Guys am still waiting for new microphones.😊My guests will be Hard loud and clearly soon.
@bushbyrams2 жыл бұрын
It's a nice stuff,iko fity bado bro
@idaretv67102 жыл бұрын
Rada safii
@merciekim85442 жыл бұрын
Please send me email ya ile moq ulikataa job niapply
@ENTERX90772 жыл бұрын
Sisi twangoja
@Ulumbukinidemba1232 жыл бұрын
Hello.l have seen #UFC center near Gentleman club....do you mind doing any live #UFCPRELIMS ?
@teddygathogo34602 жыл бұрын
Guyz wa Europe are copying your name huku Germany….Huku Australia 😅😅😅😅…Ibrahim you are an inspiration
@bryankibet15872 жыл бұрын
Kuna faa kukuwa Ady Australia, Denmark huko Japan,South Korea,ata newyork,LA , Texas ,ata SA,Ghana,Nigeria,Egypt,Qatar,India,azn kila mahalietc
@caroljimono42942 жыл бұрын
Huku yues ana inspire watu wengi mm nataka kua huku Kenya
@zebra65512 жыл бұрын
Wacha wacopy tujue the whole world
@kennedymuseti51652 жыл бұрын
Nimeona Huku Yukei mahali, jamaa anaishi England
@sheldonkiptoo2 жыл бұрын
@@zebra6551 true
@Odhis_Mwafrika2 жыл бұрын
Huko downtown hampigiwi Nyongolo 🤣🤣 Nai huku Riverside na RiverRoad Rada chafu. Kuna pia polisi Undercover Imboo🤣🤣 Love this content 💪🇰🇪
@judyatieno9172 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@christinemoraa56572 жыл бұрын
hehehe
@Odhis_Mwafrika2 жыл бұрын
@@christinemoraa5657 hapo Lithuli street kwanza kuna mbogi fulani inasubua vijana sana...Unawekwa Bangili alafu sasa ni kupigishwa lap Tao. Wakingoja Uwahesabie...
@HukuYues1722 жыл бұрын
Bado masaa ya ngeta. Nilikuwa hapo jioni tu😊
@felixshyaba19502 жыл бұрын
short and sweet, could you do a video for electronic shops, which are the major tv brands,soundbars etc huku yues, In Kenya brands are limited,mostly from Asia
@HukuYues1722 жыл бұрын
Wazi😊
@felixshyaba19502 жыл бұрын
Great
@reggiekamau98652 жыл бұрын
Onami you are blessed guy.very creative content sikufikiri nitakuaga nikingoja kila episode. But this was short nilikua nataka kuona izo clubs ndani na hao watu.
@joycelomosi982 жыл бұрын
Am praying that you get 200k subscribers end of this year you are really amazing
@kaydee73122 жыл бұрын
I can't skip your ads bro 😂You deserve it all bana. Very creative and interesting
@HukuYues1722 жыл бұрын
Thank you so much 😅😅
@teddyoparanya64822 жыл бұрын
Same to me
@elviwaweruke2 жыл бұрын
Mbona ysngu haileti ads
@professor-maima2 жыл бұрын
Your friend is a vibe.pia yes aanze channel yake.asande sana
@collinscotienoh25172 жыл бұрын
Trust me it doesn't work like that.
@lionsheshe46132 жыл бұрын
Plus Mr. sheriff tembea nae downtown.....the vibe guys in ur shows
@HukuYues1722 жыл бұрын
Soon😊
@9INETY9INE2 жыл бұрын
Yo broski, your idea for this channel is so original, asante mazee kutoka home 🇰🇪🇰🇪
@KamsNation72 жыл бұрын
You are already loud and clear. Worry not! Your videos clarity is at the top notch.
@felixshyaba19502 жыл бұрын
at times when its windy and cars moving,sound dissapears...its good that he will acquire one soon
@HukuYues1722 жыл бұрын
Safi😅
@kilimaniofficegems15232 жыл бұрын
@@HukuYues172 pliz tuitie jobs ata kama ni za driver or mjengo or waiters. Plz
@vincentogeto85692 жыл бұрын
Bro I love ur content youtuber mwenye hana mapishano mungu atakubaliki on what you do everyday 🙏
@HukuYues1722 жыл бұрын
Asante 😊
@ochieng15152 жыл бұрын
Ibrah you are really hard working bro good job man...congrats 👏
@macdonaldokumu64432 жыл бұрын
Kwani hamuendei dinga ni train tena...anyway jamaa kazi ni nzuri .i feel happy to see my fellow kenyans survive in such weather. Haki tena hustler wa kenya anaeza survive anywhere na kwa taarifa yako sai ni hustler nation
@godfreyosage16632 жыл бұрын
Leo hamjapumzika, good job baba keep it up
@nicotroon2 жыл бұрын
This week has been great with Gabu, content zinakuja kukuja, hopefully we will get to 500k subscribers soon
@lizndungu67692 жыл бұрын
Thanks Ibrahim for inspiring many people and they are appreciating you are their chase card.keep it up Men.Pliz bring us mtu wa Information Technology plus tell us story yako ya nurse kama vile "bibi yako" alituonyesha akichinja panya na akiwa nursing home.
