endelea na kazi yako ya kukiss,tafuta kura kabisaa got me laughing 😂😂😂
@kymdavies9698 Жыл бұрын
Ladies never joke with this calm men they are the dangerous breed
@titoshiwa Жыл бұрын
Kuna relatioship zingne huwa zinamakosa madogo madogo but kutokana na watu huwa panic ya haraka hupelekea kuachana ijapokuwa huwa wanaweza kusolve…..the pluto uwe unatembea na watu wakuadvice some mistakes kwenye relationship inorder to make grow stronger in their relationship….but hii relationship ya leo ni kaliiii aiseeeee…. I am from Tz
@ruthkabuu7773 Жыл бұрын
Atlast someone spoke my mind. pluto should look for someone who is abit older and mature for advice purposes and even to avoid having a bias on the situation. i have never missed a single loyalty test and my conclusion is that some of the texts he usually read out dont speculate cheating
@titoshiwa Жыл бұрын
@@ruthkabuu7773 its true….nakipenda sana hiki kipindi
@leahlaizer47433 ай бұрын
Pluto huyo dem anaweza kuwa sawa but ww unafanya mambo yanakuwa makubwa mpee time warekebishe na boy wake usimpanikishe huyo boy
@segy254 Жыл бұрын
Unajua nacheka kwa nini?? 😂😂 hii ni maajabu 😂🤣😂🤣😂
@mumbimarya6643 Жыл бұрын
😂😂
@verahtinega6707 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂wacha nicheke
@jacklinembaika35145 ай бұрын
😂 😂😂 kaende kakienda.
@SultanElvoGaddafi Жыл бұрын
Utaskia dem anasema....kwani mtu kupea baba yake ni vibaya😂😂
@JecintahMuthoni-mk8je Жыл бұрын
Kwani hujaona purity wewe😅😅😅 kwa Dave uko nyuma bro
@winfredkavesa6914 Жыл бұрын
The way girl is seeking defense from Pluto... 😂😂😂To an extent of holding his shoulders
@fridahkamathi573 Жыл бұрын
So sijaona solo😂😂😂
@DavisNgetich-i2l Жыл бұрын
Pluto angekaa mbaya pia yy angepewa free kiss kasalamu😂😂
@monicahmunyao412 Жыл бұрын
The comment I was looking for 😂
@keepitreal.a.s Жыл бұрын
ndio nmecheka yaani anampada pia😆😆😆😆😆😆
@igcateshiks1871 Жыл бұрын
Pluto umekataa free kiss ivo tu
@Alipokwach Жыл бұрын
Pluto as a host you should not judge na kuambia mtu ati huyu dem ni mbaya. Show us what is happening and let us judge. Dem anaweza kuwa na makosa but siyo hiyo degree mnaiweka. Furthermore hawa wamedate for only two months and they are still learning from each other
@loreignjoy9919 Жыл бұрын
Everyone can judge
@ronnykipkuruny2540 Жыл бұрын
Hapa ni kukosa akili 😂😂💔
@bobonyango8969 Жыл бұрын
Very well put my brother. I totally concur. Pluto should not play judge and executioner. He's supposed to remain neutral at all times.
@Believingitright Жыл бұрын
Pluto has a narrow brain, even the laughter says it all.@@ronnykipkuruny2540
@IbrahimMacharia-l5o Жыл бұрын
Kwani yy si binadamu ati kila mtu ako na mind na anatumia venye anataka
@EveIvy-y1q Жыл бұрын
The way Pluto is letting violence go on without intervening and how his security person is taking his sweet time in recent episodes is sickening. Kama watu wanaachana waachane tu without violence.
@SheilaJepkoech-w8k Жыл бұрын
You got good English
@hopeshow4529 Жыл бұрын
It's so uncomfortable to watch
@rayokamash3524 Жыл бұрын
Cryyy
@annnthenyamukusya3177 Жыл бұрын
Not good
@kingspanner1385 Жыл бұрын
Pluto choses who to protect ndio maana wengi hupigwa on his watch akicheka
@nancyarichu6129 Жыл бұрын
It's the sarcasm in Pluto's laugh that always breaks ma ribs😂😂😂😂
@lil_breezy254 Жыл бұрын
Pluto u have made my day😂😂the way unasema a kiss maboy wingine 😅😅na anaenda 2
@ggoni5493 Жыл бұрын
surely.. ati kiss huyu.. na anakiss tu stranger kuprove it's normal there's nothing normal there..alisema she kisses her friend pekee kidogo kidogo anakiss watu tu random kwa Barbara
@omarilameck8493 Жыл бұрын
Boy, has the logo on the 👕 #get smashed 😂😂😂. Pluto, how you chose this couple is so amazing 😂😂😂
@ROBERTMUSEMBI-rv7rx8 ай бұрын
Nimeona io pia 😅
@WavinyahAbbiegail7 ай бұрын
𝑻𝒉𝒆 𝒄𝒐𝒎𝒎𝒆𝒏𝒕 𝒊 𝒘𝒂𝒔 𝒍𝒐𝒐𝒌𝒊𝒏𝒈 𝒇𝒐𝒓😂😂😂😂
@Rafthegamer259 Жыл бұрын
People should learn to compliment each other,,, not mocking buh mko an shida ya macho an bado mapenzi inawashow kivumbi.... Eeeeiiii🤣🤣🤣
@tygawoods2584 Жыл бұрын
In pluto's voice...Kwani sisi ni Wazungu😂😂😂
@saitotisapiyo5997 Жыл бұрын
Nikiona hizi vitu zikifanyika narudi kwa mandiko. 2 Timothy. 3:1-4. Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda, fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, 3 wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingizaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, 4 wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;
@denniswavomba534 Жыл бұрын
Mbogi kusikia ni kiss Wasee wawili wanaume wakajaa sana juu ni ya bure 😂😂😂😂😂
@Denno124 Жыл бұрын
Vile dem anatembea .😂😂😂 that girl belong to the street bro run 😅
If it involves hurting men mm mniamshe ata saa sita😂😂😂😂😂😂😂😂Good job girl👏🏼👏🏼😂
@_peter_m Жыл бұрын
You belong to the s....
@wanjirugichuka2501 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 you are so toxic 😅😅😅
@JANE-vt2du Жыл бұрын
Byt she has degraded herself 😂😂there are many ways and better ways tu hurt men hajui 😢😂😂
@_ythera_ivy Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Biaru14 Жыл бұрын
@@wanjirugichuka2501 😂😂😂😂
@dianjoy Жыл бұрын
😹 😹 😹 😹 Huyu dem n "Malaya" 😂😂😂mate y mtu hujui tf 😂
@brendaokola3893 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂this episode concludes all loyal tests of @thee Pluto of this year😂big up man💪💪😘
@lovin_thiss Жыл бұрын
😂wapi likes zangu nionyeshe aunty yangu chenye msichana wake hufanya huku nje
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
Unamjuwa
@danielmollel5538 Жыл бұрын
kiherehere utaacha na wewe akuna kitu mbaya uyo dem amefanya anasema ukweli
@danielmollel5538 Жыл бұрын
uyu Jamaa anampenda dem wake na awezi.muacha
@Curlyfinemeril3 ай бұрын
😅o@@galaxyqwer7438
@Gigivivi-b2l Жыл бұрын
Pluto huchocha hadi anamake sure couple imeacha, thats too bad, unachimbua nn,???
