Ibraah ataka kuzichapa na mtangazaji kisa Zuchu

  Рет қаралды 393,018

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

________________________________________________________________________
CONTACT US : 0784661843
_________________________________________________________________________
Instagram / bongo_touch
___________________________________________________________________________
Subcribe for more information

Пікірлер: 488
@lydiakemuntookindo7254
@lydiakemuntookindo7254 3 жыл бұрын
Ibraaa go go.much love from kenya watu waache wivu mostily watanxania
@mfalmetimohyoung3203
@mfalmetimohyoung3203 3 жыл бұрын
Majibu Sawa kabisa. Napenda vile kaka ibrah anajibu maswali. Salute again bro. Maneno ya watu tu, lakini wewe ni wewe
@DynamizeBubune
@DynamizeBubune 3 жыл бұрын
Very very nice one 🙏🙏🔥🔥🔥💓💓💖💖
@dawiyamtangi1107
@dawiyamtangi1107 3 жыл бұрын
Ibra binadamu wanaloho mbya brother piga kazi angalia maisha yako usiwaskilize mm napenda nyimbo zako maana unaimba kwa hisia
@shypretty1
@shypretty1 2 жыл бұрын
This guy is very smart upstairs 🥰much love from 🇰🇪
@nairatykomba7962
@nairatykomba7962 3 жыл бұрын
Ibraaah weeee yaan unajiaminiii mpka rahaaa jamani komesha komesha waandishi kama hawa wenye viherehere. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@middletemboke1531
@middletemboke1531 3 жыл бұрын
I love the maturity in him
@fazilmalumalu2113
@fazilmalumalu2113 3 жыл бұрын
Ibraah unaeza kuwa vizuri kwenye comedy😂😂😂😂
@salomenickson5371
@salomenickson5371 2 жыл бұрын
Safi sana lbraa uko gd
@nurungole3961
@nurungole3961 3 жыл бұрын
Mwandishi ujiheshimu uwe na nidhamu ya maneno. Mungu akupe hekima
@leadertyga29
@leadertyga29 3 жыл бұрын
Amiin
@johnnjuguna5086
@johnnjuguna5086 3 жыл бұрын
Ibraah number moja big up
@faithwema2414
@faithwema2414 3 жыл бұрын
Jamaan wa Tanzania mkiwa mfano kaa wa lbraah💯 Wandishi wenu hao, wa tatiii....!
@dawiny_hsf
@dawiny_hsf 3 жыл бұрын
Ibraah n moto wa kuotea mbali 🔥🔥 #damokiajay from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AyshaSliman-cg8dr
@AyshaSliman-cg8dr Жыл бұрын
ibrah mashalaah mungu yupo pamoja nawe hakika usisahau kumkumbuka alaah
@jay-bshujaboyofficie3201
@jay-bshujaboyofficie3201 3 жыл бұрын
Mimi nasbili collabo Ya ibraah na k2ga wa king's music From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👑🔥
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 3 жыл бұрын
Ibrah best chipukizi kubali sana kubwa, LAST BORN CADET from king medros music family 💪 afro Congo 🇨🇩
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK 2 ай бұрын
Kwanyi ibraah ni chipukizi tena ?
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 2 ай бұрын
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK wewe ulinunua simu siku gani ndugu😂kuweni nauliza muwe naelekezwa ,ivi unaona iyo comment ina myaka mingapi?
