HOUSE GIRL EP 18 | S2 | love story💞💕

  Рет қаралды 125,691

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 1 500
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
Bonyeza hapa kutazama Filam ya Play Boy Full kzbin.info/www/bejne/oJm4k5dol657hKcsi=zGhIlpQ9u5zUmO5D
@user-me5vv6bb2z
@user-me5vv6bb2z Ай бұрын
Jmn Mr Tasha asimuoe Sania jmn naomba amuoe zatiti Jmn
@abdulmalkiissa5203
@abdulmalkiissa5203 Ай бұрын
Toa ya 19
@MozesFilip
@MozesFilip Ай бұрын
Masikini kay
@MariamHamisi-ti9vb
@MariamHamisi-ti9vb Ай бұрын
Jmn huyu boss wa vipi lkn amuache kai bana aowe zuu😢
@FaridaMousa-xy2rk
@FaridaMousa-xy2rk Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-qv7dm4ok6g
@user-qv7dm4ok6g Ай бұрын
Wenye wanategea harusi ya zatiti na Tasha kama mimi wachilia comment na like kwa wingi ❤❤
@GiftIsdory
@GiftIsdory Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@SalomeNzadze
@SalomeNzadze Ай бұрын
Npooo
@emmamedda9035
@emmamedda9035 Ай бұрын
Harusi tunayo natunatamba nayo
@MeryflorianiFloriani
@MeryflorianiFloriani Ай бұрын
Kai usi kubali
@JamilaJuma-kl2em
@JamilaJuma-kl2em 29 күн бұрын
Shida saniya
@user-is4ts6gz6t
@user-is4ts6gz6t Ай бұрын
Huyu boss anapenda mambo hayo jmn wanaomfatilia pia kwenye wrong house gonga like 😂
@phyilicereanson4975
@phyilicereanson4975 Ай бұрын
Exactly na nguo moja 😂😂😂
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 Ай бұрын
Yani na nguo hiyo hiyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Kidoaaisha
@Kidoaaisha Ай бұрын
​@phyilicereanson4975 na hyo nguo anaipenda😂
@Kenunto
@Kenunto Ай бұрын
😅😅ata mimi nasangaa na yeye​@@rehemakatundu7027
@matatomlik1846
@matatomlik1846 Ай бұрын
Na hii nguo habadilishi
@jecintermumbua2829
@jecintermumbua2829 Ай бұрын
Asante sana kai kwa kua na msimamo 👏👏👏👏👏❤️❤️
@TeleziaMtafya
@TeleziaMtafya Ай бұрын
Nalo boss ili limetokea wap jaman ivi kama na ww umekeleka kama Mimi gonga like apa
@user-ff4yf2nq7t
@user-ff4yf2nq7t Ай бұрын
Limetokea kwenye Wrong house linakera kweli jamn natamani lingebaki hko hatutaki nuks kwenye mchezo wet😭
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 Ай бұрын
Limenisinya aki ,vyenye tuliombea zuu moka akaponq sai sijui boss atokea wap
@ellahjonas4881
@ellahjonas4881 Ай бұрын
Huyu kai yupo kama bwege hapa hakuna ndoa
@JustaMartinsEduardo
@JustaMartinsEduardo Ай бұрын
Ata simwelewi elewi huyo Boss wake 😢alikuwa wapi sukuzote
@RamadhaniSaidy-fg9bn
@RamadhaniSaidy-fg9bn Ай бұрын
​@@user-ff4yf2nq7thaha😂
@SophiaKileo-uj2lr
@SophiaKileo-uj2lr Ай бұрын
Huyu boss mbona simuelewi jmn😮😮 kama kunamtu amuelewi boss embu gonga like ❤
@user-le6xc6ei5x
@user-le6xc6ei5x Ай бұрын
Huyu kila movie anataka bwana ya wenyewe
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u Ай бұрын
Jamani mi sitamani kabisa Sania kuolewa na Tasha wanaoungana na Mimi piga like