@lilianwakhu8867 Жыл бұрын
Sasa kiss ndio anapeana hivo,,huyu ata anaeza kulwa na anything,,Jesus!! I respect my boy somuch,,can never be me doing this to him
@owenmurimi578 Жыл бұрын
The guys given a free kiss must have found favor from Heaven.Some of us hatutawahi angukia😪
@SallyK-jq5kx Жыл бұрын
😂😂😂 kuja nikukiss
@Maria-ju9by Жыл бұрын
Kuja kipande hii 😂😂😂😂
@owenmurimi578 Жыл бұрын
😂na usinichoche@@SallyK-jq5kx
@owenmurimi578 Жыл бұрын
😂Pin location siezi dissapoint@@Maria-ju9by
@princesscarol7409 Жыл бұрын
Pluto is enjoying hiyo part kama ni kiss ni normal salimia huyu 😂😂😂😂
@villagelifeafrica957 Жыл бұрын
The way the boy is standing, he has PhD in gossiping 😅😅
@brendaokola3893 Жыл бұрын
😂😂😂
@SheilaAtieno-iw4yd Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ehhh
@sheilakwamboka118711 ай бұрын
😂😂😂
@Carloeprince11 ай бұрын
Hi
@ababagfx Жыл бұрын
"Kukiss mtu kuna shida" got me😂😂😂
@violetmokaya622 Жыл бұрын
😂😂😂😂camera man ame hakikisha tumeona hiyo couple iko hapo kwa gate
@consolatasyombua3789 Жыл бұрын
😂😂😂 we watu hawako serious Na relationship
@KenyanUnicorn Жыл бұрын
Why do men feel they have the right to get violent with their girlfriends?? Love is not by force it's not like you are joined by the hips, just let someone go and find someone who deserves you. This is why youths wanauana because of stupid jealousy, just grow up and leave.
@AdhiamboOdhiambo62 Жыл бұрын
yes ukweli nipitie
@bobonyango8969 Жыл бұрын
Thank someone here addresses this issue of violence against women....love should not hurt
@JuliusMacharia-oe1xu Жыл бұрын
@@bobonyango8969 love should not hurt but heart break does.
@bobonyango8969 Жыл бұрын
@@JuliusMacharia-oe1xu And you deal with heartbreaks with civility. Time is a healer
@sammymaroa4196 Жыл бұрын
From your point of view, do u think this gal is Normal
@rosewanjuki Жыл бұрын
Team strong mliacha kuamisha grape na apple za nunu kwa fridge ama cheating iko kwa damu. Pita na likes tufike +254
@ishaqterkawi799 Жыл бұрын
U 😪
@estherwanjuki1468 Жыл бұрын
Wanjuki im also wanjuki could you be my sister maybe? 😂
@rosewanjuki Жыл бұрын
@@estherwanjuki1468 🤭
@Kalenjinlady Жыл бұрын
Hatujamaliza kuamisha na kuiba snacks za nunu😂😂😂😂
@AdhiamboOdhiambo62 Жыл бұрын
tumepita na likes nipitie kwa sub
@Felistermutune Жыл бұрын
Napenda venye huyo girl anashikilia thee Kwa shoulders 😂
@cecilykuthii598 Жыл бұрын
Wueee ni kauchungu ka kuvutwa nywele buana😢😢
@ericmwania3411 Жыл бұрын
Kwan dame wa MCA tricky ako na good manners aje,
@Carolinanjo Жыл бұрын
Waaah si huyu security man ni mrefu 😮😮😮
@actawazzertv962 Жыл бұрын
Ni mrefu
@favourmoragwa6580 Жыл бұрын
😂😂😂Thee Pluto hii offer iko side gani? hizi kisses bana zae yaani umeamua kuokolea maboyz leo hadi nmeona kamjeshi hapo nyuma yako wakissiwe basi😂😂😂🙈
@nestagoldly7279 Жыл бұрын
That Rastafarian man us height Pluto 😂😂😂😂😂
@catenash9405 Жыл бұрын
😂😂anamuona ady kwa akili
@estherjimmie1179 Жыл бұрын
The gal is very clear...tena it's not a deep kiss ni pec tu🏃🏃🏃🏃
@judithkendi69956 ай бұрын
😂😂
@andrewouko Жыл бұрын
the way pluto ameadjust kofia after dem kuuliza ka wanaume hudinya mdomo🤣🤣🤣
@jimmykungu7502 Жыл бұрын
Dela is the best security person in the show....he doesn't hesitate....anafaa arudi
@kajaneseniorsir2170 Жыл бұрын
Izzoh pia was good and strong. Na pia very fast
@MaryNdungu-im3zw Жыл бұрын
Yes izzo was strong and fast😂hawa wengine ni maembe
@Lexielexis2003 Жыл бұрын
Watu hata waogopi ma ugonjwa ... Wuee💔
@CarolGitau1 Жыл бұрын
This is shameful😂😂😂
@ggoni5493 Жыл бұрын
ameitwa MCA😂
@kitavibrian6766 Жыл бұрын
naeza taka kujua THEE PLUTO ANAENDANGA ROUND NGAPI NA BIBI YAKE.....
