I WANT MY DAUGHTER AND MY GRANDSON BABA LINDA BREATHES FIRE AS HE NOTICES THAT LINDA WAS MISSING💔

  Рет қаралды 13,825

True K TV family

True K TV family

Күн бұрын

Пікірлер: 437
@faithmurila9359
@faithmurila9359 10 күн бұрын
I love this girl,, very humble 😍piga like if you agree
@مريماسماعيل-ق7ب
@مريماسماعيل-ق7ب 10 күн бұрын
Am Amanda kwa gavana baba derick
@jehovahelgibortv9252
@jehovahelgibortv9252 10 күн бұрын
This man seems to know everything
@sarahkisakye1561
@sarahkisakye1561 11 күн бұрын
This man is on mission .
@Wilky254
@Wilky254 10 күн бұрын
💯
@DalvineNafula-q2f
@DalvineNafula-q2f 10 күн бұрын
It's true that's why wanajaribu kila njia
@Sarah-h3k8v
@Sarah-h3k8v 10 күн бұрын
This man is on a mission, let him go pls
@rosekemunto-bg3zs
@rosekemunto-bg3zs 10 күн бұрын
Huyu anajiita baba Linda yeye ndiye wamemjukua,so anajua everything atoke hapo aende waachane na true k family.Shindwa katika jina la yesu🔥🔥🔥🔥
@sarahkisakye1561
@sarahkisakye1561 11 күн бұрын
Jay's family is at a High risk. Too bad , we need to pray for them guys.
@mukotee
@mukotee 11 күн бұрын
Bella asisumbuliwe na watu.mungu kumbuka huyu bella mahali alipo
@EstherMmata-u5q
@EstherMmata-u5q 11 күн бұрын
Hivi ni vita vikubwa kwa Linda but I know God will never leave you , The Egyptians you are seeing today , you never see them again
@Priscah-d8s
@Priscah-d8s 11 күн бұрын
Huyu ni mbwa ati mtoto wangu
@maryasami7951
@maryasami7951 10 күн бұрын
Exactly, anauliza mtoto wake, Bella tell this idiot mtoto ni under eighteen yrs, her daughter is above that and she can make her own decisions, huyo mtoto anasema alimkana kabisa, mjukuu anauliza alisema amekufa , This guy anataka kichapo cha mbwa msikitini
@Brenda-xl2ow
@Brenda-xl2ow 10 күн бұрын
Mimi nashidwa kwani ni mtoto wa miaka mbili ama
@MarygorettiWafula
@MarygorettiWafula 11 күн бұрын
Mungu kumbuka bella ,,,God first
@dianahmutuku5157
@dianahmutuku5157 10 күн бұрын
Bella........❤❤i have nothing to say but may God always be by your side and your family ❤
@constanciagesare1706
@constanciagesare1706 10 күн бұрын
Am suspecting Linda kama aliona password ya true k yeye ndio alipeana.We informed Jay to sanitize Linda amkuskia
@wilkstermunyao8284
@wilkstermunyao8284 10 күн бұрын
@@constanciagesare1706 I suspect Junior though
@DamarisKariuki-s3q
@DamarisKariuki-s3q 10 күн бұрын
True
@dorcaswairimu697
@dorcaswairimu697 10 күн бұрын
Junior know everything about truck channel
@cathrinemwangi3840
@cathrinemwangi3840 10 күн бұрын
point noted, linda anajua kila kitu
@naommariga4814
@naommariga4814 11 күн бұрын
The way this nyangau is talking he knows everything,
@elizabethwachira4718
@elizabethwachira4718 11 күн бұрын
Exactly
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 10 күн бұрын
Imagine imeingia immediately because he is on that process ndio achukue mtoto they will sacrifice both Mungu angalie kati @naommariga4814
@lydiarugut8232
@lydiarugut8232 10 күн бұрын
Bella pole mrembo wangu huyu Linda amekua mzigo kwenu
@EstherMmata-u5q
@EstherMmata-u5q 11 күн бұрын
This are pretenders, they kidnapped Linda , even the letter itself sounded their was somebody behind ,it wasn't Linda
@JosephineOndu
@JosephineOndu 10 күн бұрын
I support you...I have been thinking of the same thing. I Don't think if it is Linda who wrote that letter. I think ata akina kevo are behind this..and Linda might be in trouble and baby jayden. It really pains me if the letter can be true then Linda ameturudisha nyuma sana. I pity that baby foe real...Tamaa ya wazazi inafanya mtoto ateseke
@Phirissarange6757-r2b
@Phirissarange6757-r2b 10 күн бұрын
Mjukuu, mjukuu, mjukuu, hauna aibu shetani na unajua kule Linda ameenda walahi may God come through this situation
@lenismokeira5056
@lenismokeira5056 11 күн бұрын
Linda nikama alikuwa mtego kwa jay na ilikuwa ni mipango wa governor
@charitynyandika7231
@charitynyandika7231 11 күн бұрын
Kwani linda ni mtoto the best thing uliacha notice
@Gemomu
@Gemomu 10 күн бұрын
Pole sana true k family and pastor Nancy na fans wa true k,saa hii Linda anakaa soft life na wengine wanaumia,mungu akuone Linda umekosea mbingu na nchi😭😭😭
@lydiarugut8232
@lydiarugut8232 10 күн бұрын
Msichana Linda ni tamaa sana,yeye in devil worship pia
@sherrykriss
@sherrykriss 10 күн бұрын
Amekosea Sana atahana asante.