@lordrichreuben1446
@lordrichreuben1446 3 жыл бұрын
Ibra anaweza sana tena sana dogo namkubali,na ww mtangaza uwe na Adabu unapomuhoji mtu kama ibra kama huwezi achana na hyo kaz
@gracechalle6042
@gracechalle6042 3 жыл бұрын
Uyu mtangazaji hana lamana IBRA ❤️
@aishaissa2512
@aishaissa2512 3 жыл бұрын
Napenda unavyojibu maswali🐘💪❤️
@aishaali3693
@aishaali3693 3 жыл бұрын
Nakukubali sana brother kwa kujiamini nakuunga mkono💯💪🔥🔥
@SaiSai-lq4io
@SaiSai-lq4io 3 жыл бұрын
Bhana boy kubali wewe sana boy ibraah
@irenemalley2787
@irenemalley2787 2 жыл бұрын
Good I like
@FaridAli-w3q
@FaridAli-w3q 2 ай бұрын
Jaman so nice naweza kupata naomba Yako my kaka ibrah
@isackwsmithwsmith9027
@isackwsmithwsmith9027 3 жыл бұрын
Nakubali ibraah 💪❤️🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@omarnzeyimana9289
@omarnzeyimana9289 3 жыл бұрын
Ibraa is not the same, Ibraa is the best now
@naseebbagga3717
@naseebbagga3717 3 жыл бұрын
Kw kipi wtz bn lini kafany ht show ya kwke
@omarnzeyimana9289
@omarnzeyimana9289 3 жыл бұрын
@@naseebbagga3717 konde gang is for everybody me m not from tzt n I love good music Ibraah sing the way I like so for me is the best
@naseebbagga3717
@naseebbagga3717 3 жыл бұрын
@@omarnzeyimana9289 kwenu hk sawa
@omarnzeyimana9289
@omarnzeyimana9289 3 жыл бұрын
@@naseebbagga3717 kote yuko sawa
@omarnzeyimana9289
@omarnzeyimana9289 3 жыл бұрын
@@naseebbagga3717 we love best music bru
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
Huyu Ibrah atakwenda mbali sana ako simple sana ayuko na madharau ❤️❤️❤️👏🏾👏🏾👏🏾
@taharamohd2515
@taharamohd2515 3 жыл бұрын
Bado ajajiunga akiungwa Tu utaona🤣🤣🤣🤣🤣
@AliMohammed-df7iz
@AliMohammed-df7iz 3 жыл бұрын
Hhhh noma mtangazaji
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
@@taharamohd2515 yes watu ubadilika lakini Ibrah sithani atabadilika I don’t think soo
@Sabbath_Keeper
@Sabbath_Keeper 3 жыл бұрын
You always have big points 💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@LavazasBroadcast
@LavazasBroadcast 3 жыл бұрын
Tanzanian artists are so patient 😂😂😂, Kenya uulize maswali kama hayo unawachanishwa hapo yaaani.
@tayanaliss9713
@tayanaliss9713 3 жыл бұрын
what did he say about Zuchu? I don't understand a word its so sad
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@laureenakinyi1954
@laureenakinyi1954 3 жыл бұрын
So true, wakenya tuna tabia zetu
@ThisisRoy_
@ThisisRoy_ 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 wakwende
@princessmillie9357
@princessmillie9357 3 жыл бұрын
Ibraaaa uko juu mkaka💪💪💪💪
@officialteflon5971
@officialteflon5971 3 жыл бұрын
Ibraah is wise answering the questions accordingly
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 жыл бұрын
Mtashinda kwa uwezo wa mungu ..
