Asalaamu walekum... bwana yesu asifie yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rubniyi35512 ай бұрын
Makwako pia
@LighySteven-gd8wo2 ай бұрын
Ameeen inshalah
@mohamedlopa84102 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@shelyboyshely29282 ай бұрын
Ameen nawe pia uwe na maisha marefu
@TheddyBasili-gv5tz2 ай бұрын
Amen❤❤😂😂
@WaniaLameck2 ай бұрын
Nimeumia sana Daktari kupelekeshwa na Sania bila kosa jamn 😢 duuuh
@hanifahkhamiss84852 ай бұрын
Rafiki km sania hafai hata kidgo😢😢😢
@evalyneacheing-ow2ew2 ай бұрын
😢😢😢😢
@saidamwavuo99262 ай бұрын
Yaan hii movie bila kendi hainogi tuñakupenda ❤❤❤❤❤❤
@Realme-xm3sh2 ай бұрын
Kbs kendy anainogesh sana😂😂😂nautaira wake mi nawapend tu yey na sania😂😂
@OmanMobile-py5bq2 ай бұрын
Hata samia
@bayahamisi2 ай бұрын
Hata sania🎉🎉🎉 love you sania🎉🎉🎉🎉
@NasibuAlly-wb9uv2 ай бұрын
sasa kend sichizi
@NasibuAlly-wb9uv2 ай бұрын
sasa kend sichizi🤣🤣
@melanianjau32442 ай бұрын
Daah jamani dactari ana tabu kweli huruma huzaa dhambi😂😂😂😂😂😂
@riziki84062 ай бұрын
Ni kweli kbs
@manirambonajeanne38762 ай бұрын
😂😂😂😂Kandi hana shoo mbaa 😂😂😂Lakini zhambi zake sijuwi mwisho wake utakuwa aje😂😂😂😂😂
@elitumainimathayo9405Ай бұрын
Na zambi huzaa mauti
@shabanjuma71022 ай бұрын
Candy anajua kuigiza, big up
@SaumuJumwa-u4v2 ай бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪team hamamu tutiane nguvu jamni
@RendinaaEliabi2 ай бұрын
Yan mama candy anapata shida jamani tujitahidi kuwaheshimu wazazi wetu wametuzaa kwa shida wametulea kwa shida tena tumekua tunawapa mtihani kuliko walikotoka Mungu tusaidie 🙏🙏🙏🙏
@AlfaCharles-e8h2 ай бұрын
Ad namuonea uruma mama candy
@AishaTanzania-t1g2 ай бұрын
Kumenoga huku njoooowen jmn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@riziki84062 ай бұрын
😅😅😅😅
@KijukuuMtemi2 ай бұрын
Mama candy anapata tabu kwel #
@UmmuJuhaynaAbuuIssa2 ай бұрын
chiko kwisha habari yako na kizazi huna iyo ndo dwa yako anaee amin kuwa chika hana kizazi na ataaibika vibaya angonge lake hapa
@BarakaEdna2 ай бұрын
Mie hapa
@EuniceHaroun2 ай бұрын
😅😅😅😅
@Stellabby-zo7mwАй бұрын
😂😂😂😂kwishaaa
@JudithKauwa2 ай бұрын
Kazi nzr busat tiv tupo pamoja
@سونو-ت6ن2 ай бұрын
Hongera kazi nzur🎉🎉
@LaidaProsper2 ай бұрын
Daa! Polee mama Candy kwa kupata mtoto kichomi😳
@LuciaBukula2 ай бұрын
Candy mshukuru Sania 😅😅😅😅 na ulikuwa hautaki kumsamehe ungekiona cha moto😅😅😅
@SaumuJumwa-u4v2 ай бұрын
Ubaya umbwela 🤣🤣Chiko yamekukuta ndo wamtafuta Zatiti wangu 😂😂😂aaah huyo niwa Tasha baba tuliza madevu yako 😁😁😁kma unangoja harusi ya Tasha na zatiti tujuane
@saumJuma-q3e2 ай бұрын
Busat mko vzr sana kuwahisha kazi na mungu awaongoze yn hatulali kazkaz
@zainabsabas18072 ай бұрын
Chiko mbegu zenyewe unazo nyau ww😂😂
@rubniyi35512 ай бұрын
Alakini kweli 😂😂😂😂
@FaisalAlrefai-u2y2 ай бұрын
Kimemramba 😂😂😂😂😂
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
😂😂😂hana
@riziki84062 ай бұрын
😅😅😅ndio hapo sasa chiko amechezwa shere bila kujijua😁😁
@HafsaShekigenda2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Mbavu zangu jamani
@salehnasra-c7k2 ай бұрын
Wa kwanza leo tangu ianze hii movie
@EmmilianaWekesa2 ай бұрын
Team saudi arabia hello🎉🎉❤❤
@AnastaziaKimaro2 ай бұрын
Imeniuma sana wakati mama candy anaomba msamaha kwa kosa ambalo sio lake na yote ni kwaajili ya mwanae😂 like kwaajili ya mama zetu ❤
@umfahad26092 ай бұрын
Ni kweli kabisa. Mzazi hauwi jamani.
