HOUSE GIRL EP 26 || love story💞💕

  Рет қаралды 185,564

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 658
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
Whatsapp group la house girl fans 👇👇 chat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl
@JacklineMazonge
@JacklineMazonge 3 ай бұрын
Tunaochukizwa na matendo ya candy weka like hapa
@Mwashashaali
@Mwashashaali 3 ай бұрын
Ucjal
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 3 ай бұрын
Yaan Ile siku dawa zitaisha atajutia😂
@Mjamdaa
@Mjamdaa 3 ай бұрын
Nachukia kwa vitendo vyake
@Bakr_salim
@Bakr_salim 3 ай бұрын
Haki ya Mungu
@MaryPendo-gy4yr
@MaryPendo-gy4yr 3 ай бұрын
Alafu ubaya zaidi Kai haelewi
@MariamRashidi-n7u
@MariamRashidi-n7u 3 ай бұрын
Jamani wanani wako tiyari kusubiri namba 27 tujuwane kbs 😂😂😂
@merryelias2403
@merryelias2403 3 ай бұрын
Mimi jamani
@MariamRashidi-n7u
@MariamRashidi-n7u 3 ай бұрын
@@merryelias2403 kwel usijali wataileta karibuni
@MadamOrida
@MadamOrida 3 ай бұрын
Tunao kelwa na matendo😢ya kendy naomba weka like hapa
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
😭😭
@Asma-hn1jk
@Asma-hn1jk 3 ай бұрын
Hongern sana guys but mungekua munayuletea ata vipart viwili man movie nzuri ata sitamn iwe inaish haraka😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@IteritekakellyKelly
@IteritekakellyKelly 3 ай бұрын
Jaman wanawotak km da zuu atarud kweny hariyake yakawaida wek like hap 😢😢😢
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
Kai kweli umelogwa ukalogeka looh,,,candy unadhambi kubwa sana aiseee😢😢😢😢
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
😭😭
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
@@busatitv pole bhana usilie ndio maisha😂😂😂
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 ай бұрын
😢😢😢😢Atayalipia maumvu candy 😢😢😢😢
@MeMere-u1y
@MeMere-u1y 3 ай бұрын
Candy Siku zamwiz ni Albain daw Yako inachemuka 😢😢
@GladysKarembo
@GladysKarembo 3 ай бұрын
Kendi,Hiyo ni iwe ni ku act tuu bt isiwe ndivyo ulivyo katika maisha yako halisi,Maana duuh una roho mbaya kwa kweli.
@lubazumaduhu
@lubazumaduhu Ай бұрын
lakin mtu hawez ect kitu ambacho si huruka yake
@leahnyaguthie4175
@leahnyaguthie4175 3 ай бұрын
wakwanza leo like za kenya pamoja na team strong
@MbethiKomu
@MbethiKomu 2 ай бұрын
Anna Giza CBB material
@floramacheva5855
@floramacheva5855 3 ай бұрын
Kweli 😢😢 Kai umekorokwa akili vilivyo....ila candy, sijui siku dawa itaisha nguvu utakuwa rafiki wa nani....
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 ай бұрын
Atauramba mkavuu nayy barabarni huko tutamuona tuu 😂😂😂😂😂😂😂
@user-Ambani
@user-Ambani 3 ай бұрын
Ata rafiki yake ashamruka😂
@JumaaCharo-t6w
@JumaaCharo-t6w 3 ай бұрын
Kai anaharibu utamu wa movie hayo mafunzo yahii movie ilikua inakuja vizuri ila ep 25 nahii Kai waaaah Ila Acha tuone mwisho😂😂😂😂 nawafatilia nikiwa kenya❤
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 3 ай бұрын
Ishaanza tutuboo kabisa kwani movie nyingi siku hizi lazma kuingizwe tu ushirikina
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 3 ай бұрын
Kai nilikua nakupenda lakini leo nimekucukia kabisa umeniumiza jamani
@FatmaSharif-mp1cm
@FatmaSharif-mp1cm 3 ай бұрын
Hata me nimemchukia🥺🥺
@mwantimeally8521
@mwantimeally8521 3 ай бұрын
Wamwisho kilasiku nipen bas like za kuchelewa😅
@RobyWerema
@RobyWerema 3 ай бұрын
Tangu nianze kwangailia Leo ndo nimewai jamn mniulumieko mnipe likes
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
Nice
@leatimoth3611
@leatimoth3611 3 ай бұрын
❤❤❤❤😂
@RashidiSaidi-ij9nv
@RashidiSaidi-ij9nv 3 ай бұрын
Nakubali sana kazi zako nzuri sana na kwakweli unaweza kufika mbali zaidi ya hapo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 ай бұрын
😊😊😊🎉
@Josephnyinge
@Josephnyinge 3 ай бұрын
Like za mavi wwe angalia video uende zako mkojo
@kingfocustzog
@kingfocustzog 3 ай бұрын
Watu amlali mpo macho kweli
@Salma-h1g
@Salma-h1g 3 ай бұрын
Nyieee kendi anaota au 😊😊
@HawaOmary-gw2oo
@HawaOmary-gw2oo 3 ай бұрын
Jaman kwahiyo mimi ndio sipati like 👍 😢😢
@HawaSadock
@HawaSadock 3 ай бұрын
Wajinaaabana😂😂😂😂😂😂
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 3 ай бұрын
Tunaendelea vizuri 🎉🎉🎉
@gracemuusi3421
@gracemuusi3421 3 ай бұрын
254 niko live naomba like
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🙏🙏
@zeynab7617
@zeynab7617 3 ай бұрын
Wacha wee nimejaribu kuwahi❤❤❤❤
@phorahmahaza638
@phorahmahaza638 3 ай бұрын
Wakwanza Leo jmn😂😂😂😂
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 3 ай бұрын
Zuu yuko wapi sasa sijapenda
@JamillaWesonga
@JamillaWesonga 3 ай бұрын
Kai 😢😢😢😢nawe kendy chako kii motoni
@CatherineKirugumiCathy
@CatherineKirugumiCathy 3 ай бұрын
Candy leo ni dada wa kanisa anaongea vizuri
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🤣🤣
@AjuwaeTannu
@AjuwaeTannu 3 ай бұрын
Jamani hadi huluma dada wakazi mapenzi yalikuwa yamesha noga
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
😭😭😭
@yktitho6493
@yktitho6493 3 ай бұрын
Leo nimewai nipeni maua yangu
@TatuDimka
@TatuDimka 3 ай бұрын
Jamn Leo nimewah naomben like 10 t
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
💪💪
@eunice1808
@eunice1808 3 ай бұрын
Good job​@@busatitv
@MwanaidiMohammed-bm6qg
@MwanaidiMohammed-bm6qg 3 ай бұрын
Dakh kai mazure mazure yakikutoka käi utakuja juta käi pole sana ila candy mnafiki sana unajifanya mwema ila candy lichá kwamba nimchezo ila sijapenda tabiya yako dakh
@JemahEvaristo
@JemahEvaristo 3 ай бұрын
Wa kwanzaaa nlikua naisubiri kwa hamuuu❤❤❤
@ivayodianap
@ivayodianap 3 ай бұрын
Jamani mpumbavu mwezangu,Leo kakaribshwa vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@suzan2929
@suzan2929 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@minduchudi9121
@minduchudi9121 3 ай бұрын
Hawa wengine wakina nani tena alitaka kumbaka mwenzie
