Hushppupi: Fahamu alivyotajirika na kuwa milionea na baadaye kukamatwa

  Рет қаралды 4,004

BBC News Swahili

BBC News Swahili

2 жыл бұрын

Ramon Abbas - maarufu Hushpuppi kama anavyofahamika na mamilioni ya msahabiki wake mtandaoni- amekiri kosa la utakatishaji fedha katika mahakama ya Marekani.
Mshawishi huyo wa mitandao ya kijamii na raia wa Nigeria alipata umaarufu kutokana na mtindo wake wa maisha, kwa kuvalia nguo za bei ghali na kujionesha anavyojivinjari katika sehemu za kifahari na magari ya bei ghali kwa wafuatiliaji wake milioni 1.3 kwenye Snapchat.
Lakini mashabiki wake hawakujua mtindo huo wa maisha ulifadhiliwa kupitia uhalifu wa mtandaoni.

Пікірлер: 2
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@deogratiusernest6293
@deogratiusernest6293 2 жыл бұрын
Don hushpuppy anaozea jela. Pesa zimekutokea puani
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 8 М.
Siri ya maisha ya mrembo wa Instagrama aliyefungwa jela
4:23
BBC News Swahili
Рет қаралды 970
Mwanangu mwenye jinsi tata aliniambia ‘ninaweza kujitoa uhai’
37:22
Ruto: Nimebuni serikali ya kuunganisha wakenya
5:47
TV47 Kenya
Рет қаралды 8 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН