Ahsanteni Sana Mashabiki Zangu Mnaoendelea Kunisupport Kijana Wenu! Nawapenda Sana ❤❤❤
@mackmond92799 ай бұрын
ibraah for life
@DePerplex9 ай бұрын
Pamoja sana home boy
@DerickMunisi9 ай бұрын
Ibra nipe namba yako
@DerickMunisi9 ай бұрын
Nipe namba
@philexowinga72469 ай бұрын
Chinga❤
@Clovis_the_barber9 ай бұрын
Kama huyu wimbo unaeza rudia marambili kama mimi nipee like❤
@draye33579 ай бұрын
Siyo mara mbili hadi mara buku
@EglaEMMANUEL9 ай бұрын
Adii Mara kumii
@mossesmwamafupa81999 ай бұрын
Actually konde gang mnajua sanaaa . Me naonaga tuh shida ni management ikikaa sawa hakuna upinzani mziki wanaujua
@rosenyambura37739 ай бұрын
Mpaka nimeboo watu
@MichaelSikapundwa9 ай бұрын
nakupa zaidi ya tano.....nipo Beijing ila nahis kama nipo mitaa ya home TZ👍👍👍👍👍👍
@JohnBanda-q3z10 ай бұрын
Wanaotaka hii ngoma ingie No1 on trending gonga hapa ❤❤❤❤
@YvonneNyaoke6 ай бұрын
Utungo wa harmonize iko level ingne..verse ya chinga ineweza..[of course hakuna aliyekamilika]
@star7tv23910 ай бұрын
Tanzania ni nyimbo tu ya harmonize ambayo naweza kuyisikiza mala 10 na siichoki.love frop🇧🇮
@tyscanah43179 ай бұрын
kama huna #DHARAU gonga like hapa kumsuport IBRAA
@SamwelMukuhi6 ай бұрын
Mapenzi ulionipa wewe walai misikutamani mwingine we wakiapo....Ibra sauti tamu
@jimmyActor-em4fn10 ай бұрын
Nipeni like mbili tu ❤❤❤
@AllyJofrey-ks6lk10 ай бұрын
Mbn zimezid like
@yofonealsu635810 ай бұрын
❤❤❤
@danatimusic10 ай бұрын
Nigerians 🇳🇬, south Africans 🇿🇦, tanzanians 🇹🇿, Rwandans 🇷🇼, Ugandans 🇿🇼, Kenyans 🇰🇪, Burundians 🇧🇮, Zambian 🇿🇲, Congolese 🇨🇩 Americans 🇺🇸,, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
@AdelNyahuma9 ай бұрын
But that not Uganda flag it's Zimbabwe flag
@SalmineJkinyuru-vf4bd10 ай бұрын
Hii ngoma imehit kiutofauti sana, Yes this is Chinga from south Tz, mtaalam wa kucheza na hisia za wapenda music. Huyu ni mmi kabisa 😭🔥🔥
@esthermramba93954 ай бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 tunawapenda ❤❤❤❤
@emmanuelsanawa19099 ай бұрын
Usjar dumu katika kumuomba Mungu atakuzidishia kibar zaid ya hapo❤
@JEANS-TZ9 ай бұрын
Harmonize mfunze vizuri Ibraah aje kuwa namba one Tanzania🇹🇿 kama wewe ❤❤❤
@OfficiallRickyTz10 ай бұрын
Oya wewwew tumemtungua @diamondPlatinum na #Mapozi yake sasa tuko #1 like nyingiiiiiii❤❤❤
@magozitabora34319 ай бұрын
Mungu anampa kila mtu ibraah tulikua nae sokoni karume ana uza makoti Leo star duu music ni wakila mtu ongera dogo pambana sana
@cyriloluoch15436 ай бұрын
Ngoma imegusa sana wanaume wanaojifua hii maisha ila wapenzi wao hawaithamani mbio anazo zikwenda. Wanaume msilegeze kamba kabisa. Bora ugali Dagaa kwenye amani! Kuliko wali nyama vitani! Ipo siku!
