Hiyo ni njia ya wakristo kukataa haki .Mila Za kiafrika mke mkuu humpa mumewe mke mwengine awe mke wake
@MwanaidyMwambez9 ай бұрын
Hawa ndio wanaoitwa wakristo kiti moto hakikalika subhana Allah
@mangeraalbert798210 ай бұрын
Hamna mkristo kamili kaa hapingi haqi, juu hawaamini haqi
@sheemaryam10 ай бұрын
Ndio maana wakrito wanazini kila siku sababu wanasema mananabii niwazinifu
@Aisha222248 ай бұрын
Balaa hawa
@abassonlinetv10 ай бұрын
please subscribe like and share
@oopsm357410 ай бұрын
The verses are clear like a cristal water, Allah u akbar
@fatimahrashid235610 ай бұрын
Masha Allah 💕💕
@innocentndikumana892810 ай бұрын
wape doze sheikh Anwar abdu
@omarchuo21789 ай бұрын
Tatizo sauti hamjaiyonganisha na video.. sauti hatupati vizuri
@Kuminamoja199510 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣masha'allah Masha'allah 😂😂
@oopsm357410 ай бұрын
Kiti kimotooo
@zakiaanwar6779 ай бұрын
MashaAllah
@Kuminamoja199510 ай бұрын
Huyu Dada mchumba tu!
@chiefmkalikibz15039 ай бұрын
😂😂😂😂Bado posa tu
@AbdulRahiim-fq7vk8 ай бұрын
Allooo huyu jamaa anamtetea shaytan😂
@oopsm357410 ай бұрын
Ukisoma kipande kipande mtakorogana soma verse kamili halafu umuulize suala?
@hythamhashiem445810 ай бұрын
Wakristo wafaa wajuwe yakwamba nabii Aadam hakuumbwa akae peponi bal Akae Ardhini na pia hiyo pepo alio kuwa Aadam sio pepo Ambayo watu wema waislamu wataingia sababu pepo tulo ahidiwa tukifanya mema tutuingia humo milele!! Hakuna kutoka ilikuaje Adam akatoka? Hiyo ya maanisha sio pepo kama pepo bal ni mahali ya starehe tu ilio fanana na pepo
@MohamedMohamed-u3t1n10 ай бұрын
Hivi wakristo wanatumia kiungo gani kufikiri ? maana ubishi tu na maandiko yako wazi
@Aisha222248 ай бұрын
Hawana kiungo chochote.. hamna cha Roho mtakatifu wala lolote
@josemu8707 ай бұрын
AlahuAkbar
@badarhassan11279 ай бұрын
Mwalimu wangu abass mahali umeandika February ni January
@tanzanite99449 ай бұрын
Muhammad Mwenyewe alimkubali Yesu na Mama yake na Alijua hakuwa na Uwezo wa Yesu. Sasa Hawa vibarakashea hapa wana wa wana tuu hawaelewi chochote.
@aliroro93449 ай бұрын
😊.. Oooh kumbe yesu ana Mama Vzuri..Uwache kuseme yesu mtoto w mungu sawa 😊
@samxx4119 ай бұрын
Sychological huyu dada alikubali kuwa hajir ni mke wa ibrahim ila hakutaka kuonekana dhaifu
@nakundwamkubwe782310 ай бұрын
Hahaha ili uwe mkristo nilazima uwe na uso wa mbuzi kwasababu wanapinga maandiko ya kitabu chao wanafwata fikra zao 😅😅. Sasa Nabii wa Mungu Ibrahim vipi azini ? Hawa watu wa msalaba sio wazima .
@jeanpaulkwizera32169 ай бұрын
Wahislam ni fujuu tuu okokeni Yesu anarudi mbiyo. na ata wadjaji
@aliroro93449 ай бұрын
Wewe umeokoka kwani...
@tanzanite99449 ай бұрын
Ibrahim alikuwa na Watoto wengine 7 ambao wamepotelea Jangwani ambao mama yao ni mwingine alikuwa akiitwa Ketura, na Hao watoto ndio waliotengeza jamii ya Waarabu na sio Ishmael tuu. Huyu Jamaa ni mwongo na Haelewi chochote cha Biblia na hata Quran haielewi pia.
@ismailmasoud60017 ай бұрын
..wewe ndio huelewi, unafikiri WAISLAM hatujui kama Ibrahim alikua na mke zaidi ya SARA na HAJIR ..! Hao wengine hawana IMPACT , wametajwa hao na ndio MAADA iliyopo..., !
@AshamMussa10 ай бұрын
Yusufu si mbishi ila ni mgonjwa anmaradhi ya ubishi
@chiefmkalikibz15039 ай бұрын
Na YEYE NDIYE Blackboard 😅😅
@MohamedMohamed-u3t1n10 ай бұрын
Huyo rasta amesilimu ? Sauti imekata itakua ameshuhudia wanavompinga ismaeel kwa chuki tu za mtume muhammad wakati mwenyezi mungu amemchagua mpaka jina limetoka kwa muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ALLAH SW
@ismailmasoud60017 ай бұрын
Yaani wakristo kama hamjui hiyo TOPIC ya UZAO wa IBRAHIM Sheikh Anuari ndio Master , maada hiyo ndio kaanzia DA'AWA, hakuna mkristo yyt wala myahudi yyt atakaemuweza ....Si unaona KITI KILIVYOKUA CHA MOTO ..! TAKBIIIIIIR, ALLAHU AKBAR