Mm sina swaga ela uyo sijui mzungu wala muind 2%kwangu mm lavalava senge xana 😊😊😊😊
@fatumaababy12817 жыл бұрын
cute.😁😁😁
@ummimohammed18567 жыл бұрын
nanyie hamjui mzungu wala mswahili mkiona manywele ya bandia na ngozi za kutengeneza mnasema mzungu poleni
@booker7596 жыл бұрын
kwely
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
😀
@mwajumamwajumamuhammad14574 жыл бұрын
Nikwel kabisa hilo hhhahhahhahha
@rahimajuma6887 жыл бұрын
alafu wote wanakimbilia ma mama sijui
@user-vv5xd3ye4i7 жыл бұрын
kaza kaza jombaaa.. ila mademu hawana faida.. piga kazii
@fettamidu25035 жыл бұрын
Haaaaaaa baizo wew
@saidasalim63725 жыл бұрын
Maskini lava lava ww simbaya Lakini ni Gundu ndio zina leta Shida zitowe bro Kisha utatulia tuu 😘😘
@twahachombo17397 жыл бұрын
umekwishaa! !
@timelessbeauty56777 жыл бұрын
waaaah
@bainajaribuni2575 жыл бұрын
embu nikae kimya miee!!! Aloweka hii atalipa mbavu zangu.! 😂😂😂😂😂😂😂
@mwajumamwajumamuhammad14574 жыл бұрын
Hahahahahha
@fediliaulomi49695 жыл бұрын
yaani apo anaona kajitaidi kweli kutafuta demu mzuri
@omarmagada5575 жыл бұрын
Ivi hawa wamama n kiki au mapenz kwel nilijuw utakuw mfan kwako ila ww nd walwale maskin pole haya safar njem n mapenz wako
@fatimasuleiman5526 жыл бұрын
Lavalava demu hoy No anamvuto kabisa kakangu bora hivo hivo muachane tu ajapandisha mzuka bado😏😏😏
@khalidkhamis76975 жыл бұрын
Ok
@tundaclassic27045 жыл бұрын
kawaida ya wcb awajui kuchangua madem atiaha
@zenahsimbowe96587 жыл бұрын
umefel kipengele hicho broo
@mariamissa41866 жыл бұрын
Tobaaaaa mbayaa kama nn duuuuu umefel bro
@zaiiomary89706 жыл бұрын
Jimama au bib huyo hee kachague mwengine babueee
@alvismumkaranja33605 жыл бұрын
Oooh kiki zitawauwa
@mutoniwaseangelic5065 жыл бұрын
sasa yanawausu nini umbea haaaaaaaaaaaaaaaaaa wavunja ndoa zawatu tu loooooooooooooooooo nabado WCB 4LIFE
@zumbeshauri81145 жыл бұрын
mashaallah mzuri
@fatumafey92565 жыл бұрын
Bado cjaonaaaaaa umefeliiiii
@sharonwakio17615 жыл бұрын
Mbovuuuu
@omarmagada5575 жыл бұрын
Mpo kapuni
@marthagathoni5036 жыл бұрын
Wacheni ufala
@erastotoshz46726 жыл бұрын
Huyu nan anamfahamu jina wakenya
@abisinamusa17025 жыл бұрын
hahahahahhahahahah a tena kubwa kuliko lavalava mmmmh so kwahuyo bibi wala sijapenda kama ndo hao wazungu mm mmmh kazi wanayo😁😁😁😁😁
@rechomugilafaya65605 жыл бұрын
Meno makubwa makubwa ivo kama majan ya maboga
@farajajuddy38714 жыл бұрын
Mmmh!jamani maneno mengine!!meno makubwa yaliyo umbwa na Mungu na matako makubwa ya mchina kipi kibaya!?binadam bwana!huwezi kuumba wala kutengeneza japo andazi unataka kumkosoa aliye iumba dunia!!?makubwa haya