@AnsufatRakitc-z5d2 ай бұрын
Ata mm
@HawaHussein-hq1lj2 ай бұрын
Mama yuko tayar kufanya lolote japokuwa nilakumumi ilimrad mwanaw akae sawa
@rahimaaaaa56822 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊Mama ni mama2
@BerthaMisana2 ай бұрын
Jamn ya kalibia move nzima ni upande mmoja waka kuna sehm nyingi kwa tasha na kai had bibi zuu jama hamen
@aminahhuawei11332 ай бұрын
Afadhali leyo nimekuwa 160 nimejitahidii😂😂❤❤❤❤❤❤
@KuvunaGonda2 ай бұрын
Jamani chiko makosa siyamama niyahao walio valia vijora hasa huyo Sania ametia fora 😂😂
@marymele97142 ай бұрын
Navyenye sikapendi kama mshumaa vile
@samsonkaboko51372 ай бұрын
Chiko acha kuongopa, unapopokea taarifa kama hizi kwanza kabisa unalegeza tai kwanza
@FaisalAlrefai-u2y2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@VgmukomboziOficiel2 ай бұрын
Congo hatulale tuko bomba naomba ata link kumi
@SaumuJumwa-u4v2 ай бұрын
Tasha amezama kwa Zatiti huku nako chiko amemtafuta 😂😂hapa kutaendaje jamni 😁je zatiti ataolewa ama atamrudia chiko…….🤣🤣🤣🤣
@esthermabuga12592 ай бұрын
Shwaaa😅😅😅😅
@MercySilvester2 ай бұрын
Sania na candy jamani na pia chiku ndo mwanzo huo malipo ni hapa hapa dunian acha umkumbuke zatiti sasa
@SaumuJumwa-u4v2 ай бұрын
Chiko na dadako acha mungu awadhimbu 🤣🤣mimba haijaharibika leo wala kesho😅😅kuleni chuma hiyo zamu ni yenu halafu chiko wewe huzalishi acha kumlaumu dadako 😃😃😁😁😁😁
@ShamimAbdul-tf3fw2 ай бұрын
Cendy tangu nimeanza kuangalia hii Movie leo nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@IsmailabdallaNjama2 ай бұрын
Naomba jina la wimbo please naupenda xana
@NellyKombe2 ай бұрын
Jaman move tamu nimekubali lkn mda mbona mumepunguza jameni chukueni maua yenu tem b
@FARIDARAMADHANI-p8i2 ай бұрын
Nani kaona mama candy kaongea kingerezaa😅😅😅are u serious😂😂😂
@violangaira2 ай бұрын
Mama candy anajua kizungu😂😂
@GlycerySadkin2 ай бұрын
😂😂😂😂😂,nimedhani nimeskia vibaya
@MemoryKamutandi2 ай бұрын
Ww candy umemugeuka tena huyo doctor ww sania acha kumufundicha tabia mbaya 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@GloriaNekesa-tz3ph2 ай бұрын
Waa Candy kuna siku kitakuramba tuu sana umemuletea mamako shida aki uko mbaya Candy sanaa sanaa
@JosephaSulle-yi4zr2 ай бұрын
KunAaaa sehem naipendaaa mnoo mnoo palee zatiti anaandika text na kuifuta na pale anaposubili tasha ampigiee
@AngelamerisBinamungu2 ай бұрын
Tumemmisi Kaiii na Zuuu
@HoHo-l1r2 ай бұрын
Huyo candy mimba ilishatoka. Mda mrefu chiku a ajua Leo pole 😂😂😂
@busatitv2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@LaillaNyadu2 ай бұрын
Mimi wa Burundi 🇧🇮🇧🇮 like nataka
@JohnJimmy-y9z2 ай бұрын
Hongela san
@MauwaSama-t1v2 ай бұрын
Jamani nilisubiri kwa hamu
@HawaJums2 ай бұрын
Wewe shida jamanii mbn unashida ivoo
@esthermabuga12592 ай бұрын
Ee chiko baba hapo ni kwako lala,, na mtoto huna😂😂😂😂😂
@aishaomar22872 ай бұрын
Ati ni kwake🤣🤣
@samsonkaboko51372 ай бұрын
Nampenda Sana zatiti nampenda zaititi nampenda Sana zatiti jamani zatiti
