HUYU NDIE MGOMBEA ASIEFAA KABISA

  Рет қаралды 9,615

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Khutba hii imetolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Tarehe7/7/2020, Mada ikilenga safariya kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Nchini Tanzania, magusudia ya mada hii nikufumbua macho Watanzania wapate kumjua mgombea mwenye sifa za kuwa kiongo , pia aliweza kukemeaushirikina ambao ufanywa na baadhi ya viongozi wakiamini kuwa nikujipatia nafasi zaidi ya kuweza kushinda, fatilia khutba hii hadi mwisho upate kuelimika na hii ikiwa nisehemu ya kwanza inshaallah tukutane ijumaa ijayo katika muendelezo wa khutba hii.

Пікірлер: 39
@abbasljuma7072
@abbasljuma7072 4 жыл бұрын
Masha-allah! Namuomba Allah akujalie umri mrefu wenye kheri na baraka pia akuepushe na mahasdi
@asanathyunus3654
@asanathyunus3654 4 жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🕌🕌🕌🕌🕌🕋🕋🕋🕋
@ibrahimomar1073
@ibrahimomar1073 4 жыл бұрын
Amiin
@mohammedshabani239
@mohammedshabani239 4 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah amemfumbua sheikh watu kutujulishahili
@skjjsj1889
@skjjsj1889 4 жыл бұрын
Ma sha allah Allah akubariki na akuhifadhi Sheikh wetu kishk
@asiaaliy4366
@asiaaliy4366 4 жыл бұрын
Tuzingatie mawaidha,, sheikh kishik Allah akupe umri mrefu inshaallah
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
Mimi nampenda sana sheikhe kishki pamoja na koo yake mzima kwa ajili ya Allah najifunza mengi kwa yale nisoyajuwa napata kuyajuwa ninapomskiliza Mashaallah Allah amzidishie umri wenye afya njema azidi kutuelimisha waumini ulimwenguni
@mahajk1950
@mahajk1950 4 жыл бұрын
Mashaallah..
@mohammedmatano6970
@mohammedmatano6970 4 жыл бұрын
Maashallah
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 4 жыл бұрын
Maa shaa Alla sheikh wetu Allah akujakie afya njema na umri murefu uzidi kutuelimisha
@babuualliy4091
@babuualliy4091 4 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wangu.Allah akuhifadhi
@daudikozi9909
@daudikozi9909 4 жыл бұрын
Mzee yussuf anauzalilisha uislamu
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 4 жыл бұрын
Mashaalla Shekhe umenena kwel mwanadam anapupa sana
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 4 жыл бұрын
Maashaaallah Sheikh Jazaakallahu khaira
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mashaallah sheikh shkran jazzakallah khery inshaallah
@fatmamkoko4141
@fatmamkoko4141 4 жыл бұрын
B
@chemistrymadeeasy7706
@chemistrymadeeasy7706 4 жыл бұрын
Sheikh Kishki haya mambo hukuyavulia nguo Kama msomi labda ni Kama uliogopa. Sisi sote twajua mtu yeyote akikumbatia Ushirikina hafai. Swali katika siasa hivi leo ni je, inafaa kupiga kura tukikumbuka kuwa Allah anatueleza katika Qur'an:.. ولا يشرك في حكمه أحدا...katika suratul Kahf aya ya 26
@aisharamadan4803
@aisharamadan4803 4 жыл бұрын
Asalam aleykum warahamatllah wabarakatu shukurani shekhe wetu ALLAH akupe umri mlefu uzidi kutuelimisha
@amenamaashaallahyasheikh3457
@amenamaashaallahyasheikh3457 4 жыл бұрын
Maa shaAllah tabarakallah
@mahmoudally9919
@mahmoudally9919 4 жыл бұрын
Dah mitihani sasa tutawajuwaje na waenda kwa siri ila Kuna wengine wanamajumba hayakaliwi na mtu yoyote kila baada ya muda wanaenda kuchinja humo ndani wengine wanazika wanyama wazima wazima wanawavisha na sanda
@kazikazileo7624
