HOUSE GIRL EP 44 || love story💞💕

  Рет қаралды 172,301

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 854
@MwanamvuaNassoro
@MwanamvuaNassoro Ай бұрын
Mashaallah mr Tasha mungu kakujalia busara san❤❤❤napenda san unavomuongoza kai keep it up brother ❤❤
@user-nh2ik7lw1t
@user-nh2ik7lw1t Ай бұрын
Number one tunaosubir ndoa ya Kai na zuuh likes hapa 😊
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman Ай бұрын
Ndi sisi hawa jmn😂😂😂❤❤❤❤
@lucyrif-np8ik
@lucyrif-np8ik Ай бұрын
nikiwemo mm pia❤❤
@OttoNchimbi
@OttoNchimbi Ай бұрын
Nasubir ndoa ya Kai na zuu ila si like
@PelleMabonka
@PelleMabonka Ай бұрын
0
@peninamahenzo7170
@peninamahenzo7170 Ай бұрын
​@@OttoNchimbi na unajua kujibu aje???
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Ай бұрын
Hizi like huwa ziko na faid gani kwani😂😂😂😂 penda sana zuu mm jamani harusi tunayo hatunaa❤❤❤❤❤
@JanethAdam
@JanethAdam Ай бұрын
Tunayo na tunatamba nayo🎉🎉🎉🎉🎉
@user-hd1uf6cb2c
@user-hd1uf6cb2c Ай бұрын
Bora hata uulize wa tuambie hawa waomba like..
@user-uz3dx6io7l
@user-uz3dx6io7l Ай бұрын
❤❤❤❤ Asanten sana kwa kaz nzur
@user-ko1bs5xf2h
@user-ko1bs5xf2h Ай бұрын
Tunayo hiririririri💃💃💃💃💃
@eliagitumbe
@eliagitumbe Ай бұрын
Mm mwenyewe nataka kujua Zina maana gani
@sirngetich1815
@sirngetich1815 Ай бұрын
Much love from Kenya...mninyime likes vile mmezoeaa😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@byishimongirvmufasha6973
@byishimongirvmufasha6973 Ай бұрын
Tume kupa from USA
@byishimongirvmufasha6973
@byishimongirvmufasha6973 Ай бұрын
@aishamamymohammed
@aishamamymohammed Ай бұрын
Jamani usicheleweshe next season maana kilakati nasbiri kipande chengine lkn empty 😅😅
@aishamamymohammed
@aishamamymohammed Ай бұрын
Jaman move nzuri ❤hatari
@Miriamerasmas-rk7nz
@Miriamerasmas-rk7nz Ай бұрын
🎉🎉🎉 hakika kai unarafiki mzur sana na mwenywe hekima na busara zake mungu akupe maisha marefu rafik Kai
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-mj9fs8fm2o
@user-mj9fs8fm2o Ай бұрын
Toka naanza kuangalia hii move sijawah kukoment lakin Leo naomba Niseme kitu huo upuzii wa kuomba like mnautowa wapi badala ya kuwapa pongez kwa kazi Nzur jitu limekaza nipe like inakupeleka wapi Sijapenda 🙏🏾🙏🏾😭
@Mrslindemalaba
@Mrslindemalaba Ай бұрын
N kama wanaenda kuuza
@winniesanga1435
@winniesanga1435 Ай бұрын
Yani ni kelo
@FaridaFocus
@FaridaFocus Ай бұрын
😂😂 yn mm Huwa nashindwa kushangaa
@samirahmakeupstudio7115
@samirahmakeupstudio7115 Ай бұрын
Wengi wanakuwaga washamba 😅
@user-mj3du9nv3y
@user-mj3du9nv3y Ай бұрын
Waaapuuuzi tuuu
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Ай бұрын
Jaman rafk ake kai ni rafk mnzr sanaaaah, Mungu awatangulie
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c Ай бұрын
Wow atimaye zuu na kai wamekutana leo wapi like za daa zuu na kka kai jaman 😂😂 ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Zenabeby
