Mm ni Abdulkadir kutoka Arusha napenda hii nyimbo wakati ni kufanya kazi 😅
@shaabansauda31252 жыл бұрын
Najikuta napata faraja Naiman ipo siku nitafarijika Insha Allah
@maydatalib56574 жыл бұрын
Ma shaa Allah God bless you bro nice anasheed na kila naposkiliza nazidi kua na subra katika maisha 🤲🏼🙏🏼
@AbdulRahman-rs4tz3 жыл бұрын
MashAllah
@sultanallysalum93443 жыл бұрын
True
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b2WWnq1tasqSa80
@isayadoglass56763 жыл бұрын
🤲🙏🙏
@drmustapha_psychologyandle65013 жыл бұрын
@@AbdulRahman-rs4tz aa
@If_u_salim4 жыл бұрын
Nimeipenda sana ujumbe mzuri sana, wasalimie wote ndugu zangu wa ubungo
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b2WWnq1tasqSa80
@concodiamaua57473 жыл бұрын
Am a christian but this song always brings hope to me!!
@seremaniathumanidilunga7422 Жыл бұрын
Ilenyimbo ya nauliza way mbonamtandaoni siioni utubu
@henrysempindu440 Жыл бұрын
This song is for all people in the world, Its such a good song for all of us to believe in God in any situation
@salmalita64834 жыл бұрын
Nilipo na nnayopitia wallai hii nasheed imenipa moyo na nguvu 😭kweli baada ya dhiki faraja
@abdallahrashad96224 жыл бұрын
Mungu akupe uvumilivu for watever u r gng through
@tunumakila22204 жыл бұрын
Allah atatuvusha tunayopitia inshaallah
@munaakarim69224 жыл бұрын
Baada ya dhiki faraja AllAh akuvushe salama🤲
@abubakarhawaa8953 Жыл бұрын
@@abdallahrashad9622ameen
@aminaally5436 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@sleymanimaneno94394 ай бұрын
Baada ya dhik faraja wallah Yaarab tujaalie subra pind tunapopitia magumu
@IbnSheykhuna2 жыл бұрын
Mashallah kazi safi kabisa Akhui
@ibraahmfw11474 жыл бұрын
Al'akhy nakuelewa sana wallah ... Mara ya kwanza kukuskia nilifkir ni msomali wa indonesia kumbe ni mzawa wetu , Tuku support ili upate mafanikio kupitia youtube kama wale wa upande wa pili inshaallah
@hurairah7844 жыл бұрын
Dooooohhhhhh shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link na wenzetu
@hannaupdy6464 жыл бұрын
So if he was a msomali you couldn't? So sad we are all muslims better we keep off racism! Mimi ni msomali and am part of his team 👉🇸🇴
@ibraahmfw11474 жыл бұрын
@@hannaupdy646 umenielewa vby dada na sna ubaguz wa taifa lolote , sote ni wamoja regardless our colours and religious we're all equal under the sun no one is above ... Avoid racism
Mashallah Anasheed imejaa mafunzoo snaa Kila. Nikisikizaa Najipaa matumainni Mapyaa kuwa Ipo siku nami......
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@isihakamohamed288 Жыл бұрын
Katika Kila gumu Allah ndiye mpangaji Wenda Kuna mazuri mbele .... Allah hu Akbar 👏👏😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Alfie_Andreah3 жыл бұрын
I must say... i am not a Muslim but this song hits the spot.. Deserves more recognition...
@hurairah7843 жыл бұрын
Thank you so much
@khamisabdulla95173 жыл бұрын
I like you but better first deal with Islam because is perfect religion in the world history so it seems you are smart enough so I beg you to join us please
@rdmindu794 жыл бұрын
We mtu sijawahi kukupinga tangu Day 1🔥🔥🔥🔥🔥
@hurairah7844 жыл бұрын
Dooooohhhh shukran Sana brother
@mwemamamba40954 жыл бұрын
Nimeipenda Sana hii nasheed inanifanya nasahau maumivu ninayopiti wallah
@maidevrasumbura18804 жыл бұрын
ni yeye alokupa dhiki mitihani, ni yeye mwenye kuondoa mitihani...... baaada ya usriyusra baada ya dhiki faraja 😍🔥🔥🔥🔥😭😭😭
@hidayamsuya43914 жыл бұрын
Kwel twatakiwa kuwa na subrah, mashallah
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@fatmamalisela71734 жыл бұрын
Kabisa ya a an I😭😭😭
@princeshaulath2684 жыл бұрын
Baada ya dhik faraja naaam # MJUBAAA
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@dersultan29463 жыл бұрын
Hurairah you've made me crying by the words Alhamdulillah