@sweetheart6813
@sweetheart6813 11 күн бұрын
Bella maombi tu ndio muhimu ,alimkana mtoto wake mbele ya camera ,hawataweza family ya true k mungu amewazingila na damu yake kwa jina la mungu,mwana na roho mtakatifu, ALL WE SAY AMEN 🙏
@immaculatemushira8192
@immaculatemushira8192 11 күн бұрын
Eeiiish spare Bella the drama of your daughter and grandson,your daughter isn't a minor and she stated very well someone is supporting her and she's safe go look for her there not in this office
@Princessamor97
@Princessamor97 10 күн бұрын
Mama ama Mtoto go to police station and report
@TobetobeTobe-c9i
@TobetobeTobe-c9i 10 күн бұрын
Asante ya punda ni matege
@TobetobeTobe-c9i
@TobetobeTobe-c9i 10 күн бұрын
Ww na mtoto wako mko na akilibya kufanana, no thanks na mmeletea j mashida mingi na hamuoni
@lillianngugi4546
@lillianngugi4546 10 күн бұрын
He knows where Linda is. Wako kimoja woooote kevo, gavana hili libaba. All these pple are one. They know where Linda is PERIOD!!!!
@gladyskavinya
@gladyskavinya 11 күн бұрын
True K family its the time you need prayers hapa kuna kitu fiche sana. How comes after tu linda kusemekana amepotea ndio tu immediately wanarudi tena kwa studio to confuse you people. These peoples phones should be sanitised please please and dont entertain them Bella even if its content creation please your life is very important.
@dorcaswairimu697
@dorcaswairimu697 11 күн бұрын
Am asking kwani alipotea Tena
@lenahkimani9088
@lenahkimani9088 10 күн бұрын
They watch all the episodes
@hannahKarandini
@hannahKarandini 10 күн бұрын
Linda ako na gavana mahali yuko.
@joycewainaina4819
@joycewainaina4819 11 күн бұрын
Huyu baba ni very evil he sounds like he knows where Linda is,he came to investigate whether kina Jay knows their plan.Linda is about to be sacrificed to serve the devil through this evil dad.Bella huyu anakuchocha tu,throw him out.
@rosechelangat330
@rosechelangat330 11 күн бұрын
Huyu mzee anajua so asituleetee😊
@VioletMasega
@VioletMasega 11 күн бұрын
True
@cynthiaadonai6309
@cynthiaadonai6309 11 күн бұрын
Huyu Mzee tangu day alingia kila kitu kiliaribika
@LonahChemutai-le7rx
@LonahChemutai-le7rx 11 күн бұрын
Ishindwe kabisa 😢😢...which dota nd yet he denied before
@elizabethwachira4718
@elizabethwachira4718 11 күн бұрын
Huyu analindiwa "mtotoi she under 18 ?/mjukuu mgani ?" This man has an agenda .