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Sijawaelewa bado😊
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 3 ай бұрын
Waaah hii moto
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 3 ай бұрын
Jamani kwa upande wa sauti ni sote ama n kwang pekeake hamna sauti 😢
@HolloMwandu
@HolloMwandu 3 ай бұрын
Yeap sauti n ndogo sana
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 3 ай бұрын
@@HolloMwandu Ok
@lameckelasto-ih9jk
@lameckelasto-ih9jk 3 ай бұрын
Ase kai wamemuhalibu ase
@barakachaula7050
@barakachaula7050 3 ай бұрын
Saaf 🎉🎉😂😂
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@ZeinabJeni-xu3og
@ZeinabJeni-xu3og 3 ай бұрын
Leo nmewahi nipeni laik zangu
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 3 ай бұрын
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 2 ай бұрын
Allah a2hifadhi na wanawake km candy 😢😢😢😢
@SurprisedPotluck-ms1vh
@SurprisedPotluck-ms1vh 3 ай бұрын
Me wakwanza nipe like zangu
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Kai dawa imekolea nazi shatha shatha🤣🤣🤣 yani umelogwa Square
@HalimaJafari-yv2th
@HalimaJafari-yv2th 3 ай бұрын
Ungejua kikulacho kingoni kwako usinge sema kitu Kai wewe😢😢😢
@UmmyShabir
@UmmyShabir 3 ай бұрын
Nilitak kulal weee naskia notification ya movie yang ❤❤😂🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🥰🥰🥰
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 3 ай бұрын
😂😂😂
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Haukuanguka lkn maan cio kw mushtuko huo😂😂😂😂
@AlylenShitamu-tc2ng
@AlylenShitamu-tc2ng 3 ай бұрын
Nitamu sana ila mm nnaomba mrudishe zuu na baba kwa Hali yao ya kawaida,alfu kai Acha kuongea hvyo jamani 😢😢
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
😭😭
@MapenziJohn-n5d
@MapenziJohn-n5d 3 ай бұрын
😂😂😂😂candy anajua kujifanya mwema 😂😂😂🎉🎉nimependa hioo
@ASAS-q9u9e
@ASAS-q9u9e 3 ай бұрын
Jamani kai😢😢😢😢
@FatumaSalehe-q4h
@FatumaSalehe-q4h 3 ай бұрын
Jamani msitucheleweshe kutuma nyengine sawa mwatuchanganya
@JoyceMsambili
@JoyceMsambili 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 3 ай бұрын
Mmmmhh marafikii so watunaiseee
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 3 ай бұрын
Kicha Ni kicha tu Hata umpe joho jipya atararuwa kusudi aweuchi jamani kendi unaroho dada
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 ай бұрын
😢😢😢😢kai hadi huruma kipenzi cha baba leo unamkana duuh 🤔 alafu Candy leo kawa malaika kwa kiramba 😂😂😂hapo kiramba kagundua kitu kupitia ukarimu wa candy na kubadika kwa kai shukran sana busati nipo nanyi hadi tamati❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🙏🙏
@DalilaHasani-m2i
@DalilaHasani-m2i 3 ай бұрын
jamani nice kila siku inaishia patamu❤❤❤❤ tunawapendaaa
@shivobs4485
@shivobs4485 3 ай бұрын
Aliye angalia kabla ya kwenda misa ya kwanza kama mimi gonga like yako hapa
@NASRAZOMBE
@NASRAZOMBE 3 ай бұрын
Yani le mmezingua sanaaaa ao wageni wametoka wapi na htuelewi uyo mtt nani mnaharibu move bhna achaneni n ao wapya tuendelee n tuliowazoea series yenyewe fupi afu mwatuwekea wapya mada zao hatuzielewi ndo nn mctukasirishe washabiki bhn watoeni kama mwasikiliza mashabiki zenu
@ZayNiyonzima
@ZayNiyonzima 3 ай бұрын
❤❤❤ Leo mmejitahid kuongeza mda aya ndio mambo Sasa tunayo penda 🥰🥰🥰
@AllyMwalim-hu6tl
@AllyMwalim-hu6tl 3 ай бұрын
Jamani daw jamn mbay sanaa daw Zina mwisho hzo