@husnaabdallah97674 жыл бұрын
Hujawah kuniangusha Said kwl baada ya Dhiki Faraja😭
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@husnaabdallah97674 жыл бұрын
Inshaa
@armaserick11743 жыл бұрын
Good fantastic unajua kuimba shekhe wangu nimekubali
@babatidaawa65507 ай бұрын
Mbona ni mziki kama wa diamond
@aminaabdulrehman29404 жыл бұрын
Life is a test hold on a little bit longer 😊❤
@barkebreikbreikislam11484 жыл бұрын
@@IBRAHMEDIATZ bijihe
@barkebreikbreikislam11484 жыл бұрын
Hjkkko
@barkebreikbreikislam11484 жыл бұрын
Jjj
@barkebreikbreikislam11484 жыл бұрын
Hdjf-jd
@barkebreikbreikislam11484 жыл бұрын
Hhhh I
@augustmossi1222 жыл бұрын
Ma shaa Allah bro ingekuwa vizuri pia tufanye na Maher Zain
@BakariHaji-n5g3 ай бұрын
Kalisana hii haishi hamu
@HawoAdan-tn4qi Жыл бұрын
How can I give this nasheed 100000 likes my fav ❤😫❤️🔥
@shilahajjsuleiman35754 жыл бұрын
Allah hears your prayer.He will answer it in his own time & his own way . Trust him👏🏻 And Our Lord says: Call Upon Me , I Will Answer You ; Quran 40:60
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b2WWnq1tasqSa80
@FatumaRashidi-n6d Жыл бұрын
Nataka Ni danlodi sio sehemu ya kudanlodi
@zaikivambe61614 жыл бұрын
Kwel baada ya dhiki faraja
@treshazchismo17647 ай бұрын
Ipo siku yangu inshallah Allah nione ninayopitia
@aishaabdillah41024 жыл бұрын
Mashaallah🔥🔥 Na kweli baada ya dhik faraja 🙏
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@gallibmhammed89714 жыл бұрын
Ww Hurairah una dhima kubwa sana mnaanza kuutoa uislam katika hadhi yake mnaweka katika beats za bongo flavour. Tunauvua utukuf wa waislam na sisi waislam wenyewe tunashangilia na mashaaallah nying
@jamilahmdawali47794 жыл бұрын
Baada ya dhiki faraja eeeeeh mwanadama!
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@aysheromary79353 жыл бұрын
Mashaallah 💕💕 burudan yenye ujumbe 💓💓
@salymkitumbika86443 жыл бұрын
Hurailah Allah akuhifadh nimeipenda na IMENIPA NGUVU mnoo Baadalhusiri yusraa
@ayomaamediaa90114 жыл бұрын
Kuanzia Leo Mimi shabiki yako
@sureboyndale5757 Жыл бұрын
Ina julikana Kwa jina gan waungwana ❤❤
@thresherjordan68293 жыл бұрын
Baada ya kuona tiktok nyie kila siku lazm nikujee hukuu nikikumbuka mtihan niliopataga lakin nikavuka inshaallah 😔😔😔
@lailatsaid51454 жыл бұрын
MASHALLAH UJUMBE MZITO,WALLAH INALIWAZA KWA KWELI
@rauhiyayussufali93413 жыл бұрын
Mashallah Allah kama utakua na albam nahitaji
@zenaalinassir903 жыл бұрын
Going through soo much almost gave up on Allah thinking He forgot me, needed to hear this to strengthen my imaan!!! Thanks bro
@izzatmohd4291 Жыл бұрын
Nimekuja kusikiliza 2024 ❤❤❤❤
@amalsaid78354 жыл бұрын
Imeweza mkaka Allah akujazee
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@mwanaidyathuman19243 жыл бұрын
ALHAMDULILAH. ........SIKU MOJA YATAKWISHA♥️🙏🏻KUNA WAKATI TUNAKUWA TUNAMATATIZO TUNAPAMBANA WENYEWE KWA KUSAHAU YUPO ALLAH MWINGI WA REHEMA YEYE NI MJUZI ZAID🙏🏻🙏🏻
@FasdaJamali Жыл бұрын
Amiin🤲🤲🤲🙏
@princehalawa_official79804 жыл бұрын
Bhaaaaaaaaaaaaas inatoshaaaa khatari
@halimasaidy17792 жыл бұрын
Uko vzr ostadh alla akuzidishie
@reallifeeventsoncctvcamera49564 жыл бұрын
Maashallah, wimbo mzuri sana. unatia matumaini kwa wenye wakati mgumu
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@jamilamsuo37224 жыл бұрын
Kabisaaa
@muzdalfatlly84084 жыл бұрын
Masha Allah u make me hopefully thanks dear brother
@halimaathman82202 жыл бұрын
Hakika
@isalushadia45344 жыл бұрын
Kaswida nzur sana ongera mtunzi
@fatmahcookings40294 жыл бұрын
mashallah mashallah ts the best naona maisha yang in this big up mashallah
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@hasnaathumani144 жыл бұрын
Sichoki kukufatilia mashallah kaswida nzuri 👏
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@rahmampuka74172 жыл бұрын