@kazikazileo7624 4 жыл бұрын
Maishallah. Naaam
@daudikozi9909
@daudikozi9909 4 жыл бұрын
Sheikh n kishki.Vipi huyu msanii mzee yussuf tunakutaka umlipue katika membar ya vetenal
@ابوابرهيم-ر5خ
@ابوابرهيم-ر5خ 4 жыл бұрын
Amlipue Mzee Yusufu kwa kuimba taarabu na yeye Kishki ajilipue mwenyewe kwa kujipiga picha kulingania kwa njia za sanamu/mapicha
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 4 жыл бұрын
👂👂
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 4 жыл бұрын
🤝🤝🤝🙏🙏
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Kabisa wanaviumbe wenzao wengi wawo ,vipaji vipo ila kuoneshewa ya mutu ilo uongo.
@salamazuberi7735
@salamazuberi7735 4 жыл бұрын
Mashallah
@askkongl6821
@askkongl6821 4 жыл бұрын
Dunia hiyo
@mdungially2342
@mdungially2342 4 жыл бұрын
Sasa km hii kumbe ni hutba msktn kwaiyo nilimuona MTOTO wa like humu ilikuaje tena jaman, au nimedanganywa na macho yngu
@khairunramdhan9310
@khairunramdhan9310 4 жыл бұрын
A.a.kuna mtu aliona picha ya sh.kishki ikianikwa msikitini mbele ya kibla? Kama iko msikiti haufai, lakini hakuna! Isipokua tu kutoa dosari; kwenye nyumba ya Bibi Aisha kulikua na doli hivyo alikua akiabudu
@ابوابرهيم-ر5خ
@ابوابرهيم-ر5خ 4 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمتالله وبركته عمت محمد! NUWRDIYN KISHKI PIA WEWE UNATAKIWA KUACHA TAMAA YA KULINGANIA KWA KUJICHUKUA MIKANDA YA VIDEO NA KUJIPIGA MAPICHA NA HALI MNAJUA ACHENI KIBRI MTUME WETU MUHAMMAD SWALAHALLAAHU ALAYHI WASSALAAM ALIKATAA KUINGIA NDANI KWAKE BAADA YA KUKUTA MKE WAKE KAFUNGA PAZIA LENYE PICHA YA KIUMBE MLANGONI SASA MANYUMBANI KWETU PICHA ZA VIUMBE NI HARAAM JE! VIPI PICHA ZA VIUMBE KATIKA MISIKITI ANAPOTAJWA ALLAAH SUBHANNA WATA'ALA NA MTUME MUHAMMAD SWALAHALLAAHU ALAYHI WASSALAAM? KWA HAKIKA HUU NI MWENDO WA IBADA ZA MASANAMU KILA BID'AA NI UPOTEVU NA UKUMBUSHO HUWAFAA WENYE KUAMINI
@mdungially2342
@mdungially2342 4 жыл бұрын
Duh kweli WAJUMBE c watu wazur, ila siwalaum maana usipokula hapo utaziskia tu hewan mazal wamekuletea hujenda kuiba WAJUMBE kuleni
@ummukuluthumikoki7002
@ummukuluthumikoki7002 4 жыл бұрын
Kila mtu anakitabu chake yuko swahihi madam waumin tunabadilka kupitia yeye Mema na mabaya ya mtu Allah ndo anayajua na aibu zake
@ummukuluthumikoki7002
@ummukuluthumikoki7002 4 жыл бұрын
Huwezi ukajua mema ya mtu mbele ya mola wake ayatendayo Huenda mema yake ni mengi kulko mabaya yake unayo yajua Namuomba Allah ampe umri mrefu shekhe kishik
@yanamwisho871
@yanamwisho871 4 жыл бұрын
Kwanza jifunze kuandika vizuri kabla hujazungumzia mambo yakisheria neno uma linandikwa أمة wala sio عمت
@saidmsangi5435
@saidmsangi5435 4 жыл бұрын
Rudi katika tafakuri ndugu yangu
@tatutatu9199
@tatutatu9199 4 жыл бұрын
Maasha allah
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 жыл бұрын
Maashaallah
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 108 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 4,6 МЛН
ANAYE MKATAA BABA YAKE  HATOIYONJA PEPO MWENYE KUTOA MADA SHEKH KISHK
3:06
NYUMBA 3 ALIZO TUDHAMINI MTUME MUHAMMAD S .A .W . SEHEMU YA KWANZA
37:29
Kishki Online TV
Рет қаралды 1,4 М.
MOBILE SHEIKH NA SHEIKH NUDREEN KISHK - TANGA
1:01:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 3,3 М.
You’ll Never Miss Fajr After This! | Ustadh Mohamad Baajour
26:00
Humble Servant of Allah
Рет қаралды 68 М.