Kweli kabisa huu mpira ya Tv ni msiba mkubwa katika ummah
@al-hidayahonlinetv3447Ай бұрын
Allah awafanyie wepesi wapenda mipita😢
@RAJABUSALEHE-m1nАй бұрын
Shehe je na zile sijida za wachezaji wanapofunga kisheria zinanaswihi?
@MbwanaHuseinАй бұрын
Shekhe vp mapambano ya bossngi
@SleepyRainforestJungle-rn6wcАй бұрын
Yale niharamu. Kwanza mtume amekataza kupiga katika uso. Na pili mtume amesema nyenyekupigana ili tamko la mungu liwe liko juu uyo yupo katika njia ya mungu. Na tatu mtume kasema akuna madhara wala kudhuriana.
@memorataedson7895Ай бұрын
mmh sasa kama wasipoangalia wañacheza kwa ajili ya nani
@KhadijaAli-e7eАй бұрын
Mpira ni haramu kuwa Muwazi Sheikh.
@dukhturАй бұрын
endapo utafata masharti sio haramu ukhty
@maalimhamad1297Ай бұрын
SHEKH KUNA KITU MUHIMU SANA WANACHUONI WAMEKIZUNGUMZIA UMEKISAHAU MPIRA WENYEWE NIKAMARI NA WANATANGAZA POMBE NA RIBA NA WANACHUONI WENGI WAMEUHARAMISHA MPIRA KWASABABU HIZI MBILI KBWA SIDHANII YAKWAMBA UMESAHAU NAZANI UMEVIACHA KWASABABU UMESHINDWA KUUHARAMISHA MPIRA
Mpira sio haramu mungu hajaharamisha waloharamisha ni punda wanaojiita wanazuoni
@maalimkhamis99Ай бұрын
Rejea vizuri khutba ya sheikh
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
@@bakariismail3274 duuuh unawatusi wanazuoni warithi wa mitume, ndani ya mpira kuna mambo mengi haramu mfano, wanaume kuvaa vibukta vile, pili kusaport mambo ya ushoga na pombe na kamari,ungekuwa unafata masharti hapo isingekuwa haramu kuna mengi yana muhatufu mwenyezi mungu tuuh we hujui mipira ya saivi mtihani mtupu ukatae usikatae hiyo ndo kweli ilivyo jambo lolote likiwa linamuhatifu Allah basi haifai hilo ni haramu
@Ibunmaulanashirazy-sn5uiАй бұрын
Shekh achakuharibu dini akunauhalali wampira ktkt QURAN