Namshukuru Mungu kupitia wewe nmejua kuomba na yamejibu kabisa siombi kwa kulaumu ninaona baraka za Mungu nyingi katika maisha yangu jamani waoooh Mungu wangu ni mkuu
@EstherLushino6 күн бұрын
Naomba tumshukuru mungu ametenda
@technybit55669 күн бұрын
I need a prayer for healing Spiritualy n my granddaughter
@MahubiriPrMmbaga8 күн бұрын
Am praying for all of you
@MariamBusele9 күн бұрын
Namshukuru MUNGU kwakuniongoza ktka somo hili!!MUNGU akutie nguvu mchungaji mbaga!!!
@MathaJeremia10 күн бұрын
Namwomba Mungu anipatie mtoto katika jina la Yesu🙏
@LENATUSJULIUS-xz1nc9 күн бұрын
Namshukuru Mungu kwa jinsi anavyomtumia mtumishi huyu maana hana ubinafsi kama waabudu jumamosi wengine, huyu anahubiri injiri kwa watu wote, napenda sana kifungu anachopenda kukitumia sana na kondoo wengine ninao siyo wa zizi langu. Huwa kinanibariki sana Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi.
@MarycuronHealthBeauty1234 күн бұрын
Namshukuru Mungu kwa mambo tote aliyonitea kwenye maisha yangu..Asante sana mungu wangu.. Nakushukuru, Nakuabundu Nakutukuza .Amina Leo Nakuomba ewe Mungu wangu .umshikie mwanangu Karl ..damit ya yesu imiminike mwiliini Mwaka.. mfanye atambue zuri na baya.. Holyspirity.. iwe na we . .. aweze kuangalia familia yake yote. Aweze kuzalisha mala mia kutoka alichiwachiwa na Baba yake. Amina. Nakuamini er bwana Hilo limeshatendeka. AMINA.
@BonareriMargaret9 күн бұрын
Pst Mbaga .mungu aendelee kukubariki nishaonana nawe makambi Lagata kenya na nahitaji uuniombee niko na ombi la kimya
@Joy-mm1ut4 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi yaani kila siku napata kujua jambo jipya kupitia mahubiri yako
@LeahObedi6 күн бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji. Mimi ninamaombi kila siku usiku saa 8. maombi haya ni yanahusu familia yangu. hatuna amani kwa sababu ya magonjwa kwa watoto wetu. omba pamoja nami ninaamini Mungu atatuponya.
@Hadithizabiblia11 күн бұрын
Kwa kweli kumtumaini Mungu ina baraka tele
@EstherLushino6 күн бұрын
Tumuombe mungu aruhusu malipo kwa wakati
@DottoMusese-lz1nj5 күн бұрын
Pasta ombi nikumbuke namimi sina mtoto
@KadzoKadzo-n4t10 күн бұрын
Mombi langu naomba mume mwema
@christinamafuru478410 күн бұрын
Bwana asifiwe , mchungaji naomba uniomnee ma mimi na mume wangu tupate mtoto
@Johnsangwa-fz3bt11 күн бұрын
Bonsoir pasteur merci beaucoup pour la prédication, veille vous venir ici aussi au Congo RDC a kolwezi dans la province du Lualaba nous avons besoin de vous vraiment merci beaucoup nous attendons une réponse favorable de vous, vous êtes le bienvenu pour prêche aussi ici.
@hopemakangale159610 күн бұрын
Mungu akubariki Mchungaji nimepokea kitu cha thamani katika somo hili MAOMBI YA SHUKRANI
@luinamasanjuo21985 күн бұрын
Kuna dawa ya asili ya bawasili. Sorry typing error
@modestamarakammbishi112711 күн бұрын
Amen Amen, ,umbarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa mafudisho maxuri
@MariamBusele9 күн бұрын
Aminaaa
@purity13410 күн бұрын
Naomba pastor ukumbuke familia ya mzee Oira kwa maombi magonjwa imezidi hata hamna wa kusaidia mwingine 😢😢
@meshack366411 күн бұрын
wee uliye beba chanel ya watu ushauri wangu,,uirudishee maaana nguvu za Mbingu zitakacho kufanya utakuja toa ushuhuda humuhunu
@MahubiriPrMmbaga11 күн бұрын
IMERUDI TAYARI
@JuliaLumande-r4p11 күн бұрын
Tunasubiri pasta mwenyewe atuakikishie kama imerudi kweli🤔!!