Baada ya dhiki faraja ee mwanadam
@activefuntz8483 жыл бұрын
Unajua kaka iknow it
@NajmaOsman-kg8sx5 ай бұрын
Best anasheed ❤❤❤
@allyjunu22902 жыл бұрын
Kikazi mkuu nakkubal sana
@rauhiyayussufali93413 жыл бұрын
Kasida ina ujumbe mkubwa Sana
@ukhtysadabakari3604 жыл бұрын
Mashallah Mashallah 😭😭
@shafii_abdallah_mwalile Жыл бұрын
Mashallah kaka kazi mzur
@MwajumaYunusu6 ай бұрын
Nikweli subira muhimu
@salmanramadhan61953 жыл бұрын
wallah mashaallah kwel baada ya dhiki faraja
@Allyguguru5552 жыл бұрын
Baadalyusir yusraaaah alhamdulillah
@chimnyengeUpdate3 жыл бұрын
maashallah allah amekujalia sauti
@tunumakila22204 жыл бұрын
Mashaallah kazi nzuri nimeirudia kuingalia kama mala tano na sijachoka na kwa kipind hiki napitia magumu ila ipo siku naitapata faraja kumbe ni mitihani Allah ananijaribu
@fatumaathman-q2b Жыл бұрын
Alhmdhlly alhmdhlly nmfarijika sana baada ya kuckiliza hii qaswida Allh anipee subra
@asmaahmed80263 жыл бұрын
Ma shaa Allah hii video inafaa kupata 1 million views
@swahiyatareeq67002 жыл бұрын
Mashallah kaswida nzuri sana
@hadiyamohamed594 Жыл бұрын
Ungetoa bila music
@zuhuraali86914 жыл бұрын
Mashallah...so touching...inspiring....it heals your heart....I love it..Kenya Mombasa
@rahmaamour92153 жыл бұрын
Maashallah Maashallah Maashallah Yaa ALLAH nizidishie SUBRA 🤲
@teampunisher94463 жыл бұрын
Wallahy Allah bariq ndugu hurairah.
@mrishomzelela15903 жыл бұрын
Hongera kaka kazi nzuri
@aminaabdi-tb8bx11 ай бұрын
Kaka yangu kipenz mungu aendeleee kukupigania
@professorabdullah23004 жыл бұрын
Hii kaswida ya moto sanah Blessing bro
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@shawawa73092 жыл бұрын
am a christian but that part"kwanini yeye sulkhana "
@ashamape61834 жыл бұрын
Unajua 🌹🌹🌹
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@zuhurahoyuyo83033 жыл бұрын
YARABII niondolee hii dhiki its too much Ya Allah 🤲
@ibrahimmasoudibrahim64924 жыл бұрын
Hujaitendea haki iko tofauti na ile kipande ulotoa na yule msichana leo umetoa maelezo mengi
@abdulmustafa56824 жыл бұрын
Jaman naitaka hii kaswida nitaipatajee
@hamadizuberi62954 жыл бұрын
Allah azidi kutuzidua katika ya kheri tukayafuata hakika ala za mziki Allah kakataza... Bora utunge nasheed pasi na hizi Allah za mziki ndani yake na Allah rizki yako ya halal ataikunjua...
@henrysempindu440 Жыл бұрын
This song is for all people in the world, Its such a good song for all of us to believe in God in any situation
@ashasaid82934 жыл бұрын
Daah una weza Sana
@kbtechsport9904 жыл бұрын
Daaa anagusa sana
@seiduachu37004 жыл бұрын
Baada ya dhiki faraja ishallah mchumia juani ula kivulini
@ayushsaeed10514 жыл бұрын
Shukran ujumbe uzur sana🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@fatimasalim96854 жыл бұрын
Yaani sijuwi ni mara ngapi naiskiza hii qaswida...umeuwa kabisa broooooo...Mashaallah
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran Sana Tuendelee kusupport
@ammarruwehy4 жыл бұрын
MashaAllah, kazi nzuri ingawa huna KAZI MBAYA wewe
@hurairah7844 жыл бұрын
Dooooohhhh shukran Sana brother
@Tumeyagirl.903 жыл бұрын
Swadaqtq❤️👏👏👏
@presenterkabuma16464 жыл бұрын
Asant broo kwa kutupa moyo
@othmanali76374 жыл бұрын
ni yeye aliokupa dhiki mitihani usihuzunike baada ya dhiki faraja
@mohamedkhamis11263 жыл бұрын
Nasheed tamu wallah
@marwahsalim74174 жыл бұрын
Allah atupe subra katika kila mitihanii tuwe ni wenye kusubiri
@bindauuud20164 жыл бұрын
Mashallah hatari hatari
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@BIGFAMILY2554 жыл бұрын
Mashallah chupa Kali na ujumbe nzuri
@hurairah7844 жыл бұрын
Shukran sana Tuendelee Kusupport kwa kushare link kwa wenzetu mara nyingi uwezavyo
@mamadoublem3534 жыл бұрын
Slmeone sent this to me at the right point of my life true frnds .allahamdhulilahi