@LavinahMasibo-xr6vw
@LavinahMasibo-xr6vw 11 күн бұрын
I support you he has an hidden agenda
@RuthNekesa-g6i
@RuthNekesa-g6i 10 күн бұрын
Huyu mzee anafikiria kama suruali yake ya ndani....aliacha Linda Kwa Jay,Kwani ni yeye alileta Linda Kwa Jay? Kama kusaidia mtu ni hivo acha ikae💔
@DalvineNafula-q2f
@DalvineNafula-q2f 10 күн бұрын
It's true
@constanciagesare1706
@constanciagesare1706 10 күн бұрын
Bythe way let this people leave j alone it seems wako na Governor.Linda anapenda pesa kumbe n ukwel she loves money as the way his husband said.so hurting but True k family may God protect you and cover you.
@malkia006
@malkia006 10 күн бұрын
Zaidi nahurumia bby jayden malaika wa mungu hajui chochote knaendelea Mungu amupiganie uyu mtoto aki
@luckiestmeckson2222
@luckiestmeckson2222 10 күн бұрын
Bella pole but mungu atafichua sili wanazo ficha
@adelaidemary5514
@adelaidemary5514 11 күн бұрын
Kwani Linda ni mtoto 😢😢😢😢hawa watu upande wa bwana na upande wa kina Linda wote ni illuminati wanataka kutoa Linda sacrifice na mtoto wake, huyo Linda ashatupiwa Pepo haezi badilika wacha atoke kwa maisha yenu
@DalvineNafula-q2f
@DalvineNafula-q2f 10 күн бұрын
It's true then ito koti yke inakaa nyoka
@marthamacharia6097
@marthamacharia6097 10 күн бұрын
This man is on a mission
@teresakarugu9932
@teresakarugu9932 11 күн бұрын
Missing how she wrote a letter with sober mind
@VioletMasega
@VioletMasega 11 күн бұрын
Huyu mbaba knows everything and what is going on,, how comes then amekuja haraka hvo atty anataka Mtoto wake,,, waache kuleta ujinga hapo
@providencekusinza7122
@providencekusinza7122 11 күн бұрын
Uyu baba naye anajuwa wapi mtoto wake ako ana badirisha maneno mara ooooh nilikuja tu Nairobi mara ooh nili kuja Kuchukuwa mtoto mara oh oh
@dancanomwenga1987
@dancanomwenga1987 10 күн бұрын
This mzee was in a mission and this will still fight back if you all dont call our pastor to continue praying for every stuation
@ZenyGold-g7h
@ZenyGold-g7h 10 күн бұрын
Bella uyo baba awacane na mambo ya kuwavuruga kicwa Uyo Linda ni mtu mzima Kama kaondoka kaamuwa mwenyewe
@Chris.711
@Chris.711 10 күн бұрын
Jay iteni linda kwa studio mumuachaniche hapo na babake
@marywanjikukaranja1439
@marywanjikukaranja1439 10 күн бұрын
Iam so so our bella for all that has befallen you..know that we love sweetheart, praying for you and jay and all shall be well in Jesus name
@SHARONKOSGEI-i9i
@SHARONKOSGEI-i9i 10 күн бұрын
Shida ya linda ako na kiburi na tamaa
@lillianngugi4546
@lillianngugi4546 10 күн бұрын
Tamaa itamnaliza
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 10 күн бұрын
He is the part of the Game he has been watching ,where did come out immediately, They still want Jayden for sacrifice to finish the mission
@JosephineOndu
@JosephineOndu 10 күн бұрын
Yeah..this is true..mbn ajitokeze tu leo kuchukua Linda.. this man knows what is going on..and I guess that letter is not written by Linda..
@beaticeMwani
@beaticeMwani 10 күн бұрын
Ilike the way bella handle things very mature and reasonable
@CatherineGichuru-s3s
@CatherineGichuru-s3s 10 күн бұрын
Baba Linda is working together with master of masters. He sacrificed Mama Linda and his young sibling 😢😢
@nkwabi1201
@nkwabi1201 10 күн бұрын
Bella, please; Huyu mtu asiwasumbue, asiwaletee shida alizozitaja mwenyewe. Hakumwacha Linda mikononi mwa Jay kwa makubaliano, wala hakukuwa na ahadi yoyote ya kumchungia mtoto wake. Linda alimkataa baba yake waziwazi, na hata hakutaka kumwona; asiwasumbue tafadhali, stand firm, asiwababaishe! Kama anamtafuta aende polisi. And Bella, siyo kila swali linafaa kujibiwa, huyu mtu ana tabia mbaya sana ya ku-divert msimamo wa mtu na kutaka mambo yake. Tafadhali sana, avoid him.