@Ruthkadira254
@Ruthkadira254 3 жыл бұрын
Napenda majibu ya kaka nampenda saaana ,,,#Kenyan
@mebtv67
@mebtv67 3 жыл бұрын
😂😂😂🔥🔥ibraaah noma sanaaa
@issufoamisseabjate726
@issufoamisseabjate726 3 жыл бұрын
IBRAH is best this time group kond Gang, Harmonaize is very Teacher
@chiddybanda4598
@chiddybanda4598 3 жыл бұрын
Ntakukabidhi hii njemba ikufanyie kaz hahahaha, mtangazaji kanywea 🔥🔥🔥🤫🤫🤫😀😀😀😀
@simoncomsimoncom6747
@simoncomsimoncom6747 3 жыл бұрын
Ibrah nakukubali sana vip? We jinias. Ulikuwa wapi zamani ,
@eli_outfits_tz6827
@eli_outfits_tz6827 3 жыл бұрын
Dogo kachangamka..🌿🌿🌿🌿
@francymelanie
@francymelanie 3 жыл бұрын
Napenda nyimbo zake ibraa .lazima nimfuate niwe kama yeye pia kimziki.na natamani nipige colabo naye if i can get a chance
@philipoemmanuel8421
@philipoemmanuel8421 3 жыл бұрын
Much love blood
@balakahuluma2540
@balakahuluma2540 3 жыл бұрын
Ibraaa nakukubali sana broo
@hasaanfarajal9426
@hasaanfarajal9426 3 жыл бұрын
Uko juu mdogo Sana zaidi ya sana
@wonderstylish
@wonderstylish 3 жыл бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪
@nelsonmilavu3111
@nelsonmilavu3111 2 жыл бұрын
I love'r
@furahinidaudi7851
@furahinidaudi7851 3 жыл бұрын
good brother
@youngdizzo888
@youngdizzo888 3 жыл бұрын
Big up bwana mdogo
@middletemboke1531
@middletemboke1531 3 жыл бұрын
interview kali saanaaaaa
@elimugrace9935
@elimugrace9935 3 жыл бұрын
Thanks you ibraah
@priscamalale5721
@priscamalale5721 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana 💞💕
@gladyscarlos958
@gladyscarlos958 3 жыл бұрын
Wow 👏 umeweza bro
@richlymo
@richlymo 3 жыл бұрын
Kondegang 4every bady 2
@francoismitterrand1452
@francoismitterrand1452 3 жыл бұрын
Jambo mtoto wa maman
@charlesmaster5336
@charlesmaster5336 3 жыл бұрын
Watanzania ndo tupo hivyooo tunatabia yakukatisha tamaa songa mbele baba
@jozboy2006
@jozboy2006 2 жыл бұрын
Ibraah nakubali hiyo
@mwinjanavil
@mwinjanavil 3 жыл бұрын
mtangazaji anauliza maswali ya kithee sana.. anajibiwa hivi anauliza tena vile ni ukuuzi wa kiwango cha lami.. hawa ndo wanaofanya TCRA wanawapiga pin.. nyauba kabisa wew
@jasimwanyond8764
@jasimwanyond8764 3 жыл бұрын
Jesh nimekukubar umetish
@yaakazungu6954
@yaakazungu6954 3 жыл бұрын
Mjibu kisomi Ibraah Mwambie marobot ndo sisi masabiki wako.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mankamukure2992
@mankamukure2992 3 жыл бұрын
haahaah
@carolynembithi6629
@carolynembithi6629 3 жыл бұрын
masambiki🤣🤣
@materialmusic510
@materialmusic510 3 жыл бұрын
Nakubali sana
@Teshaafro
@Teshaafro 3 жыл бұрын
kzbin.info/door/w2nJUrZ3KPxlyas9Tg8I9g Ibraah akiwasha na nandy jipinde check hapo
@filbetersalvatory9725
@filbetersalvatory9725 3 жыл бұрын
❣️Me salute t u never disappoint brother 💖
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 3 жыл бұрын
Ibrah ume tshaaa🔥🔥🔥
@philiptamba1643
@philiptamba1643 3 жыл бұрын
Appreciated
@jantherytv3539
@jantherytv3539 3 жыл бұрын
Umetisha baba
@gladnessmrosso2990
@gladnessmrosso2990 3 жыл бұрын
😂😂😂ibraah umejibu vizur sana
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 3 жыл бұрын
Ibrah Msani wa kawaida sana
