Waschana mmeskia? Msitoboe mapua na maisha hamjatoboa!💯
@attentivegal52585 ай бұрын
@@sharlynenyaboke9005 it's true BTW
@SharonAuma-v2x5 ай бұрын
N kwanza nimetoboa mbili😂😂
@sandraawour5 ай бұрын
ewoooo 😂
@VeraRK5 ай бұрын
I@@SharonAuma-v2xiii
@shadrackamani76755 ай бұрын
@ Sharlyne good afternoon..😂. You mouth oozes so much truth you have no idea..! 😂😂. Kutoboa is keyword here.
@daphineochanda21375 ай бұрын
Good man. That lady and her father should be taught a lesson. Unfortunately its difficult to find good partners
@JohnstoneKilonzi5 ай бұрын
najua hamjasikia aviator iko na pressure wap likes za wale wanajua 🤣🤣
@faithmuirurishow79905 ай бұрын
Hio NDIo ngani 🤣🤣
@ElizabethMaina-l2x5 ай бұрын
What's aviator?!!+
@lystrajoel86095 ай бұрын
Watu wa aviator tukutane saa sita
@siminteijopason5 ай бұрын
Flew away waiting for the next round 😂😂
@frashiahwangari21775 ай бұрын
@@ElizabethMaina-l2xAviator is your worst nightmare! It's a cheap gambling app that has made pple commit suicide.
@robijorum41135 ай бұрын
Kijanaa geuka unaona hiyo mlango umeingilia , tokee tu papo hapo, weuh 😂😂😂😂😂
@rahabmugo5 ай бұрын
Skua nataka kucheka 😂😂😂😂😂😂
@DorcasBosuben5 ай бұрын
Alisema alikua anafikiria anataka kuniona venye ako 😂😂😂kumbe ni mlango anaonyeshwa
@omogo20305 ай бұрын
Nione mabega whaat 🤣
@MutoroTerry985 ай бұрын
Hakuona redflag akapangwa na aviator 🤣🤣
@marthaotieno20545 ай бұрын
Some in-laws though 😥😥, they should know that there's no permanent situation,the table has been turned now to there daughters,this life pple should be patience in waiting 🙏
@kenledsy5 ай бұрын
I like such a man who can make a decisions at dance congratulations young man😍😍
@Vickfamily15 ай бұрын
Kupata true love nowadays is a very big challange,especialy kwa sisi vijana wa sikuizi😢😢😢😢.ni nani tutapenda...si wanaume si wanawake!!
@IREENKAIRUTHI5 ай бұрын
Tafuteni pesa mtapata hata wanne😂😂😂
@amonkiplimokosgei72775 ай бұрын
Hawa wanne wote ni wabaya kabisa 😂😂😂
@slywaithaka9168Күн бұрын
And the funny thing ukipata true love things change..
@gkdon985 ай бұрын
Tulia naongea na huyu😂😂😂😂😂
@cordeliaray87005 ай бұрын
😂😂😂nmetulia
@SusanAwino-o5b5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@pmm2014-SSSАй бұрын
Mambo yako tunamaliza…
@Nelcn15 ай бұрын
This guy can be a comedian. Ati huyu wa pili jiekeee 🤣🤣🤣
@row39995 ай бұрын
Am rolling 🤣🤣🤣🤣 hapo kwa " Msitoboe mapua na maisha hamjatoboa"
@mungaikimani33285 ай бұрын
Boy, you've seen it all, may God give you a new beginning 😊
@edinahimali5 ай бұрын
😊😊😊
@lydiakhalai78015 ай бұрын
Wekylicf Ambesta Oparanya....again 😮😮
@Ozon-u4t5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@collinsorina13017 күн бұрын
Wacha ufala babygal
@perisotieno37825 ай бұрын
This guy is so hilarious. I was laughing throughout this episode 😅😂😅.