@shukranjulius952611 күн бұрын
@@MahubiriPrMmbagaMungu ameshinda hakika
@meshack366411 күн бұрын
aaaaah habar njema,,huyo ndiye MUNGU mwenye nguvu,amina sanaa@@MahubiriPrMmbaga
@KahayaJoseph8 күн бұрын
Bonjour Dr past David Mmb, asante kwa uduma yako yenye maana inatufarji, inatutibu, na inatu imarisha katika imani bila mashaka, Mungu akulinde .
@bamag-02111 күн бұрын
Rudisha channel ya mchungaji mpendwa, kama unahitaji mahubirri yake ungemuomba ufungue channel yako uyarushe,
@MishaelPondamali11 күн бұрын
Barikiwa sana pastor hili SoMo Huwa zuri Sana hasa Kwa kipindi chetu hiki wengi hawapendi kufanya kazi wanapenda miujiza
@JamcMacay11 күн бұрын
Mshugaji nambarikiwa sana na hayo mafundisho nahitwa James ngei naomba maombi kwa ajili ndungu yangu elijah anasumbuliwa n misimu
@Edinahnyaboke-b9o11 күн бұрын
Amen barikiwa mutumishi wa mungu mafundisho mazuri san 🙏🙏🙏
@fredrickjoseph496211 күн бұрын
Ubarikiwe sana napata tumaini jipya Kila ninapo kufuatilia mtandaoni mungu azidi kkutia nguvu naomba siku moja atukutanishe kama sio hapa duniani basi tukutane ktk Ile siku ya asubuhi njema ubarikiwe sana
@esthergesogwe424011 күн бұрын
Kukuza imani, Kujazwa na a Roho Mtakatifu, Afya njema, na Baraka ziambatane Nami. Haya ni maombi yangu kwa MUNGU.
@kelemanii.m983411 күн бұрын
Naomba ujumbe huu uwaponye hao hackers maana nao ni watoto wa baba yetu aliyembinguni
@elienew378811 күн бұрын
Mchungaji naomba muombee mtoto wanngu kwa jina Francisca salama anasumbuliwa na tumbo la hedhi huwa linamuuma sana
@maryaugustor698311 күн бұрын
OMBI LANGU NI SIMAME KIROHO AMINA HALLELUJAH
@elienew378811 күн бұрын
Asante Sana Mungu azidi kukutia nguvu Mtumishi wa Mungu na uendelee kufunga watu Macho 😢😢
@DotoS1211 күн бұрын
Imerushwa na wahusika au?
@SalomeMoturi11 күн бұрын
Amen pst mm nina hushuuda mwingi nashkru mungu nami naombea wote wagojwa pamoja n mama yangu mgojwa
@YungeMussa11 күн бұрын
MUNGU akubariki sanaa mtumishii
@SylviaBoisabi12 күн бұрын
❤ Amen 🙏
@AlbanusNzyoka-ew4gh11 күн бұрын
Thank you Lord
@valentinedaud11 күн бұрын
Sna uhakika na hii maaan haipo mikono sahh ya mhusika rudisha channel ya watu
Iko mikono salama sasa! Ingia instagram ukaone post
@GeorgeMasuka11 күн бұрын
Tunamshukuru Mungu Kwa kuwa ametenda,kiukweli Pastor watu tulikuwa tukiomba, tukisubiri miujiza ya Mungu katika Hilo,na tumeshuhudia waziwazi Mungu akitenda na hajawahi kushindwa ,hatimaye adui ameshindwa na channel yetu imerejea👏👏🙏🙏🙏