@sitisuleiman78894 ай бұрын
2😂😂😂
@allthingshub593 Жыл бұрын
pluto alisinywa na huyu dem mapema mapema🤣🤣🤣
@sharonmundia9457 Жыл бұрын
It's Pluto's smiling that makes me come back to this show😂😂😂the laughter aki....the look on Pluto's after msichana anauliza kama kukiss mtu kuna issue😢😮and the way uyo msichana ameshikilia mtu trying to seek defence after ameangushwa na boy....yaani kwani tunaishi dunia gani kama kukiss ni normal and😂😂😂 she's really defending that saying it's a way of greeting.😮😂😂😂..I feel for the boy😢yaani kweli apa hana dem nikama hayuko even kissing that guy in the name ni salamu tu
@sharonmundia9457 Жыл бұрын
Alafu kanasmile nikama hakuna kitu amefanya😂😂😂
@partypulsetv Жыл бұрын
Dope❤...nifikisheni 2k subscribers,niko na mixes kaliii🔥🔥🔥
@annembau4182 Жыл бұрын
Mimi na think they judged her too hard she aint badly off like others...Alafu hio kissing stuff inakaa kitu amezoea innocently
@mumtahannamumtahanna42827 ай бұрын
Haina makosa
@janekamau3560 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤allllllright ...niko hapa na couple ingine marindadi kabisaa 😂😂😂en then boom cheaters ...teamfuluss kma kwaida ....hrtbreak niya pesa😂😂
@BellahAidah Жыл бұрын
Banaaa😂😂😂heartbreak n fulus khalas
@janekamau3560 Жыл бұрын
@@BellahAidah manze 🤣🥰🥰
@carolwanjiru4764 Жыл бұрын
Pluto ww😂😂ati salimia huyu ,,,salimia ule sini salamu salimia msee Wa bike pia uuui kama Baya n baya
@cellinekiti3170 Жыл бұрын
as a business owner and CEO she get an A for dedication😂😂😂
@JaneNjenga-z7w Жыл бұрын
Sisemi kituu
@MtaiBabra Жыл бұрын
😅😅😅
@AdhiamboOdhiambo62 Жыл бұрын
munipitie
@brayanyyobrezz5973 Жыл бұрын
Huanga baad
@christineakiru7002 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@dennoh55 Жыл бұрын
That's being disgraceful in front of your man😢🎉
@djshekez254 Жыл бұрын
😂😂😂😂wueeh ii nayo ni mchezo,,na uyu dame anang'ethia tu apo akiongea venye anataka surely,,na yeye uyo boy kwan ni wa kwa akina ruto 😂😂
@CypianRutoh7 ай бұрын
Ni mturkana😂😂
@bobompole Жыл бұрын
😂😂😂😂aaaaaah ingekua poa angeangushwa hapo kwa matope 😅
@linahreen6778 Жыл бұрын
I love how Pluto laughs in the middle of questioning
@DollarSign-icu14c Жыл бұрын
😢for real nakaonea huruma tu hako kadem
@kenyankingpeskingdom410211 ай бұрын
😂😂😂😂
@israelcrown704 Жыл бұрын
The way the boy in blue reacted after being kissed😅😅😅😅
@ritahalphonce7215 Жыл бұрын
😂😂😂
@Blackbarbie921 Жыл бұрын
baraka😂😂😂😂
@evanskimutai49274 ай бұрын
She is being honest 😂😂😂iko tu sawa,pia mimi nataka salama
@Wambere Жыл бұрын
Kissing is so personal kwangu😂😂 siezi kiss mtu ovyoovyo🫴🤧🚮