@bintiabdallahmwakulani6350
@bintiabdallahmwakulani6350 3 ай бұрын
Kai punguzq hasira kuna kitu chandelea hpa katikati na jaribu kuelewa ayo mbro
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 3 ай бұрын
Ss huyo mganga kawaroga watu wote ht marafiki mana watu wote hataki ht kuwaona anawafukuza hyo marogo ya mapenzi au uchizi kabisa
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🤣🤣
@KemmyMercy-my9uf
@KemmyMercy-my9uf 3 ай бұрын
Wenye wanangoja zinafika episode kama tano na kuwatch mara moja mko wapi 😂😂 good work kai 👏👏
@MammyMeju
@MammyMeju 3 ай бұрын
Jamn kai amebadilika san mpk mm inaniuma
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 3 ай бұрын
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🙏🙏
@barakahtemba
@barakahtemba 3 ай бұрын
Inasikitisha house girl kuwa chizi
@UniceMsomi
@UniceMsomi 3 ай бұрын
Ila kendi anafanya nicheke kama mweu et anapiga magoti mpanka chini😂😂😂😂 duh adi rafiki ake Kai kashangaa😂😂
@JacklinePaul-oq3ws
@JacklinePaul-oq3ws 3 ай бұрын
Candy mda wako umekarbia, get ready hapatakuwa na msaada wowote dunia nzima utakua mwenyewe
@MrangiOg
@MrangiOg 3 ай бұрын
Msiwe mnachelewa sana kuachia epsd
@latifakijuba3874
@latifakijuba3874 3 ай бұрын
Ikifika sehem ya kai nipeleka mbele namchukia sana
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 ай бұрын
Kilamba naona kikikuramba😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
🤣🤣
@TamariLucas
@TamariLucas 3 ай бұрын
Kwel uchawi upoo unakuta Kaka mt anachukia ndug zake kumbe mke kaloga😢😢😢 mmenifunzaa
@modestazaver
@modestazaver 3 ай бұрын
Musha haribu kabisa watu murio waweka Leo hovyo sijapenda hata kidogo
@FaithIndangasi
@FaithIndangasi 3 ай бұрын
Uyu gai amezama but kama unahamini atajirudia waka like
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 3 ай бұрын
Mmmmmlh Candy kabadika kawa n'a heshima ao
@Pili-n3l
@Pili-n3l 3 ай бұрын
Hii move ck iz haielewek watu wapya muv inakua chapwa zinakuja stor zisoeleweka
@LinusMsimbano-uq1kg
@LinusMsimbano-uq1kg 3 ай бұрын
Nakweli ajui alitendalo kabsa yan cendy sikupendi we una roho mbaya
@walteradera4336
@walteradera4336 3 ай бұрын
Wow am right on time
@HanifaHabibo
@HanifaHabibo 3 ай бұрын
😂😂mambo ni Moto kwa kendi anajifanya mwema kwa watu wa Kai
@KhalfanSalum-fv5ew
@KhalfanSalum-fv5ew 3 ай бұрын
Amakweli kai umepigika mpka baba hana thaman tena kwako lakin tambuwa huyo nibab.
@caroleangambe1239
@caroleangambe1239 3 ай бұрын
Next episode plz ❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
❤❤❤
@AsiaOmari-w8q
@AsiaOmari-w8q 3 ай бұрын
Jmn candy ipo cku yatakurudia😢😢
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
😭😭😭😭
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 3 ай бұрын
Kai utajuta wewe chunga kauli zako😢
@12omochildren
@12omochildren 3 ай бұрын
Nimeamka earlier in the morning kuwatch ,thank u very important ❤❤
@lalyaszubeda6527
@lalyaszubeda6527 3 ай бұрын
Kai hawa watu unawafukuza sahii utakua na wakati mgumu sana kuwarudiaha ama kuwafikia wakati unawahitaji😢
@FurahafutakazaGloria
@FurahafutakazaGloria 3 ай бұрын
Tunapashwa tia maoni yetu hapa ila nyinyi kilasiku munaomba like 👍 ivi hamuone kama Kai anaboa?
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 3 ай бұрын
Mi naona naelekea kushindwa na upuuzi wa kai na candy,ssa mzee anapona au la...