@behindbarsent6 ай бұрын
Naomba uskize yangu pia from Kenya kzbin.info/www/bejne/jprJY3dubdqZntE
@MuganzaPyramide-yq5qb9 ай бұрын
Na sisi tu akupenda sana na tulikuwa tuliku miss ki noma mungu akutangulie kwenye kazi yako amena itikia
@rajabushedafa639710 ай бұрын
Wakwanza Mimi jamani naomba like 50k tu Zina nitosha ❤😅😅😅
@FikiriKibingira10 ай бұрын
Courage a toi my friend 🧡 ❤
@madetetv657610 ай бұрын
Aliyeimba mwenyewe hajapewa hizo likes wataka upewe ww 😂 thubutu
@samwelkibogoyo195810 ай бұрын
😊😅😅
@VisentBusuu10 ай бұрын
❤❤❤
@rajabus02410 ай бұрын
Sawa wajina
@ALKANOHassanHassan10 ай бұрын
Harmonize my bro did it...... ❤❤❤❤👊🏿👊🏿Kama upo na mimi nipee like 😙
@RamseykingGenius6 ай бұрын
Ila kiukweli hii Ngoma ni ya international 🌍wala haichoshi kusikiliza congratulations chinga🎉🎉tembo🐘🐘🙌🏿🏃🏃🏃🏻♀️🎧🎧🎧✊🏿
@EdgarMagogozwa5 ай бұрын
HakikA
@RamseykingGenius5 ай бұрын
@@EdgarMagogozwaKila siku inazidi kuwa 🔝🔝🎩🎶🎶✅✔️
@berryxmsanii10 ай бұрын
Heri nyimbo tulivu kwenye ngeu kuliko kelele mingi kwenye gemu,huu wimbo hautokii masikioni nadharau wanaoudharau huu wimbo mnisaidie Likes Jameni watanzania hamjawai niipa haki yangu leo timizeni🎉🎉🥳🥳
@OmmyBabyOg9 ай бұрын
Jaman roho mbaya mnashindwa kunipa like za chinga kweli 😢😢 ❤❤❤❤ dharau au sio
@peterkiuko39809 ай бұрын
Like mwenyewe
@JohnAbery9 ай бұрын
Nimeukubali sana yaan! Bora ugalidagaa kwenye aman kulikon walinyama kwenye vita
@IåmEyån10 ай бұрын
Where there is Ibraah and harmonize we must have a national Anthem song,,Kenya is happy 😊,East Africa is celebrating 🎉,We approve this hit from 🇰🇪🇰🇪Naomba likes jamani msikuwe wachoyo
@yedwinjj4 ай бұрын
Bonge moja la nyimbo Asante sana Ibraa na Konde boy hamjawahi kosea. ..Mungu aliye kupa ukilema hawezi kukunyima mwendo❤❤
@odetharwaibale496310 ай бұрын
🎉🎉🎉 watu mna roho mbaya 😮likes za chinga jameni , tukimbize ngoma mpk ifike 20M vews 😢😢
@assumanially10 ай бұрын
P
@humphreydeborahlaizer396210 ай бұрын
hahahahahhahaa
@Officialrockzompa10 ай бұрын
Chukua🎉
@Bushman00010 ай бұрын
😂😂😂 pokea na hii basi❤
@osmandingi10 ай бұрын
Ikusaidie na nini sasa
@josephfrank44469 ай бұрын
Hili ngoma napiga kila siku haipiti sijapiga 🎉🎉umeuwa ibrah
@kadito-music10 ай бұрын
Nataka like moja tu kwa ajili ya familia❤
@kenyatv254510 ай бұрын
Moto Sana bumu❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ERICkKiplagat-bt8sh10 ай бұрын
Nice 👍
@zepinashatibu514910 ай бұрын
❤
@zepinashatibu514910 ай бұрын
umeonaee@@kenyatv2545
@zepinashatibu514910 ай бұрын
@ERICkKi❤plagat-bt8sh
@ismytvivita79610 ай бұрын