@dennismyles82565 ай бұрын
Msitoboe mapua na Maisha hamjatoboa😅😅😅.. Punchline
@jo111k-yr6dt5 ай бұрын
😂😂😂😂kweli
@kipkorirmark7005 ай бұрын
😂😂
@everlynewanyama38045 ай бұрын
That closing clause got me rolling on the floor 😂😂😂😂and the way the guy is using capital 'L' in his statements😂😂😂
@mathekarichard13825 ай бұрын
😂😂😂😂 shikamooo
@MutoroTerry985 ай бұрын
Komasava🤣🤣
@janenafula98325 ай бұрын
Wanaume hua mnatoa wapi nguvu za kutembea na dem amevaa nusu uchi???
@charlesmuringu12355 ай бұрын
Kuchanganyishwa !
@NancyNjoroge-gx8gm5 ай бұрын
Am ready hata rafiki ana dress hivi apana
@jetitahkarimi5 ай бұрын
😂😂😂😂 swali pia Mimi
@dannymzazi31755 ай бұрын
@janenafula9832 I wonder 😢😢😢😢
@romanosmwaniki83535 ай бұрын
Kukaliwa.
@AlbertDalizu.DalizuAlbertАй бұрын
😂😂😂,hua napenda vile msee hupea stevo simu then the guy takes pause and says,"bro wacha nikuambie";
@marionmuturi52835 ай бұрын
I just like how the man walked away😂😂😂😂women msitoboe mapua na maisha hamjatoboa😂😂😂
@lanogwaketenyi4105 ай бұрын
How can you, as a husband, walk around in public with a lady you call your wife dressed like this. And in your mind you believe that she is faithful and she can't cheat on you? What other red flags do you expect from a lady if not the dress code. Msiba wa kujitakia huu kaka. Hata Mungu usimlilie
@DorcasBosuben5 ай бұрын
Na venye mzee amekomaa anafaa respect
@cherotichmercy92775 ай бұрын
I was also thinking of the same when did men became comfortable with their wife dressing up like this? And you expect other Men to respect her surely.
@marywairimu-v2e5 ай бұрын
Eti ni kupea wife freedom of dressing😂😂
@VictorBaraza-v3cАй бұрын
Sasa avae nini
@sisi11122Ай бұрын
@@VictorBaraza-v3c😂😂😂😂
@ShadrackKamoiro5 ай бұрын
This man is so so intelligent
@bernardwafula48705 ай бұрын
Thank you, my observation too.
@tida37275 ай бұрын
Mzee umenena hakuna mwanamke wakusimama na wewe kama huna dooh!
@mluhyahalisi64865 ай бұрын
Tafuta Huruma
@ThisandThat-s5w5 ай бұрын
labda mama mzazi pekeake wallae
@tida37275 ай бұрын
@@mluhyahalisi6486 😂😂
@Priscah-x5s4 ай бұрын
Atoke wapi
@AnnGreat5 ай бұрын
Hata kama married men siku hizi kwani vichwa zenu ziko upside down? Mbona mnatemebea na mabibi wakiwa uchi alafu mnaanza kusema mnachezwa?
@PatriciaWanjara5 ай бұрын
Tru they encourage infidelity. Dressing code means a lot
@suebey39535 ай бұрын
Am telling you
@nancywangui618613 күн бұрын
Nashangaa pio hizi nguo manze🙆🙆
@peninahwemali20215 ай бұрын
My dad may the Lord bless you so much.....even someone doesn't have anything...he welcomes them
@chullakoi88035 ай бұрын
Vitu zingine cc wanaume tunazichangia wenyewe imgne uko na mtu unaita yf streets amevaa hivi surely hatuko Europa bana.
