Mummy hupendi outskirts like utawala and kitengela or ruiru ,mm hawa akina south b anga sijui south nani ,i find the extremely expensive and not very good looking.....Kuna apartments apa shell kitengela za 30k weeeeh u will think uko heaven,the interior is to die for
@Safiya_said4 ай бұрын
Hello dear ,is utawala has nice apartment and safety it’s good?
@Wanguicathy4 ай бұрын
@@Safiya_said utawala is nice safety not really juu hukua na break in
@Safiya_said4 ай бұрын
@@Wanguicathy break in ya nn?
@Wanguicathy4 ай бұрын
@@Safiya_said mnalala mnaamka asubuhi kama nyumba imefagiliwa electronics,it happens alot in ruai and utawala
@Safiya_said4 ай бұрын
@@Wanguicathy what?I thought n safety place weh I’m scared I was planning to shift there at utawala shooters
@Serahchristine-np1kv6 ай бұрын
2nd house i love it this is the exact house am telling God about🙏so help me God
@stacyrodah-er5uv6 ай бұрын
Okay kuna infuencers to be looked upto but mummie is just unique ❤
@carolondiso64916 ай бұрын
Second Last house nop, not sufficient light, too small,, naaah
@SharongudaRN-BsN6 ай бұрын
A spacious kitchen goes along way
@stacyrodah-er5uv6 ай бұрын
The 3rd house is dope ❤
@sheikhakhalid67816 ай бұрын
The second house is perfect ma shaa Allah
@theofmeruqueen.29336 ай бұрын
Try Nyayo estate in Embakasi. Very clean estate, very specious houses na 3 bedroom between 35k na 40k.
@MwikaliN4 ай бұрын
shida nayo huko ni maji
@lucymlahiye83796 ай бұрын
Third house is mmmmwah🥰
@amannawuor82656 ай бұрын
Mummie please give this job and i will deliver it for you just give me location ❤
@nayratsalim45526 ай бұрын
Hio ya makabati ya black na ile ya sliding windows view kali choose hapo
@vigieyvion57364 ай бұрын
Bado utufanyie house tour
@Miriam254-m6 ай бұрын
2nd house perfect
@HappyDrone-tv3wx6 ай бұрын
Nimemiss video zako za upishi
@maryadundo64656 ай бұрын
Huku si Nairobi?
@minahminah19546 ай бұрын
Mammy reasons za kuhama hama nnini dear.
@dantexboy72216 ай бұрын
A specious 2 bedroom house available in Ngong
@reginakiunga80536 ай бұрын
Exactly where?
@dantexboy72216 ай бұрын
@@reginakiunga8053 Just few meters from the Town. Near Police station . Call me 0748649187
@idhanahdi93696 ай бұрын
Hassan Farouq afanya nini nai
@melvinomari56946 ай бұрын
Kwani unahama kila mwezi?? Aii😊
@gorettyomwang45266 ай бұрын
Kwani izi nyumba zinajengwa nairobi mingi ivi unataka akina nani wishing..?? Mummy hama ata ukipenda kila wiki raha jipe mwenyewe alafu mummie ni mfanyi biashara mizigo pia ipate starehe
@melvinomari56946 ай бұрын
@@gorettyomwang4526 you talk too much sometimes huyu mbaba wake anamvumilia tu you think moving out ni cheap?? This is a waste of money
@gorettyomwang45266 ай бұрын
@@melvinomari5694 borake mbaba hajaenda live tiktok ama kuitisha press conference ama ku upload video akikomplain kwamba amechoshwa na mummie....sisi binadamu tu Acha mummie afurahie maisha yake jamani istoshe mummie hajatwambia anataka msaada wa rent mbona ueke mbaba kwa hii mix jamani tujifunze kufurahi wakati wenzetu wanafanikiwa .......nisamehe incase nmekukwaza kwa njia yeyote dadangu
@w.a.m.b.u.i17766 ай бұрын
@@melvinomari5694Aaaaai sweety umeenda too far...kwani unaishi nao mpaka ukajua mbaba wake amemvumilia sana...maybe ata ilikua decision ya mbaba kuwa wahame...aki watu