Hata siku hizi siimbi sana, wacha washindane na Ibraah, gonga like kama umeelewa baada matikiti kudondoka
@Louizps3010 ай бұрын
Acha like hapa kama umependa verse ya chinga zaidi
@NitiboyKE10 ай бұрын
Hii nyimbo imepiga kabisa story yangu...#KondeMusicWorldwide
@delarosa907396 ай бұрын
Big up chinga verse yako imeweza 🔥🔥🔥🔥
@JeanCallixtekwizera9 ай бұрын
Hiyi ngoma njo inatrend Burundi iko fiti kbsa.naomb like ka 2k
@TausibeautyKasola8 ай бұрын
Nasikiliza wimbo malanyingi najua kuuwasha tu pakuzimia sipaonagi jaman mpk nifosi wimbo wangu wamwaka❤❤❤❤❤❤❤❤
@davisohtv69729 ай бұрын
Hii wimbo yanifanya nakumbuka mbali wakati dem wangu alikua akinihangaisha kwa mapenzi.
@MelodyChriss4 ай бұрын
Hii nyimbo ibraah ni nyimbo bora ya mwaka huu 2024 acha tu watoe cjui masava ila hii mwaka mzima itakuwa top ten nakukubali sana broooh vs konde boy time jeshi every band
@FerdinandKasongo-z7u9 ай бұрын
Na sisi tunakupenda Sana pamoja. Na konde tutakuwa pamoja mpaka dakika ya mwisho
@Chiunda-eh8lt9 ай бұрын
🎂💅💌🥰🧐🎊💖🦾🇹🇿🎁🎇💏💐🌹🟣❤️❤️
@MosesWekesa-o9u9 ай бұрын
Big hup from kenya mnipee likes zangu 💪
@DungamaweDungamawe8 ай бұрын
Washa moto kaka nakukubali sana saluti kwake brza konde boy namkubali sana kuliko kitu chochote kile brooo bigapu kwenu kwani wamakonde munatupa eshima sana
@jeanmariemaniragarura3568Ай бұрын
Hata Mimi sipendi dharau mzee iyi ndo nyimbo yangu ya kila siku love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@winnerbigmass941110 ай бұрын
KONDE KAPEWA VERSE 😄🔥🔥🙌🏽 BIG TUNE CHINGA
@KhadijaSaid-r4m8 ай бұрын
Unajua adi unajua tenaaa mwaaaah nawapenda sanaa ❤❤❤❤
@Hyceskullbwoy9 ай бұрын
Kama anajiona kichwa shingo nani❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️aki hii jeneredhion😢
@iddgwimo35304 ай бұрын
Dogo uko vizuri chalii huu wimbo huu kunakitu unanikumbusha mbali
Aisee achana na likes angalia na sikiliza talent iliyotumika humu ndani hatariii ogopaa
@RichMavoko-nx8cn10 ай бұрын
Nice song 👍🏻👍🏻 JESHI & Chinga ❤❤🎉🎉 my favourite song 🎉🎉🎉 usisahau like zangu 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@byabatokaroma25226 ай бұрын
Napenda verse ya Ibra though nyimbo ni kali sana generally konde mmevunja G.O.A.T
@bonfacemwashi16419 ай бұрын
Bora ugali dagaaa kwenye Amani kuliko wali nyama vitani,,,,, Ngoma imeenda shule
@irakozesania168010 ай бұрын
Bora daga na wugali kweny Amani kuliko wali nyama kwenye vitani🎉🎉🎉
@Kafengo_10 ай бұрын
Wapi likes za team Kenya hapa😂😂😂
@Omar-xq3cw17 күн бұрын