@attentivegal52585 ай бұрын
@@chullakoi8803 I also wonder but I think most women do some things to blind the eyes of their hubbies
@adungafredrick59815 ай бұрын
Hata yule wa dera was just doing the same thing if not even worse...Malaya ni Malaya hata aki dress like a Catholic nun
@lilianmacharia11715 ай бұрын
Hata bwana is to be blamed. Hakuona hio nguo
@DPRKorea.5 ай бұрын
@@lilianmacharia1171unadhani unaeza kuwaambia? utaitwa majina mara unacontrol mtu. Boy child haki nayo hananga
@ericgathii13875 ай бұрын
U think u can tell her to change? She will call u a narcissist. And since u don't want to end the marriage because of a petty issue, unaacha avae tu
@Ali.Robert5 ай бұрын
that part of "naongea na huyu...tulia naongea na huyu" is funny as Fck
@rosenangila11255 ай бұрын
Plus the accent 😂😂😂😂
@weye075 ай бұрын
this is the comment i was finding here🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kakaafro1405 ай бұрын
😂😂😂
@emymbula765 ай бұрын
Angojee turn yake😂😂😂
@klauskipz5 ай бұрын
Plus the man patting her halafu anasema kidogo tu then laughs hehehe😂😂😂
@kimlee0015 ай бұрын
This man I blame him. Once you are rejected, toka mbio because the curse that will befall you if you force issues, utashangaa maisha yako yote. Songa kusonga broo. Alafu Steve, kindly tuletee Wyclif atupee his side of the story. Lazima huyu mtoi ni wa Wyclif.
@irenewanjiru88575 ай бұрын
Time and again Steve you are a God sent. Aviator Sasa jipange na Wycliffe 🤣😂🤣😂
@PoliteManKinoti5 ай бұрын
Yenyewe this Man's Intuition Is Right.... Iyo ball niya Wycliffe. Jamaa ange Ekelewa one touch😭💔
@mwaurakamau85485 ай бұрын
Bro jipe shughuli. Hiyo mimba iko na uwezekano sana si yako na pia huyo mwingine pia. Fanyeni DNA.........Usitupe watoto kama ni wako!
@protichnarokwest64055 ай бұрын
😂😢true no need ofDNA .its obvious si yake
@ibba80825 ай бұрын
Hata Huyo Mtoy Si Wako Mwendee DNA
@Christinah3015 ай бұрын
Mapenzi shikamoooo😅😅😅😅😅😅 justice for this guy😢
@SharonAuma-v2x5 ай бұрын
Imgne Jana last week nimechezwo aki mapenzi wewe
@hellenmuthoni27445 ай бұрын
Naonge na huyu unasumbua funga mdomo
@Christinah3015 ай бұрын
@@SharonAuma-v2x so sorry 😐
@BowensVince5 ай бұрын
Her father chasing should have been message enough for you to run and build yourself anywhere someone has disrespected you is not a place to stick your mouth cos people will always the poor side of you ukabaki na mapenzi sasa kimekuramba
@muthokagregory64785 ай бұрын
Katumbo ya sperms za wababa
@muthokagregory64785 ай бұрын
Wako mutoii WA months na kana peana Kuma inje seitani
@muthokagregory64785 ай бұрын
Pelekea wiclive kuma nongwe hii
@omogo20305 ай бұрын
mi sijui ni Wicklife mgani bora ni Wicklife this guys is a right up man kudos😂
@samsonmarube72035 ай бұрын
😂😂😂
@jina2535 ай бұрын
The camera man dse a perfect job😂😂😂ana zoom in 😂😂the lady's dress code was speaking out loud ni venye mna ignore red flags mkithani zita badilika ziwe green
@Purity_Akinyi.5 ай бұрын
Kwan n litmus paper 😂😂😂
@jina2535 ай бұрын
@@Purity_Akinyi. Nakuambia😆😆😆
@frashiahwangari21775 ай бұрын
Hii ni nguo!!?? Wololo😲😲
@Kemboi-z1vАй бұрын
Ati msichana kama hauna pesa anasimama na mguu moja kwako😂😂
@Mis_wangui14 күн бұрын
😂😂😂😂
@LydiaKadogo-s2m5 ай бұрын
Mluhya wetu Ati msitoboe mapua kama hamjatoboa maisha😂😂😂 pole sana mwanawefwe😂😂
@cordeliaray87005 ай бұрын
😂😂😂
@sepanashale594810 күн бұрын
Nampenda huu jamaa namna. Ya ku ongea kwake 😊
@douglasmwangi16125 ай бұрын
Umekua Aviator 🚀
@miriamphronesis59575 ай бұрын
😂
@mosesalando40825 ай бұрын
heatbreak, pressure, ulcers
@dianahkebongo93455 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@samnjoroge88715 ай бұрын
Aviator was just chilling
@lightmanmwangaza93895 ай бұрын
Bro hats off if you can stay committed to this woman after what the father did to you , you are strong move on this is not a wife. Let her go & don't look back. Before being committed to that kid just do DNA it might not be yours just by the looks this lady was there for the money cause she seems a don't care. Now she can go to Wycliffe .
