I lied to mum that I was going to Dubai but went to Saudi Arabia | Tuko TV

  Рет қаралды 189,892

Tuko / Tuco - Kenya

Tuko / Tuco - Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 358
@nevergiveupinlife753
@nevergiveupinlife753 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu niko Saudi Arabia tena nyumba wanaume ni wengi na wananipa heshima hakuna mtu amenitongoza hata siku moja,pia niko na documents zangu zote,Mungu akupe nguvu
@a.muchemi4360
@a.muchemi4360 2 жыл бұрын
some of you are ok with it
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 2 жыл бұрын
Ata mm aki niko kwa nyumba yenye wote ni maboys mama tu ndio dem na ye huenda kaz maboys wanabaki na ni wakubwa 30yrs and above na wananipea heshima nko na 10yrs kwa the same house
@nevergiveupinlife753
@nevergiveupinlife753 2 жыл бұрын
@@mimahmimah1595 kweli kabisa dear Mungu awe pamoja nasi
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 2 жыл бұрын
@@nevergiveupinlife753 aameen unatokea kenya which side
@Kezia-rashford
@Kezia-rashford 2 жыл бұрын
True
@mourinngala5454
@mourinngala5454 2 жыл бұрын
Mimi sisikizi mtu nasikiza shida zangu coz hakuna mtu atakuja kunilishia watoi,Siri nikujifanya mjinga tu na utatoboa,,wapi like zangu
@simonwainaina7360
@simonwainaina7360 2 жыл бұрын
Iam💯 by 💯 with you on that 😇
@purity..
@purity.. 2 жыл бұрын
Ukweli
@a.muchemi4360
@a.muchemi4360 2 жыл бұрын
yes sleep with them if you have to ama'?
@catherinemunguti1004
@catherinemunguti1004 2 жыл бұрын
True
@wandiaflorence7712
@wandiaflorence7712 2 жыл бұрын
Kabisa,
@SophieSpira
@SophieSpira 2 жыл бұрын
Pole Elka - God is shaping you for a beautiful testimony... Mungu anampango mwema na wewe.... Mtazamie Mungu tuu...
@maryann623
@maryann623 2 жыл бұрын
I think people should stop judging her maisha ni magumu na hakuna kazi inalipa poa sai..but maisha ni kujituma tu..
@jemijoy3551
@jemijoy3551 2 жыл бұрын
Aki saudia iko na mambo..bt I thank God nilirudi bila kupatana na shida yeyote..May God help you gal
@gracewambui6693
@gracewambui6693 2 жыл бұрын
44
@mosesmande8857
@mosesmande8857 9 ай бұрын
Wow! She's very beautiful. Let me know what I can do to help you. Will be in Nairobi next month. Pole Sana sister.
@meg-iv1sw
@meg-iv1sw 2 жыл бұрын
She is so beautiful aki..I pray God to make way for her in Jesus name amen
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
Thanks mummy... appreciated
@sheilahpepela6083
@sheilahpepela6083 2 жыл бұрын
She's misusing her beauty
@ourdays.4021
@ourdays.4021 2 жыл бұрын
Mwanangu,maisha nikujituma.ku slay sana kwa wenyewe na tu selfie hakuleti sana.
@marthawambua744
@marthawambua744 2 жыл бұрын
Bado nashangaa vile this lady still wants to go back to gulf countries even after what she went through in Saudia.Watu wanapika chips ,viazi,wanaoshea watu nguo and they make living from it.Mimi sasa sielewi hapa.
@kabuthakabutha9472
@kabuthakabutha9472 2 жыл бұрын
Ni venye kule Gulf countries atapata a roof over her head, mavazi na chakula. This shows she a go getter.
@elvintinega6361
@elvintinega6361 2 жыл бұрын
Jitume mamaa, jitume. You're still young and strong, stop using shortcuts.
@Cynthiashiko-j
@Cynthiashiko-j 2 жыл бұрын
Exactly dr shortcuts si poa mama jitume sana
@gisioriedna2615
@gisioriedna2615 2 жыл бұрын
True
@maryadhiambo172
@maryadhiambo172 Жыл бұрын
Stop judgit
@David-mp9zs
@David-mp9zs Жыл бұрын
Basi si mumpatie kazi?? Give her the direction mahali munajituma.
@philecymoraa9244
@philecymoraa9244 2 жыл бұрын
Mungu anakutafuta Dada Rudi kwake umtumikie wewe ni muimbaji Baba anakuitaji urudi kwake🙏🙏
@zhitomirmassive2789
@zhitomirmassive2789 2 жыл бұрын
I think mentorship is very important from the grassroot for many young people in our nation so that they have the patient and know that life is not easy and that hardwork and patience and pays in the long run .
@sheilahpepela6083
@sheilahpepela6083 2 жыл бұрын
Exactly, this one had none and patience is not a vocabulary in her life
@brendaodhiambo896
@brendaodhiambo896 2 жыл бұрын
Elicah is my friend I know her very well ebu nitafute elica ...
@gomezokpala7956
@gomezokpala7956 2 жыл бұрын
Her life is already changing for the better... For what God cannot do does not exist!🙏🏾
@stephanycathy6646
@stephanycathy6646 2 жыл бұрын
Amen
@oguta_254
@oguta_254 2 жыл бұрын
This is so bold and need of positive change.
@lucynjerimwangi5766
@lucynjerimwangi5766 2 жыл бұрын
0
@kamusiimeziporah7723
@kamusiimeziporah7723 2 жыл бұрын
May the hand of God rescue you my sister in the name of Jesus
@millicentndegwa6086
@millicentndegwa6086 2 жыл бұрын
May God see you thru you’re young strong and beautiful naomba uwachane na kujiuza ndio Mungu amufungulie njia
@nancynjogu3822
@nancynjogu3822 2 жыл бұрын
Jitumee mama,,, tafuta job ufaye uko young uko healthy ulee watoto
@annettekagendo1661
@annettekagendo1661 2 жыл бұрын
Rudia MUNGU Roho Mtakatifu atakubadirisha na akuelekeze mama, because spiritual realm is real and it affects your life,okoka rudia YESU
@nevergiveupinlife753
@nevergiveupinlife753 2 жыл бұрын
Si kwa ubaya but huyu dada hana subra sisi tulikaa 4 months ndio tukasafiri but yeye ni two months ana complain ,hata kuna wengine wanakaa six months ndio wasafiri ,but omba Mungu akufungulie njia
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
Since December ni two months
@monicah8442
@monicah8442 Жыл бұрын
Mimi nilika 4 months na sikua Na mbio ata
@jackiesavatia5646
@jackiesavatia5646 Жыл бұрын
My dear jitume everything is possible if you put God first
@lilylilian8729
@lilylilian8729 2 жыл бұрын
Enda ufanyiwe deliverance kwanza kabla uanze kitu kipya!(bure itakua bure)umetupiwa roho ya kuhangaika na vile uko mrembo Hizo video ukiwa saudi inaonyesha ulikua sawa kabisaa hata kama kusave miezi tano ungekua na kitu kama capital!
@marshaly8473
@marshaly8473 2 жыл бұрын
Pole sana ndio maisha Mungu atakusaidia fanya kazi ya kuuza chakula biashara mzu6na ina baraka
@abdulfatahcassim6259
@abdulfatahcassim6259 2 жыл бұрын
sijui pia mm niende Saudi niteseke nikue famous 😂😂 uyu kienyeji mshow atafute spot na kikombe pale Kanairo na kujifanya mlemavu itakua an added advantge Githeri media nothing else
@MariamNakoa
@MariamNakoa 4 ай бұрын
Oh God remember her so painful story
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 2 жыл бұрын
My dear huko Mombasa Kuna kanisa ya newlife just go for deliverance and your life will change dear Ata mimi sikujua nitafaulu niko na watoto 3 wote walikataliwa kwao but prayer s zimenisaidia
@victoreddie9552
@victoreddie9552 2 жыл бұрын
Pastor Ezekiel. New Life
@joycengendo294
@joycengendo294 2 жыл бұрын
@@victoreddie9552 hehehehe mwambie
@makunguphoebe5189
@makunguphoebe5189 Жыл бұрын
Thank you Yvonne for highlighting her story.. And for warning mean and quick to judge in-laws to keep their peace.. I really feel this girls pain..I hope God sees her through. She's hard working, but had just been unlucky
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 2 жыл бұрын
Hivi kenya huwezi kubeba sinia ya matunda ukatembeza barabarani na mitaani,kama hakuna basi njoo tanzania utatembeza hata matunda barabarani life itaenda, si lazima ufanye kazi ya kuajiliwa ,acha kwenda uarabuni huko utapotea kabisa,.