@leshmax61 Жыл бұрын
Me too
@Raliyaibrahim-th4lx Жыл бұрын
Same here😂
@JanetMwendwa-i8wАй бұрын
I only kiss my hubby ama mtoto wangu pekee others mtu akae na umalaya wake
@NancynyamburaNgarama11 ай бұрын
Theaz a couple behind you Pruto😂😂😂
@miriamchebet6118 Жыл бұрын
I think huyu dem ametoroka hosi😂
@norahricks2590 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@lydialuttah7288 Жыл бұрын
Mathare ama😅😅😅
@miriamchebet6118 Жыл бұрын
@@lydialuttah7288 yeah akili yake aina akili
@lydialuttah7288 Жыл бұрын
🤣😅😅
@leo_pandababy Жыл бұрын
Surely 😂😂😂😂😂
@Momofone777 Жыл бұрын
Team strong nipitieni nifike ata 50 subscribers nitashukuru God bless you
@lucyMwikali127 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Weuh 🙌 zii Enyewe apa hakuna relationship 😂😂😂😂😂💔
@AdhiamboOdhiambo62 Жыл бұрын
Kumbe umeona
@laurinekaingu824 Жыл бұрын
Pluto sema tu ukweli unabambika akikiss ju yy hajasema anataka kukiss wee ndo unamwambia kma ni salamu kiss huyu😅😅😅hii ya leo ni motoo akiii
@ragawan8641 Жыл бұрын
kama uyu boy hapendi dem agekua ashaa tembea kitambo😅😅😅😅😅
@TeresiahKatta-or1ol Жыл бұрын
Siku hizi kiss n salamu weuuh🤣🤣🤣🤣🤣🤣,huyu dem belongs to the street
@sirmburujohn8622 Жыл бұрын
Pluto tafuta microphones kama zile za stivo ama Samaritan, hii yako inapiga kelele sana
@IANMULEIMUTUA-wp6cn11 ай бұрын
Baraka woooi nimesimama tuuh then boom a free kiss. Mungu bariki wengine pia
@catherineahawo822 Жыл бұрын
He doesn't have to be violent.
@janifferg436 Жыл бұрын
Ni salamu tu😂😂
@PuriiMakzАй бұрын
😂😂😂😢
@ggoni5493 Жыл бұрын
28:25 deep kiss ndio inamtter halot deep kiss ndio inamatter halot...guys okay😂😂🤣
@joymwenda3903 Жыл бұрын
As if kissing the first guy was not enough, she had to confirm with kissing the second one..This girl is sick😂😂
@JaneNjenga-z7w Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😅
@thepearlstudioske045 Жыл бұрын
Fr😂😂😂😂😂😂😂😂
@bobonyango8969 Жыл бұрын
She's conventional
@gidgetalvin3313 Жыл бұрын
Harafu anachoshwa na Pluto na anaenda tu kama mbuzi
@RwachiryoraWema Жыл бұрын
If she kissed the chick that's normal hi yake ni ugonjwa
@kamauskitske9821 Жыл бұрын
Bro huyo manze anadanganya... But congratulations bro to your work.. Happy merry Christmas bro..
@pabloshaban2909 Жыл бұрын
Kwani kila mtu ako University..kama uko collage be proud baanaa ............na kila mtu anasema zitech ......😂😂
@LinetKageni Жыл бұрын
😂😂😂
@jorryjoy1504 Жыл бұрын
😂😂😂😂kama ni mpoa wangu hao maboi wa free kiss wangeuliwa
@stevecamwana10 ай бұрын
nimepeda uyo boi wako
@corazongoodluck1241 Жыл бұрын
Pluto ww ni mchochezi😂😂😂😂😂😂😂😂.