@Zenabeby Ай бұрын
SS ww ndio umenipa moral juu nlikuwa naangalia na sina Aman 😂😂😂
@MaryMbithi-nw5sr
@MaryMbithi-nw5sr Ай бұрын
Can't imgne natoka inje saa nane usiku nkakae kwa stairs ka mchawi just ni watch hii movie much love from Kenya ❤guys 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yenu hayo wana busati 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SaadaHaroun
@SaadaHaroun Ай бұрын
M waomba like wananikera jmn duuh ningekua na uwezo sjui ningewafany nn tu wanakeraaaaaa
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin Ай бұрын
Sana
@user-zc1qh6ti2p
@user-zc1qh6ti2p Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@MozaRished
@MozaRished Ай бұрын
Ungewa block wasione tena movie hii😂😅
@judithjarome
@judithjarome Ай бұрын
Leo nimewai umu ndani nitagawa makofi ya uso Kwa wote wanao omba likes na sio kutoa maoni
@UniceMsomi
@UniceMsomi Ай бұрын
Mwenyew nataka nigawe ayo makofi pia mana naboeka sana kwawanaoombaomba2 kama wajing
@glorykadzo
@glorykadzo Ай бұрын
😹😹😹😹😹
@kingfocustzog
@kingfocustzog Ай бұрын
Njoo inbox 📥
@user-ie8cu9vm6p
@user-ie8cu9vm6p Ай бұрын
Yan cand toka move ianze haujanichekesha kama leo nawapenda nyote kaz nzuri 😂😂😂😂😂
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin Ай бұрын
Mi mwenyewe Nimecheka co p
@FelisterBuhitu-xf9qv
@FelisterBuhitu-xf9qv Ай бұрын
I was waiting for you mnatufundisha mengi ,, mapenzi ya dhati,, usaliti,,visa,,migogoro yes kazi nzurii much love ila mnachelewa Hadi nawamiss Sanaa keep it bravo🎉🎉🎉
@angelmauja1846
@angelmauja1846 Ай бұрын
Umesahau uchawi
@FelisterBuhitu-xf9qv
@FelisterBuhitu-xf9qv Ай бұрын
@@angelmauja1846 😂😂😂😂😂😂😂kuvunja naziii
@angelmauja1846
@angelmauja1846 Ай бұрын
@@FelisterBuhitu-xf9qv 🙆🤗
@user-bu3tr3cd9m
@user-bu3tr3cd9m Ай бұрын
You my nambar one nilikuwa sijalala nasubiri mzigo uingie
@WeddyMithika
@WeddyMithika Ай бұрын
Wapy likes za last borne pliz 😂😂😂
@user-oh7un2hr4z
@user-oh7un2hr4z Ай бұрын
Hv hakunaga kingine cha ku comment zaidi ya wakwanza nipen like yaani mpaka inafika siku 3 lkn mtu bado atasema yy wakwanza apewe like kama watoto vile
@user-kg1hx6zc8s
@user-kg1hx6zc8s Ай бұрын
Pia natakakuuliza hilo swali
@MaziamJororo
@MaziamJororo Ай бұрын
Hatimaye Leo nimekuwa wa kwanza😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-zn7ll3ih9e
@user-zn7ll3ih9e Ай бұрын
Kuomba like mkowakwanza kutowa maoni aaaah😅😅😅
@user-jl8kp7gu7x
@user-jl8kp7gu7x Ай бұрын
Wakwanza Leo Ni Mm nipeni like nzangu from USA ❤❤❤
@user-zc1qh6ti2p
@user-zc1qh6ti2p Ай бұрын
Like ya nyoko
@HatungimanaEzechiel-kd8nw
@HatungimanaEzechiel-kd8nw Ай бұрын
Wawooo nimefulahi Kai n'a zuu kukutana🥰🥰
@phorahmahaza638
@phorahmahaza638 Ай бұрын
Wamwisho Kila siku nipen like basi nanyii😢
@OmanMuscut-ju3xp
@OmanMuscut-ju3xp Ай бұрын
Chukua my izo like nimekuluhusu😊
@glorykadzo
@glorykadzo Ай бұрын
😂😂😂mimi ndio wa mwisho