@humphreynjoroge58442 жыл бұрын
Onami! Kuna place umepita ukasema, "Apa kunanuka vibaya" vile tu umesema hivo, ata mimi nika feel hiyo smell nikiku watch apa youtube 🤗🤭😄
@HukuYues1722 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@teddyoparanya64822 жыл бұрын
Kindukulu 😂😂😂😂
@stevotzste-eve12482 жыл бұрын
Na ni smell ya sewage 😃😃😃😃
@Kaluandetv2 жыл бұрын
Kindly answer this @hukuyues #Onami ,,,nauliza kwn Us akuna matatu za roots ?,,,
@bonigichau13362 жыл бұрын
Still explorering Huku Yues with Gabbu iko dope am loving your real contents ... HukuYues is a dream come true.
@SheriffMogaka2 жыл бұрын
Huyo dame amelipuka tayari,..🤣🤣 mapema ndio best..
@HukuYues1722 жыл бұрын
Zimeshika 😅
@ricewater7942 жыл бұрын
Zimeripoti 😅
@james008BOND72 жыл бұрын
Wah ,,noma sana bro,may God protect you always 🙏
@lionsheshe46132 жыл бұрын
I miss john's company in this video ibra banaa.....bring john in yawaaaa
@assutangithi12342 жыл бұрын
👋👋👋 huko yues,kuna mambo kweli 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@adhanibrahim12902 жыл бұрын
Huku YUES! 🤣..mabolingo,mazee bro unatufurahisha sana.unafanya kazi nzuri.
@trueone_tz2 жыл бұрын
Big up Ibra ongeza bidii
@taiboiomasete52932 жыл бұрын
Wewe ndo Principle kwa HUKO YUES, hao wengine wameanza kuku copy hatuta watch zao 😂😂😂😂😂😂😂 #Omwamiii to the world...
@samwelmrema31282 жыл бұрын
Thank you for showng us mazingira yanayo changamsha akili zetu😎👍👍👍%100
@southclan15842 жыл бұрын
Nice one alafu tumehata sherrif Steve... Maze piga na yeye vida ya Huku US.... Road to 200k subs
@annenyokabi11242 жыл бұрын
Kumbe Mayo clinic iko huko?while on Google I also find their inputs in medicine...thanks for always keeping it raw 👌
@HukuYues1722 жыл бұрын
Zipo😊
@backupaccount71982 жыл бұрын
Wacha nitafute earphones, hii inakaa kuchoma .. mtoto aniulize maboringo ni Nini haha ... Perfect with breakfast
@HukuYues1722 жыл бұрын
😅😅😅😅😅si mbaya sana
@maureendaniel4518 Жыл бұрын
Dj afro anatupelekanga huko lakini hatutembezi , at least wewe umenitembeza Hadi sipati miguu😍😍
@managerstiv54732 жыл бұрын
Waaa.. I like the way unatuonesha uko walaii...
@iansamoei20902 жыл бұрын
Hapo ukisema....... na mavitu za kujipepeta made me view this video
@sussyalum01522 жыл бұрын
Thank you for showing us around ❤️❤️❤️❤️
@HukuYues1722 жыл бұрын
You are welcomed 😊
@duncankipkurui36262 жыл бұрын
Ibrah. I am your n.o 1 fun. Hapo kwa sheng 💪🏿.
@millicentnyaguthii31202 жыл бұрын
Thank you Ibra. Ulikuwa 5 k subs sai uko 100k
@emmanuelkweyu46992 жыл бұрын
Kuna gym na place ya UFC umehata kutuchambulia hapo Ibra. But content mufti sana
@Abuizmee2 жыл бұрын
Videos back to back vile inafaa 🔥💯 Say hi to Gabu.
@evamsonkimani33232 жыл бұрын
You know, you always speak from your heart.
