Allaah ampe pepo ya Firdausi rafiki yangu mcha Mungu mkubwa
@SaidiMohamed-bj2wgАй бұрын
Alla akuzidishie nuru ktk kaburilako
@user-dw9ig4kb4f11 ай бұрын
❤mm naitwa arafat yusuf tunamuomba mungu akukutanishe na mtume wetu muhamadi iliumsifu mwenyewe akishuhudia na allaakuingize peponi badawi alla akuhifadhi
@abdalahmsigiti5308 Жыл бұрын
Hii Nuru ilizawa lamu ikahamishwa na allaah kwenda bar zakh ikiwa lushoto tumeachwa gizani mungu umlaze pema peponi
@fahadAlloufy11 ай бұрын
Mbona alifia huko huko lamu
@ruqayabakari788 Жыл бұрын
Mashallah mashaallah , ninapenda sana kaswida za kipenzi chetu uwa zanikumbusha mbali 😭💕🥰 Allah Azidi kumwangazia mema zaidi katika kaburi lake Allah umma Amiin 🤲🤲🤲