@viviananyango4180
@viviananyango4180 11 күн бұрын
Huyu Linda is so ungrateful vile jay amepitia kumsaidia,,😢 alafu saai she has the audacity to say she's financially stable, after everything,shame on her😢😢 please jay ,Bella, and mom, leave Linda alone yeye si. Mtoto sache kuwapa stress
@esthertheuri985
@esthertheuri985 10 күн бұрын
They should not even look for her,it's too annoying, she's ungrateful
@Princessamor97
@Princessamor97 10 күн бұрын
I saw since thank God umejionea see what Jay is going through bcoz of her now and she took off
@viviananyango4180
@viviananyango4180 10 күн бұрын
@esthertheuri985 the way I used to shade tears everytime I see her crying,,and now she can do this 😔 enyewe Asante ya punda ni mateke
@viviananyango4180
@viviananyango4180 10 күн бұрын
@@Princessamor97 Mimi kwanza ameniboo tu Sana,,so materialistic woman hafikirii hasta junior saai Ako dévo juu yake
@JosephineOndu
@JosephineOndu 10 күн бұрын
It's really annoying..this lady is really ungrateful if she can do that.but I pity baby jayden.why must that baby suffer because of the sins of his parents..it's really painful
@luendosabah2047
@luendosabah2047 10 күн бұрын
Baba Linda toka hapo wende police 👮‍♀️ ufunguwe case!!!!
@RhodamusauMusaurhoda
@RhodamusauMusaurhoda 10 күн бұрын
we mzee achana ja jay amesaidia penye ameweza mtoto wako ni kichwa gumu
@AnnNjoroge-xn8ml
@AnnNjoroge-xn8ml 9 күн бұрын
I love this gal😂😂
@claudiasasha
@claudiasasha 11 күн бұрын
Pole true k family ,mungu atawapigania ,mnipitie nawapitia pia ❤🎉
@valerie9198
@valerie9198 10 күн бұрын
Yeye baba Linda hakusikia Linda amepata opportunity enye haiwezi tupwa ameenda kuitumia vizuri and she is over 18yrs.
@DaianaMakangai
@DaianaMakangai 10 күн бұрын
Usipeane jaiden 😢😢😢 hadi mamayake akuwe , naona huyu mzee ametumwa kuchunguza. N nn inaendelea. Xo wacheni na yy 🤔🫣
@HellenNafula-t6u
@HellenNafula-t6u 11 күн бұрын
Bela achaneni na linda atawaletea shida kubwa si amefwata pesa wacha zimsaidie bahati huja mara moja lieve her alone
@frashiamuthonimwangi7020
@frashiamuthonimwangi7020 10 күн бұрын
ata huyu bake Linda ni moja wao illuminate walikuwa wsnataka hivyo Linda aende kujukalisha Ndio wachukue jayden😢😢
@KalekyeElizabeth
@KalekyeElizabeth 11 күн бұрын
Uyo baba anajua Linda ako wapi nikuwachanganya
@godyrtv9188
@godyrtv9188 11 күн бұрын
I suspect so too
@muasyairene7626
@muasyairene7626 10 күн бұрын
Hii pepo na Bibi yake washaamchukua kama Linda sio muombaji to hell with him because ni mtamaa ya pesa.pastor Nancy alisema Linda walipanga kumtoa Jayden na Mme wake .wakati alikua anaomba roho WA mungu akaingia.
@Vymo-lv9cu
@Vymo-lv9cu 10 күн бұрын
Huyu mwanaume ni kama anajua kitu kinaendelea
@marymutavi
@marymutavi 11 күн бұрын
Mtoto mgani ,muache kusubua True k fmly muede kwenye mulimtuma kwa wenzenu masters of masters
@wambuiannah1034
@wambuiannah1034 11 күн бұрын
Bella clever girl i like how you are belka roho safi mama hiyo poke itafanya mzee atulie
@naommariga4814
@naommariga4814 11 күн бұрын
Hii shenanigans yamwanaume ishindwe katika Jina la yesu kristo
@werelawrence4686
@werelawrence4686 11 күн бұрын
unaweza dhani eti Linda ni katoto kadogo
@BeatriceWangui-r9w
@BeatriceWangui-r9w 10 күн бұрын
Mimi die nilikua natetea Linda na sasa nasema muwachane na yeye sasa
@gladyskavinya
@gladyskavinya 11 күн бұрын
We can see Linda wrote a letter of which we dont know whether she was in her sober mind or not and cannot judge her coz illuminati thing is not something to play with. Be prayerful True K family and God will see you through. God first hawa wengine ni mapito tu.