@MARYNAGUJustin2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉nilitoka out but nimeshindwa kulala kbla ya kuangalia house girl haha kazi iendele you can believe now huku oman ni sa nane ❤❤❤❤🎉
@Hapygideon2 ай бұрын
Hivi nyinyi watu hamlalagi siku moja moja mkachelewa😅😅😅
@Ester-e5s2 ай бұрын
Sania na candy🙌ila mnanogesha movi
@AishaOthumani-wt6pz2 ай бұрын
Saanaa yaani wakiondoka na me siangalii move
@FailaQueen-qm4dt2 ай бұрын
Shiiii 😏😏😏
@Ester-e5s2 ай бұрын
@@AishaOthumani-wt6pz yaan tuvituko hatuishi kila kona wenyewe mov inatufundishaa hiii wapew mauwa yao🌹🌹
@AbduMjimba2 ай бұрын
Jaman wakwanz leo naomben ata like jaman
@EuniceHaroun2 ай бұрын
Like za nn jmn kwan mnalipwa
@TashaShonez8 күн бұрын
Sania na kendi ndo wanajua ku act kwa ii movie ❤❤❤
@RuthNyongesa-me9cx2 ай бұрын
Came down ,,,kam down vipi chiko😂😂😂😂iyo ilitoka kitambo bana😂😂😂
@gracenyevu80822 ай бұрын
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@FatmaRashid-i3h2 ай бұрын
Team strong nimekunywa panadol za kenya Leo najihisi kuandamana 😂
@TunuAdam-gc9rc2 ай бұрын
😂😂
@Amina-n3r2 ай бұрын
😂😂😂😂
@NicksonVakuvala2 ай бұрын
sijawah pata like naomba hata moja🙏🙏
@Aisha-o4v2 ай бұрын
😂😂😂😂
@shabanjuma71022 ай бұрын
Hizo like huwa mnazifanyia nn
@jayvannyclassic1912 ай бұрын
Wa kwanza leo nipeni likes zangu jamani 😂😂😂
@LydiaLoiruki2 ай бұрын
Nimekua wakwanza comment jmn
@MoreniObote2 ай бұрын
Mmh Yan mama mwenyewe anashindwa kuelewa mwanae ni wakina gan candy weeeee ni shida
@niyonkuruevangeline15142 ай бұрын
Wakwanza leo🎉nipeni like zenu jamani❤hata5 nidashukuru wapendwa
@aishaomar22872 ай бұрын
Sasa chiko ni namna gani ingine nesi akusaidie,amtie candy mimba au😂😂😂,aaaaweeeeh 😊...ila poleee
@riziki84062 ай бұрын
Huyu sania na candy sijui ni waeke fungu gani kwa kweli walicho mfanya docter😅😅
@MasauShida2 ай бұрын
Kazi nzuri sana wana Busati tv🇹🇿
@Ramsagenius2 ай бұрын
Nawakubalini Bali sana busati tv
@tabithanzisa97552 ай бұрын
Mambo ni moto hongereni sana busati tv❤❤❤❤😊
@christinekemunto4612 ай бұрын
Kwani nafurahi nitakuwa WA kwanza leo kumbe wapendwa wezangu jamani mumelala KZbin😅😅 haya nipe like Leo naomba like tano tu
@MohamedKipaji2 ай бұрын
Hapo vp
@PeninahOdongo2 ай бұрын
Hizi like mwaziomba mwazifanyia nn jamani mumekuwa omba omba sana😂😂😂
@SayiWales2 ай бұрын
Kazi iendelee
@SadaMwambungu2 ай бұрын
Assalamualyikum Wana busat Leo nime kuwa was kwanza naombeni like
@سعدههوام2 ай бұрын
Waalaikum salam warakhmatullah wabarakatuh
@KijukuuMtemi2 ай бұрын
Candy jini bwengo kweli😂😊
@KhadijakassimMwaipaya2 ай бұрын
Duuu huyu cendy
@KhadijakassimMwaipaya2 ай бұрын
Dokta safi sana
@buru12352 ай бұрын
Weeeh Leo nimewahi jmn narudi n comment
@SasherKhamisiАй бұрын
Jaman candy uongeee kwa kituo. na kichambo unajua nitakukodi.❤
@fatumahdadah80922 ай бұрын
Sijapeda zattii apokeye iyo sim😮 like
@ProsperMollel2 ай бұрын
Sania ni hatari sana ni muharibifu mbaya sana.