@Gatwiri2135 ай бұрын
Wa pili amepewa bure tu ajiwekee huyo
@fridahnkatha95895 ай бұрын
Men kindly don't let your wife dress 👗 kama poko wa sabina joy yet you are walking with her kwa njia hii ni Mali ya huma!! Let her dress like this mkiwa kwa nyumba inje let her look decent!! The man looks mtu wa heshima sana yet you walk with such dressing kwa njia! Mke ni wako peke yako sio wa public!! Rusheni mawe nijenge nayo nyumba! 😂😂
@christinembithe85185 ай бұрын
Hata kama ni mzee anataka hii dressing code Mimi siezi tembea uchi na umevaa fiti, ukitaka Nivae hivi nayeye abae boxer 🙎
@fridahnkatha95895 ай бұрын
@@christinembithe8518 imagine! Same here siwezi!
@recoverieskwco14475 ай бұрын
Nakushukuru sana, upate msichana mzuri uoe, usipatane na watu kama hawa, "Aviator". And tht is how you have lost it baby gal
@Mr_Snell-fm7dx5 ай бұрын
Aende tu kwa Wycliffe ju amepewa minister saai😂😂
@morongwatsela88834 ай бұрын
GOOD STEP MY BROTHER, WALK AWAY 🙋
@hansstephenotomchief68155 ай бұрын
Hapo kwa....kunijulia hali mpaka mimi😂😂😂..... mzazi wako sio wangu😂😂 wueeeeh
@edinahimali5 ай бұрын
😊😊😊😊
@IREENKAIRUTHI5 ай бұрын
Hamtaki kutuma kitu😂
@Mis_wangui14 күн бұрын
Acha niongee na huyu kwa sababu ako na love wake😂😂😂😂,,,eiii lakini ata huyu mzee na vile anakaa mature. Walitoana wapi??
@christopherwandera36645 ай бұрын
omwana wa ingo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this guy has made my day. Syllabus inaenda mbio sana sahii mnaita malaya ati aviator
@felixmwanzia90815 ай бұрын
Parting shot"husitoboe mapua na maisha hamjatoboa"😂😂😂😂
@alfredmoti354222 күн бұрын
Naelezea huyu, naongea na huyu ,huyu hajaoa
@deserteaze35965 ай бұрын
😂😂😂naongea na huyyu
@magarematara89195 ай бұрын
Naongea na huyu,,,nyamaza naongea na huyu,unatanga kunipatia pressure,ulcers kama AVIATOR,,,this aviator must be stressful
@euniceokia28415 ай бұрын
😂😂😂😂
@manumanu-20245 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣most comic clip uploaded
@Shirualex-fr7xf4 ай бұрын
Yesu atakuja hivi 😂😂😂😂😂got me
@Businessmindsetideas5 ай бұрын
This is why I decided to date a mumama than this Gen z
@robertkelem51445 ай бұрын
eeeeeehhhhhhh!!!!