@AbigaelVosevya
@AbigaelVosevya Ай бұрын
Ata mm sitaki ifanyike hivyo, apotelee mbali
@SylvesterMusau-l9q
@SylvesterMusau-l9q Ай бұрын
Kwanza me ndo sitaki kabisa tasha na zatiti😂
@VioVdn
@VioVdn Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉mimi
@EzekieliBakari
@EzekieliBakari Ай бұрын
@@RehemaMwakisyala-k9u me mwenyew sitkk kwanz hat hawaendani kbcc
@HaapyLukumay
@HaapyLukumay Ай бұрын
Mmi pia sitk
@HeavenlghtJohanson
@HeavenlghtJohanson Ай бұрын
Hili boss kivuruge jamani Kilamahali linataka wanaume zawatu na hilo koti lake la kitenge nyooo
@HamedSalim-pz4eh
@HamedSalim-pz4eh 24 күн бұрын
Jaman mnatukana watu, hiyo ni actiob
@HamedSalim-pz4eh
@HamedSalim-pz4eh 24 күн бұрын
Jaman mnatukana watu, hiyo ni actiob
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj Ай бұрын
Kai kua makini sana na boss wako atakuaribia ndoa kma waamini achilia like
@rosemarenga832
@rosemarenga832 Ай бұрын
Mm nishasem Kam bass ndo uy bas ndoa tusahau kbx labd tungon ya zatit na tash😅
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj Ай бұрын
@@rosemarenga832 kweli kabsa maana boss akuja juu ataka mapenzi lazima
@user-bq9zj5sm7i
@user-bq9zj5sm7i Ай бұрын
Hii movie itanisinya km hyu mtu mzima ovyo akilendeleea kuja Kwa kai
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 Ай бұрын
Mm anisinya aki huÿo boss wake ,roho chafu anataka kuharibu
@AminaPtg
@AminaPtg Ай бұрын
Huyo boss nikidudu mtu
@LinusMsimbano-uq1kg
@LinusMsimbano-uq1kg Ай бұрын
Kai kuwa Makin na uyo boss wako asje kualibia tena kama cendy Kai Kai Kai kuwa Makin nataman sana umuowe zuu boss wako uyo asikutishe na mali zake wanaokubaliana na mm gonga like apo
@VioVdn
@VioVdn Ай бұрын
Amen waa hapa nimungut mana shetani kakaribia sana😂😂😂😂
@rosechepkorir4998
@rosechepkorir4998 Ай бұрын
Weee Kai jungana na hyo boss's wko kma anakutishia na Mali zke wacha ikae
@febianakenedy2755
@febianakenedy2755 27 күн бұрын
Kaniboa htr
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Ай бұрын
Ambao hatumuelew bos wake khaiiiii please gonga like.... Tujuane ......😂😂😂
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Ай бұрын
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
Nakwambiya kaja kama inzi kwenye maziwa zushangai ananikera bala 😢
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
​@@RizikiZiki😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
Ya wrong house yamemshinda😏
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Ай бұрын
​@@RizikiZiki❤❤❤❤
@nadzuwazidi
@nadzuwazidi Ай бұрын
Huyu boss sikuzote yuko wapi jameni yuataka kuharibu ndoa ya daa zuu na kaka kai wanao muchukia boss gonga like apo
@user-tk6ms5lj5y
@user-tk6ms5lj5y Ай бұрын
Silipedy hilo limama lann
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 28 күн бұрын
