IBADA YAKUTOWA MTAWA KWENYE CHUMBA CHA MTO YORDANI L3

  Рет қаралды 51,679

Ernest Production

Ernest Production

3 жыл бұрын

Kwa video 📹 zahidi hungana nami kwenye account ya Ernest production...

Пікірлер: 46
@KamiJohnny
@KamiJohnny 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana wateule wabwana mazabahu takatifu , roho wabwana na azidi kungaa juu yenu. Amen 🙏
@leabulimwengu1032
@leabulimwengu1032 8 ай бұрын
Mungu awabariki sana Amina
@BitaEbengo
@BitaEbengo 9 ай бұрын
Wana wa Mungu mbarikiwe
@thepalaboyfromtz9131
@thepalaboyfromtz9131 2 ай бұрын
Mungu awa bariki
@fistonamani3325
@fistonamani3325 2 жыл бұрын
Napenda sana munaishi Congo fasi gani
@antonykay437
@antonykay437 2 жыл бұрын
Hapo ni Tanzania 🇹🇿
@ElizeMmbanduchi
@ElizeMmbanduchi 2 ай бұрын
Amena kubwa
@ombenikamaganwa5498
@ombenikamaganwa5498 3 жыл бұрын
Hata mukiwa ulaya kumbukeni mahali mumetoka wala musiache msingi wa Mungu ulio jengwa ndani yenu.!!
@olynciamt5592
@olynciamt5592 3 жыл бұрын
Amen mungu awatumikishe zaidi mubarikiwe sana
@ombenikamaganwa5498
@ombenikamaganwa5498 3 жыл бұрын
Mungu awabariki na awawezeshe kupiga vita vilivyo vizuri, na mwendo tuumalize imani tuilinde hadi mwisho!!
@SelaBertha
@SelaBertha 23 күн бұрын
👏👏👏👏👏🎉🎉🎉
@shantaleasanimatu6682
@shantaleasanimatu6682 Жыл бұрын
Amena sana mungu awabariki sana watumishi
@nadegeotshudi8376
@nadegeotshudi8376 3 жыл бұрын
Amen nakumbuka nilipo toka Mungu awa bariki sana wangu
@gracekwizera1826
@gracekwizera1826 6 ай бұрын
Barikiwa
@elizaedward1632
@elizaedward1632 3 жыл бұрын
Amena.napenda hii nyimbo
@kiizamarichela4124
@kiizamarichela4124 2 жыл бұрын
Sisi ambao tuko mbali tunafurahi Sana kuwaona ndugu zetu
@ngakanimapendo1464
@ngakanimapendo1464 3 жыл бұрын
Mungu apewe sifa, nakumbuka siku mudogo yangu atoke mubutawa ilikuwaka fire kabisa. Iyi kanisa iko wapi mû Congo.
@antonykay437
@antonykay437 3 жыл бұрын
Ni wahombaji wapo Tanzania 🇹🇿
@alembeasukulu9849
@alembeasukulu9849 3 жыл бұрын
Que Dieu vous bénisse
@mmbondoglobalnews1958
@mmbondoglobalnews1958 2 жыл бұрын
Hapa watu upoteza maisha Yao na wengine kuingia katika ma blockages,mana vyumba vyote vya mahombi nyarugusu ni uchawi mtupu... Mulahaniwe nyinyi
@sibilinafrank8735
@sibilinafrank8735 2 жыл бұрын
Roho wa Bwana anashuka sehemu safi na ndo maana hashuki hapo
@AshaIrakoze-es2dv
@AshaIrakoze-es2dv Жыл бұрын
Ameen
@mtyona
@mtyona Жыл бұрын
Amen
@byamungukiza4874
@byamungukiza4874 3 жыл бұрын
Na wa miss home, serious home is home, nyumbani ni nyumbani tu.
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 3 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah 😍😍🙏💘🙏
@joshuambise7703
@joshuambise7703 3 жыл бұрын
Jamani kama ni kufurahia jinsi watu wanavyomsifu Roho mtakatifu kwakweli nimebarikiwa sana mbarikiwe sana na nyie pia