@naomy90105 ай бұрын
Mama yangu amepotea ebu nitumie picha nione huyo wako please😂😂
@SharonAuma-v2x5 ай бұрын
Pia mimi nimeona heri nitafute mubabaz
@SharonAuma-v2x5 ай бұрын
@@naomy9010🤣🤣🤣
@fanmuthura48445 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂wewe
@princessariana66125 ай бұрын
Woiye so sad😢😢after aliambiwa hivo na baba msichana angeachana na huyu dem😢
@anitastellah28945 ай бұрын
Sasa hata vile uyu mzee ako tu mature akaona uyu ndio bibi na hii dress code??plus nose ring😅.aki mapenzi wewe😂😂😂😂😂😂😂😂
@mousareggae47505 ай бұрын
Hujaskia akisema yeye ni Gen z😅
@slysweetcandie99715 ай бұрын
@@mousareggae4750😂
@anitastellah28945 ай бұрын
@@mousareggae4750 🤣🤣🤣🤣🤣msitoboe mapua na maisha bado
@samsonodhiambo29535 ай бұрын
Am father of girls but am asking God never to let me decide for them asper material things. God is the provider and God is the one joining people together.
@lenitygakii9570Ай бұрын
Tulia naongea n huyu 😅😅😅aki nimecheka weh 🏃🏃🚴😅😅😅
@rahabmugo5 ай бұрын
Ni ushamba niko nayo ama ni nini juu siezi toka nje na dress inatoshana ivi
@traceeytracie68115 ай бұрын
I love to dress sexxy but indoors hizi fupi just attract unnecessary attention.shes for the streets
@BensonMuthomi-f9g5 ай бұрын
You mature enough na unajiheshimu madam
@rahabmugo5 ай бұрын
@@BensonMuthomi-f9g thank you for real siwezi kama hii acha nkae tu nayo kwa nyumba
@beckymary89925 ай бұрын
Mm kama si Dera na dress kufika Kwa magoti siezi Toka nje😂😂😂
@romanosmwaniki83535 ай бұрын
Sio ushamba, you were raised well.
@christinenyangaresi28225 ай бұрын
This man is a vibe, soo mii nataka pesa, I mii na9gea na hyu
@lidiahkwamboka92425 ай бұрын
Aviator was Just chilling 😅😅!!! Pressure,, Ulcers wewee💔💔💔
@ReginaNderi5 ай бұрын
Msitoboe mapua na bado hamja toboa maisha😂😂😂😂😂😂😂😂 I like this guy.
@lightmanmwangaza93895 ай бұрын
😂big up bro best advice to women 2024, " MSI TOBOE MAPUA NA MAISHA HAMJATOBOA ". Nice one, bro made my day 😂😂😂. The lady couldn't believe 😮that those words came out from the hubby's mouth.
@LindaMasombei5 ай бұрын
😂😂😂Haki mapua wewe ! Ooh my ribs😂😂😂😂😂
@pamireyzonchwariz66245 ай бұрын
Ka official fulani was chilling 😢😂
@alexchege9997Ай бұрын
Naongea na huyu 😂😂😂
@ElijahMwandia5 ай бұрын
Nani amesema morning... hahaaha. This man ...
@perisjepkorir52755 ай бұрын
Yesu anakuja kana Stivo akusaidie Shetani anakuja kama Wycliffe akuibe 😅
@winniemuriithi-cn1fw5 ай бұрын
This guy is hilarious 😂ati x amekuwa mungu umrudierudie😅
@hawababy1205 ай бұрын
Big man napenda san show zako zinanibamba .acha tubaki kua single tu😂😂😂🇧🇮🇨🇦🧚♂️
@t.danno36445 ай бұрын
Vile inafaaa manze ✌
@sandramusonye12985 ай бұрын
Mnatoboa mapua na maisha hamjatoboa😅😅😅😂😂😂 hio imenimaliza
@lucyopi12245 ай бұрын
Mimi ndiyo naona vibaya, uyu dem kwanza ata hana sura alafu iyo kisogo eeh, wacha niache tu hapo😂😂😂😂
@Rmaunga5 ай бұрын
Hi Lucy, you could make a point without body shaming your fellow woman. We are all made in God's image, don't stoop that low.
@AgnesWambui-wr9wl5 ай бұрын
He doesn't seem like her husband but her father.....all that man's maturity and the dress code, doesn't rhyme at all....aai kwani tulihama Kenya na sijui🤔
@everlynegati60005 ай бұрын
😂😂😂😂tulia naongea na huyu nimeisha 😂😂😂
@kenyastud4 ай бұрын
DNA bro, ukiona mwanamke ameolewa anarudi kwa ex kuna kitu ina wa hold together. Wachana na huyu jinga fanya DNA kaa mtoi ni wako co-parent kaa si wako jitoe kabisa. Wyclife na watoi wake waji sort! Bro uko single and free like me.