@odiitdt
@odiitdt Ай бұрын
Reo nin fulaa
@odiitdt
@odiitdt Ай бұрын
Kai amekutan na zuu
@ZawadiIbrahim-rp6uj
@ZawadiIbrahim-rp6uj Ай бұрын
Zuu 🎉🎉🎉🎉🎉
@BertaFernandojonas
@BertaFernandojonas Ай бұрын
Wakwanza mimi kutoka msumbiji naomeni like zang
@Phanny-Nyonge
@Phanny-Nyonge Ай бұрын
Wale tunapitia comment tukisoma❤ Twende nalo❤❤❤
@zuwenashabani7100
@zuwenashabani7100 Ай бұрын
Notification iko On yaan nipo makin kweli kweli Oman 🇴🇲 nawakilisha...wanangu wa Oman kujeni hapa tufahamiane
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
Tupo kama kawa
@user-og6vx1je7u
@user-og6vx1je7u Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol Ай бұрын
Tup my
@VailethYusi
@VailethYusi Ай бұрын
Wa Kwanza leo naomba like zangu kutoka Dodoma
@user-wp7uk5mb1m
@user-wp7uk5mb1m Ай бұрын
Izo kalatasi za nyumba ya Kai itakuajee nasikia oga
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c Ай бұрын
Kama Kai amerudi kwa fahamu zake za kawaida na Zuu kupona hata hizo karatasi zitapatikana mwisho wa ubaya ni aibu
@RehemaElendela
@RehemaElendela Ай бұрын
Mimi wa kwanza leo Naomba like ❤❤❤❤
@bayubaheallydelly-rn2zv
@bayubaheallydelly-rn2zv Ай бұрын
Wakwanza jmn like zangu mnipe hap ata kumi tuu
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc Ай бұрын
Wakwanza Leo nipeni like jamaa😂😂
@user-ni8eh1fv4q
@user-ni8eh1fv4q Ай бұрын
Jamani leo nimewahi Naombeni like hata 1
@TatuTatully
@TatuTatully Ай бұрын
𝑾𝒂𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛 𝒍𝒆𝒐
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je Ай бұрын
Kigugumizi kitaisha mmbea mkubwa zuu umemuona buheri Wa afya.kend mshsngao umemkula ole wako bio zasakafuni huishia ukingoni happy day 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤kendi kawalahi vp Ni mecheka yangu yote movie Leo imenipa Raha hapo moto❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
Asante sana 🥰🥰🥰
@UbarikiweMsangi
@UbarikiweMsangi Ай бұрын
So nice❤
@esterester3628
@esterester3628 Ай бұрын
Very good Candy kishakulamba mama park your things now.Achia space Kai na Zuu wetu jameni 😂😂😂😂😂😂❤❤🎉🎉
@user-tu2sk1mo8q
@user-tu2sk1mo8q Ай бұрын
Wow 😘😘😘❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🤲 Allah awazidishie kheri inshallah
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
🙏🙏
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg Ай бұрын
Nimecheka mm candy sikwamvio hizo loo move nitamu sana mubarikiwe nyotee
@buru1235
@buru1235 Ай бұрын
Wale wenye uwa tunachelewa uku tuko wangapi nimesomw message hdi nimemaliza harusi tunayo hatuna Mashallah Kao n zuu wamepatama wow😂😂😂
@HalimaIbrahim-z4n
@HalimaIbrahim-z4n Ай бұрын
Hongera baba kwa kumsamee kai
@MerryKiwango
@MerryKiwango Ай бұрын
Wa kwanza mm leoo naomba like zangu jmn
@RoziMeri-yk4pp
@RoziMeri-yk4pp Ай бұрын
Waoooh kai na zuu wamekutan apa muvi itaenda vizur zaid ❤❤❤
@user-lj3tc1xs5j
