Huyu mzee anajua vitu vingi sana. Allah ambariki, ninafuatilia sana kipindi hiki
@johnirungu99553 күн бұрын
Huyu ni mnafiki anajua ukweli lkn anaingiza uongo na doido nyingi sana. Kwani wale wayahudi waliofanya hawa ashkenazi wabadili imani walienda wapi wote iwe khazar pekee ndio waliobaki
@fahmiy61979 ай бұрын
Asalam alaykum Warahma tullahi wabarakatu sheikh hemed naweza kupata mawasiliano yako tafadhali? Hata email
@ahmedmakame16879 ай бұрын
Khazarian ni Yajujamajuja ndoyo walifungiwa na Dhurkarnain kwamujibu wa quran
@dinocastico84959 ай бұрын
Mzee ana hoja zenye mashiko mno hoja zake zinafanya mtu afikiri na kusadiki
@musakibwana45968 ай бұрын
Ingekuwa bora STA aachwe aeleze mada ya historia iliyo changuliwa hadi amalize ndipo apewe maswali la sivyo hatutamfaidi elimu yake.
@ahmedmakame16879 ай бұрын
Wayahudi wamechaguwa kuhamia Jerusalem kwasababu lengo Lao kutawala dunia kupitia Jerusalem na kumkaribisha Masihi Dajal
@@fahadfaraj6474 wanubi yes walikuwa weusi,, ila Egyptians hawakuwa weusi,, angalia hata preserved bodies za mafarao waliopata kutawala Egypt miaka hyo hawakuwa weusi
@fahadfaraj64749 ай бұрын
@@Excellent1Michael ok kuna time hao wanubi unaokubali weusi walipata kupigana vita toka nile ya chini na wakaweza ingia iyo misri ya weupe na walipata kutawala kwa nyakati flani n mpaka mafarao wakinubi walipata kuwepo pale katika nyakati flani mi nmebahatika Kukaa hapo misri na kuna deep history ambayo wao wenyewe wanasema kuna kipindi walikuwepo watawala hao weusi tena wakinubi iyo inakaaje au tunaiwakaje sasa tikianzia hapo.
@Excellent1Michael9 ай бұрын
Falasha are originated from menelik, ambaye ni mtoto wa mfalme Suleiman na malkia sheba wa Ethiopia. Black jews(falasha) wametoka kwa malkia sheba, sio kweli ancient jews were black
@kazungukakiyo9 ай бұрын
Saasa ikiwa kizazi chao upande mwengine Ethiopian si hao ni black, tena kutoka Africa.
@Excellent1Michael9 ай бұрын
@@kazungukakiyo point yangu ni falasha ni sehem ndogo sana ya wayahudi, ambapo wametokana baada ya pure Jew (mfalme Suleiman) kuzaa na queen Sheba wa Ethiopia. Kwahyo Suleiman hakuwa mweusi wala jamii yake hawakuwa watu weusi
@dinocastico84959 ай бұрын
Andaa mjadala ujenna vielelezo na vigezo. Mabushano ni sehem ya wajinga ila mgongano wa hoja ni sehem ya wasomi
@ThabitBunga20 күн бұрын
Sheikh kasema kasome tarekh (historia) . Kwenye Bible Suleiman anasema mimi ni mweusi ila ni mwenye kupendeza 😅😅😅. Tujitahid tusome