@otienodan74265 ай бұрын
Umekua aviator,, had me rolling😂😂
@elminanjeri69414 ай бұрын
Umekua aviator 😂😂😂buda replay n deadly deadly
@maggie7makoha4144 ай бұрын
Sura kiatu bado unavalia watu tu min kuoneshana mwili 😢😢
@babuuosama87525 ай бұрын
Yuko na mtu na baado yuko soko mamanziii mnataka hajeee .. .. .😮 ?
@SonduRiver5 ай бұрын
Ukipata dem ametoboa mapua, ujue huko chini ni mtaro
@mutisyatimothy81995 ай бұрын
This man is aserious man like me 😂😂😂😂 good strong man
@lenitygakii9570Ай бұрын
Acha tu nimuite huyu juu ako n love wake 😅😅😅😅
@SusanKimwana4 ай бұрын
And that's how some women loose good men 😢😢😢
@juliewambui26185 ай бұрын
The readflag and warning sign was already there.sometimes " madharau" huwanza na wazazi.The apple doesn't fall far from the tree.if the parents degrade you,demean you ,just leave and never look back.
@tashawambui72485 ай бұрын
So true namesake
@Stella_972535 ай бұрын
Huyu jamaa ni mkisii ama my favorite luhya guy😂😂
@andendabonfaceakumu-lw8vy5 ай бұрын
Huyo ni waingo,very composed
@petwaziri5 ай бұрын
Waaaa this guy killed me''' usitopoe mapua kama ujatopoa maisha.
@edinahimali5 ай бұрын
😅😊
@jacklinelila5 ай бұрын
Steve tulia naongea na huyu.
@feisty-KoolQueen545 ай бұрын
Mungu wa huyu jamaa ni wa ukweli, yaani walikuwa na prenuptial aka agreement 😂😂😂
@JohnMuthami-wh4zz5 ай бұрын
"Sijui ni wicklife mugani bora wicklife"🤣🤣🤣🤣
@denismkarani76845 ай бұрын
Nionyeshe mambega...wueh in-laws jameni
@erickmutambi88665 ай бұрын
I like how the guy is assuming this lady, "Naongea na huyu."
@rukiaahmed16685 ай бұрын
Hata huyo first born si wako, ni WA jamaa mwengine. Run bro
@BeatriceMuthoni-rh3gd5 ай бұрын
Asante bro kwa maombi yako kwa stevo lakini ako na watatu hes not loyal but hutundanganya hes singoo
@gabendungu35605 ай бұрын
Lol Stevoo ako wira
@edithwanjiku29715 ай бұрын
Hi imeweza tulia naongea na huyu😂😂😂😂😂😂
@GalleriaMaintenance-x4e5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂and the dude went majestically 😅
@manumanu-20245 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣eeeeyh huyu mjamaa ni comedian,kwanza akirupronounce hiyo jina 'scan'😝 na the term 'AVIATOR'🤣🤣🤣🤣🤣..
@naomybokid90885 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ak vle umehapa hiyo ngori😂😂😂😊
@idenngugi5 ай бұрын
Jamani hyu mzee anakaa Ako na heshima,but chenye imemfuata 😢,hkn dreßssing mirror kweli😅
@attentivegal52585 ай бұрын
@@idenngugi aki ni ukweli kabisaaa
@CONSOLATANECHESA5 ай бұрын
Mungu mm nko apa sipati bwana na wenye wako na bwana wanaharibu aki 😂😂😂😂 mwanamke mjinga xn nkt
@BeatriceMaingi-bu50j5 ай бұрын
Naogea n huyu😂😂😂😂
@assumptamuhia88265 ай бұрын
Msitopoe mapua na maisha hamjapotoa he's loyal n funny 😂 aviator inapeana preassure