@user-lj3tc1xs5j Ай бұрын
Venye nilikuwa nasubiri Yani we Acha tu
@AminaMagulati
@AminaMagulati Ай бұрын
Nakupenda sana mpumbavu mwenzangu we mdada ni mrembo sana
@Kimwana255
@Kimwana255 Ай бұрын
Wakwanza mamaalao kutoka Saudi Arabia nipeni like
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Ай бұрын
Mm nataka no yko plz nime kuelewa😢
@Kimwana255
@Kimwana255 Ай бұрын
@@Sayd-pi5lq Toba makubwa
@user-qb4qp7xj7d
@user-qb4qp7xj7d Ай бұрын
​@@Kimwana255jamn hutak Upendo 😅😢😂
@Kimwana255
@Kimwana255 Ай бұрын
@@user-qb4qp7xj7d shukrani Kwa upendo
@irenestephen399
@irenestephen399 Ай бұрын
Kwaniaba ya ma house girl wote nipewe likes
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq Ай бұрын
Ata mm siombagi Leo naomben like zen nimechelewa lkn nawape❤nda wote nipo kenya nimtanzania mwenzenu🎉🎉
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
🤣🤣🤣
@user-hi3ts2rk8w
@user-hi3ts2rk8w Ай бұрын
Jamani Leo nimewai mapema,,naombeni like ata mbili😂
@carolinenyadzua2458
@carolinenyadzua2458 Ай бұрын
Movie nzuri Sana Tena yakuvutia ila naomba tu mfanye movie ndefu kias n fupi mno
@user-zk4eg1gb5s
@user-zk4eg1gb5s Ай бұрын
Good job team mzima ya busati.
@user-yu9qn4oi3g
@user-yu9qn4oi3g Ай бұрын
❤❤❤❤ good job 👍 shida katoa macho hayo ka mjusi kabanwa na mlango zuu hafi kizembe hivyo analidwa na mzimu ya kwaoo
@OmbeniShendwaDaniel
@OmbeniShendwaDaniel Ай бұрын
Wa kwanza leo jamani mnikumbuke basi hat kidogo na like 20 tuuu
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 Ай бұрын
Eewaaa 😂 ❤❤ like kwa kai na zuu jaman
@LinaLina-uu5pw
@LinaLina-uu5pw Ай бұрын
Kwa ukweli Leo ndio nimevutiwa mno Hadi nimehisi ingeendelea tukimalizia wedding 💍 ya Khai na zuu❤nipeeni likes msinipite.
@mariamfunga4343
@mariamfunga4343 Ай бұрын
Hakika kuua sio kaz rahisi😢😢Leo hii zuu awanyima amani walomtendea ubaya
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Ай бұрын
Mmh jaman kama mm ni mti basi nirudishwe porini si kwa penzi hilo kai na zuu haswa zingatia neno kumbato ❤❤❤🎉🎉🎉 😂😂😂😂😂
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 Ай бұрын
Yaani move yen tamu🎉🎉alafu tunaomba kendi asifanikiwe kuuza nyumba jmn ili move inogee
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
🥰🥰🥰🥰
@MarygorethKimario-mu9nn
@MarygorethKimario-mu9nn Ай бұрын
Jamn kwan hizo like mnaombaga zanin mim Sielew usikute kunamalipo yanaendelea mm sijui
@MariamYusuf-o3y
@MariamYusuf-o3y Ай бұрын
Waoh jmn Kai na zuu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@user-vi2gs5ie9m
@user-vi2gs5ie9m Ай бұрын
Wa Mia moja n nne n siombi like 😂😂😂
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman Ай бұрын
😂😂😂 msichekeshe mm jmn😂😂😂 ety wa Mia ngap
@EzraBoboloy
@EzraBoboloy Ай бұрын
Jamani hadi Raha khaii na zuuu kuonana mara nyingine nimefurahi sana 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮
@teddysananga
