I HATE LOVE | BINAMU |.

  Рет қаралды 5,705

CHIBU TV

CHIBU TV

Күн бұрын

Kwenye mahusiano kuna mambo mengi saaana ya Siri huendelea bila wana ndoa kuambiana, cha msingi ni kumshukuru Mungu tu bado unapumua. ❤️‍🩹💔🙏
Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua kwanini na itakuaje.
Tafadhali Usisahau ku LIKE na ku SUBSCRIBE kama ishara ya sapoti kwa vijana wenzako na TEAM VEVO kwa ujumla.
Ukiachana na tamthilia ya snakeboy, UFUO, bigboss, mistake, magic school, mkoba wa mama, mkoba wa bibi, who am i, maza hausi, wrong house, sungwi, house girl, Sandra, my daughter, marriage life, mgeni wa kijiji, orphan, mpangaji, ubaya ubwela, Malaika, na nyengine nyingi hii ni mpyaaaa mtaani.
MAUDHUI YA FILAMU HII NI YA KWELI ILA WAHUSIKA WA KWENYE MOVIE HII SIYO WA KWELI.
#clamvevo #chibutv #snakeboy32 #behindthescene #snakeboy33 #mwakatobe #magicschool #wronghouse #film #babayangukipofu #housegirl #ufuo #mkobawamama #mkobawabibi #pete #wageniwakijiji #ndupe #chupiyamchawi #siriyahuba #chibutv #mydaughter #diwani #sandra #kariakooderby #kariakoo #marriedlife #mzeekicheche #malaika #movie #bongomovie #happynewyear #newyear #proffessor #mpangaji #thehouse
Follow us on INSTAGRAM 👇 www.instagram....
Follow us on TIKTOK 👇
www.tiktok.com...

Пікірлер
@PlayNow-m4f
@PlayNow-m4f 27 күн бұрын
Woyoooo BINAMU MTAMU leo wa kwanza jaman 🎉🎉
@noelevance
@noelevance 27 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@romeoisack6802
@romeoisack6802 27 күн бұрын
Best one 🎉
@Izackyfanny
@Izackyfanny 27 күн бұрын
Kazi nzuri sana
@yuzleclassic255
@yuzleclassic255 27 күн бұрын
Kabla cjapandisha mashetani yangu meusi ......Moto ni moto BINAMU💥
@alfasaidiofficial5800
@alfasaidiofficial5800 27 күн бұрын
Huyu jamaaa Chibu ana kipaji kizuri sana akazane tu, qtafika mbali
@MKZ_-_FOX
@MKZ_-_FOX 27 күн бұрын
Hiyi kali kabisa
@mtimasmart9637
@mtimasmart9637 27 күн бұрын
Chibu kama chibu noma sana
@AmzaOmarBacar
@AmzaOmarBacar 27 күн бұрын
Good job familly...
@jumamohamedi8388
@jumamohamedi8388 27 күн бұрын
Hii ni muvee ila wanawake wanaweza kufanya hivi.... Tuishi nao kwa makini sana. Muv ipo vizuriii sanaaa
@aishaomar2287
@aishaomar2287 27 күн бұрын
Si eti wanaweza kufanya, wanafanya
@aroAm_official
@aroAm_official 27 күн бұрын
🎉🎉🎉
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 27 күн бұрын
Hatimae na mimi nimekuwa wapili ....chibu upo vizuri sana❤🎉
@noelevance
@noelevance 27 күн бұрын
Unaupiga mwingi sana
@Thetrendy0505
@Thetrendy0505 27 күн бұрын
Kuna jambo la kujifunza hapa ❤🔥
@mtimasmart9637
@mtimasmart9637 27 күн бұрын
Vijana wa kaz ndani ya kaz
@flowersdipinde998
@flowersdipinde998 27 күн бұрын
❤ ❤
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 27 күн бұрын
Mr CHIBU hapa umecheza 🌹🙌🌹 Lakini Mr Chi kipaji chako, jinsi ulivyo na uongeaji wako ni levo za mbele kabisa sio Bongo. Kaitazame vizuri MISTAKE uliyocheza na Clam zile scene zako za supermarket utaelewa ninachokiongea. 🙌🙌🙌
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 27 күн бұрын
Stori nzuri lakini mwishoni kunamaswali mengi ambayo hayajajibiwa...
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 27 күн бұрын
Hawa waigizaji wapya wanajua kuigiza 💯 Hii kazi inahamasisha kutazama mwanzo mpaka mwisho ♡. Upande wa rangi kuna hitilafu kidogo imekaa kama kumbukizi 🙏 NIMEIKUBALI. 😂 *Kwambaali nasikia sound ya WHROUNG WAY* 😁
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 27 күн бұрын
#Shuu
@MZALENDOWENU
@MZALENDOWENU 27 күн бұрын
✍️Mimi wa tatu toka Drc 🇨🇩
@Mickyafrica
@Mickyafrica 27 күн бұрын
25:50 nzur ❤
@JacqueLyn-jv1dm
@JacqueLyn-jv1dm 25 күн бұрын
Ya moto🥳
@cathbertkilingo4472
@cathbertkilingo4472 27 күн бұрын
Jamaa anakuvimbia piga vichwa
@Dynest08
@Dynest08 27 күн бұрын
Ila wanawake😢🙄
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 27 күн бұрын
Ndio naanza kuangalia lakini hii scene ya kwanza kama vile imerudiwa. Kuna igizo kama sio Mwasi atakuwa nani!... 🤔 Alimfukuza ndugu yake kwa manenohaya haya na mfumo huu huu... Haya! Naendelea kuangalia nikimaliza ntatoa maoni
@TumaMwinyi-n8i
@TumaMwinyi-n8i 27 күн бұрын
Kwa16 na watch nikiwa Oman
@aishaomar2287
@aishaomar2287 27 күн бұрын
Ni sheria ya wapi inayokabizi mtu mali bila sahihi wawili kama makubaliano yao ya awali # japo tumejifunza
@yuui1878
@yuui1878 27 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
@EmmanuelKiula-u5c
@EmmanuelKiula-u5c 27 күн бұрын
🔥🔥
@aishaomar2287
@aishaomar2287 27 күн бұрын
Ni sheria ya wapi inayokabizi mtu mali bila sahihi wawili kama makubaliano yao ya awali # japo tumejifunza
MY BEST FRIEND | I hate love series |.
28:18
CHIBU TV
Рет қаралды 4,4 М.
I HATE LOVE | LIMBWATA |.
30:54
CHIBU TV
Рет қаралды 3,3 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
#2 - BABA NA MWANA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:12
Mau Mpemba
Рет қаралды 70 М.
FUNDI  | part one |
27:40
CHIBU TV
Рет қаралды 3,4 М.
NAGONGA KOKOTO
10:48
Joti TV
Рет қаралды 475 М.
DUNIA YA MUNGU #Sahara #SambazaHekima
9:35
SAHARA
Рет қаралды 156 М.
SIRI YANGU ❤️ | Starring #MALAIKA #MATUTU
24:20
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 61 М.