@FarajastevetzMpulila2 ай бұрын
Ila kend jmn umeamua kumgeuzia mzgo nes
@Teresia-bg9dt2 ай бұрын
Waaah maskini mama kedy dah,🙆
@hypogotz87052 ай бұрын
Gonga like kama naww hukapendi kasania 😂
@lovenessmichael70982 ай бұрын
Mpo vizur san ❤
@JoanEthel2 ай бұрын
Tasha I'm very happy to hear lovely word from your mouth ❤ marry zatiti and you will be happy
@buru12352 ай бұрын
Khaaa 🙌🙌🙌🙌 candy nimekuogopa Gai and for you chiko mbona unalaumu dadake Kwa kosa lenye si Sahihi wallai and Zatiti ndio nimeamini kuwa ukupewa talaka Gai 😮 And ukirudi Kwa chiko ww n fala Sana wallai kubali Tasha tu
@KhadijaMdee2 ай бұрын
Siwapend hawa watu nampenda zatiti na Tasha ka na wewe unawakubal gonga like
@KiswagaPlumbingsupply2 ай бұрын
Congratulations
@ggfwtgg16522 ай бұрын
Pole sana mman candy najua unaumia kwa sababu ya mtoto wako asifundwa na muzazi 😅chiko na bado utasema we huzai nacheka kama mazuri 😅😅😅
@LaizerChionda-de6ul2 ай бұрын
Duuh kazi nzuri hiii naipenda hatari ❤❤❤
@babypromise2 ай бұрын
Eh! Jamani candy and Sania mavituko tu😮
@bintijumachongoa8922 ай бұрын
Wallah mlikuwa mwatuumiza sana w3ngnr humu ndio furaha yetu..coz kazi zitutie presha mahueihan9 nayo yatutie stress na nyinyi nanyi mtuongezee ..aah mtupe kama mlivyotupa mwanzo jaman....atakama marambil ama tatu kwa sku..tunawapenda wana busati❤
@faustafadhili16802 ай бұрын
Amnaga show mbovu kwakweli kama kwenye hii muv umejifunza kitu like hapa mwaga makopa
@zippyMtali2 ай бұрын
Leo nimewai mnipeeni like jamani
@JacksonVicent-i1t2 ай бұрын
Super hero mkurya wa kwanza ku like mzigo huu
@sophiajj22962 ай бұрын
Naombeni like mekuwa wakwanza kilasiku nawapa nyie tu😢😂
@totooboki80722 ай бұрын
Wa kwanz leo jaman naomb like💃
@SaudaAthuman-x2f2 ай бұрын
Sania anajua kupatia candy, anamuingiza mulemule
@aishalovesesibe2 ай бұрын
Sania ni mutoto mubaya anamudanganya kendy😂😂😂🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮
@tabanyabinghi2636 күн бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani mwenye anabixha aseme
@MoohajezAmagove2 ай бұрын
Mimi naye like hata moja hamuwezi nipa?
@Franciscah-ks5zq2 ай бұрын
Wenye tumeisubiri hii kwa moyo wote tusalimiane kwa like
@CallebNyangari-xp9xt2 ай бұрын
Mambo
@franktodory2 ай бұрын
kazi nzuli sana ila haimanishi tusiombane like
@zainabmbwana81952 ай бұрын
😂😂
@SaidiHafsa2 ай бұрын
Nimewahi na mimi like zangu wa 44
@NurumrishoAbdallaАй бұрын
Daah hunyu mama cany anashida kweli kwa mtoto wadizainihi mungu tunusuru sana
@SaudaAthuman-x2f2 ай бұрын
Na leo nimekua wa kwanza naomba like ❤
@SospeterAmosy2 ай бұрын
Jaman wanaokua wa mwisho Kila siku kuangalia house girl like hapa😂😂
@millysitati88442 ай бұрын
😂😂😂😂😂Why are you shouting nah😂
@SospeterAmosy2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@millysitati8844
@Recho-k9o2 ай бұрын
Mi ndo wamwisho Kila siku jmn😂😂😂
@SospeterAmosy2 ай бұрын
@@Recho-k9o inatakiwa uwe rafiki yangu
@SamsonCharo-g1j2 ай бұрын
Nimemiss part ya Kai na zuu busati❤❤❤❤
@prettyney38122 ай бұрын
Jmn leo nimechelewa waiguru alikua amenifichia simu yangu😢😢😢😢😢 hongeren sana wana Busati Tv ❤❤❤🎉
@esthermabuga12592 ай бұрын
Pole sana ,,lakin kwann waiguru jamen😢😢
@prettyney38122 ай бұрын
@@esthermabuga1259 ni roho mbaya yaa toka saaa mbili ndo ananipa saiv😔😔😔
@esthermabuga12592 ай бұрын
@@prettyney3812 Mungu akutie nguvu mwaya
@prettyney38122 ай бұрын
@@esthermabuga1259 Asante kipenzi ila nimebakisha miezi miwili tu niondoke
@rehemanamangwamba2 ай бұрын
Na mie like jaman hata 5 hv 😢,,,
@Aisha-o4v2 ай бұрын
@@rehemanamangwamba towa salam utapata Zaid ya hizotano🤣😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1olАй бұрын
Hyoo mama cend anatia Hadi huruma tu masikn anamuogopa cend kama kamzaaa yeyw