Kondeboy nakulaumu sanaa kwa nini hukumvutisha Ganja ibraah mapema ona sasa pafu mbili Dogo kila kukicha anaachia jiwe juu ya jiwe.Bomboclaaaat kama nimetoroka Milembe Dogo anajuwa sanaa
@MarkKiplangat-qd2mh9 ай бұрын
Harmonize is that type of an artist that ten years down the line you can till hear his music......they are never waves💯💯🇰🇪♥️♥️🔥🔥
@mwinjumamiraji8728Ай бұрын
Hii ngoma ibrah amejua kupangilia mistar. Nic song
@Chriss_tophy10 ай бұрын
Motoo 🔥🔥 sanaa. Chinga na Konde on lit. Likes and more Love ❤❤ from Kenya 🇰🇪
@9talieMusic-zc7cy10 ай бұрын
Kwann wakeny lazim.ujitaj kinya ndionini
@haronboiboi37004 ай бұрын
Tuning in from kenya 🇰🇪....Good song.....instrumentals on point mistari mikali ......ingeuza sana kama ingekua gospel song
@MariamRusegura9 ай бұрын
Toka Mwaka 2024 Ume anza sija wona wimbo mzuri kama huyu ❤ Naomba like zangu Jameni 😂
@MilzaErick9 ай бұрын
Wa kwanza jamani ibraa namkubali sana 🎉 naombeni likes zenu wadau na mungu atawabariki insha'Allah😢
@adolphmwangoje288710 ай бұрын
Naomba like jmn cjapata kitambooo
@AdamMussa-ke5my6 ай бұрын
Hii ngoma chinga boy unatakiwa utulie Sana bila hvyo itakutesa sana Kwenye kuitafutia ngoma nyingne na ije kuwa hit song zaid ya hii 👊💪
@RamseykingGenius6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🏃🏻♀️🏃🏃🏃🏻♀️🎧🙌🏿🔥
@razackaigarula229110 ай бұрын
Kama umependa kapo ya harmo na giggy like hapa
@oburupeter76654 ай бұрын
Back for that part of Ibrah."kumbe Bora ningechukuchuku"
@Brayootieno-b6c4 ай бұрын
Aaaaah kidogo🎉❤😂
@empafricatv4 ай бұрын
Hii nyimbo inamiujiza Itamaliza mwaka Trending mtanijibu hapa baada ya mwaka
@joannysalvatory7251Ай бұрын
Package ya miezi miwili ngoma bado hiko moto, on trending!
@radhiamtindi78093 ай бұрын
kama hupendi dharau na manyanyaso weka like
@expensivecrew31594 ай бұрын
Ibraah anajua sana wallah😢
@musachimbah680010 ай бұрын
Inamfaa zuchu kuisikiliza ktk kipindi hiki kigumu anachopitia yes like
I missed you ibrah ...then my boy harmonize never disappoint 💪💪💪💪💪
@imeldaindasi33102 ай бұрын
Bora ugali dagaa Kwa amani kuliko wali nyama vitani ,uzito wa hii wimbo iko hapa ,much love from 254 Kenya Capital city of Africa 💞💞💞
@imeldaindasi33102 ай бұрын
Mungu aliyenipa ulemavu hawezi ninyima mwendo ,bonge Moja la wimbo I say
@redmistmusiq10 ай бұрын
Ata wapinzani wazue scandle na kicki za kishamba goma bado linaenda tuu😂😂😂
@barakasaimalye2119 ай бұрын
Kenyans🇰🇪🇰🇪 likes ziko wapi
@johnkimani85424 ай бұрын
Dogo mm fan wake Sana Konde, ila sasa Hadi ww nakutambua, kaza buti bado KAZI iendelee, ni Mungu na bidii kidogo.