@arnoldopindi44522 жыл бұрын
Love the content big up
@Iammose7762 жыл бұрын
Nobody talks about this amazing content. Nifikisheni 1k subs nitashukuru
@elizabethwambui13802 жыл бұрын
Done pitia pia
@sheldonkiptoo2 жыл бұрын
@@elizabethwambui1380 si pia pitia hapo kwangy nifikishe 100
@dagoose31412 жыл бұрын
I swear na penda uko sema HUKU YUES na machokosh napenda content bro keep up
@leilanganywa26052 жыл бұрын
Wow thanks Ibra nmeona downtown Leo,sijai kuja yues but half of my family iko uko,my mum always says she can't drive down town najiuliza kwani kukoje? Ati Kuna akata wengi wakora
@mwangiirungu36702 жыл бұрын
Akata ni mablack Americans 😹😹😹😹😹😹😹😹niliskia waniger wanawaita hivyo
@leilanganywa26052 жыл бұрын
@@mwangiirungu3670 😂😂😂ooh,wah kumbe hao ndio wakora uko
@eliudijustinyindi59392 жыл бұрын
Nakupa hai brother onami 🇹🇿
@taiboiomasete52932 жыл бұрын
Down town Minneapolis looks cool at night bro... Salimiana sana
@imranvaalvlogs20602 жыл бұрын
Loooo loo wanaume kumbe huko wanapigwa ngwaati club ya mashoga 😮😅
@mahadyisaac45252 жыл бұрын
Kwaleo hakuna kitu ulicho tuonesha zaidi ya mitaa tu na majengo tu captions na ulicho kionesha ni tofauti
@Erick_Mureithi2 жыл бұрын
hii theme song ya intro inakaa kama introduction ya news
@wilfredotieno15712 жыл бұрын
Mayo Clinic is among the most established hospitals in the whole world. Any medical professional would dream to be a staff at Mayo Clinic..
@osiahstimah2 жыл бұрын
I follow you since 1k subscribers
@lydiawairimu81142 жыл бұрын
Ibra si unatuonyesha mambo anyway good job
@LouisGithio2 жыл бұрын
I appreciate your content dawg👊.
@daggymudigohn2112 жыл бұрын
Bana morio u Fanya nifeel ni Kaa us sa ni mtaa yangu ..najua usa kishinda town zingne za kenya
@annmumbiz622 жыл бұрын
Kuna msee ameandikiwa Tiko na Kamau....noma Jo ,msee lazima akae Radaa kwa rody🙄
@oscarthuo86392 жыл бұрын
Tuonyeshe baze ya jaba kama iko🍀🍀
@dun12472 жыл бұрын
Maboringo.... Toa form ya chrisy man. Gotea sana Gabu. Naona rada yake ni Rick Ross... John aonekani siku hizi rada yake ni gani. Content bie sana.
@alexmungai71182 жыл бұрын
nitazidi kukutambua bro🔥🔥🔥
@ladashacreatives2 жыл бұрын
Vile umetuonyesha ,Us buana mi siwezi kupotea huku walai 😂😂✌💯💖
@susanogutu37992 жыл бұрын
😆😆😆😆😆 mashoga wanawekewa red carpet Aisseee
@Rafaelnk212 жыл бұрын
Saw another channel inajiita Huku Yukei😂😂 Onami una'inspire wasee dunia mzima KEEP up 👍
@Amaizingeric2 жыл бұрын
Be creative
@simongitu73112 жыл бұрын
Next time utupeleke moja kwa moja mpaka New York City jameni!!!
@KNAVOY2 жыл бұрын
11:02 am bro, have been watching these SERIES called SHAMELESS and i find it factual ... leo na watch mchana #wera_safi
@veterick12702 жыл бұрын
Nimetoka kushtua umaskini na ile vida ya mall of America 💔💔
@Honest_Man2 жыл бұрын
umaskini umeshtuka?
@veterick12702 жыл бұрын
Mbayar sana umeona saa ni 20 million wewe 😂😂
@thelujisumayah89562 жыл бұрын
Unaskini ishindwe katika Jina la Yesu Kristu!
@ManOfSorrowsAcqaintedWithGrief2 жыл бұрын
@@Honest_Man 😹😹😹😹😹😹
@Honest_Man2 жыл бұрын
@@veterick1270 congrats my boy....bidii muhimu
@michaelthevisionary2 жыл бұрын
My morning breakfast being served in bed by Huku Yues 😅😅
@HukuYues1722 жыл бұрын
Asanta😅
@joshuason5572 жыл бұрын
Bro am addicted to your Chanel ✌️🇺🇬
@GibsonMugambiMwiti2 жыл бұрын
naulizanga hiyo snow ukiweka kwa sufuria inakuwanga nini ebu jaribu mseee tuone...i hope yeou see this 😂
@osamaosman63012 жыл бұрын
ibra c utupeleke washington DC bro
@nicksonmaanga79192 жыл бұрын
Tz tunakukubali sanaaa
@franciskihu59882 жыл бұрын
Content 🔥🔥🔥
@MANAGUBOYZ12 жыл бұрын
My dream kufika USA, I live there I work there,
@danielm1502 жыл бұрын
First
@dahirabdi61602 жыл бұрын
Uko juu bro
@Allanwere2 жыл бұрын
sai muko river road ya huko..