@alisafrancois4208
@alisafrancois4208 3 жыл бұрын
Ame😍😍
@mwangazamakala622
@mwangazamakala622 3 жыл бұрын
Amena 😭😭😇😇😇🙏🏾🙏🏾
@beatricejackson3681
@beatricejackson3681 3 жыл бұрын
Good
@PierrekisubiYoussouf-ks9fz
@PierrekisubiYoussouf-ks9fz Жыл бұрын
Mwakolee longée babucwa bose
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 2 ай бұрын
Makanisa gani Haya asili yake niwapi? Maana nimeupokea mshirika anae simulia habari zautawa duhh sijaelewa kabisa alinichanganya jinsi TARATIBU zao zilivyo niliona kabisa kuwa Kuna Sina frani ya maroho frani huwafuatilia watawa Hawa sioni Kama wako sawa ila muñgu anisamehe kwakweli sijaelewa
@sifaasende2215
@sifaasende2215 3 жыл бұрын
Amena amena amena
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 3 жыл бұрын
Amen
@marechalkiduba4788
@marechalkiduba4788 3 жыл бұрын
Amen amen ubarikiwe sana
@fistonamani3325
@fistonamani3325 2 жыл бұрын
Mubarikiwe na mungu
@Ibadananyimbozawakristo
@Ibadananyimbozawakristo 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@abodetidings8392
@abodetidings8392 3 жыл бұрын
what kind worship is this ?
@antonykay437
@antonykay437 3 жыл бұрын
Congolese worship
@christinaasukulu2814
@christinaasukulu2814 3 жыл бұрын
Amen amen 🙏 I miss home kweli
@hashaekyoci5906
@hashaekyoci5906 3 жыл бұрын
Amen 🙏 kubwa sana nime miss sana kweli mungu awabariki sana
@joshuambise7703
@joshuambise7703 3 жыл бұрын
Naombeni kujua ni nchi gani hapo !!!!!
@antonykay437
@antonykay437 3 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@emoalembe4790
@emoalembe4790 3 жыл бұрын
Nyarugusu village L3.
@hafidhali3020
@hafidhali3020 2 ай бұрын
Ukafiri mtupu
@musamsafiri2164
@musamsafiri2164 3 жыл бұрын
Amen
@mauwalulacha3326
@mauwalulacha3326 2 жыл бұрын
Amen
Ibada ya kutowa mtawa kwenye chumba cha mto yordani L3.
28:27
Ernest Production
Рет қаралды 20 М.
Kutoka kwa mtawa Tennessee
30:33
Agness Beloved
Рет қаралды 27 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 23 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
UDUMA YAKUTOWA MTAWA CHUMBA CHA MAMA BAACANA B1   jioneye mwenye apa
1:02:04
Simimi ninasema.waombaji Nyarugusu camp
24:21
Alaki Ibrahim
Рет қаралды 1,2 М.
NURU HAI KWAYA KWENYE PENTECOST 2024 NYARUGUSU FMCT
8:54
Nyarugusu Matukio 255
Рет қаралды 270
Mkutano Wa waombaji - Part 3 - SUNDAY
1:10:16
Umoja wa waombaji USA
Рет қаралды 13 М.
Live concert in Akron Ohio Namb 1.
28:24
Ernest Production
Рет қаралды 471
Ubembe Conference katika sifa na Maabudu
24:20
Ubembe Conference
Рет қаралды 120 М.
Ibada la kutuwa mtawa Ester Tennessee
20:27
WANA WAMANABII ULIMWENGUNI
Рет қаралды 24 М.
Mkutano Wa waombaji - Part 1 - FRIDAY
2:12:46
Umoja wa waombaji USA
Рет қаралды 10 М.
Mkutano wa waombaji Tennesse
22:20
Esther mlinga
Рет қаралды 10 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27