@samwa9496
@samwa9496 2 жыл бұрын
wanapenda kupanda ndege wanadhani kule maisha ni rahisi, unapotafuta usipende starehe
@magdalinechepchirchir1393
@magdalinechepchirchir1393 2 жыл бұрын
Kenya uki hawk vitu vyako county council wanakushika
@chechewambirwe2629
@chechewambirwe2629 2 жыл бұрын
Single mother's tuko wengi bt sini ni kuijiamini na kukua strong enough...watu tuko na mashida ukuu njee bt ile kitu nakuambia dadangu jiamini na uweke mungu mbele..kila kitu kitakua sawa....jitumee nanii🙊🙊🙊
@johnkanavu6379
@johnkanavu6379 2 жыл бұрын
Story ya kuhuzunisha. I hope angefumilia tu Shula, pengine hangekua na shida hizo. Pole sana dada. Fumilia tu na utafanikiwa maishani.
@JoseManuel-jd1yr
@JoseManuel-jd1yr Жыл бұрын
Nem todos tiveram privilegio de Escola no Quenia
@Rachel-wl5lc
@Rachel-wl5lc 2 жыл бұрын
Kitu ulifanya dia ni kuenda Kwa kemboi heri. Ungeetafuta any office uende huko
@gloriambukha5577
@gloriambukha5577 2 жыл бұрын
God will make a way
@pantsman5872
@pantsman5872 Жыл бұрын
❤❤❤ jitume mama Mungu anasaidia mwenye anajisaidia
@marionkageha27
@marionkageha27 2 жыл бұрын
Pole Dada Mungu atakuonekania
@janewaithaka5510
@janewaithaka5510 2 жыл бұрын
Watching from saudia , I think the lady is honest and she needs help. If sm1 can help her to get her document well.... They can help her later when she needs to travel. Am sorry lady and God will expand your territory
@marygoretti3342
@marygoretti3342 Жыл бұрын
Whaaat...am stuck where she says "narudi kujiuza kidogokidogo" hilarious though sad episode..😅
@Rachel-wl5lc
@Rachel-wl5lc 2 жыл бұрын
Dia oooh omba Mungu msamaha my love job ziko mob oooh wachana na hii mambo mwisho ni mangonjwa my dia kama uko na passport nitafute za hao ziko Dubai na Qatar
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
Sina pp
@catekariuki3567
@catekariuki3567 Жыл бұрын
I don't know why people despise working as househelp in Kenya. There are good people in our country. But I think attitude is also a problem. I wish her all the best
@josphineidodo9654
@josphineidodo9654 6 ай бұрын
Uku salary n kidogo sana....