@MarieMM7776 Жыл бұрын
Hata Pluto pia wewe ungekisiwa😂
@cyrusmatheka6357 Жыл бұрын
Tricky kujia bratha ako anaumizwa na mapenzi uku
@kamaunjoroge6506 Жыл бұрын
Aki siku Moja thee Pluto niite twende show tukacheke pamoja
@queenqueen1649 Жыл бұрын
If you ask me, that girl has been misused in this video. Pluto you made that girl kiss two men just to embarrass her Infront of her man. You knew she will do it and went ahead and dared her to do it. This is sickening. Tell me what the girl will think when she rewatches this video. It hurts me to watch this video. To make it worse you watched her get beat up and did nothing. Ilibidi mtu ajitokeze kumsaidia. Please that girl needs an apology for doing this on camera. Her kissing another man on camera was your Idea not hers. And her boyfriend should be ashamed for allowing her to do that. He showed no love towards her. It's my genuine opinion and I hope we are allowed to have one. Thank you
@Unknownsomali Жыл бұрын
Thats the fact walai💯
@dianalopodo2520 Жыл бұрын
Too bad 😢😢😢
@munehjd9118 Жыл бұрын
I support you . Pluto likes to judge a lot . He needs to know that other people options are also right . 2 months is not a relationship
@castymwende9587 Жыл бұрын
But she is mature enough to know what she is doing ,,,
@berthamuthoni6858 Жыл бұрын
facctttsss
@Rubby2030 Жыл бұрын
Thee Pluto always chase away the school going kids
@LinetKageni Жыл бұрын
😂😂
@Hasfah-880 Жыл бұрын
the first guy was really waiting for the kiss😂😂😂😂😂😂😂
@-stellastar Жыл бұрын
😂😂😂😂thee ploto vile anadanganya kadem kakiss😂😂😂😂whiii
@I_am_adamaka Жыл бұрын
Me nimebaki hapo kwa lips kama nang'aria😂😂😂
@mcmanu66215 ай бұрын
Kuna baraka zingine zinakufuata tuu ,nko zangu nachill then a random kiss 💋💋💋💋 aki mungu weweeee.
@joshuamoi5423 Жыл бұрын
Its the boyfriends shirt for me😅😅😅😅😅.....
@jescahawino4601 Жыл бұрын
Aaaaah,hio tu,,,,hakuna makosa hapo Kwa kiss,,,,,,but Dem Ako na Jokes mob😅😅😅😅😅😅😅
@kingspanner1385 Жыл бұрын
Pluto you owe an explanation why you didn't protect the girl at 1st attack,so bad😢
@Etole Жыл бұрын
Sad indeed
@AndrewkipngetichRotich Жыл бұрын
Jesoo kotonooo alen abusat araget 😂😂😂😂
@earnwithme65159 ай бұрын
@@AndrewkipngetichRotichkele berber araget oo😂😂
@LionessDadsDotaMoura3188 Жыл бұрын
Iko sawa kiss ya cheeks sio lps😂😂😂hamjamuelewa alisema ni sal@mu kwa mabeshte wake sio strangers..
@abelnjeru1410 Жыл бұрын
pluto huyu dame ako na point.....try to understand this girl acheni kuona kama ni wazimu.....
@jacintamuthoni103 Жыл бұрын
Bt pluto surely bona msimame dame akichapwa,ata kama anacheat hafai kuchapwa,venye amevutwa izo braids
@richyke4447 Жыл бұрын
Bro ishia tu home😂😂😂😂
@theequeens48 Жыл бұрын
The way pluto atanaka to watu wasalimiwe 😂😂😂😂tena pluto laughter 😂😂😂😂😂😂
@MarliAdan Жыл бұрын
😂😂 Enjoying the show from Somali 🇸🇴
@yobojr8043 Жыл бұрын
Mko hapa pia maryooley😂😂
@kevohskydadii70264 ай бұрын
Hayla Egule 😅😂 Huyu ndo aliniambia nisiachane na cousin wake na anakiss wasee random 😂😂😂Dunia simama nishuke 😂😂
@loreignjoy9919 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Pluto's laugh
@Maggie-queeny Жыл бұрын
@theepluto pia WWE kubali salamu😂😂😂😂this lady keep off all men.....huyu sio Dem💔
@UmutoniOlive-r2k Жыл бұрын
Wooii a feel for this boy😂😂
@_lexuslexy Жыл бұрын
Na eti nashtuka Sina mtu.....ata siwataki.... proofing the point ghaiiii
@naomisolo2302 Жыл бұрын
Pluto mchochee kabisaa😂😂😂
@margaretrichard4272 Жыл бұрын
Adika take care huyu dem atakuletea HSV-1 achana naye completely
@sheryskay5536 Жыл бұрын
Pluto, your security guy is useless. Anabaki mbaaali kukiwa na drama 🚮
@bobonyango8969 Жыл бұрын
I totally agree, he should be more quicker. Hii si fashion show.