@francoismitterrand1452
@francoismitterrand1452 3 жыл бұрын
Bongo zako
@josephkiwale3495
@josephkiwale3495 3 жыл бұрын
Kawaida xana,bado
@irhamrashidy9827
@irhamrashidy9827 3 жыл бұрын
Sanaaaa
@rahimudossa2681
@rahimudossa2681 3 жыл бұрын
Nakubali sana nyimbo zake
@kyzabrown1627
@kyzabrown1627 3 жыл бұрын
Dogo anajua💪💪💪
@doreenjoket3089
@doreenjoket3089 3 жыл бұрын
Kwani mtangazaji alitumwa kwa ibraah Leo 😳😳😳😡😡😡maswala yake ingine ni yakipumbavu
@ireneveronica4426
@ireneveronica4426 3 жыл бұрын
Siku mtangazaj atachezea za Moto mot 🤣🤣😂💪
@doreenjoket3089
@doreenjoket3089 3 жыл бұрын
🙄🙄😂😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@alyzawadi3027
@alyzawadi3027 3 жыл бұрын
Uko vizuri ibra...ila jitahid kwenye muonekano upo kawaida sana
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 жыл бұрын
Boadgurd yup vzr anatoa smethng 😂😂😂kwa ibra
@charlesmwaminifu5196
@charlesmwaminifu5196 3 жыл бұрын
Mdogo wangu MUNGU anakulipia kupitia mama alivyo hangaiga kipindihicho ibra akiwa mdogo
@olgacaleb6822
@olgacaleb6822 3 жыл бұрын
Uyu jamaa nimeona ni upande wa pili naona kama amepanic IBRA nae anajibu vizuri kwa kiburi sana bog up ibra
@roselubinza8438
@roselubinza8438 3 жыл бұрын
Salute kwako ibra💪
@BBoy-de6xx
@BBoy-de6xx 3 жыл бұрын
Nataka kufanya kazi na konde gang💯(KM)
@firimonadrof8786
@firimonadrof8786 2 жыл бұрын
Nakubal broo
@kelvinfredrick9654
@kelvinfredrick9654 3 жыл бұрын
Dogo unazingua et wasanii kumi 😁😁
@antoinekatembo595
@antoinekatembo595 3 жыл бұрын
Dogo yupo vizuri sana Kwa kujibu maswali
@kombokiguzo4583
@kombokiguzo4583 3 жыл бұрын
Ibraah uko sawa huna shobo ya maswali
@dogoprekmamusic7178
@dogoprekmamusic7178 3 жыл бұрын
Best unimaliza💌
@paskalinasimoni6099
@paskalinasimoni6099 3 жыл бұрын
Umependeza sana ibra
@kitsaosamuel9106
@kitsaosamuel9106 3 жыл бұрын
Nice bro
@halimaswaheli1495
@halimaswaheli1495 3 жыл бұрын
Uyu mtoto angesoma kidogo tu angekuwa mchawi🤣🤣Yan alingi anajibu kisomi anawashinda Ata mijitu mizima
@laureenakinyi1954
@laureenakinyi1954 3 жыл бұрын
Haaaaaaha Aki wewe
@alphoncepaul3301
@alphoncepaul3301 3 жыл бұрын
Pambana mdogo wang 😎😎😎😎
@leadertyga29
@leadertyga29 3 жыл бұрын
Ibra yuko poa watanzania ndio tunaujinga wa kuwagombanisha wasanii isikilize vizuri hii video amesema rayvanny ni mkubwa sawa kwavile kaanza game kabla yake zuchu pia kamuita dada yetu watanzania tuacheni ujinga wa kuwachonganisha badala ya kuwaunganisha wasanii wetu wa 🇹🇿 wakawa kitu kimoja kama nchi za wenzetu 🙏🏾
@janeshigami8769
@janeshigami8769 3 жыл бұрын
Heeii....kwani ako na bodyguard....🤭
@nkunzimana4214
@nkunzimana4214 3 жыл бұрын
Napenda mutu mitulivu kama uu kijana n'a mungu amubariki
@freddyblackboyonenine2492
@freddyblackboyonenine2492 3 жыл бұрын
💥💥💥
@charlesmaster5336
@charlesmaster5336 3 жыл бұрын
Safi Sana janjaaaa nakukubalii
@saumuramadhani148
@saumuramadhani148 3 жыл бұрын
Pambna hivo hivo chinga
@warisservices4669
@warisservices4669 3 жыл бұрын
kakangu mtangazaji una uchokozi,,,,,, mbona wamzingua ibraah??? kenya twampenda alivyo bana,, wacha kumwekea tu scandle hatueleweki bro... mtie moyo,,!!! wee vipi!