@rosekemunto-bg3zs
@rosekemunto-bg3zs 10 күн бұрын
Hii nyangau inashinda ikisema mtoto mtoto ,mtoto mgani?huyo mama ndio anashindia kwita mtoto.Huyu mwanaume ndiye alifanya huyu msichana kurandaranda.Na achue huyo msichana wake anapebda pesa sana luminati mkubwa huyu .Bella achana na hiyo family move na vitu zingine
@rosekemunto-bg3zs
@rosekemunto-bg3zs 10 күн бұрын
Place Kiko kina watch kiambie hicho kimsichna warudishe channel na huyo Mzee wake waendelee na uluminati wao.
@PhilisKundu
@PhilisKundu 10 күн бұрын
Mungu alete Linda aki
@LilianKanana-r5o
@LilianKanana-r5o 10 күн бұрын
This nighae knows everything...aache kuwasumbua
@annkiilu2510
@annkiilu2510 11 күн бұрын
Kwani Linda mtoto mdogo alijitoa mwenyewe na alimuachia ulimwengu akamtafute ulimwenguni. Pole Bella.
@RozzyOush-ub8bn
@RozzyOush-ub8bn 10 күн бұрын
Usiamgaike mam,huyo Mzee ndo Ako na Linda amelija kuinvest kwenyu msipoangalia....atawasumbua...
@AnnNjeri-yy1hr
@AnnNjeri-yy1hr 10 күн бұрын
Huyo ako Kwa mission
@WinnieMcool
@WinnieMcool 10 күн бұрын
Sahihi ndio amejua kuhusu mtoto wake na alimkana!???he knows everything
@ashleymax280
@ashleymax280 10 күн бұрын
Huyo baba lida ni mujinga sana tena sana
@dianahmutuku5157
@dianahmutuku5157 10 күн бұрын
Linda whatever you did is not worthy and nothing justifies your actions..... KARMA is a serious woman Linda.....tafakari
@AishaElizabeth-j6h
@AishaElizabeth-j6h 10 күн бұрын
Guls where is Linda exactly at governors place or 😢 like serious Linda 🤔 Mungu have mercy to baby Jayden 🙏
@DorisMutuku-pz3ww
@DorisMutuku-pz3ww 10 күн бұрын
Wah io jacket weh if Linda amepotea is her fault juu she knew all this then y didn't she stay and obey mama Derick wah too hard for jay and Bella we are sorry you will overcome
@Sarahsnafulawamalwa
@Sarahsnafulawamalwa 11 күн бұрын
Hiiii familia ni ya kukosana tuuuuu na kila mtu hadi kevo alifumilia😢😢😢😢
@carolmaina7709
@carolmaina7709 9 күн бұрын
Baba Linda pia, twaaaambie, pia wewe ulisemablinda alikutoka kwako akaja Nairobi. The same ametoka hawa, but this time in a spiritual way.
@patrickkirimi7050
@patrickkirimi7050 11 күн бұрын
Kevo alisema vizuri Linda n agent Yao hapa sasa ukweli itajulikana Linda hako katika yao.haki pole to family tv and Mama Derick
@getenserinvestments8045
@getenserinvestments8045 7 күн бұрын
Mbona sioni huyu Mzee vizuri. Something isn't adding up,
@Sophieshaliz69
@Sophieshaliz69 10 күн бұрын
They have won 😢😢 wamejitwalia ushindi😢😢 kama Linda aliamua kuondoka that means mapepo yamewin over this 😢😢😢 I pity jay and the family on whatever that are going through may they find peace and may they win over this but Linda kindly if you came across this comment kindly Rudi kwa office and clarify things and also talk to your father so as to stop disturbing TRUE K family 😢😢😢
@AgnesKamau-h6j
@AgnesKamau-h6j 10 күн бұрын
How do he know that linda is not present so he know more
@immaculatemushira8192
@immaculatemushira8192 11 күн бұрын
Which grandson?the dead one?don't entertain that man tell him to go to police station and report a missing daughter and grandson
@kadetenyar6597
@kadetenyar6597 11 күн бұрын
Huyo Mzee hatoke hpo,,cze wako pamoja n wakina governor,,,vile alikuja Linda akamkata ndiyo akanza kutumana watu,,huyo Mzee anajua vizuri Mali ,,,Linda Ako hawache kutupima waana hapo,,
@MariyaOnzico
@MariyaOnzico 11 күн бұрын
Bella fukuda huyo ngombe
@mercykawira-mp4im
@mercykawira-mp4im 10 күн бұрын
Hio jacket inakaa nyoka weeh
@JackieDeno
@JackieDeno 10 күн бұрын
Enden kwa pastor Joshua atabiri mahali yko
@Berry-v4p
@Berry-v4p 11 күн бұрын
Huyu Baba ndio alisababisha yote, asiwaletea ushetani wake.Siku alikuja tu kwa Office ndio Linda akanza kuchanganikia mara ametoroka, mara kupatana na Governor.