@kibaopipa3474
@kibaopipa3474 2 жыл бұрын
POLE SANA DADA KWANI WOTE WALE WAJIUZAO SI KUPENDA KWAO NI MITIANI YA KIMAISHA KAMA YAKO JAPO KUNA WENYE KUPENDA. DONT GIVE UP THE TIME WHEN YOUR GOING TO GIVE HIYO NDIYO YAKO YA MAFANIKIO KAMA UMETOKA KWA HIYO BUSINESS MTWAPA MUNGU ANAKUPENDA SANA MAISHA NI HADITHI😎
@nyabwansufred
@nyabwansufred 2 жыл бұрын
Poverty ni kitu MBAYA SANA haki
@gracewangari8121
@gracewangari8121 2 жыл бұрын
the day pple will accept their mistakes na wajitume hii dunia itakaa poa....ukipiga umalaya juu ya shida unafaa usave ata some point ujitoe mwenyewe...watu nowadays wamejiregeza... as long as uko na nguvu sister ingia mjei....katakata mboga....krnyans mko uko kukememea watu wako gulf na mnaona venye madada zetu wanateseka uko....watu wajikubali na wajitume...watu wajitolee kufanya kazi
@immaculatembogo9045
@immaculatembogo9045 2 жыл бұрын
I'm speechless....more hugs dear🫂🫂❤️❤️❤️
@Anaana-jl5kg
@Anaana-jl5kg Жыл бұрын
Wow😢❤❤❤So sorry for the situation you find yourself in. Hang in there🙏🏽
@gomezokpala7956
@gomezokpala7956 2 жыл бұрын
Well done Yvonne (hope I spelt your name well). Your program is truly a powerful one... Keep it up!
@catemumbua2610
@catemumbua2610 2 жыл бұрын
I don't think it good to judge people wi the way they are....this lady is okay coz she has come out for her story
@judyroth8928
@judyroth8928 2 жыл бұрын
Lol🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️,,, confess and follow GOD Ma .Asie sikia la mkuu huvunjika guu .pole sana mrembo
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
I will dear
@sonitabaraka
@sonitabaraka 2 жыл бұрын
Just Roth, lol means laughing out loud. Sasa nikulize, unacheka Nini? May be you didn't know, now you know.
@judyroth8928
@judyroth8928 2 жыл бұрын
@@sonitabaraka whats your Problem ..mind your own biz
@karuruchoroke4374
@karuruchoroke4374 2 жыл бұрын
You have a nice name mom, God will see you through.
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
Thanks dear
@bosslady282
@bosslady282 2 жыл бұрын
Wewe unasema Miezi miwili😅😅Mimi nilikaa miaka miwili nikisubiri safari ya Saudi 🇸🇦 bt at long nilikuja na Niko Saudi and am happy Mungu asaidie
@najmaomar83
@najmaomar83 2 жыл бұрын
I wish she listened to her mom telling her not to go to Saudi arabia
@lucywambui42
@lucywambui42 2 жыл бұрын
Why do they keep going there even wakiona red flag from others. Wafanye kazi Kenya wawache pesa ya haraka that's why they are suffering. Kenyans are very proud na wajuaji and in the gulf hawapendi hivyo.
@elsiesagalla8724
@elsiesagalla8724 2 жыл бұрын
Just shut up..who told u gulf ni pesa ya haraka..kaa ujui kitu nyamaza
@magdalenewanjiru1011
@magdalenewanjiru1011 2 жыл бұрын
Ww nkama ulibahtika si kila mtu yuko kama ww so nyamaza ka huna la maana
@fridahkarimi5510
@fridahkarimi5510 11 ай бұрын
RUDI KWA MAMAKO NYUMBANI. Rudi kwa mungu ni wewe anatafuta. Enda ukakae na mamako kuliko kujiuza na usaidie your mom kumtumikia mungu. You needs Deliverance from past and spirit of Death which keeps ringing in your mind. You needs to be set free from hardships and sexual immorality,heri uende kwenu ukae na mamako na watoto wako ukamtumikie mungu kanisani. Kuna spirit inakutuma tu kwa kufanya mabaya na kufanya kazi zenye hazimpendezi mungu.
@bikoflavious2903
@bikoflavious2903 2 жыл бұрын
This lady will always suffer because she is very impatient....kuwa na subira
@Cynthiashiko-j
@Cynthiashiko-j 2 жыл бұрын
Exactly
@favouredone622
@favouredone622 2 жыл бұрын
Laana za watu ndio zinamkula, alipe watu pesa zao alizowakon ndio mambo yamuendee poa.