@nelsonmilavu3111
@nelsonmilavu3111 2 жыл бұрын
Safi sana IBRAAH
@mfalmetimohyoung3203
@mfalmetimohyoung3203 3 жыл бұрын
Salute kaka braza. Kenya ipo nawe
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 3 жыл бұрын
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@francoismitterrand1452
@francoismitterrand1452 3 жыл бұрын
Jambo
@issamuhamed4736
@issamuhamed4736 3 жыл бұрын
Pa1 sana mdogo wangu.
@salimdogorasta6808
@salimdogorasta6808 3 жыл бұрын
Dogo ana hekima
@mrantena_
@mrantena_ 3 жыл бұрын
Mkali ibrah
@aminamselem7361
@aminamselem7361 2 жыл бұрын
Jmn mi nampenda ibraah
@fazilmalumalu2113
@fazilmalumalu2113 3 жыл бұрын
Ibraah! 😂😂😂
@Adeen.1
@Adeen.1 3 жыл бұрын
Mbona mwandishi unauliza kishari aseee🤣🤣😋
@gracechalle6042
@gracechalle6042 3 жыл бұрын
ACha akandwe na iyo njemba
@filbetersalvatory9725
@filbetersalvatory9725 3 жыл бұрын
Umeona eeeh,au wamemtuma mana anahoj maswali yakumfanya aonekane hafai 😁
@dulahshabani8159
@dulahshabani8159 3 жыл бұрын
Ibra uko sawa man
@nollanyasin8596
@nollanyasin8596 3 жыл бұрын
Real facts
@pinochio5465
@pinochio5465 3 жыл бұрын
The guy yuko stratergic......... anapretend humble ili kuwin mioyo ya mashabiki hasa wabongo. Ila baadae ukishakua msanii mkubwa mtaona tu wenge zake, akili za wabongo wanapenda uwaonyeshe kama unashidashida na vidhiki flani hivi ndo wakusupport.
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 3 жыл бұрын
Hayakuhusuu
@jidy_khan1777
@jidy_khan1777 3 жыл бұрын
🚛🚛🚀🚀🚀⛽
@staffordndallu7113
@staffordndallu7113 3 жыл бұрын
Akili nyingi sana salute #Ibraah
@aphroovevo
@aphroovevo 3 жыл бұрын
Ibraah chingaaaaa
@JointTVKE
@JointTVKE 3 жыл бұрын
Kwani compatition ni nini sasa...semeni competition
@samtouchmusicsound3831
@samtouchmusicsound3831 3 жыл бұрын
pakua ngoma Kali za asili
@veredianarichard5149
@veredianarichard5149 3 жыл бұрын
Bwana mdogo wewe ni star
@alviderAvelyne
@alviderAvelyne 3 жыл бұрын
Ibrah anamchezo sana.
ZUCHU amsifia Harmonize kuondoka Wasafi kwa mara ya kwanza
9:44
Bongo Touch
Рет қаралды 458 М.
New Colour Match Puzzle Challenge With Squid Game 2 - Incredibox Sprunki
00:30
КОТЁНОК МНОГО ПОЁТ #cat
00:21
Лайки Like
Рет қаралды 2,8 МЛН
Ona Zuchu Na Alikiba Walivyojiachia Wakipiga story Leo Dodoma
3:16
BINGO TV ONLINE
Рет қаралды 232 М.
BALAA LA ZUCHU ALIVTOTUA KIBABE NA HELIKOPTA KWENYE SHOW
3:07
Wasafi Media
Рет қаралды 2,7 МЛН
IBRAAH KUTOKA KONDE GANG NEW EP YA MOTO SANA
2:19
BugaboTv
Рет қаралды 2,9 М.
Ndaro X G boy ft Kontawa_Nimpe Nini (official video)
4:07
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,3 МЛН
ALPHA HOUR EPISODE 919 ||  RECOVER IT ALL  || 12TH FEBRUARY,2025
Pastor Elvis Agyemang
Рет қаралды 12 М.
New Colour Match Puzzle Challenge With Squid Game 2 - Incredibox Sprunki
00:30