@ARSENIC2544 күн бұрын
Simba tembo harmonize mfalme wa mziki mwenyewe God bless you for some good music
@VenniehHeaven8 ай бұрын
Tulio nnje ya Tanzania let’s gather here ❤
@YangaWaziri-w3b2 ай бұрын
Profesa j umeshindikna wwe nikiboko Bora mungu amekuponya mna tungepoteza mtu muhimu sna
@mohammedbakari295410 ай бұрын
ukiacha ukali wa ngoma kwa mengi tunayo pitia yakiwekwa kwenye matamshi na kutu comfort mimi nimependa video ilivyo achiwa tuweze kudownload aseeeee niseme hili chupa ni la mtori aseee mna chupa ni lamoto sana alafu tamu 🌋🌋🌋
@ShaibuMkullu-ck6sl6 ай бұрын
Huyu Appy ni msanii wa sayari nyingine kabisa mamamae👏👏
@gideonsamuel2452Ай бұрын
Tukubaliane konde gang iko moto love from 🇰🇪🇰🇪🔥 gonga like for dogo ibrah.
@imeldasoko64713 ай бұрын
Bado naiangalia sanaa hii nyimbo inaimba kichwani
@ROGERSOTIENO-yn9pw9 ай бұрын
Konde boy Ni mkali umeona video Ni Kali ,nipatieni likes Jamani
@CaroKing-w7w3 ай бұрын
Kutoka Kenya upendo mmoja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅✅✅🙏
@GasalamuFyness7 ай бұрын
Nyimbo ya mwaka❤❤much love from malawi...msalimie giggy,one of the best vixen
@LucyChedrick6 ай бұрын
Katishaaaa
@maulidkilongola16914 ай бұрын
Kiba 🙌🙌🙌🙌 wewe umeshindikana kwanza unapenda sana unachofanya af una enjoy vibaya mno🙌🙌🙌🙌
@dollytogodfrey310 ай бұрын
Waliorudia zaidi ya mara moja kama Mimi like zenu❤
@PhilbertNsengiyumva-g2j2 ай бұрын
Mungu wangu !!! Big Fizzo hio mavuta unaitowa nahujawai finally kw P diddy
@Paulapaul2764 ай бұрын
Wa kwanza kuonatumefika 9 million..gonga like tukingoja 10 m
@petromwalongo34589 ай бұрын
Binafsi yangu wimbo huu nimetokea kuuelewa sana na kuupenda umeimba kitu ambacho mimi mwenyewe kimenitokea wimbo wangu bora wa mwaka 2024 hakuna mwingine binafsi yangu hata zitakazokuja kutoka
@RubbenJumar9 ай бұрын
Me sijuhi ndo wa mwisho kucoment sijuhi watu watanipa ata like 5😢
@esthermande-g3m5 ай бұрын
❤❤❤❤more more haka ka wimbo aisee... Haka kaneno" Bora ningeunga chukuchuku...
@Akili8202 ай бұрын
Mwezi hu wa 10 kama uko nasikia hi nyimbo acha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
@ronchi38285 ай бұрын
Kenyan here ..this song is amazing.
@erickwachira2686 ай бұрын
More❤ this is a hit song love it Manyanyaso siwezswezi dharau
@behindbarsent6 ай бұрын
Naomba uskize yangu pia from Kenya kzbin.info/www/bejne/jprJY3dubdqZntE
@theprincejr14173 ай бұрын
Ila hii ngoma ni kali asee, waliua wote ila Ibara aliua zaidi 💥✍️
@JuliusJully9 ай бұрын
Kitu Kali sipend dharau ❤❤❤❤❤
@gahskyzo.53488 ай бұрын
Song of the year.. banger❤🎉
@LuckyKishiwa8 ай бұрын
🎼🌎
@lifeofa.butoyi50349 ай бұрын
This Ibra can really sing ❤I love his voice
@hanningiwse6 ай бұрын
From kenya and am officially to announce❤ that watanzania upande wa mziki tumewaaachia ,kenya tunajidanganya tu😢😢