@eebonyannajonesf8367
@eebonyannajonesf8367 2 жыл бұрын
who are you to judge what will be of her!!! only God know.. i pray blessings upon her life
@justiceodhiambo6334
@justiceodhiambo6334 2 жыл бұрын
Musifanye turopokwe hapa wacheni uwongo tunaweza agusha kibonoko
@vincentmatolo6241
@vincentmatolo6241 2 жыл бұрын
Mungu akusaudie dear sister hadi ukue na maisha
@kigendorry6854
@kigendorry6854 2 жыл бұрын
Elikah pole sana mummy, Ama kweli maisha ni ngumu tuu sanaaa. So sad story.
@wycliffekiverenge
@wycliffekiverenge 2 жыл бұрын
Hizi doo za kujiuza 3 thao hazitoshi usave madam. Y this ladies
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 2 жыл бұрын
Nifundishe kunyamaza nisije jibu nikakukosea Mungu
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 жыл бұрын
🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
@judynyantika1981
@judynyantika1981 2 жыл бұрын
Pole my dear sister vumilia kama naomi mali tutapata tu kwa imani
@esthernzila4636
@esthernzila4636 2 жыл бұрын
Mungu akuhelp siz
@vellamonyangi7169
@vellamonyangi7169 Жыл бұрын
Jitume mama you are still young
@abbiekale8387
@abbiekale8387 2 жыл бұрын
you are lucky waaa you took video with Arabs child.
@hanielchomba
@hanielchomba Жыл бұрын
Sasa,mnaenda Saudi na mnasikia vile kulivyo,pateni mshahara wa mateso
@reerawisa
@reerawisa Жыл бұрын
Please help those in needs
@jessicahsally8661
@jessicahsally8661 2 жыл бұрын
Just pray girl
@esthermbuta7729
@esthermbuta7729 Жыл бұрын
Why is your mind always focused on prostitution...Hustle ni mingi mummy..secondly internet never forgets...your kids will come to see this one day...iwe ulikua unadanganga au la😢
@lenahsimon
@lenahsimon Жыл бұрын
May God hear her cries
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 2 жыл бұрын
Mwanamke huwa mwerevu kutoka mwanzo, hufaulu na ni faida kwa maisha yake. Hawa wanawake walio faulu walijanjaruka mapema. Mwanamke akiwa mjinga kutoka mwanzo, huwa hapati tena nafasi ya kuerevuka. Akifikisha miaka 40 kama bado mjinga, it is over.
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 2 жыл бұрын
@@aishachambo8663 thank you for standing with me
@slyviahWambui1779
@slyviahWambui1779 2 жыл бұрын
Please tuelimishe..kuliza si ujinga
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 2 жыл бұрын
@@slyviahWambui1779 ask that question to those women who made it in life
@azizalaobaid7520
@azizalaobaid7520 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣hii life aki ni ngumu
@FlorenceFlorence-um9eo
@FlorenceFlorence-um9eo Жыл бұрын
Dear you very young sana kufanya hizi vitu
@amandal1450
@amandal1450 Жыл бұрын
C saa hukuwe ata missmboch than kutukana mwili wako?😢😮ata hizo pesa umepata, uza mandazi etc fanya kwa hoteli
@eebonyannajonesf8367
@eebonyannajonesf8367 2 жыл бұрын
It so sad agents kenya wanafungia wasichana during hiyo training 😳😳😳
@Joybigothesongbird
@Joybigothesongbird 2 жыл бұрын
Prayers first,the rest can follow
@mercymurithii8046
@mercymurithii8046 Жыл бұрын
Nimekuama hapo kwa food na chakula na 500
@simongitu7311
@simongitu7311 2 жыл бұрын
Huyu ako na tamaa yakujiuza nakupata pesa ya haraka.she needs deliverance from those evil spirits
@jerem4964
@jerem4964 2 жыл бұрын
C kupenda kwake...ni shida we
@miriammichael6759
@miriammichael6759 2 жыл бұрын
@@jerem4964 ata kama ni shida ata sisi tukona shida bt lazima tujitume kuhiuza sio options
@linam1997
@linam1997 2 жыл бұрын
Huyu alikua kemboi tu 🙈🙈🙈end of story
@nancytera6444
@nancytera6444 2 жыл бұрын
Sure?