@samwelnyagado47392 жыл бұрын
hio kitu nimeona hapo ufc live you need to visit in there
@legalizeit41392 жыл бұрын
club videos zikuje kukuja ..lakini mbona uende club ya mashoga kila saa aaaii 😂😂😂
@Respect_Amazing732 жыл бұрын
Na kufata nikiwa RD congo 🇨🇩
@dominicngesa84002 жыл бұрын
Onami wafanya kazi nzuri sana,lakini kumbuka mali yote na vitu vyote vya ulimwengu ni vya mungu...soma WARUMI 3:23-24.
@cadceedabdullahi2482 жыл бұрын
Iko wpy like za Huku yues 😂😂
@thekingkids47442 жыл бұрын
Huku yues kweli unaburuka 100k naumepika hdi corner kwli uku ni yues...alfu wasee wengi wameanza kutumi slogan ya huku yues
@tesla475 Жыл бұрын
Kwani cameras zako haziibiwangwi huko majuu bro
@fredymcokeyo32432 жыл бұрын
Alafu Ibra manze sijui naweza kupata aje niko apa mafreboro TN
@krishnakrishna63542 жыл бұрын
Huwa unanibamba na hizi Stori za kupepetwa 🤣🤣🤣.l hope hazitaisha
@richrioba2 жыл бұрын
i like your videos bro. keep on 😊😊😊😊😊😊
@sherylturere79672 жыл бұрын
Ibrahim. Kwani kuna wizi eti gari inaeza vunjua kioo
@davidkianda60672 жыл бұрын
Hii sasa lazima nijisude kwa corner na earphones zaqu,juh kupepetana lazima itatajwa Mara Kama sita 😂😂😂
@edwinr2942 жыл бұрын
great video
@theedruwboy Жыл бұрын
Btw unafaa clip tu ya nightlife utuingize hadi ndani.. hio experience.
@enockgisore91282 жыл бұрын
Bro mm nakubali job yako
@braystuskibassa38422 жыл бұрын
Huku Yues bro hiyo Club ni hatari sana
@JohncenaSilverTV2 жыл бұрын
Vitu za kujipepeta😅😅😅
@djraymeeq2542 жыл бұрын
Weh!!! Noma sana.
@petermogunde75852 жыл бұрын
Huku yues Huyo zimeshika ka chrome #Rongai 03
@blackhunter4552 жыл бұрын
Mineopolis wewe nishakujua!!Santee Ibrahim!!!!
@stanleygeorge2642 жыл бұрын
Mbn Leo muoga sana mzee wa Huyu us
@victormcturi57522 жыл бұрын
Apo sawa bro downtown ya uko sio Kama kirinyaga road ya uku
@danteh12322 жыл бұрын
Mkubwa china town iko ?
@jossewasonga10162 жыл бұрын
Onami ashaanza kuwa movement. Naona watu washaanza huku Germany na Huku Australia 😅inafaa tuwapige support bana. Hawa ni mabro trying to win doing their thing. Tusupport bana🔥🇰🇪✊🏿
@collinscotienoh25172 жыл бұрын
Consistency Consistency Consistency Consistency..unaeza fungua account but you are not consistent.
@alhajidominic.33572 жыл бұрын
HUKU Australia sijai ona 😂😂😂😂
@mwangiirungu36702 жыл бұрын
Sipendi mtu anacopy walikuwa wapy the other time
@alhajidominic.33572 жыл бұрын
@@mwangiirungu3670 lack of ideas (creativity).Hawa ni mashoga sana.siwatafute something unique...My Kenyan people just are good for copy and paste.
@mwangiirungu36702 жыл бұрын
@@alhajidominic.3357 Copying copying .....badala mtu akuwe creative .....wanataka kuride on someone else hardwork ............even in terms of music ...mtu tu bado anacopy .........i really hate it ....mimi hufollow watu real ....
@mgatatemihanga4162 жыл бұрын
Ibrahim hakuna advert how do you get money through this channel(kazi kubwa unayofanya inabidi ulipwe pesa)