@MwanaidiNguluma
@MwanaidiNguluma 10 күн бұрын
Ulisema mjukuu alipass....kwani alifufuka?????mzee mfupi mweusi mnono mpumbavu stop stressing our family director j❤
@ElizabethAkacho
@ElizabethAkacho 10 күн бұрын
Mungu awapiganie 🙏🙏🙏
@AgnesKamau-h6j
@AgnesKamau-h6j 10 күн бұрын
This man is the one who organised the illuminate people after he failed to get his daughter
@patiencemwandairo5434
@patiencemwandairo5434 10 күн бұрын
True ktv and pastor Nancy you did what you did God bless you my people na nasemaa just release Linda in your hearts in good heart mmemsaidia viyakutosha she recovered her son pastor and Jay did all they could prayed fasted for her untill Jayden recovered kabisa,anyway si kwa ubaya Linda ameleta shida kwa true k tv ndiposa channel mbili zimehackiwa just because of her kama mbaya ni mbaya let her go go go asante ya punda ni mateke
@veronicawakonyo7730
@veronicawakonyo7730 10 күн бұрын
mwangalieni kwa governor 😢
@CharlesCharles-d5z
@CharlesCharles-d5z 10 күн бұрын
Huyu mze anataka mjuju mgani na alishamzika
@leahwanjiku3566
@leahwanjiku3566 10 күн бұрын
Pole sana kwa familia ya jay haya ni mambo mangumu sana..but Mungu yuko na jibu
@beatricemona7591
@beatricemona7591 10 күн бұрын
Sasa huyu mzee anablame nani!?
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 10 күн бұрын
Huyo Linda hana shukrani na ajifanya ana hasira Linda alitakiwa amuheshimu jay sana
@JacklineKache
@JacklineKache 11 күн бұрын
Bella huyu mtu anajua mahali ako so asikusumbue kabisa
@floranjeru4704
@floranjeru4704 10 күн бұрын
Am like 😢 you go mzee we feel like vomiting 🤮
@KamikaziSalma
@KamikaziSalma 10 күн бұрын
Minilisema achiliyeni uyo baba apeleke mtotowake asije wakokotea makubwa hamkusikia kama mngesikiya ayoyote yasinge tokea ule Linda alikuwa natama ya pesa sana nakingine alikuwa hajatuliya
@AgnesKamau-h6j
@AgnesKamau-h6j 10 күн бұрын
Hiki kizee kimetimiza mission yake kina kuja kukukonfuse ili kijue kama mnajua vile kimefanya
@stacymutua7401
@stacymutua7401 11 күн бұрын
Baba shetani, Linda is an adult. Nobody is responsible for her but herself. Don't dare stress Bella, we will deal with you. Shindwe pepo kubwa
@sirialemmy37
@sirialemmy37 10 күн бұрын
Director Jay is letting all these problems to his family. He is the weak man. How does baba Linda come just like that and raise his tone on Bella?
@dorcasofficial1698
@dorcasofficial1698 10 күн бұрын
Linda akipatikana mupelekeni kanisani
@Mbangani-yk9fj
@Mbangani-yk9fj 11 күн бұрын
Pole Bella,this man knew Linda is gone and came to bother you, nishetani huyu
Chimwemwe on Brazilian Hair, Marrying A White Man, Demons, Finding God.
1:00:44
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 21 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 58 МЛН
Another reason why Islam fixed my life
15:23
Pierre Richet
Рет қаралды 1,3 М.