@linam1997
@linam1997 2 жыл бұрын
@@nancytera6444 yes very sure muulizeni vizuri Tu atawaabia ukweli pole pole
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 2 жыл бұрын
Kemboi ni nn?
@dahlia_sutton
@dahlia_sutton Жыл бұрын
@@carolinenjoroge9092 😂
@lydiahmogire4518
@lydiahmogire4518 2 жыл бұрын
Me siwezi amini wakenya 🤣🤣🤣wengi ni waongo
@lynnfleity3903
@lynnfleity3903 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kwanza hawa wametoka saudi😂😂 wametumia boyfriend pesa time ya kurudi home hawana kakitu so wanaamua kwenda social media
@njuhinyararaofficial
@njuhinyararaofficial Жыл бұрын
In this life,please learn to be sincere.Always tell the truth.Lies always come back to haunt you.
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 2 жыл бұрын
Polesana.Hopefully you get some mentor.Well wishes to you and family
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 2 жыл бұрын
Uyu ni muongo aki si useme ukweli tu jamani
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 2 жыл бұрын
Hiyo life umepitia unajiuza waa .uza food grocery .
@Sarah-pq7wx
@Sarah-pq7wx 2 жыл бұрын
What they don't realize is that lots of young girls join the business...thus spoiling the soup ..But Voi Kuna Organization in promot wenye hawataki Tena prostitution...Akina Pastor. . Mukoooo wapi 🔊🔊🔊
@thukusimon
@thukusimon 2 жыл бұрын
Uko na haraka ya kupata soft life sana mama bt kila kitu hukuwa process.I worked kazi nalipwa 7k for more than a year
@hanifajuma6121
@hanifajuma6121 2 жыл бұрын
Hujawai tafuta kazi ikazunguka miaka bila kupata job, mimi siwezi mjudge.
@esthermuthoni5358
@esthermuthoni5358 2 жыл бұрын
May the heavenly father meet you at the point of your needs people may take you negative and not understand what you are going through I know it has take a lot of corage to speak out your heart baby girl don't give up on yourself Jesus Christ loves you and today was your tanning point. May the Lord Jesus show you fever I believe all will be well with you Amen
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
Amen lovely sis
@mercyjeruto
@mercyjeruto 2 жыл бұрын
Small business that pay now in kenya
@kingangichamasii266
@kingangichamasii266 2 жыл бұрын
Sasa mnataka tufanye nn surely na mkiambiwa hamsikii???
@hannahw4769
@hannahw4769 2 жыл бұрын
True.
@auntiepiarants2238
@auntiepiarants2238 2 жыл бұрын
Akili ni nywele kila mtu ako na zake. Let me shut up today..God bless
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 2 жыл бұрын
"Knowledge is like hair everyone has a unique set"
@ellvinkerubo6365
@ellvinkerubo6365 Жыл бұрын
Jitume dada kazi ni kazi Tu
@rosehabuthe8188
@rosehabuthe8188 Жыл бұрын
We do all things through Christ who strengthens us take hert
@elizabethwairimu6111
@elizabethwairimu6111 2 жыл бұрын
Kuna kitu na huyu dame complicating.yeye tu ndie ajisaidie.ushauri wangu ni arudi kwa mamake yake anzie hapo
@Misharyo
@Misharyo 2 жыл бұрын
I don’t understand her language but watching the video and seeing her TikTok videos she seems happy while she was there. I’m not sure if this reflects the title of the video as “the story of her struggle” but anyway why not show what she was struggling with instead of showing her dance moves?
@sharoneatieno4903
@sharoneatieno4903 2 жыл бұрын
I have grown up and schooled with her, she is my aunt. May God's will be done
@gracenasike
@gracenasike 2 жыл бұрын
Touch a cc for caption, it's easy
@elizajacob1
@elizajacob1 2 жыл бұрын
In tiktok people don't specifically display the problems they undergo due to most Arabic Bosses are watching the videos.!!!🤔🙄like mine
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 жыл бұрын
Maybe its her therapy?