Vidudu watu hawaa,,, wanataka tu kumlizaa zurii wetu
@user-bj2ht1oe5i
@user-bj2ht1oe5i Ай бұрын
Kai boss anakuaribiandoa huyo gonga likes tukisonga watching from kenya
@MaxmillahAdema
@MaxmillahAdema Ай бұрын
Huyo boss ni mkubwa Kwa kai
@VioVdn
@VioVdn Ай бұрын
Aki huyu boss katokawapi jamani 23:01
@user-mp4qh2dv1e
@user-mp4qh2dv1e Ай бұрын
Boss wa Kai ushaongea ukwl pesa sio kila kitu waeza pendwa na mtu huna mbele wala nyuma but mapenzi n upofu wa macho kwl Kai upo sahi nimefrahia sana leo kusikia hivo ndoa tunayo kw zuu wale wakuhonga wanaume mukue rada 😂😂😂😂😂😂❤❤🎉🇦🇪
@naomymasore7969
@naomymasore7969 Ай бұрын
Huyu boss wa kai hajui bibi zuu hapendi ujinga,atachuta😂
@SalamaFrancis-yg7sr
@SalamaFrancis-yg7sr Ай бұрын
😂😂atajuta
@user-hq8gf9hv2n
@user-hq8gf9hv2n Ай бұрын
Kabisa 😂😂
@user-eb4vj3xy6y
@user-eb4vj3xy6y Ай бұрын
Atajutaa
@user-yx4uh9ze9v
@user-yx4uh9ze9v Ай бұрын
Acha ajichanganye😂😂😂
@user-yx4uh9ze9v
@user-yx4uh9ze9v Ай бұрын
Sania alisema bado Ako na uschana wake Leo anasema mbaba waliachana kitambo 😂😂😂😂
@happymarco3712
@happymarco3712 Ай бұрын
Boss wake Kai anatoa funzo kwamba pesa sio kila kituu au pesa sio kigezo Cha kupata chochote unachotaka😊 wanaosoma ni kweli gonga like
@NancyKadzo-zk3tp
@NancyKadzo-zk3tp Ай бұрын
nawapenda sana kutoka kenya niwape pongez wana busati ❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏
@user-vz7qe8im6d
@user-vz7qe8im6d Ай бұрын
Alafu huyu boss wake kai si ndo yupo na kwenye muv ya wrong house na huko mambo ye ni haya haya ya kuiba wanaume wa watu nan anajua hlo gonga like kama umeona hlo
@user-ey7jz1hr5k
@user-ey7jz1hr5k Ай бұрын
Na nguo ileile 😂😂😂😂
@MagretNasurutia
@MagretNasurutia Ай бұрын
Na nguo moja
@edinnaelizayo6837
@edinnaelizayo6837 Ай бұрын
Na nguo zake ni hizo hizo
@mauamaua1228
@mauamaua1228 Ай бұрын
Hujakosea n yy
@LoyceHijja-jq1gc
@LoyceHijja-jq1gc Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f Ай бұрын
Nani anaona ndoa ya zuu itakua changamwoto tujuane🎉❤🎉❤
@glorykadzo
@glorykadzo Ай бұрын
Ashindweee huyu bosss😂😂😂
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f 29 күн бұрын
@@glorykadzo kbx
@Brother-moses2vs7bi1v
@Brother-moses2vs7bi1v Ай бұрын
wangapi waliokua wanaomba mamake Mr Tasha ajue Sonia sio mwanamke mzuri 🤚🤚🤚🤚
@VioVdn
@VioVdn Ай бұрын
😂😂😂😂
@AshaRidhiwani
@AshaRidhiwani Ай бұрын
Lakin so kaamua kubadilika jaman😂😂
@zuwenaali3698
@zuwenaali3698 Ай бұрын
Kweli Sania kaamua kubadilika lzm apewe nafasi ...tasha wed sania❤
@GloriaMwaiteleke-vf4kj
@GloriaMwaiteleke-vf4kj Ай бұрын
Huyu bos wake kai subili akutane na mizimu ya bibi zuu ndo atajua hajui. 😂😂
@user-ur4xx1fd2g
@user-ur4xx1fd2g Ай бұрын
😂😂😂We muache
@gugcccvgfghh2902
@gugcccvgfghh2902 Ай бұрын
Kweli kbs atajuwa hajuwi
@James_junior_og
@James_junior_og Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-ze3ml3rz4w
@user-ze3ml3rz4w Ай бұрын
Kitamramba 😂 tu
@lutfiyahsaidi6666
@lutfiyahsaidi6666 Ай бұрын
😂😂😂 we mwache tu
@user-cg8ti1re1t
@user-cg8ti1re1t Ай бұрын
🎉🎉jaman huyu boss w kai mbona kama naona anatka kuharibu ndoa katokea wp .🎉🎉kai kua makin n boss wko .🎉🎉bila kusahau nawaomben like😢😢
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Ай бұрын
Mama Tasha kazia hapohapo nakupenda mama ang
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kamkonde kaondoke bana
@user-vo8wy4dw8c
@user-vo8wy4dw8c Ай бұрын
Umeona ee 😂😂 ksondoke bhana​@@maryammaryam7354
@suzan2929
@suzan2929 Ай бұрын
Lakini tasha anahalibu
@Gladys-254
@Gladys-254 Ай бұрын
Pia mm nmeanza kumpenda huyo mama nampa mauwa yake🎉❤
@christinewanga7385
@christinewanga7385 Ай бұрын
​@@maryammaryam7354😅😅🎉🎉🎉
@user-dp3fv2kh4l
@user-dp3fv2kh4l Ай бұрын
Wee boss wa kai hebu jiangalie umri wako na umri wa kai mtu mzima ovyo nyoooo
@user-gs3hx3kd3r
@user-gs3hx3kd3r 29 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u Ай бұрын
Nimewah Leo jamani nawapenda wote munaofuatilia house girl
@zawadisaid3454
@zawadisaid3454 Ай бұрын
Mmmh boss nae 😂😂😂😂 kalia kisa mapenzi ya kai zuu shikamoo mama ❤❤❤❤
@FellyneDagal64
@FellyneDagal64 Ай бұрын
Like ni kitu ya kunyima mtu guys 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅❤❤❤❤❤
@MarthaPastory-ur6mj
@MarthaPastory-ur6mj Ай бұрын
nani anakumbuka km sania alimwamby Mamkwe ye ni bikra vp tna kavuruga kusema yule mbaba alikuwa ex wake
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
😂😂😂 kajichanganya
@FlorenceOjodo
@FlorenceOjodo Ай бұрын
Kajikoroga😂​@@bennamush4616
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq Ай бұрын
Wagapi tuko tunasubiri arusi ya zatiti na Tasha🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AnastaziaStephano-s1z
@AnastaziaStephano-s1z Ай бұрын
Jmniiii mzeee haon aibu kbsaaa duuuuh we boss wew mchaw kbsaaa
@user-me5vv6bb2z
@user-me5vv6bb2z Ай бұрын
Mr Tasha asimuoe Sania jmn naomba amuoe zatiti. Jmn Mungu naomba usikie maombi haya
@user-on3kz2kq7k
@user-on3kz2kq7k Ай бұрын
Amen🙏
@FelisterBuhitu-xf9qv
@FelisterBuhitu-xf9qv Ай бұрын
Unavyoomba ingekua sio movie sijui ila utajibiwa kupitia movie maombi yatapokelewa na wataoana
@adelaa.magnusy5820
@adelaa.magnusy5820 Ай бұрын
Mungu mwepushie kai na shetan Boss asiingiwe na woga wala tamaa za pesa😢
@user-nj9tq1kw5k
@user-nj9tq1kw5k Ай бұрын
Mungu mpiganie zuu wetu maana boss anazingua😢
@MariamNasoro-v4f
@MariamNasoro-v4f 19 күн бұрын
Yaan hili bosi lake kai linakera wanaomchukia namba like zenu bs
@KarungiAngelique
@KarungiAngelique Ай бұрын
Tangu s1to S2 kufikiya hapa kbs nipen like from Rwanda 🇷🇼
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Ай бұрын
Na amaholo
@KarungiAngelique
@KarungiAngelique 29 күн бұрын