@teddysananga Ай бұрын
Ila candy 😂😂 umenifurahisha ulivoisema hiyo 'we mbwa nn'🎉🎉
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol Ай бұрын
Aya Aya Tena timu zuu tujuwane bas Kwa like Kai tufur San zuu akirudi cend amini macho yake Tena kumuona zuu hatarii San mashallah 🌹 baba Kai asnt San
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
Asante sana🙏
@user-ko4in4uy1u
@user-ko4in4uy1u Ай бұрын
Yani Yani Nyiye Team Zuuuh. Nimeceka Paka Mwisho 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hongereni Sana Guys 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Masha Allah zuuu na Kai wamekutana tena😂😂😂wewe nafurai sana mambo yananoga sasa
@Shan-ch3zj
@Shan-ch3zj Ай бұрын
Wow
@estermpare4078
@estermpare4078 Ай бұрын
Haya sasa kumekucha !!! Wendawazimu wa kuomba like naona wameshawehukaa hukuu😂😂😂
@user-qx2qj1li4q
@user-qx2qj1li4q Ай бұрын
Mko vizuri nampa hongera kubwa mbarikiwe yote mnafanya kazi nzuri sana nawapenda sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-ge3tn7zs8r
@user-ge3tn7zs8r Ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka naipenda sana move yenu nasema silali pk nione🎉🎉🎉🎉🎉
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Ай бұрын
Ila Tasha❤❤ ni hatar sana master plan❤
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
Safi sana zuu sasa yupo mikononi mwa kai hadi raha nawapenda sanaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
@user-dp3fv2kh4l
@user-dp3fv2kh4l Ай бұрын
Kwakweli leo nimefurahi sana kumuona kai zuu wakikutana nawapenda sana from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LilianJoseph-nw3hq
@LilianJoseph-nw3hq Ай бұрын
Wakwanza kulike naombeni like plz😂😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Ай бұрын
Hebu chap chap ni comenti like kwa baba kai kumsamehe mtotonwko from Oman 🇴🇲
@ZeinabJeni-xu3og
@ZeinabJeni-xu3og Ай бұрын
Wow nafurahi zuu kapata kai🎉🎉🎉❤ tujiandae na harus
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi Ай бұрын
Tunawapenda nsana wa buza tv wote ❤❤❤❤
@ZenahZeynah
@ZenahZeynah Ай бұрын
Naombeni like naombeni like n ata hamjamaliza kuangalia episode mnakera 😏
@ChrisRely-qk9jx
@ChrisRely-qk9jx Ай бұрын
ati maee wame kutanaa tenaaaa atariiii respect kai 🎉🎉🎉❤❤❤
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj Ай бұрын
Asee mnajua kuwahi lkn nami pia nimewahi naombeni like kumi na kuwapa 🎉🎉 yao
@Mejumaayusufu-lg2or
@Mejumaayusufu-lg2or Ай бұрын
Kesho mapema jamani episode ya 45❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤ twasubiri hio ndoa ya Kai na zuu
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo Ай бұрын
Jaman ambao hawampend kend kam mm much love from Kenya 🇰🇪 zuuh na kai
@JoyceCharo-s4n
@JoyceCharo-s4n Ай бұрын
Naskia raha zuu amekutana na kai tena nawapenda sana❤❤❤
@user-nt1do3vn8x
@user-nt1do3vn8x Ай бұрын
Kazi nzuri sana timu mzima ya busati hongereni sana
