Mashallah Allah hakufanyie wepesi hakulinde na fitna na husda
@sakinasakku834020 күн бұрын
Jazakallakheir sheikh
@iddimuatafa20 күн бұрын
Allah mkirim sheikh wetu MUHAMMAD BACHU nilikua ninaombi au ushauri kwake anapo toa mada nzito kama hizo namuomba ajaribu kuvaa vazi la sheikh wetu NASORO BACHU yaani isiwe kwa muonekano huu ninzur lakini haipendezi TUNAMPENDA SANA KWAAJILI YA ALLAH kwani ametuvusha kwenye wimbi zito la watu wa bidaa na Fitna za majadida maana tulikua hatujui kwakushika kutokana na fitna zilivyo enea.ALLAH ATULINDIE SHEIKH WET M.BACHU NA AMREHEM BABA YAKE