@@happynesbaemuhappynes8813 yego namahor 🤝
@niyaofabian5483
@niyaofabian5483 Ай бұрын
Ningependelea Kai akatae kula alichoandaa boss wake maana Sina Imani nae maana anapenda kulogaloga huyuu kama anavyofanya kwenye boss mchawi, kama na ww unawaza hivyo gusa like hapo
@mwanahamisiswedi3093
@mwanahamisiswedi3093 Ай бұрын
Haswaa
@VioVdn
@VioVdn Ай бұрын
Haswaaa eee jamani boss😂😂😂😂 23:01
@mjwiniPaul
@mjwiniPaul Ай бұрын
Mpaka kwenye wrong house
@FelisterBuhitu-xf9qv
@FelisterBuhitu-xf9qv Ай бұрын
😂😂😂 mwenyewe nawaza ataloga tena maana hachelewii huyuu 😢😢😢
@mouna6920
@mouna6920 Ай бұрын
Ule mama anavo penda kudandia waume wa watu 😢atuachie zuli wetu kai kua na msimamo plzz😢
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz Ай бұрын
Tunawapenda wahigizaji wote kwamuvi zenu zinafungisha sana
@DolisMarcel
@DolisMarcel Ай бұрын
JAMANII SANIA AKIOLEWAA NA TASHAA ITAPENDEZAA NA KUFUNDISHA KUWAA WATU WANABADILIKAA
@AminaKatebo
@AminaKatebo Ай бұрын
Kabisa yaan
@priscilladama8686
@priscilladama8686 Ай бұрын
Kweli kbsaa​@@AminaKatebo
@MargaretKilongi
@MargaretKilongi Ай бұрын
Nashukuru sana kwa kuwa mushajitolea n'a hamchelewi mungu abariki kazi yenu❤
@user-bm1oe9lh1m
@user-bm1oe9lh1m Ай бұрын
Kai kua n msimamo huohuo achn n huyo ....boss yuko ivyo ata kwenye wrong house 😢😢😢😂😂naomb mnipe like😢😢❤
@ngulwiguga8363
@ngulwiguga8363 Ай бұрын
Nawakubali sana busati
@WitnessMaile
@WitnessMaile Ай бұрын
We boss ww acha zako usituharibue utam kwa zuuh na Kai kwenda uko na Mali zako ata Kai na zuuh watazpata tu acha uraghai😢😢
@MauwaSama-t1v
@MauwaSama-t1v Ай бұрын
Kai kuwa makini kazi unayo na boss kivuruga jamani
@12omochildren
@12omochildren Ай бұрын
Kai kai kai kai kai, nimekuita mara ngapi,usituharibie harusi sisi na tushashona vitenge kule mwanza tunakuja nazo hadi mjini dodoma❤❤
@BertaFernandojonas
@BertaFernandojonas Ай бұрын
Nimewai kutoka msumbiji naombeni like
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p Ай бұрын
Hiii message ifike kwa Kai usituchanganye na huyo bos wako😮😮😮😮😮😮😮😮
@FlorenceOjodo
@FlorenceOjodo Ай бұрын
Asitumix😅
@MauwaSama-t1v
@MauwaSama-t1v Ай бұрын
Mmmmh humu ndani ya house girl kuna utamu mwingi na mvurugano
@eunicejohn3994
@eunicejohn3994 Ай бұрын
😂😂😂😂😂Yaan
@user-vj4ig9yr8b
@user-vj4ig9yr8b Ай бұрын
Ww mama toa mikosi hapo.... Mama anatak mapenzi Kwa mtto Kai mmh hovyo... Sjapenda ... Mim. Natka zuu
@user-gb7of9sy7r
@user-gb7of9sy7r Ай бұрын
Namb 1 leo wadau
@user-of8rr8yz1y
@user-of8rr8yz1y Ай бұрын
Najiuliz huy boss kaja moto jmn nipen hat like moj juu yake
@CrecensiaMapunda
@CrecensiaMapunda Ай бұрын
Jmn Shemeji Kai usikubari kurubuniwa na huyo Boss me najua wifi yang ni Zuu bhana🙄🙄
@rosemwende9279
@rosemwende9279 Ай бұрын
Weh boss ,ungejua vile unanitia kichefuchefu wewe,,ungeondoka Tu kabla sijakuchukulia hatua😢,,