@IgiranezaChadrack-z1p
@IgiranezaChadrack-z1p Ай бұрын
Niko wa kwanza naomba like hata 10
@HawaRashid-k7i
@HawaRashid-k7i Ай бұрын
Jamn mnatoa episodi moja moja haipendez toen hata 3 jmn napenda mim kufatilia nawapenda sana wote
@MetrineKhisa
@MetrineKhisa Ай бұрын
N sawa tu mkininyima like aki 😢😢😢 nimewahi mapema jameni
@busatitv
@busatitv Ай бұрын
🙏
@user-mu4xm4fd5s
@user-mu4xm4fd5s Ай бұрын
😢😢❤tasha mungu akutunze kwa kweli marafiki wajifunze kwako
@NuruenezaJosephEnock
@NuruenezaJosephEnock Ай бұрын
Daaaahh jaman nimefurah Sana maana wapendanao Khai na Zuuuhh wameonana Kwa mara nyingine tenah
@user-wd4yz5mc9d
@user-wd4yz5mc9d Ай бұрын
Waooooooh zuuu jaman napenda ujasili wak jaman kipenz naomba namb zako
@sawaAsd-cp3dr
@sawaAsd-cp3dr Ай бұрын
Sawa hakuna kinacho mshida mungu zuu amerudi sasa weeee kazi ipo sasa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉kwa bb mpumbavu🎉🎉🎉🎉🎉anjuaa sana
@SalmaZuberi-q8m
@SalmaZuberi-q8m Ай бұрын
Wapiiii da zuuu hatimae kakutanaa na kai wakeeeee❤❤❤❤
@user-fs8ho9ks4x
@user-fs8ho9ks4x Ай бұрын
❤❤❤ nafurahi kuwona Kai n'a zuuuu wanakutana
@OmbeniShendwaDaniel
@OmbeniShendwaDaniel Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-gl8sh4fn6q
@user-gl8sh4fn6q Ай бұрын
Wakwanza🎉🎉🎉
@fatuma6011
@fatuma6011 Ай бұрын
Furaha ilioje kai na zuu kukutana❤❤❤
@gladnessmichael2459
@gladnessmichael2459 Ай бұрын
Ni jinsi gan tunaipenda mda mchache tuu lake zishaa jaaa 🔥🔥🔥
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p Ай бұрын
Pia mimi siamini kama kai na zuu wamepatana , wooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@tumyramake5416
@tumyramake5416 Ай бұрын
Wow am happy now
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Ай бұрын
Dakk jaman, chache sanaaaah
@user-mb8nc4oh2j
@user-mb8nc4oh2j Ай бұрын
Jamani pongez kwen pia mpewe mauwa yenu 🎉🎉🎉❤❤❤❤ hamtukawizi kbs
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc Ай бұрын
Aaaah Aaaah 🎉🎉🎉zuuh nakupenda San zuu na Kai 🎉🎉🎉🎉
@user-zc8lx5nf7t
@user-zc8lx5nf7t Ай бұрын
Walio kuwa wanasubiri kwahamu kai na zuuh wakutane tujuwane jamani❤❤❤❤❤
HOUSE GIRL EP 45 || love story💞💕
21:18
BUSATI TV
Рет қаралды 164 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
HOUSE GIRL EP 44 | S2 | love story💞💕
22:12
BUSATI TV
Рет қаралды 117 М.
Huba Jumatatu 9/9/24 moto ule ule pale pale
6:58
Newstz
Рет қаралды 25 М.
Wema Sepetu
2:09
TRISA MHOMBO
Рет қаралды 1,5 М.
MISSION IMPOSSIBLE [36]
24:28
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 74 М.
KIFUNGO | EPISODE 6
23:03
A7 FILMS
Рет қаралды 4,2 М.
MY MOTHER EP 06  | Sad Story 💔💔
20:31
BUSATI TV
Рет қаралды 34 М.
Huba leo Jumanne Full HD video
22:18
hh555
Рет қаралды 6 М.
HOUSE GIRL EP 45 | S2 | love story💞💕
22:39
BUSATI TV
Рет қаралды 115 М.
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 24)
22:06
Comedy Plus
Рет қаралды 41 М.