@dorothykhalenyah1182
@dorothykhalenyah1182 2 жыл бұрын
Yvonne yawa pea mtu time ya kujieleza vizuri wacha kuuliza Liza maswali
@malkiachibungu3128
@malkiachibungu3128 2 жыл бұрын
Finally umeona pia
@YvonneKawiraTuko
@YvonneKawiraTuko 2 жыл бұрын
Okay thank you for your feedback.
@virginiandungu1158
@virginiandungu1158 2 жыл бұрын
Was kujiuza the last thing.c hadi mjei unaweza fanya au uzungushe melon aaaiiii!bona.pia cc ni single mothers.mkono ju wanawake kujituma.kuna wenye huwa wanajiuza na ukiskiza story yao enyewe unaona angefanya hivo tu,but huyu zii
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 2 жыл бұрын
Tafuta kazi hata ndogo .waa kujiuza sio kumaliza shida ndio unaongeza shida .
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 2 жыл бұрын
Ur past is still working for u so u need deliverance
@Simply-mariah2
@Simply-mariah2 2 жыл бұрын
Huyo ni mtoto wa muarabu mnaanika?😉
@ramakrishnap1190
@ramakrishnap1190 Жыл бұрын
May our Lord Jesus Christ help this Lady by all means.
@wendymwaniga9816
@wendymwaniga9816 2 жыл бұрын
Hakuna place poa Kaa Mombasa,you can start from anywhere,uza chai,uza maji,uza mogoka,Wacha prostituteion isikuwe excuse, ulizia kazi za hoteli
@josphineidodo9654
@josphineidodo9654 6 ай бұрын
Mwambie kabisa....
@simongitu7311
@simongitu7311 2 жыл бұрын
Pple don't know that in Saudi you should stay with your passport
@bonitakujinga1545
@bonitakujinga1545 11 ай бұрын
Apparently the employers take it from you. Worse in Dubai even those working for hotels iiiiiiiiiii
@clarahaggie9293
@clarahaggie9293 2 жыл бұрын
Pole elica.. May God answer your prayers but please go for deliverance
@elicahakungwi
@elicahakungwi 2 жыл бұрын
I will
@abdulfatahcassim6259
@abdulfatahcassim6259 2 жыл бұрын
ame miss manyaru za shitsitswii
@janephermaria8697
@janephermaria8697 2 жыл бұрын
Hahaha shitsitswi khandi 😂
@marymosoti372
@marymosoti372 2 жыл бұрын
Lakini elikah utakam kuniua one day🤣🤣🤣🤣after kukaa saudia umenda tuko news jeso l hope munajua story yake yote🤔🤔🤣🤣🤣
@nancyngugi6040
@nancyngugi6040 2 жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣🤣🤣 waah
@serahomwoyo8012
@serahomwoyo8012 2 жыл бұрын
😹😹😹😹😹😹😹 mwongo hyu
@loisaclementine1826
@loisaclementine1826 2 жыл бұрын
Niambieni story yake kwani anadanganya au😂😂
@barazajawa5290
@barazajawa5290 2 жыл бұрын
Nlikusaidia ukilia Saudia sai Una nguvu ya kucheka
@loisaclementine1826
@loisaclementine1826 2 жыл бұрын
@@barazajawa5290 kwanini watu wa saudi wanasema unadanganya
@thecomingmessiah7886
@thecomingmessiah7886 2 жыл бұрын
May God remember you turn away from sexual sin
My mum chose my violent dad over me | Tuko TV
57:41
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 26 М.
I returned from Saudi with no phone, no passport and no money |Tuko TV
32:06
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 461 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
HOW I ESCAPED MASS RAPE & DEATH IN SAUDI ARABIA AFTER 3MONTHS ONLY!!!
1:15:48
Kenya Diaspora Media USA
Рет қаралды 178 М.
I can't bring my wife's bоdy from Saudi Arabia | Tuko TV
27:54
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 232 М.
I was almost kílled by my employer in Jordan || Rosemary Buyanzi
1:04:38
Shared Moments with Justus
Рет қаралды 421 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН