He is brilliant,hopeful and very positive about life.may God see him through..
@itugitvАй бұрын
Sure God has his back
@richardmuriithi23352 ай бұрын
A hard nut to crack😂😂you are improving kwa kufungua watu mtoto wa sonko
@MercyMacharia-d5o2 ай бұрын
Aii kama mtu hataki kupeana details za story c uache Tu kufanya interview 🥱😏
@VictorrThinker2 ай бұрын
EXACTLY!! Eti hataki kupeana information si aache! 😂
@MercyMacharia-d5o2 ай бұрын
@@VictorrThinker navile adi nlikua premier..nimejam Sana🤦🏻♀️
@VictorrThinker2 ай бұрын
@@MercyMacharia-d5o Naelewa, pole dear!
@aminasaid83112 ай бұрын
Mi pia nimeboeka na vle nimeview na kiherehere kumbe hataki kuongea
@MercyMacharia-d5o2 ай бұрын
@@aminasaid8311 😅😅polee
@VeronicaDunbar-q5v2 ай бұрын
Kijana, kweli Mungu amekufanya example nzuri, ya ganda la ndizi lisilo na faida, to manure ya kukuza mazao mengine in future. Na una uerevu mwingi, wa aina tofauti. Tembea hivyo hivyo na hizo baraka za Maulana. Uko multi talented vizuri. May you continue to grow na, uinue wenzio watakao uwashike mkono. Mungu naawe kati yetu na, ndani yetu.
@janetjaneten85112 ай бұрын
Kwanini amekuja kwa interview kama ataki kuelazea what really happened.. hii sita like leo for sure
@lindahvusha37902 ай бұрын
Mtoto wa Sonko next time dont air for us story ya mtu anakataa na information, we're here for the A-Z. Kama mtu anatunyima the lesson na sisi tunamnyima the support!
@brendaatieno22402 ай бұрын
Kabisa
@kajoymbura2 ай бұрын
Never bring someone who isn't ready to open up because they haven't either owned the mistake or ready to tell the truth cause they have plans for revenge and It may have very bad impact cause they might be attached by some comments and take them personally or even you might find yourself in court explaining things that you don't know
@davidmacharia61412 ай бұрын
Inspite of all this guy is inspiring and positive you don’t have to give details mind you he was a little boy when all happened ❤
@KENYANQUEENOFFICIAL2 ай бұрын
Avoiding questions,hungeachana na hii interview, nipitieni guys pale kwangu youtube channel tafadhali
@danielamicheal46802 ай бұрын
huyu alikosana na bro wake MAYBE akamgonga akafa sasa vile amerudi akieleza tena vile ilikua atakataliwa na familia wacha tujaribu kuelewa sisi waafrica tuko na tabia yakua mtu amekosea alafu family inaficha kitu hawajui nikua wanalea jini ndani ya nyumba
@edithonyango50212 ай бұрын
Comments section yenyewe imeniluzisha hope ya kuwatch😂😂😂
@millyadhiambo2382 ай бұрын
Huyu ayuko sorry too proud he doesn’t care😮
@ireneekirapa28092 ай бұрын
nimeshindwa Na Hii interview.. plus be prepping the interviewee first before uanze.. thooo.. we need a captivating story.. A to Z... and take control of the interview bro..
@ellvinkerubo63652 ай бұрын
Live form malindi safi sana
@Hennessyjenkins22 ай бұрын
Kwanza mwambie hajui kuimba, pastor ng'anga ako afadhali
@AndrewWaweru-qp6wx2 ай бұрын
Hata Pr. Ng'ang'a eti alikuwa huko tu, Mungu anampenda anamjalia mapenzi yake miongoni mwa hao waonekana wana'crue' ya kujua kuimba na kucheza muziki na hata wanaonekana kabisa hawajui,,, Mungu anawapenda anawajalia maisha yenye mafanikio.
@NaomyMuttai2 ай бұрын
Personally leo sijabambika na hii interview, this person ameongeza uongo kadhaa( ati he was 16 and in form 3, remember iyo ni 80s people could start schooling ata at age of 10) then he is not open
@lydixlovie87872 ай бұрын
😂😂😂bure kabisa
@VictorrThinker2 ай бұрын
I thank God SIJAWATCH HII INTERVIEW YOTE! 😂
@fredmoranga24392 ай бұрын
Utamu wa story ni kupata main issue yenye ilifanya aende jela.... next if someone isn't ready no need
@brianombagi92782 ай бұрын
After reading the comments, i have decided i won't watch.
@lydixlovie87872 ай бұрын
Me too
@Waithiramburu2 ай бұрын
Me too
@mileafedha97862 ай бұрын
He was not ready to be interviewed! MTU husema what transpired ndiyo aende jela mbona hataki kusema? Mbona hataki kusema kila kitu???
@VeronicaDunbar-q5v2 ай бұрын
Kwenyu kuna mastori mbaya mbaya as well. Kuja uzianike. Achana na za wengine. TWANGOJA.
@YahyaFeiswal2 ай бұрын
Akuba kitu nimelewa ata mm lazma aliuwa ndugu take vibaya ndio sababu inakua ngumu kusema
@BonNjoroge2 ай бұрын
Hey bro 👏. About the issue 😢 , I'm sorry about it. The way it came to reach to that point is through dark forces. God is great 😂, that we still exist 😢
@BonNjoroge2 ай бұрын
@@YahyaFeiswalwe forgive others as we wish to be forgiven, what he did was bad, as my youngest brother, I worried about the whole situation 😢. I suffered a dead brother and a jailed bro. I couldn't stop loving my little brother 😂, I've forgiven him from, I love him 😂, my only brother. We forget the past and stay well 👏
@letscookeasyrecipes23702 ай бұрын
After reading the comments let me pass I will watch the next one
@YahyaFeiswal2 ай бұрын
Uyu msimlaumu ukimwangalia vizuri ayuko sawa tokea uzaliwe uliskia wapi mtu akimba ivo ns hajuti alicho fanya na lazma alichinja ndugu yake ndio mana awezi kusema
@bonifaceledama37762 ай бұрын
Bro tell us more about yourself, don't conceal your complex life from the incident to the life in prison, kindly
@margaretmuthee52162 ай бұрын
Ata sija maliza story, ataki kusema venye alifanya
@b.39402 ай бұрын
Huyu Waweru naona kama alibaka mtoto ndiyo anaibika kutoboa uhalifu aliyoufanya.
@mariam521862 ай бұрын
How can we learn as a society if you are not willing to tell how it started for us to learn?... mtoto wa sonko always insist on how the story started please..
@VictorKiplagat-wn4mw2 ай бұрын
Inafaa arudishwee ndani ni kama hajarekebika apa unatupea full details
@lydixlovie87872 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Kasongo-j5s2 ай бұрын
Huyu anaboo 😠kama hataki kuongea akwende,siwezi maliza hii story I'm off at exactly 11:12
@patcysalim21572 ай бұрын
He's avoiding questions why come for the interview
@rahabnganga27932 ай бұрын
Angesema what inspired
@irenekiilu9542 ай бұрын
He has evaded the questions...what a terrible interview..huyu amekuzungusha bure
@naftalimiheso2492 ай бұрын
😂😂😂huyu ni mwana muziki?!
@abdulmalikmbuja2 ай бұрын
Uyu jamaa anaboesha
@bujnasharon242 ай бұрын
Lakini mtu kama utaki kutuambia what happened usiwaste time yetu, vile amerukaruka ndio nmeacha kuwatch sipendi ujinga😂😂, I hope he didn't promote his KZbin yake akiongea ongea in the name of kuimba, anyways acha niache hasira
@aminasaid83112 ай бұрын
Leo mapema mapema
@nikswiffee2 ай бұрын
Huyu apana
@waridim92492 ай бұрын
From the comments, I don't need to listen. 😏
@annnyambura36342 ай бұрын
He wants help but he wont narrate the whole story.
@janetmmboka49842 ай бұрын
Even me here,,no wasting my time 😊😊😊
@evansmusomi30522 ай бұрын
Ata mimi nashangaa niaje Leo ni mchana
@VictorrThinker2 ай бұрын
Sasa kama mtu hataki kupeana story zake si aache tu yawa? 😂😂
@brendaatieno22402 ай бұрын
So umekam kupeana story gani kama huwezi sema vile ilifanyika
@thekenyan55962 ай бұрын
Umeamuaje Leo mchana?
@geoffreymuleri86842 ай бұрын
Disappointed with this video .this guy was not ready for the interview and he's hiding alot...
@linetkhavugwi2092 ай бұрын
Huyu mmemleta atuimbie tu na soprano amekam atuambii story yake y😅😅
@denilsonmonari-dv9ph2 ай бұрын
😂😂
@KENYANQUEENOFFICIAL2 ай бұрын
@@denilsonmonari-dv9ph nipitieni guys
@TerryRoberto2 ай бұрын
Huyu alikuja interview ama alikuja ku market tastless songs na kiswahili fake
@faumash67342 ай бұрын
sasa huyu alikuja kwa interview kufanya nini,bomboclat
@jasminejojo32852 ай бұрын
The most boring and unclear show I have ever watched on this platform kwani umeleta wanini Bure kabisa
@nancywaweru51152 ай бұрын
Most boring interview. Why not give details of what happened before jail.
@jossymackenci18162 ай бұрын
Never do such a story
@josephkiarie29512 ай бұрын
Waste of time he is so evasive no need for the interview
@msjoanndunge37202 ай бұрын
Delete such a boring story
@brendaatieno22402 ай бұрын
The most booring interview mbona uuite mtoto wa sonko kama huwezi eleza the death
@juststarskyye2 ай бұрын
Ni vendetta si fedeta...mtoto wa sonko
@b.39402 ай бұрын
Ni lafudhi ya Mlima Kenya. Mimi husema Radan badala ya London😅😅😅.
@lydixlovie87872 ай бұрын
😂
@edwintirop52 ай бұрын
Bure kabisa
@jkn30422 ай бұрын
Huyu ana bore. He’s avoiding questions and not telling his story.
@AnnieMajesty-xo6zn2 ай бұрын
Singing is not your thing bro😏😏
@lydixlovie87872 ай бұрын
😂😂😂😂
@annkariuki1522Ай бұрын
Humorous guy but boring
@Ciokiuria2 ай бұрын
I am sorry this is the worst interviewee you have brought. I didn't even finish. Prep your interviewees before.