@ngulwiguga8363
@ngulwiguga8363 Ай бұрын
Namba moja
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx Ай бұрын
Jaman zatiti wangu itakuwaje naomben like plz🎉❤❤
@user-hf9fh6nk6h
@user-hf9fh6nk6h Ай бұрын
Taratibuni mwanikanyaga sikwambio hizo kaaah😂😂😂
@NeemaRegina
@NeemaRegina Ай бұрын
Jaman khaii kuwa makin usijeukamsalti zuu af Tasha tunategeme harusiysko na zatiti😂
@KhadijaMwinjuma
@KhadijaMwinjuma Ай бұрын
Mhhh mama tasha naye hayupo nyuma anachambaa😅😅
@marthanassari3524
@marthanassari3524 Ай бұрын
Jamani Sania wangu 😔😔
@roseangels8046
@roseangels8046 Ай бұрын
Nice movie, nice learning ❤
@AlineBaby-m5l
@AlineBaby-m5l Ай бұрын
Watu munatamani kuwona ma enderezo yakai nabossi wake mupige ma like tujuwan🎉
@NeemakizaMema
@NeemakizaMema Ай бұрын
Kumb ili li boss lake kay nilaovyo ivo 😂😂😂 kumb bwabwa tu ni mwantumu jitu zima lime ji zalilisha nakulia kote kakataliwa dah😅😅 kay we mbaya una loho ngumu 😊😊😊😊😊
@ceciliawilly8573
@ceciliawilly8573 Ай бұрын
Naomba sania apatikane tena 😂😂ndio atimuliwe hapo nyumbani, ndio tasha wakuwe na urafiki wa ukweli na zatiti na hapo do itakuwa wakati mzuri wa kupeleka zatiti hospitalini hili ajue kama Akona uwezo wa kuzaa,kama unaamini kaa mm gonga like ukisonga🎉
@user-lo5jz9ds4s
@user-lo5jz9ds4s Ай бұрын
Naisubir awe rafk wa zatt so alitembea na mume wake 🤣🤣🤣
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t Ай бұрын
Hawez koma utamkuta mtaani tena😂😂mara petii mara chiko 😂
@zuwenaali3698
@zuwenaali3698 Ай бұрын
Jaman Sania kaamua kubadilika jmn bora aolewe na Mr Tasha pls tunaomba
@user-bl5nt5cm3m
@user-bl5nt5cm3m Ай бұрын
Eeeh lweli​@@zuwenaali3698 heri a hange kabisa
@HusnahMariam
@HusnahMariam 29 күн бұрын
Mm pia naomba nmesinywa balaa
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl Ай бұрын
Mnaharibu bana uyo boss wake na kai izo tamaaa
@RashidMgeni
@RashidMgeni Ай бұрын
Safi sana Kai endelea hivo hivo na msimamo wako
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Ай бұрын
Tunao amin kai hawez kufunga ndoa na zuu kwa sasa gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉
@marynabwile4086
@marynabwile4086 Ай бұрын
atafunga lakini mpaka apitie changamoto
@zayatuzai6500
@zayatuzai6500 Ай бұрын
Like zenu nawap kesho sahiii nipo naumboleza umbea wa sania😂
@mariammuslim2987
@mariammuslim2987 Ай бұрын
😂😂😂😂
@stellaayiera8038
@stellaayiera8038 Ай бұрын
Tabia yake boss ni hio ady kwa wrong house😂
@Phanny-Nyonge
@Phanny-Nyonge Ай бұрын
Wa kwanza kabisa❤ wapenzi wa BUSATI TV pitieni hapa❤❤❤
@AshaJohari-cm8yh
@AshaJohari-cm8yh Ай бұрын
Mama Tasha ujue kuwa wembamba wa reli treni inapita......sania ni mtoto wa 2000 papaaa Ni mzee aliechangamka
@IldaRafaelElias
@IldaRafaelElias Ай бұрын
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿, naomba like ata 3.
@HalimaMchuma
@HalimaMchuma Ай бұрын
Yani uyu boss ananiboa kweli
@user-qe6cg5sl2h
@user-qe6cg5sl2h Ай бұрын
huyu boss wa Kai vp nae anataka kutuchanganya 😂😂😂
@shangaokigwada5053
@shangaokigwada5053 Ай бұрын
😂😂😂 anatuchanganya kwakweliii hiiii
@ShawarmaScott
@ShawarmaScott Ай бұрын
hpo n ukae makini sana kai juu boss anakupenda sana tena❤
@user-yk5sl9bk3x
@user-yk5sl9bk3x Ай бұрын
😢😢😢aaaai huyu boss wa Kai vip tena,,,unataka kutufurungia Kila ktu jmn❤❤🎉🎉
@saidabdullah8623
@saidabdullah8623 Ай бұрын
Abadilishe nguo boss wa kai wrong house adi house girl
@TeresiaJohn-wk3sz
@TeresiaJohn-wk3sz 29 күн бұрын
Hadi kweny wrong house😂😂
@BoniphaseKolimba
@BoniphaseKolimba Ай бұрын
Wa kwanza,jaman like zangu hapa
@user-zb2wx8ws6g
@user-zb2wx8ws6g Ай бұрын
Kai kataa kabisa Ata kikutishia kukuachisha kazi kubali
@user-mv9rt3zs1b
@user-mv9rt3zs1b Ай бұрын
Bos anataka ahalibu movie buanaa
@MiriumWajey-lr1tq
@MiriumWajey-lr1tq Ай бұрын
Kabisa mshenzi huyu
@reginakulwa4494
@reginakulwa4494 Ай бұрын
Khai embu achana na ilo limshangazi litakupoteza kwenye raman😂😂😂
@user-jw5sq6st1i
@user-jw5sq6st1i Ай бұрын
Jaman uyu boss vip Tena maana simuelewi
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Ай бұрын
Haeleweki kweli ashaanza kuongea ujinga 😂😂😂
@aishamwahenzi2545
@aishamwahenzi2545 Ай бұрын
Mie ndo amenikola
@KhadijaG-rm8fu
@KhadijaG-rm8fu Ай бұрын
Huyu boss nimbaya sana ata kwa boss mchawi alimsaliti rafiki yake
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Ай бұрын
@@KhadijaG-rm8fu 😂😂😂 kwaiyo amezoea kuharibu 😂😂😂
@KhadijaG-rm8fu
@KhadijaG-rm8fu Ай бұрын
@@HudhaimaYussuf ndio tabia yake asaaa😂😂
@faithmmbone9432
@faithmmbone9432 Ай бұрын
Tasha please you are a great man and a respectful man mbna unataka kumuoa sania sasa umeniaibisha sasa wanaoniunga mkono chapeni like mojamoja hapo
@coachyash0019
@coachyash0019 Ай бұрын
Tunasonga nayo nipeni like zangu na tujuwane zaidi mashabiki
@OmaryMo
@OmaryMo Ай бұрын
Jamani mbona huyu bossi analeta nuksi kwa Kai wanaoungana na Mimi gonga like please
@MercySilvester
@MercySilvester Ай бұрын
Wow nimewahi Leo jamani Sania pole 😂😂😂 limekushuko uloooo
@FghgRyy
@FghgRyy Ай бұрын
Kai bey kuwa na msimamo aisee huyo kidudu mtu anataka atuharibie penzi letu mashaghala wote tunasubiri harusi afu huyo anajishebedua tuu tutakufumua😂😂😂😢
@rehemaruwa
@rehemaruwa Ай бұрын
😂😂😂😂😂umeonaeeee
@FghgRyy
@FghgRyy Ай бұрын
@@rehemaruwa kabisa ndugu yangu 😂😂
@EnikeNesto
@EnikeNesto Ай бұрын
Jaman uyo bos atafute saiz yake atuachie Kay wetuu jaman