@SalumVullu
@SalumVullu 3 ай бұрын
Uyu nae bada asrme kicho mpeleka ana let's polojo
@SalumVullu
@SalumVullu 3 ай бұрын
Uchaw mbaya jaman tusiwawekee wanaume dawa jaman
@MohamedSaidy-y5z
@MohamedSaidy-y5z 2 ай бұрын
Jmn like zangu kwa uvumilivu wa Dada wakazi
@barakahtemba
@barakahtemba 3 ай бұрын
Kumbe dawa zipo,
@asmamohd5769
@asmamohd5769 3 ай бұрын
Kila mtu wa kwanza anataka like haya mie wa mwisho nataka like zangu ila kai ananiboa sikuhiz 😢😢😢😢
@VeronicaAlfredy
@VeronicaAlfredy 3 ай бұрын
Kipande cha Leo kibaya bhn bcz kimewahi kuisha Bora muwe mnatoa vipande viwili viwili
@SalomeNkwabi-jy4nu
@SalomeNkwabi-jy4nu 3 ай бұрын
We kai kai kai nakuita mara 3 litakukuta jambo hutokujasahau😢😢😢
@nadzuwazidi
@nadzuwazidi 3 ай бұрын
Candy uko na roho mbaya yani umevuruga familia dzima amuna amai ila sikuzote atendaye ubaya umurudia mwenyewe..ila niko naimani wataponà..wanao amini baba kai na zuu na kai mwenyewe kubadilika awe kai wakawaida gonga like 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 ай бұрын
❤❤❤🙏
@saudamwakunemwa3856
@saudamwakunemwa3856 3 ай бұрын
Kandy mwisho wa ubaya aibu mama😂
@NaomiDeo
@NaomiDeo 2 ай бұрын
Jaman Kai Kawa gaid duhh dawa zipo
@MarryMbiu-si2sz
@MarryMbiu-si2sz 3 ай бұрын
Kai utapokonywa karamu mim nina ushahidi mkwe wangu aligombana na shemeji angu anachukuwa Karam yake shem aliteseka mpaka hatar
@JosephinaMjema
@JosephinaMjema 3 ай бұрын
Jama kai anazid uchiz kuliko zuu
@FaridahFemy
@FaridahFemy 3 ай бұрын
Kwakweli Kai kashapotea jamani ila kama wapo wanawake dizaini hii kwakweli siyo poa
@ChenxonJombiii
@ChenxonJombiii 2 ай бұрын
Wanao mkubali bibi ake zuu kwa uhakiki gonga ma like kama yot wadau
@OmanMuscut-ju3xp
@OmanMuscut-ju3xp 3 ай бұрын
Mmmmh mbona mnanza kualibu tena hii movie awa wengine wametokea wapi mbona sijaelewa
@ceciliawilly8573
@ceciliawilly8573 3 ай бұрын
Jamani team gulf naomba likes
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 ай бұрын
Wanaume wasio na msimamo kama Kai ndio haya madhara huwakuta 😢
HOUSE GIRL EP 27| S2 | love story💞💕
25:00
BUSATI TV
Рет қаралды 151 М.
HOUSE GIRL EP 26 | S2 | love story💞💕
22:20
BUSATI TV
Рет қаралды 135 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 124 МЛН
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 1,8 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 3,2 МЛН
MKOBA WA MAMA Episode [  32  ]  FINAL   [ MWISHO ]
26:34
TANU PLUS+
Рет қаралды 11 М.
MISSION IMPOSSIBLE [45]
22:34
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 104 М.
Khayroon Kid Ft Afaaizu Luheta - Ajmal(Official Nasheed Video)
4:16
HOUSE GIRL  EP 28 || love story💞💕
23:37
BUSATI TV
Рет қаралды 195 М.
ALIYEKUWA MKE WA MADEBE LIDAI AFUNGUKA ANAYOPITIA HIVI SASA
4:09
Wasafi Media
Рет қаралды 14 М.
Premier Full Episode -  Pete S1 Episode 1 | Maisha Magic East
27:21
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,4 МЛН
MAGIC SCHOOL | ep 04 | FULL EPISODE
25:12
Dubu Tz
Рет қаралды 46 М.
MISSION IMPOSSIBLE [44]
26:11
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 155 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 124 МЛН