@JoyceCharo-s4n
@JoyceCharo-s4n Ай бұрын
Kujeni mkutano team strong hapa boss wa kai anampea mtihani kai
@Mr.franckayo
@Mr.franckayo Ай бұрын
Nawapenda wan busati kam upo nam lik hap
@hussenichambila4899
@hussenichambila4899 26 күн бұрын
Boss uyo ni muongo tu anamapenzi ya kweli atakualibia tu❤ 🥰
@VeronicaNajib
@VeronicaNajib Ай бұрын
Wow Nimewai sana leo
@user-yu2ds7qj9b
@user-yu2ds7qj9b Ай бұрын
Huyu mwanamke mbu Boss ameaza kauribu house gal.. umenikera walai nitakoma kuwatch msipotoa huyu mama apa 😮😮😮😮😮team Zuu team 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 gongeni like
@theresiashirima554
@theresiashirima554 Ай бұрын
😂😂😂😂
@peninamahenzo7170
@peninamahenzo7170 28 күн бұрын
Alafu huyu boss uanikera mjue😏😏😏
@naomymasore7969
@naomymasore7969 Ай бұрын
Naomba Tasha amlete zatiti nyumbani akakutane na mama ❤
@RehemaBenjamin-yf7jl
@RehemaBenjamin-yf7jl Ай бұрын
Keli
@hussenichambila4899
@hussenichambila4899 26 күн бұрын
Kai Kai Kai Kai usidanganyike❤
@hawaali8371
@hawaali8371 Ай бұрын
Nilikuwa Nasubiria Kwa Hamu ❤❤ Muvi Yangu Pendwa. From Qatar
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 Ай бұрын
Yaani Kay endapo utamcheat Zuu wetu hatuangalii tenaa hii 😭😂😂😂😂😂 na wala haturudiiii
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Ай бұрын
Wawawa leo nimewahi jamani naomba likes hata km nitano❤❤
@user-dp8ji4tb7b
@user-dp8ji4tb7b Ай бұрын
Wataka kuendea Dubai ama American mpenzi😂😂😂😂
@user-hp3vn4kc4s
@user-hp3vn4kc4s Ай бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Kai🎉🎉🎉
@user-jg5xb4kp6e
@user-jg5xb4kp6e Ай бұрын
MA tasha kaza uzi sana ❤❤❤❤❤
@happysanga-iw7hh
@happysanga-iw7hh Ай бұрын
Ila mtu akiigiza kwenye position mbaya anachukiwa jaman ni position tu jaman lazima awepo ili kuifanya movie isonge mbele jaman lakini zooh ataolewa tu jaman gonga like
@stanleycylidion1560
@stanleycylidion1560 Ай бұрын
Ten best kuwartch like zangu basi
@user-vk8jh6iq4v
@user-vk8jh6iq4v Ай бұрын
Kazi nzuri sana napenda mukiharakisha poke maua zenu ❤❤❤❤
HOUSE GIRL EP 19  | S2 | love story💞💕
20:34
BUSATI TV
Рет қаралды 124 М.
MY WOMAN KE:  WHO IS GOING TO BE OBINNA'S WIFE | 1 Man 7 Women 😱
26:27
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
NDOTO YANGU. EP1
16:38
HRM FILMS
Рет қаралды 4,4 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
NAFSI EPISODE 17 #busatitv #filmdrama #housegirl #love #kai #candy
18:45
MY MOTHER EP 06  | Sad Story 💔💔
20:31
BUSATI TV
Рет қаралды 34 М.
HOUSE GIRL EP 20  | S2 | love story💞💕
20:40
BUSATI TV
Рет қаралды 158 М.